No video

JUAKALI WAFANYA KUFURU HARUSI YA STANLEY MSUNGU (MADEVU) WATEKA UKUMBI, BOSS WAO LAMATA AONGEA..

  Рет қаралды 121,581

Msasa Media

Msasa Media

Жыл бұрын

Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
#juakali #tanzania #harusiyamadevu #juakaliseries

Пікірлер: 74
@yasintamwinuka7150
@yasintamwinuka7150 2 ай бұрын
Safi sana madev
@beatricehaule5305
@beatricehaule5305 Жыл бұрын
Aunt zai wa Jua kali mzuri huyu nilomquona hapa hapana
@esthermtungakoa8123
@esthermtungakoa8123 Жыл бұрын
Nyie kumbe Aunt Zai anavaaga hvi! Hapendezei Wallah bora aishi kidini vile vile
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 Жыл бұрын
Mm pia sijapenda vaayake ile yeye ni mtu mzima sio wakuvaa vile
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 Жыл бұрын
Tanzania ni nchi nzuri sana linapokuja swala kama hili siwaislam si wakristo wanapokea baraka
@shazceo6853
@shazceo6853 Жыл бұрын
Mama naila mama naila mama naila Aunt zai shangazi zai jmn umeiwa ukumbini umetishaaaa❤️💖❤️💖❤️✨✨✨✨✨🥂🥂🥂🥂🥂..... Ww n hamisaa kwenye shuhuri hiyo😍😍😍😍😍😍
@olicej7837
@olicej7837 Жыл бұрын
Love kapendeza saana ❤️❤️❤️
@nadanasser1020
@nadanasser1020 Жыл бұрын
Kumbe aunt zai Ni mrembo ivyo Masha allah
@rebeccasylivester5359
@rebeccasylivester5359 Жыл бұрын
Congratulations kwa hatia hiyo nzuri mungu awatie nguvu mkapendane na kuvumilian katik kila jambo
@nathaliashayo3289
@nathaliashayo3289 Жыл бұрын
Waoo,nimeipenda hii ni jua Kali Family
@bbss8623
@bbss8623 Жыл бұрын
Waooooi ongera sn Kaka ukawe na furaha kwenye ndoa yk
@salimanguzo5553
@salimanguzo5553 Жыл бұрын
Bibi Anna we hujmbonn, vidio Queen wa harusi anti zai
@omanplay611
@omanplay611 Жыл бұрын
aunt zai ni mrembo sana mashaallah
@boazmwatyeglo2018
@boazmwatyeglo2018 Жыл бұрын
Heee kumbe bibi ana anatembea😮
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 Жыл бұрын
Duuu aunty zai kama mbint Mgongo wazi
@rachaelmbega9691
@rachaelmbega9691 Жыл бұрын
Aunt zay katisha
@maruhesadi7825
@maruhesadi7825 Жыл бұрын
Mimi kunamtu amenikwaza um nimama naira anti zai sikupend alicho kivaa kweli akujisitir
@mariampatrick4025
@mariampatrick4025 Жыл бұрын
Bibi ana Leo katembea
@olicej7837
@olicej7837 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅Kumbe nawe umemuona
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Жыл бұрын
Maajabu harus ya madevu imetenda muujiza
@fatumamkuzi8051
@fatumamkuzi8051 Жыл бұрын
Nisalimieni bi anna ❤️❤️
@fettygideon2153
@fettygideon2153 Жыл бұрын
Malia mlokole madevu ameowaaaa sahz no preshaaaaa
@michaelibrahim3746
@michaelibrahim3746 6 ай бұрын
May God give you long life, may you live in peace
@abdallahussein4833
@abdallahussein4833 Жыл бұрын
Ann Bill Mazengo cjamuona pia
@subiraernest9422
@subiraernest9422 Жыл бұрын
Jaman nataka nimuone mamaake Luka na yeye kumbe bi anna Yuko vzr
@MwitabaYvette
@MwitabaYvette 7 ай бұрын
Kwanini hamukushoneya jeune WEnu mze aliye cheza vizuri bibi ana kazu😂😂😂
@ZephaniaEmanuel-mh6hv
@ZephaniaEmanuel-mh6hv 7 ай бұрын
Kweli mmeamua uyo maria aonekan na rafk ake Vivian
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 Жыл бұрын
Simuoni Maria na Luca😜
@asmaarashid2890
@asmaarashid2890 Жыл бұрын
Walomuona unty zai kama Mimi
@RehemaAthumani-cj2wj
@RehemaAthumani-cj2wj 5 ай бұрын
maria umemuacha jamani
@laurenciazacharia9197
@laurenciazacharia9197 Жыл бұрын
Sherehe ya kawaida lakini ilinoga balaa
@fettygideon2153
@fettygideon2153 Жыл бұрын
Sijamuona love 💕 jamani
@kessysaid5933
@kessysaid5933 Жыл бұрын
Yupo nyuma ya bi harusi
@akxaalsen172
@akxaalsen172 Жыл бұрын
Kumbe auntie zai mdangaji tu me nikajua anajiheshimu eeh🙌🙄
@aishadunia4953
@aishadunia4953 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@pudensianaosward4674
@pudensianaosward4674 Жыл бұрын
Kumbe mtu akivaa hivyo ni mdangaji??
@aminahabdallah
@aminahabdallah Жыл бұрын
@@pudensianaosward4674 mm sio ubaya wa hii nguo sijui kwa nn mnachukia
