No video

Jua Kali | Ijumaa Hii 12/07/2024 | FULL HD 4K

  Рет қаралды 125,017

WAKONGWE TZ

WAKONGWE TZ

Ай бұрын

Пікірлер: 360
@esterester3628
@esterester3628 Ай бұрын
Atleast Eva maskini umepumzika moyo mpira sasa Kwa Bill tuone kama kweli anakupenda🎉🎉
@STUMAIKALELE
@STUMAIKALELE Ай бұрын
We kuweza😂
@fatumambaruku963
@fatumambaruku963 Ай бұрын
Na juma nae ataiweka was sura yke
@esterester3628
@esterester3628 Ай бұрын
@@fatumambaruku963 Ela hatakunya kabisaa🤣🤣
@NancyShoo-ce2wx
@NancyShoo-ce2wx Ай бұрын
​@@fatumambaruku963juma hajaathirika anaogopa tu majibu ila ni mzm
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
​@@STUMAIKALELE😂
@SaadaHaroun
@SaadaHaroun Ай бұрын
Annah ataend na hlo wigi lake na hatosifiwa kwa ninavomjua davis atamchek kwa kejel😂😂😂😂😂😂😂
@user-qi6jt7rt7t
@user-qi6jt7rt7t Ай бұрын
😂😂😂😂
@FunnyHoverboard-ce6zn
@FunnyHoverboard-ce6zn Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Ай бұрын
Ilo Fumbo la Diva 😂😂😂😂😂😂😂
@AbigailDama
@AbigailDama Ай бұрын
Huo ndukweli acha achekwe sasa😂😂😂😂
@HappyNass-mu3lu
@HappyNass-mu3lu Ай бұрын
Uyo ndio Anna
@user-vw6fd3kf7k
@user-vw6fd3kf7k Ай бұрын
Eva umetisha na hongera kuwa jasiri
@user-vk1ph3xv6g
@user-vk1ph3xv6g Ай бұрын
Biri naeva nawapenda sana 😢jmn❤❤❤❤❤❤❤
@stellayusuph7662
@stellayusuph7662 Ай бұрын
Tupo na Anna bega kwa bega mpaka pale atakapo aibika kwa devis 😂😂
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 Ай бұрын
Mi naomba apate ukichaa tena maana Anna na Maria hawana utofauti kbs
@stellayusuph7662
@stellayusuph7662 Ай бұрын
@@pikanaauntzuu1466 😂😂watakuja kufa vby hawa
@rithakiondo1099
@rithakiondo1099 Ай бұрын
Jmn Anna hapana kavurugwa hyu dada 😂😂😂😂😂😂😂😂
@rithakiondo1099
@rithakiondo1099 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly Ай бұрын
😂😂
@SamiraGodfrey
@SamiraGodfrey Ай бұрын
Jua kali bhana unaweza lia na unacheka jamn😂😂😂anna
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 Ай бұрын
Kupendwa raha maria weeee😂😂
@HudhaimaYussuf
@HudhaimaYussuf Ай бұрын
Maria mwenyew sasa atahajali 😂😂😂
@radhiamohamedi9318
@radhiamohamedi9318 Ай бұрын
Jamani maria hayo macho na baba kijacho wako wakweli😂😂😂😂😂
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 Ай бұрын
Bill na Eva mnaniumiza sana😢😢
@user-tp4sn4ko1f
@user-tp4sn4ko1f Ай бұрын
Anna master of the game nakupenda inaonyesha hali halisi ya Mapenzi siku hizi pamoja na Maria
@user-oz9zy5ck1i
@user-oz9zy5ck1i Ай бұрын
Mm jaman Eva umetia huruma Bill pls mstiri Eva ila kilanga cha Sofia atajua mwenyewe Fala huyo
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k Ай бұрын
Sophia sophia sophia mwenzio atakuchoresha pole aisee 😢😂😂
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 Ай бұрын
Sofia nyege mbayaa khaaa unahangaikia nn jmn mbn ulimpenda vzr idi kabla.hajakuoa
@SeriesTz
@SeriesTz Ай бұрын
Umeonaeee
@fatmaomary8437
@fatmaomary8437 Ай бұрын
Yaan apo mwsho wa siku atafumaniwa na talaka yake juu .
