Baba Magufuri ninakupenda na tunakupenda sisi Watanzania kwani wewe ni baba mwenye huruma,mpenda haki,unasaidia wanyonge na wote waliodhulumiwa,kweli mungu akupe maisha marefu ili uzidi kututetea zaidi na zaidi.Jumatano tarehe 28/10/2020 nitatoka kifua mbele kwenda kukupigia kura ili uendelee kukamilisha ndoto za Watanzania kwa kuwaletea maendeleo na kuwatete pindi wanapodhulumiwa haki zao.Mungu amenijalia kuhamasisha kwamba tukuchaguwe wewe kwani wewe ni mbeba maono na unae ona mbali,hakika tunakupenda.Mungu bariki Afrika,Mungu bariki Tanzania,Mungu mbariki ndugu John Pombe Joseph Magufuli.Kidumu Chama tawala cha CCM.Ameni.
@makongoronyerere25954 жыл бұрын
Kama nibaba ako mbona hukai kwake, au ww nimtt wannje yandoa
@mohamnedsalum21504 жыл бұрын
Safi hio kazi nzuri kwa kuwatetea wanyonge
@subirajohn7284 жыл бұрын
Mpaka nimelia Mwenyezimungu akulinde Baba yetu Magufuli! Wewe ni mtenda haki msimamizi wa wanyonge ni mcha Mungu na kwa kupitia wewe umetuvusha kwenye janga zito la CORONA hiyo inatuziirishia wewe ni mcha Mungu. Tunamshukuru sana Mungu kwa zawadi aliyotupatia Watanzania kwa kukufanya uwe Rais wetu! Mweyemungu aendelee kukulinda. Amin
@marymaige64664 жыл бұрын
JPM jamani mpaka nasikia kulia.. moyo wako ni mwema mnooo.Heri tumbo lililokuzaa,heri maziwa uliyonyonya
@everydayniewsnangale36364 жыл бұрын
Bas tu mama angu mm Ni mtanzania Niko Chicago masomoni lkn nkiona hivi najiskia amani Sana 😭😭😭...please msifanye makosa watu wa nyumbani as tuko huku lkn daima nyumbani Ni huko tunatembea kifua mbele kwa sababu ya amani yetu ..inaumiza Sana vjana wakitumiwa dah anyway God have on us
@piusxinlv59584 жыл бұрын
@@everydayniewsnangale3636 usiofu tupo wengi tunao zipenda kazi zake kwa uweza wa mungu atapitaa
@dominicanton20644 жыл бұрын
Mary ume ongea vizur uta fikir una shut move heri tumbo lililokuzaa,heri maziwa uliyonyonya nime ipenda
@bahatimohamedi22554 жыл бұрын
Ubalikiwe Sanaa Ra's wetu
@raymondroyer74144 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Rais wetu John Joseph Pombe Magufuli
@catherineadam3804 жыл бұрын
daaaaah god bless u jpm mitano tena baba
@abuubakar27254 жыл бұрын
Daaah uyuuu magufulii hapaswiiii kuitwaa rais huyu ni babe yetyuu watanzania
@teachingtruth20584 жыл бұрын
Huyu raisi ana mapungufu saaaaana kama mwanadamu yeyote lakini mengi anajitahid Sana.. Anachohitaji tumuombee tu
@francismassawe71314 жыл бұрын
Huyu ndo raisi Bwana...
@japhetjohn33494 жыл бұрын
Baba wetu magufuli lazima ww utashinda kwa vyovyot vile mungu u pamoja nawe 🌹 tunakupenda Sana lazma kura utapata baba wetu mtetezu
@Process6074 жыл бұрын
Duh huyu jamaa aliemtumua huyo bint nahisi mavi yatamtoka akiona hii clip nnavomjua magu hamuach salama
@africanheroestz-acapella24584 жыл бұрын
Unadhani atakuwa hapa nchini toka jana kweli? Huyo kesha timua maana moto wa Magu si mchezo
@robylyakurwa62944 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃
@happyjohn58824 жыл бұрын
@@africanheroestz-acapella2458 wanaweza Ku+barn passport yake
@godfreyjames85824 жыл бұрын
Mzee usilieeee
@lirastanley3904 жыл бұрын
Kuna rais wa nchi na rais wa watu...wewe ni rais wa watu na kipenzi cha watu
@boniboniii71194 жыл бұрын
Mpenzi wako wewe labda
@saidkhalfan37854 жыл бұрын
Kikatiba raisi anatakiwa akae miaka 10 tu , ila kwa mzee magufuli hata kama miaka 100 mi naona sawa tu.
@aishambise65294 жыл бұрын
Mungu akutangulie magufuli
@ashleymipawa9954 жыл бұрын
Inatia hasira
@asharamadan32544 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo miye nataka rais kama magufuli matatizo yanashughulikiwa hapo hapo
@majiliokalorymtwange89204 жыл бұрын
Pole baby kazia Hawa Raix mangu
@allyflavour80054 жыл бұрын
Mzee nilikuwa cjafatilia ila nimefatilia kipindi Cha masanja kikionyesha miladi uliyo tekeleza na serikali kiujumla mhh unastahili nikitu ambacho wengi hawa fahamu hayo kuwe na vipindi maalum ama machapisho kuonyesha kila pahala
@bahatialphayo17754 жыл бұрын
Karibu Baba Arusha
@everydayniewsnangale36364 жыл бұрын
Nmeamin mwenye moyo wa kutoa na kusaidia hazuiliwi na kitu aisee ..et hebu mniambie mnazan mzee aliachwa patupu kweli?
