Nmetoka TikTok kukuja kusikia huu wimbo mtamu,,much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Madam_Tinna4 ай бұрын
Yani huu wimbo naupenda jamani ❤❤❤ KRISTO aendelee kuwafariji msimu huu mnaopitia Familia ya Zabron Singer's
@NicholasMidalimu-w8l Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@jamesmtana4562 Жыл бұрын
Kawimbo kana upako... TUMEKUJA KUKUTANA NA MUNGU WETU.. BARAKA ZIKO JUBILEE...
@RosebellahNambiro Жыл бұрын
Wow❤ mungu awabariki Sana wana zabron,,, mara yangu ya kwanza kucoment kwa zabron ikiwa na one hour wow am happy ifikakapo 5yrs nikue na likes 1million,,inawezekana🙏🙏🙏 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sophiakarori6156 Жыл бұрын
Nabarikiwa kutoka Saudi Arabia Mungu awafungulie mubaraka kutoka mbinguni 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@ChristineNafula-v3n3 ай бұрын
Imagine ndo naskia huu wimbo for the first time and it's so amazing much love to you guys from Kenya 🇰🇪 ❤️
@ruthmomanyi65493 ай бұрын
hata mimi from tiktok
@ROSEONSONGO-d3q3 ай бұрын
Mungu wangu naomba ukutane na hitaji la moyo wangu pia uweze kuinua wana wako waendelee kueneza injili yako kupitia nyimbo ❤❤❤
@sikplywithNaya3 ай бұрын
Amen
@margaretmasema6 ай бұрын
Wale Tumetoka Tiktok Gonga Like…Much Love From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rosemaryokemwa36634 ай бұрын
Good song indeed
@Mr_Canicious Жыл бұрын
Beautiful song❤🎉 Siku za makambi, time with God n family in christ
@says782 Жыл бұрын
Hii ni Jubilee, Bado tuko kwenye Jubilee, Tubariki kwenye hii Jubilee, Mibaraka iko Jubilee. 🎵🎵Huu wimbo ni 🔥🔥
@teresachepkemoi77794 ай бұрын
Wimbo mzuri sana Na hakuna video,,,mtutolee tafadhali juu naupenda Huu wimbo sana🎉❤️Japo hatutamwona Marco😢poleni sana kwa tukio hilo lakini tunamwomba mungu atutulize sote na kwaya yenu iendelee vizuri
@Wesleyaluoch Жыл бұрын
I am just smiling cant even change...hizo tunes kwanza vile wimbo umepangika tu 😁😁mibaraka tele kwenye jubilee🙏🙏🙏❤❤😍
@ElizabethFinias4 ай бұрын
Me too😊 but sad enough the composer is gone😢
@Wesleyaluoch4 ай бұрын
@@ElizabethFinias 😥😥Mungu awafariji
@susanonyangi-lh6yn4 ай бұрын
😢😢😢
@mercymueni4538 Жыл бұрын
I can't explain my love for zabron singers♥️ May soar higher and higher in Jesus name.
@angelakaluki5216 Жыл бұрын
Zabron nyimbo zuri Mungu awabariki sana
@AnnaMathias-h3sАй бұрын
Nakupendaa sanaa huu wimbo jamaan hasa hiyo sauti ya Marco inanitoa Hadi machozi
@liliannamatei7668 Жыл бұрын
may Almighty God continue uplifting you zabron choir😍😍
@NaomNtabo3 ай бұрын
Blessed Choir indeed ... may almighty bless you as you bless us...much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ReginaRichard-d9v4 ай бұрын
Mpaka nimetamani kuwa miongoni mwa hii familia hakika inapendeza sanaaa nawapenda sanaaaa na mungu azidi kuwainua tuzidi kufurahia uwepo wenu🙏🙏
@nellywambani3367 Жыл бұрын
Much love zabron singers,all Kenyans let's praise the Lord 🙏🙏
@margretmuchuki2495 Жыл бұрын
Amina
@pherusmoruri71144 ай бұрын
Just here because of Marco's part where he sang ❤🙏may you continue resting in peace 🕊️✌️ you fought a good fight and you have finished your race 😢😢💔🙏🙏🙏🙏 from Kenya we loved zabron singers
@jepchumbaprecious57873 ай бұрын
This woman Gloria,her voice gives me goosebumps 🔥
@FaithKel3 ай бұрын
Wimbo mzuri sana pia sauti n nzuri barikiwa 🙏🙏
@WalterMweyo4 ай бұрын
Mwimbo mzuri sana,sauti ,beat ,ujumbe umekamilika kila kitu! Hakika ni jubilee
@stacyonyango48866 ай бұрын