@user-hy9pp5rp9i
@user-hy9pp5rp9i Ай бұрын
Madevu huo mdomo kama umeramba ukwaju😅
@user-co5ed6xr5c
@user-co5ed6xr5c Ай бұрын
Ann anajichqnganya kweli 😂😂😂
@marryofficial9143
@marryofficial9143 Ай бұрын
Yaan sjui kapatwa na nn mm ananikela kwl
@DayanaPeter-pd9yf
@DayanaPeter-pd9yf Ай бұрын
Mmenikosha na haka ka wimbo ka kiheheeeee😂😂😂
@NoorynMody
@NoorynMody Ай бұрын
😂😂😂
@user-mx7fq5vc8o
@user-mx7fq5vc8o Ай бұрын
Mungu aninusuru na mwanaume aina ya professor ,watu sample hi wanauzi sana hivi huwa wanahisia kweliii!😒 mana jitu gumu halishauriki haliambiliki akaaa!
@user-oe7ui9td3l
@user-oe7ui9td3l 28 күн бұрын
😂😂
@zenamtembezi4921
@zenamtembezi4921 Ай бұрын
Eva pole ht waginjwa nao wanahaki yakumpenda mtu tusiwanyanyapae
@anithiajohn9209
@anithiajohn9209 Ай бұрын
Hatimae maria tumesha mzoea 😅😅😅
@user-rs6cs3bs4i
@user-rs6cs3bs4i Ай бұрын
Mpak anakela
@rukiahassan7001
@rukiahassan7001 Ай бұрын
Any way kahaba mxoefu au sio.
@asnathally18
@asnathally18 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣ila anna ni kichwa maji jmn inàmaana keshajiona anapendwa na Davis mungu wangu ngoja naisubri zarau
@user-tp4sn4ko1f
@user-tp4sn4ko1f Ай бұрын
Ana ndo staring wa hii Tamthilia na Maria watazamaji wengine hamjui burudan tu. Haya ndo mambo halisi Dunian sasa kwa vijana wetu
@user-iz7vs9my9z
@user-iz7vs9my9z Ай бұрын
😂😂😂Ila anna nimechekaa😅 jmni devis anaenda kukuchukulia wew😢 Eva kanitia huruma na Kaniliza mwwee😢😢😢
@chrispinsaumu
@chrispinsaumu Ай бұрын
kwan anti zai shida ako nn kama atadanganywa😅😅😅 wivu mbaya adi kwa mwanao
@user-bc3jg6py2h
@user-bc3jg6py2h Ай бұрын
Roho mbayaa tu ananikela mm na visirani vyake😢
@sameraamiry3849
@sameraamiry3849 Ай бұрын
Kikubwa nimeona jua Kali mengine me sijui DJ Maua yako❤❤
@SaraphinaLyelu
@SaraphinaLyelu Ай бұрын
Pongeze Kwa eva maana wanawake kama Wewe walikufa tangu Enzi za kinjeketile na majina yao yalisombwa na kimbunga Hidaya... Haya na Wewe Anna hiv moyo wako una vyumba vinne kama Sisi mbona napata wasiwasi wamekushinda wanyakyusa utawaweza Hao watoto wa mjini 😂😂😂😂😂
@lucybudeba6561
@lucybudeba6561 Ай бұрын
Huyu aty zai ingekua mm evaa namjibu natoka kuliwa😂😂😂 kufatilianatu
@deogratiusdominick8882
@deogratiusdominick8882 Ай бұрын
😂😂😂
@glorytarimo2788
@glorytarimo2788 Ай бұрын
Kimeumana uku ana ameshapenda tena mtoto wamtu kamsahau bobo na dibaaa
@frolaibrahim1257
@frolaibrahim1257 Ай бұрын
Anna nichizi
@user-bi9zi1ex7t
@user-bi9zi1ex7t Ай бұрын
Lakin Viviani Mie sikuwezii😂😂😂
@suzanafromomani2973
@suzanafromomani2973 Ай бұрын
Anna kanunua wigi😅😅😂😂
@getrudaleonard8323