@do4love3024 жыл бұрын
Siasa bhana
@YusufAli-ib6xu4 жыл бұрын
Best president
@mwambodzemwangongo38844 жыл бұрын
Rais magufuli twakupenda pia huku Kenya..
@johnsaimon23524 жыл бұрын
Nchi hii bila upinzani kuwepo Bungeni au sehem nyingine leo Nani angejuwa ufisadi unaofanywa na hao
@byserbyser17574 жыл бұрын
Halafu tundu lissu useme umeshinda
@byserbyser17574 жыл бұрын
Magufuli hoyee
@bahatialphayo17754 жыл бұрын
Karibu na Monduli kuna kero nyingi sana za migogoro Naomba utusaidie Baba .by Bahati Alfayo.
@ashuraalli15614 жыл бұрын
Mmueke kwny gari yng niendenae arusha CCM oyeeeeeeeeeeeh Mitano tenaaaaaaaaaaa kwa mzee baba magufuli..... 😂😂😂😂😂...
@beatriceelisami91154 жыл бұрын
Baba wewe ni jembe
@tanzania3fight1924 жыл бұрын
Pole mzee
@hamadali91594 жыл бұрын
Magufuri ni mtoaji haki kwa wanyonge mzee haki yake hakupata kwa njia ya sheria yakikukuta utajua kweli sisi kwa sisi hakuna kusaidiana RAIS 5 ijayo fatilia sana uwajibikaji makazini kwa faida ya wanainchi
@emanuelmwanga44 жыл бұрын
Mtoaji haki vipi ase shida watendaji
@hamadali91594 жыл бұрын
@@emanuelmwanga4 sijakufahamu mkubwa
@rosesolomon8264 жыл бұрын
Mbona sisi arusha tulinywa kumfikishia mabango
@fransalbat18004 жыл бұрын
Rais sindohuyu sasa Watamzania jichanganyen mtajutaaa!!!!!!
@kalistusauzebi57074 жыл бұрын
Selikali ndo ilaumiwe
@isackndessa76804 жыл бұрын
Huyu mzeee nimemsikiliza hata simuelewi
@husseinally55504 жыл бұрын
Huelew nn na ww
@consectawinfred56164 жыл бұрын
Ujaelewa nn au ujataka tu kuelewa... Big up Mr president
@jokeableking70394 жыл бұрын
Aliyemtia mimba ss Ana ticket ya ndege kwenda ubeligiji maana kwa matendo waliyoyafanya co poa na lazima waisome namba kwa Magufuli jembe la wanyonge eeeheeeiiiiiiiii?????
@asharamadan32544 жыл бұрын
Abdullah Sultan wewe in shoga acha magufuli apiga kazi sisi tunaojielewa tunampenda magufuli wewe na mashoga wenzako nendeni ubelgiji mbwa wewe firauni mkubwa roho inakuuma kufa basis acha jpm apige kazi nyoooo
@allymkaku28474 жыл бұрын
Ww ni muislam
@isackndessa76804 жыл бұрын
Kwa hiyo mzee ametoka arusha Kuja hai kusikiliza kampen
@johnsonzuma49324 жыл бұрын
Bongo movie
@raulmagige26984 жыл бұрын
Arusha umati mkubwa sana huku anaonekana kwa araka kuna kitu ujaelewa hapo kitu
@henrykatamba29364 жыл бұрын
Kwakweli Mungu akutunze
@anateisaya3614 жыл бұрын
Magufuli baba lao
@onesmomaruti52564 жыл бұрын
Maendeleo haya chama kama sio uwongo nini ? wayasema hayo mara mmejichelewesha wewenyewe mnaleta watu wa chama kingine je huyu baba mbaguzi wa visa utampatia nchi maana anasema wazi ukichagua kiongozi wanchama kingine aleti maendeleo hivi kweli huyu ni mtanzani alafu leo anataka kura yako tunahitaji kiongozi asiye na ubaguzi mwenye upendo sio magu.
@mariuscyprian12354 жыл бұрын
JPM ni rais bora sana
@allyjzayumba76574 жыл бұрын
Ndio mkome na hiyo ccm yenu
@piusxinlv59584 жыл бұрын
Mda mwingine kula kabla ya KU comment
@siafuvideo25414 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kalumbugideon41594 жыл бұрын
Rais wetu wa Tanzania yetu ni Yeye John Pombe Joseph Magufuli miaka 5 Mingine wewe ndiye Rais wetu wa Tanzania
@KS-iw7qv4 жыл бұрын
Big up MR. President
@fadhiltave13594 жыл бұрын
Mtu katika zamu yake...