@mapachawetuamazingflaterna2657
@mapachawetuamazingflaterna2657 Жыл бұрын
@@aminahabdallah hlf wanaochukia ndo utakuwa busy wako na mahijab ila wazinzi balaa
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 Жыл бұрын
Anti zai gauni yako imekushushia heshima mama yangu wewe sio wakuvaa ivyo ona ramata kastilika.usijisaau sana uwo ni usaniitu usikupoteze mama izo nguo zama bint ww ni mtu mzima
@veronicankondo9525
@veronicankondo9525 Жыл бұрын
Mh acheni kuchunguza maisha ya watu mavazi hayatafsiri tabia ya mtu
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 Жыл бұрын
@@veronicankondo9525 unajidanganya stala muimu hatakama ni ww
@mapachawetuamazingflaterna2657
@mapachawetuamazingflaterna2657 Жыл бұрын
@@yasodishonest9792 ila mara nyng nyie mnajifanya mnavaa vizuri ndo mmejaa uzinzi, unafiki n.k
@sofiyabakari9730
@sofiyabakari9730 Жыл бұрын
Yan kaoa na uzee na mvi juu
@salimanguzo5553
@salimanguzo5553 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@asmahassan5661
@asmahassan5661 Жыл бұрын
Ndo alivyopangiw namung
@asmahassan5661
@asmahassan5661 Жыл бұрын
Pengin hakumpat Mt sahih
@sofiyabakari9730
@sofiyabakari9730 Жыл бұрын
@@asmahassan5661 mwengine usimshirikishe mungu
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Жыл бұрын
Sasa ulitakaje? Nyie ndio wale hupangia watu maisha
@zamratallly4191
@zamratallly4191 Жыл бұрын
Anita na eva wamewaka
@fatumazakalia-yx4kg
@fatumazakalia-yx4kg 10 ай бұрын
ila camera man akajifunze tena maana hajui kuchukua kabisa hao maharusi hawaonekan vizuri
@witymagesa1905
@witymagesa1905 Жыл бұрын
Mama luka jmn yuko wp
@ammaralobeidy3830
@ammaralobeidy3830 Жыл бұрын
😅😅Dafu na soda khhaa😁😁
@robinabomola8030
@robinabomola8030 Жыл бұрын
Sasa mbn kama ukimbi mzm wapo jua kali mana ni wengi 😂😂
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Dora naye kiboko hapitwi
@wwrr803
@wwrr803 Жыл бұрын
Kinyanya kumbe chatembea
@abdallahussein4833
@abdallahussein4833 Жыл бұрын
Cjamuona manager Idd na msanii wake kitundu
@mwanahamisijaheka8078
@mwanahamisijaheka8078 Жыл бұрын
kitundu amevaa shat jeupe na miwan kaegesha
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 Жыл бұрын
Kuna mmoja apo uvaaji wake uwa siuelewi kabisa.....sijamtaja mtu
@Userog254
@Userog254 Жыл бұрын
Doro kamziba biharusi
@neemajuliusjuliusmsafir4679
@neemajuliusjuliusmsafir4679 Жыл бұрын
Anti zai anti zai nguo gani hiyo jmn
@ziadakisanga1011
@ziadakisanga1011 Жыл бұрын
Kajitowa mshipa wa fahamu mtu mzm hovyo
@zena6203
@zena6203 Жыл бұрын
Ule msichana aliesema juwakali hawakufika naona kimemshuka jameni uyu anti zai iyo nguo hata aibu hana nyooooo
@faudhiaamerii6692
@faudhiaamerii6692 Жыл бұрын
Ati zai au mwanaheli yule
@sudamkali2657
@sudamkali2657 Жыл бұрын
Yan we ujui ata kuandika
@zena6203
@zena6203 Жыл бұрын
@@sudamkali2657 nifunzeee nakama weewe unajuwa kuandika ushapata tunzo wapi stupiddd
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 Жыл бұрын
@@faudhiaamerii6692 aunty zai
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 Жыл бұрын
@@baimarrajahbuayan6237 si bora ulikua umeelewa a namanisha nn
@sofiyabakari9730
@sofiyabakari9730 Жыл бұрын
Cjamuona maria madam simba sophia mama kitundu
@ziadakisanga1011
@ziadakisanga1011 Жыл бұрын
Cjui wapo wapi
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 Жыл бұрын
@@ziadakisanga1011 walikosa sare ya harusi😂🤣
@nuruzakayo3864
@nuruzakayo3864 Жыл бұрын
Mariaa anaon wivu
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,8 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 3,4 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 14 МЛН
JARIBIO LANGU | New bongo movie 2024 | Full movie | True story ||
1:34:23
MIAKA 5 YA TIFFANY STORE NDANI YA NDOA NA GABO ZIGAMBA
22:09
Tiffany Store
Рет қаралды 71 М.
KATARINA MUNGU ANAKUONA
5:10
Mc Tidoh Ondoa
Рет қаралды 703 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,8 МЛН