@getrudaleonard8323 Ай бұрын
Anitha wa Juakali me hua nakupenda bure
@user-kc2vq5gc3g
@user-kc2vq5gc3g Ай бұрын
Anna hatukuelewi ujue x unaondoa x watakaawigi upendwe Weye Larkin ujue x maria ana nyota yake
@user-rf8oq1jd6u
@user-rf8oq1jd6u Ай бұрын
Anita nmrembo mashalla
@mwanamisiomari8189
@mwanamisiomari8189 Ай бұрын
Hii sauti mbona
@glorymuro5411
@glorymuro5411 Ай бұрын
Anna anamtafuta wa kumlipizia kisasi kwa Diba
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Itakua Ht mimba sidhani km anayo
@witnessgeorge1976
@witnessgeorge1976 Ай бұрын
Ivi huyu Anna anamatatizo gani😂😂😂😂😂
@mercynina6288
@mercynina6288 Ай бұрын
Anna tumuache kama alivyo Yaan 😅😅
@sadiyasadiya571
@sadiyasadiya571 Ай бұрын
Dj hapo sawa
@rechalmussa6085
@rechalmussa6085 Ай бұрын
Mbona ana simuelewi Yani kanunua wigi kama la malia au aliona devidi alivyo msifia Malia kua yeyé uwa anapenda mwana mke anaesuka
@user-lq6mt5ji4l
@user-lq6mt5ji4l Ай бұрын
Kumbe jibu unalo😂😂😂😂
@sweetkeed
@sweetkeed Ай бұрын
Ana anatfuta kuchekwa tu oficin na maria na Vivian watajua aliona wivu ile siku😂😂
@walterkimaro3702
@walterkimaro3702 Ай бұрын
Tusubir tucheke nao 😄😄😄
@neemamakori6152
@neemamakori6152 Ай бұрын
Dah Anna,aibu naona mm 😂
@LatifahKhamis
@LatifahKhamis Ай бұрын
Ata mm nimeona aibu vo watamsemaj mfano
@rukiahassan7001
@rukiahassan7001 Ай бұрын
Anna sijui yuataka Nini ndipo.hajui apende nani kwenye maisha yake.mapenzi yanamchanganya
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 Ай бұрын
Yaani sauti Iko juu kama kwaya !!!
@karembo7082
@karembo7082 Ай бұрын
😂😂😂😂
@JosephineCharles-d6b
@JosephineCharles-d6b Ай бұрын
hahahahaha
@ketchmanmpandela602
@ketchmanmpandela602 Ай бұрын
Anna kichaa wa mapenzi 😂😂😂penda penda😅😅😅
@fhugghi4109
@fhugghi4109 Ай бұрын
Ila Ana akili zako unazijua mwenyew 😂😂😂😂😂maan ni mpofu wa mapenzi 😂😂
@PuritySalama-yv6to
@PuritySalama-yv6to Ай бұрын
Kwan anah anawivu kiasi,gani😂😂acha tuone kwa ofs itakuaje hpo ni kicheko,tu
@Shineyra
@Shineyra Ай бұрын
Ila uyu aunty zai anaboa sikuhizi aaah
@SeriesTz
@SeriesTz Ай бұрын
Umeonaeee
@user-ly7ho2oo8y
@user-ly7ho2oo8y Ай бұрын
kawa mama mwenye nyumba
@user-rn8tl6pl4j
@user-rn8tl6pl4j Ай бұрын
Eva wangu pôle sana kwa kweli 😢😢
@user-sc5gt6gs3s
@user-sc5gt6gs3s Ай бұрын
Ya leo ni moto jmn. Moja kwa moja kwa semeni ananyoosha miguu ya mme we akiva suruwari 😂😂
@ChristinaHamisi-sb3gq
@ChristinaHamisi-sb3gq Ай бұрын
Kama wanawake wa aina ya sofia tupo aisee izi nyege ni MBAYA ana nyege msenge uyo khaa
@hawalukas7958
@hawalukas7958 Ай бұрын
😂😂😂😂
@DaudLazaro-fy2cj
@DaudLazaro-fy2cj Ай бұрын