@hegatz22634 жыл бұрын
Jpm oyeee, ewe ndugu yangu unaesoma hii comment naomba unisaidie kusubscribe account yangu kwa kugusa picha yangu Apo juu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@bahatialphayo17754 жыл бұрын
CCM mbele kwa mbele.
@kwezilimited83364 жыл бұрын
99%
@jamesakhabuhaya61944 жыл бұрын
Baba baba raisi wetu
@rewardnjau72204 жыл бұрын
kama ni real, magu hoyee
@husseinkonz51924 жыл бұрын
Mitano tena iendelee
@msabaortiz3284 жыл бұрын
Bongo movie
@juvetusnshekanabo4074 жыл бұрын
Kura ushapata
@tinamzava8344 жыл бұрын
Sasa apo alaumiwe nan
@eliassospeter4 жыл бұрын
Sasa huoni kama aliyepewa mimba ni mwanafunzi? Hii huwa ni miaka 30 mudamwingine someni sheria mzijue sio usubiri upate matatizo
@salimalaquimane26404 жыл бұрын
Viva JPM viva
@emanuelmwanga44 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhhhhhhhh hiyo yote ni serikali ya ccm magu na watendaji wote yani dahh
@samwelsimon92784 жыл бұрын
Sasa huyu mzee anajuwa kabisa rais anatembea na pesa alifikiri atapewa miliyoni
@everydayniewsnangale36364 жыл бұрын
Atapewa kwenye gari au hjaelewa eeh😂😂😂😂😂
@rinovarthiliwi13144 жыл бұрын
Akishinda Magufuli jiandaeni kulipa kodi kubwa sana kufidia matumizi yao ya Kampeni. Wasanii peke yake wanadai CCM Bilioni 320.
@samsonmweta50404 жыл бұрын
Acha uongo
@Afya-Break4 жыл бұрын
Kama kweli wanadaiwa si Ni zao...Unadhani watakuja kukuomba wewe hizo hela? Unadhani CCM Ni Chama Masikini...Huna akili wewe
@ngwanafabian96684 жыл бұрын
@@Afya-Break CCM ni levo nyingine.
@nicethamanonga58554 жыл бұрын
Anafikiri njaa Kali kama manyumbu .hiyo ngoma inajitosheleza
@samsonmweta50404 жыл бұрын
Wivu unaua
@magrethelisha22204 жыл бұрын
E
@ashleymipawa9954 жыл бұрын
wachukuliwe hatua hao, wanyeee ndooo Hadi kufa
@severnymlowe63764 жыл бұрын
Mkuu Naomba. Ukae miaka yote kura umeshapata mzee wangu
@geitaamb41524 жыл бұрын
MAGUFULI hizo ni propaganda tuishazizoe unajifanya kondoo kumbe moyoni Ni fisi
@kambamazig020244 жыл бұрын
Utasema sana lakini ukweli ut6akusuta, maana una macho lakini huoni. Ina maana uchungu wa huyo mzee mzima kulia huoni? Ama ni wewe uliyemfanyia binti wa huyu mzee mambo hayo?
@simonmwashambela32334 жыл бұрын
chaz musiba nimependa kwa jibu ulilompa kwan bado tunaitaji nguvu kubwa kuelimishana
@nicethamanonga58554 жыл бұрын
Na kosa la magufuli ni nn apo .
@jacksonmunuo73264 жыл бұрын
Gari ya Raisi!!! Mitano tena Baba
@aishahassan32464 жыл бұрын
*saco_hack02* en Instagram tienes mi grito por el día gracias hombre realmente aprecio tu servicio
@naomybenedict58554 жыл бұрын
Mungu ulitupa huyu mtu kwa makusudi kabisa
@ashleymipawa9954 жыл бұрын
😿😿😿😿
@yaki98754 жыл бұрын
MAGOLI YOTE: KMC FC 1-2 YANGA kzbin.info/www/bejne/gGjHhpmJZbZ2iM0
@jerryjech22434 жыл бұрын
Serikali ya Ccm ndio iliyomfanyia hayo. Leo kampeni mnaomba kura mnajifanya kujali na wajinga wanasifu eti rais wa wanyonge. Tunajambo letu tar 28/10. Pipooooooozzzzz. Lissu ndani ya Mjengo
@jacklinethomas1104 жыл бұрын
Anadai kikiristo hairuhusiwi kutoa mimba,niulize kiislamu ndio inaruhusiwaqa?kwanini huyo mtoto akitakwa nahuyo mwanaume ajamwambia mzazi wake mpaka akakubali kutoa niaje akazalishwa ndio iwe soo,nalatatu,hivi huyo mwanaume aliempa ujauzito huyo binti anqekua masikini haya mambo yanqeenda mbele?
@abdullahsultani43774 жыл бұрын
Mchezo wakuigiza kutafuta kkiki kwawananchi ili kuonekana anauruma nawanchi pia anajali saaana ila waelewa tunaelewa mapeeema kura kwa lissu
@J4UPro4 жыл бұрын
Wewe jinga sana, unamanisha Magufuli kaanza Leo kusaidia Watu! Wewe jinga sana