Hahhhhaahaaahah we dad weweeee umenishinda tabia
@lilianelisamehe9586
@lilianelisamehe9586 Ай бұрын
Kwahiyo bill na Eva ndo wameamua kutuliza eee😭😭
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 Ай бұрын
Kijana wetu Fure,ipo siku jua litamuwakia sana
@zainabzain3434
@zainabzain3434 Ай бұрын
Mwache aburuzwe matukio yote hajielewi
@user-ce4ho1vv7y
@user-ce4ho1vv7y Ай бұрын
Kipind kile aliparalais awamu hii ni kifooo
@rukiahassan7001
@rukiahassan7001 Ай бұрын
Anna Anna kujifanya kutompenda devis kumbe ndio likuw umeshampenda hadi kumuonea wivu tyr umeenda hadi kununua mawig kisa kamsifia maria..naona hivi ukijichora nalo hilo wigi lako..mana vivian anakusubir
@user-co5nh1rx1t
@user-co5nh1rx1t Ай бұрын
Awe Vivian anajua banaaa
@RizikiZiki
@RizikiZiki Ай бұрын
Sophie kacanganyikiwa na mapenzi ya shemeji😂😂😂
@DinahNish-bm9sr
@DinahNish-bm9sr Ай бұрын
Mroho wa cake nimebaki mdomo wazi😢😢😢
@FurahafutakazaGloria
@FurahafutakazaGloria Ай бұрын
Ila umalaya unamtasa ana mpaka nacoka ninavyo muangaliya iyi sini ya ana inamtiyani hum
@LizybethGodfrey
@LizybethGodfrey Ай бұрын
Adi nimelia bil wew nimwanaume❤❤❤❤
@EsterAidanmadati
@EsterAidanmadati Ай бұрын
Jaman ana aibu naona mm
@user-bf3ij2ie5k
@user-bf3ij2ie5k Ай бұрын
Hahaa kma naona wigi la anah litakavyo vumuliwa kazin na kuanguka hili hahaa
@user-ph9ds9dm7w
@user-ph9ds9dm7w Ай бұрын
Anna kujifanya mgumuu kote kumbe hana lolote keshapenda teari.
@user-qm2kb1ln7p
@user-qm2kb1ln7p Ай бұрын
Kazi nzuri sana. Eva. KWakumuereza ukweri. Bri🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@leahsanzala
@leahsanzala 28 күн бұрын
Asante
@BahatiNjemo-of9lx
@BahatiNjemo-of9lx Ай бұрын
Nimengi ninayo taka kuongea bt acha niseme jua kali hoyeeeeee❤❤❤❤❤❤❤
@linahwandera4638
@linahwandera4638 Ай бұрын
Sasa Anna Mazengo hata miaka yako na akina maria inakataa vitu vingine ni vya aibu Devis alisema ukweli aliposema Wacha kujichanganya nyinyi ni partners si lovers 😅
@edinamathews7717
@edinamathews7717 Ай бұрын
Kwan anti zai unataka mwanao bill akupelekee moto wewe au
@user-st2ig6ds3f
@user-st2ig6ds3f Ай бұрын
Anna crazy love😂😂
@Walden-tb6ic
@Walden-tb6ic Ай бұрын
Napenda sana nyumbani kwa iddy nipamoto
@shidashida6060
@shidashida6060 Ай бұрын
Hii tamthilia imejaa usaliti mtupu 😅😅 Thomas sio kwa jicho hilo😅😅😅
@habibabdallah8378
@habibabdallah8378 Ай бұрын
Usaliti na umalaya tu
@marthapaul3708
@marthapaul3708 Ай бұрын
Jmn ntacheka mimi wigi livutwe alafu lianguke hahaha
@najibunasibu3020
@najibunasibu3020 Ай бұрын
Anna umetisha na hilo wig, Yan ofis mzima watakucheka😂😂😂
@user-tiffanyc
@user-tiffanyc Ай бұрын
Anna bora angebaki na low cut yake😂😂
@user-rn6fw6qf6t
@user-rn6fw6qf6t Ай бұрын
Jamani Ana kudanga tu kuolewa Aaaa 😂😂
@speciosermusika2009
@speciosermusika2009 Ай бұрын
😅😅😅😅😅
@ZakiaMndeme-tj7ru
@ZakiaMndeme-tj7ru Ай бұрын
😅😅😅😅 acha bas
@HalimaKatana-jv5kh
@HalimaKatana-jv5kh Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@EvaGwasma
@EvaGwasma Ай бұрын
😂😂 ana amenunua ilo wigi kwa sababu siku ile maria alisifiwa mbele yake akiwa amesuka nywele kama hizo😂😂😂😂
@fatumamohamed4545
@fatumamohamed4545 Ай бұрын
Ila diva nyie na Thomas wanabamba sana camera man kajua kuwa mwilika kweli kwenye kupiga makofi 😂😂😂😂😂
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 Ай бұрын
Anna wewe nimzuri tu achana na Hilo wingi 😅😅😅😅
@MeryMathias-od5mu
@MeryMathias-od5mu Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Tomas ilo jicho
@user-bf3ij2ie5k
@user-bf3ij2ie5k Ай бұрын
Kuna uwezekano Eva asiachike kwa bill nyie
@gracekibona3931
@gracekibona3931 Ай бұрын
Aunt zai amekuwaje jamani anafoka foka tu
@user-jy5jg4cy8x
@user-jy5jg4cy8x Ай бұрын
Uyu anna anataka nini kwenye maisha yake jamani😮
@siannko7597
@siannko7597 Ай бұрын
Anna Anna anado ndo huyu sasa😂😂
@KhaulahKigundula
@KhaulahKigundula Ай бұрын
🤣🤣🤣
@MwanajemaPharmacy
@MwanajemaPharmacy Ай бұрын
Nyie kwahiyo juma kaukwaa 🙆🏻‍♀️🥹🥹
@NoorynMody
@NoorynMody Ай бұрын
Wangapi tunatamani kujua chumba cha Eid na wake zake kilivo isiwe analala chini wake zake wakashoboka na chumba cha msela😂
@marthamussa10
@marthamussa10 Ай бұрын
Nimecheka kwa sauto
@happynessandrew2032
@happynessandrew2032 Ай бұрын
Itakuwa kweli maana😂😂😂😂
@elivilavenanti7742
@elivilavenanti7742 Ай бұрын
Sku mtoto atakavozaliwa na Madevu kama baba ake Malia utajita
@melaniadismas8949
@melaniadismas8949 Ай бұрын
Alaf huyo maria mbona mimba haikui jaman🙄🤣
@user-oe7ui9td3l
@user-oe7ui9td3l 28 күн бұрын
Jamani sipo mda humu Anna na diba waliishiaje
@DayanaPeter-pd9yf
@DayanaPeter-pd9yf Ай бұрын
Mnakesha huku Guys😂😂😂😂😂🎉🎉🎉haya
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 Ай бұрын
JUA NI KALI HASWAAA
@TatiayMlelwa
@TatiayMlelwa Ай бұрын
anna ata mshipa wa aibuu hana ata kidg😂😂😂
@FLORAABIERO
@FLORAABIERO Ай бұрын
Duuu...kisa Maria alisifiwa ati ana nywele nzuri.. na sisi tukaamua kuagiza na rasta za kuvaaa.. 😂😂😂😂😅😅😅
@AshaAlly-mo6bd
@AshaAlly-mo6bd Ай бұрын
Anna anampenda devis alivyo ona mwenzake kasifiwa akaona na yy akavae wigi ili devis ampende na kumsifia..sasa ana jirahisisha kwa sababu gani
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha Ай бұрын
Yani yupo busy hatari ata cjui km kuna ndoa na diba tena😅
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Ай бұрын
​@@ElizabethWamchakashamsahau Diba huyo😂😂😂
@SarahBitwale-pv8ep
@SarahBitwale-pv8ep Ай бұрын
Anna hajui anataka nini maishani mwake😅
@SarahBitwale-pv8ep
@SarahBitwale-pv8ep Ай бұрын
​@@ElizabethWamchakwa huu uzinzi wa Anna hakuna ndoa😅
@user-ub3xy9qu5q
@user-ub3xy9qu5q Ай бұрын
Eva wangu jmn😢😢😢😢😢Jmn
@aminamputa6695
@aminamputa6695 Ай бұрын
Ila annah saikolojia yake ipo pambee😂😂
@sahraabdallah7242
@sahraabdallah7242 Ай бұрын
Ukimwi wa Eva angeupata Anna😂😂
@aikakangalawe1846
@aikakangalawe1846 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 jmn huna hata huruma
@salmamaulidy6459
@salmamaulidy6459 Ай бұрын
Nyege nginja nginja Zita mpoza sofia
@SeriesTz
@SeriesTz Ай бұрын
😂😂😂😂
@angelathanas5993
@angelathanas5993 Ай бұрын
😂😂😂😂
@user-mc5zb3ox9c
@user-mc5zb3ox9c Ай бұрын
Hahahahaaaa ana umeyakanyanga
@user-cc4ky9zo9z
@user-cc4ky9zo9z Ай бұрын
Lianti zayi linakera balaaa
@HafsaAmiri-tr9yb
@HafsaAmiri-tr9yb Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 Anna nishinda kweli 😂😂😂
@EmmanuelRaphael-vl6lh
@EmmanuelRaphael-vl6lh Ай бұрын
Eva umeupiga mwingi kwel una utu ungekuta ni mwingine kwa professor wote wangeisoma namba na majirani
@NeemaMau
@NeemaMau Ай бұрын
Kuna maria alafu kuna sofia😂😂😂
@user-gu2zg8lr3m
@user-gu2zg8lr3m Ай бұрын
Kazi nzur dj🎉🎉🎉🎉❤❤ 17:19
@user-rs6cs3bs4i
@user-rs6cs3bs4i Ай бұрын
Sophia nomaa kujipeleka kwa mwanaume khaaa😮😂
@rukiahassan7001
@rukiahassan7001 Ай бұрын
Namajititi yake Yale km mapilow
@user-ql2lz2hh8e
@user-ql2lz2hh8e Ай бұрын
Eva na Bill mnaniumiza sana jamani
@winnieseba2257
@winnieseba2257 Ай бұрын
Asante dj
@AnitaNakondo
@AnitaNakondo Ай бұрын
Huyu ana anajielewa kweli naona kama ana kapepo ka ngono
@HanifaMwamu
@HanifaMwamu Ай бұрын
Kbc itakua hayuko sawa kichwan jmn pend penda😂😂
JUMA WA JUAKALI ALIVOMUOMBA EVA GAME UTACHEKA
4:25
ZEGUY Network
Рет қаралды 161 М.
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 29 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 22 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 36 МЛН
New LOVE💔Old Wounds:A Single Father's Journey // Baba Olivia Episode 11
32:25
THE SPY | Mpelelezi | Full Movie
34:25
Smart Pichaz
Рет қаралды 61 М.
MWIZI WA KUKU PART 1A (MZEE MAJUTO) Official Bongo Movie
34:01
Zuuh Ally
Рет қаралды 362 М.
AMEAMUA KUMPENDA MUUZA CHAKULA WAKATI KWAO NI MATAJIRI
16:10
Juakali Leo Alhamis full HD Luka Afumania Femi
1:53
Gift Media
Рет қаралды 11 М.
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 29 МЛН