Happy Sabbath day to you all from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love
@AgnessKusekwa3 ай бұрын
Jamn wimbo mzur San huu Yan nimeusikiliz nimekupend San mungu awabarki san❤❤
@MargaretOuma-f2w3 ай бұрын
Napenda huu nyimbo sanaa😊😊inani barki❤
@jacklineayuyo85773 ай бұрын
My love for this song 🥰,I keep on rewinding,,kutana nasi baba🙏 from 🇰🇪Kenya nimebeba mibaraka
@enockfrancis211 Жыл бұрын
MUNGU awabariki sanaaaa kwa utumishi mzuri shambani mwake nyimbo nzuri sanaaaaaa, melody khaliiii
@Eliah-x8q Жыл бұрын
Waoooo beautiful song be blessed zabron singers
@MercyCherotich-p5f4 ай бұрын
Those voices are snatching....♥️🌹Be blessed
@AdiveraJohn-l5oАй бұрын
Amen huu wimbo uko vzur sana
@margaretwanyonyi4 ай бұрын
Hiii nyimbo imenibariki sana Although I miss brother Marco 😭😭😭
@caudenshajebet5463 Жыл бұрын
This song has touched my soul God bless you🔥🔥🔥
@ReginaRichard-d9v4 ай бұрын
Mungu azidi kuwabariki waimbaji hawa na ampe pumziko la milele kaka yetu Marco🙏🙏🙏🙏 nyimbo zenu zimenibariki sana hasa huu wa jubilee ya kukutana na mungu wetu👏👏
@RosebellahNambiro Жыл бұрын
Amen 🙏🙏 jubilee wakenya mpooo likes zenu mhimu
@luciapaul37924 ай бұрын
Sauti nzuriiii, jamani nawapendaa❤❤❤
@skymoversdancecrewkenya323 Жыл бұрын
First to comment. Like my comment from Kenya. 🔥🔥💯💯
@AYKAKONKOCHOIR Жыл бұрын
Nice zabron Mungu awabariki.🙏
@Jepkogeiparty3 ай бұрын
Blessings overflow 🌹🌹🌹
@ChristineNafula-v3n3 ай бұрын
I can't stop listening to this song but l miss marco😢
@brightonjonas693 ай бұрын
Hii ni jubilee, bado tupo kwenye jubilee, tubariki kwenye hii Jubilee, mibaraka ipo jubilee
@magrethmshana65564 ай бұрын
Polni sana kipindi kigunu sana Mungu awape faraja sana mnaostahili
@MwajumaKajolo3 ай бұрын
wimbo mzuri lakn sifaham maana ya jubilee
@marthabenjamin16083 ай бұрын
Yaan sichoki kusikiliza huu wimbo unanibariki mnoo
@lydiaatosa4 ай бұрын
Sauti nzuri sana
@DamarisMustangi4 ай бұрын
Mungu ndiye mfariji ,jipe moyo wana familia wa Zablon, hata mimi naumia saaana 😭😭😭💔 🇰🇪
@mukasalaston5229 Жыл бұрын
Whenever I listen to your songs , I feel God in my amidst. Welldone and thanks for being smart
@lukasmaro4280 Жыл бұрын
Huwa mnanibariki sana akika MUNGU Awazidishie kwa mnavyojitoa kumtkuzaa💐💐💝🙏
@pwoka5208 Жыл бұрын
Amen... Be blessed more ❤ 🙏🏼🕊 nyimbo nzuri..
@johnrichard6877 Жыл бұрын
Mwabheja sana wamkaya🙏🙏🙏
@rodgersowino3737 Жыл бұрын
Am really Blessed by your songs,,,always on top❤❤❤❤❤❤❤
@happymoses2048 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na huu wimbo. Mungu awabariki sana.
@sarahkathunguto64623 ай бұрын
Kip going 🎉🎉 girl
@evelynmutunga Жыл бұрын
Amina Amina
@MajaaSarimbo-we8ko Жыл бұрын
Amazing 😍 Kenya tumeipokea wejafhet umeuwa
@JohnThadayo Жыл бұрын
Much love za Ron singers,our Be Blessed you zabron singers
@LoiyanceVinshy4 ай бұрын
I feel blessed guys,am obsessed with this song,sad that their soloist is nomore😢poleni sana ndugu zangu,kenya twawapenda
@EMMAHOMONDI-lu7sw3 ай бұрын
I love you Zabron singers 🇰🇪🇰🇪♥️
@charlesshonga5086 Жыл бұрын
Much love from South Africa. Waiting for English subtitles please....
@Greenscreener-u3w3 ай бұрын
Wimbo mzuri sana, mungu atukuzwe siku zote❤
@nrakirutimanaevariste6166 Жыл бұрын
Ne blessed. Much love Zabron singers
@oscarzoscar14-kd4gt Жыл бұрын
hakika Mungu yupo ndani yenu hakika sifa utukufu na heshima kwake🙏
@MaureenAndaye3 ай бұрын
Kuamini ulienda ni vigumu saaaana ila ni Sawa tu😢😢
@dicksonchesire1014 Жыл бұрын
Great chemistry...piga like
@susanonyangi-lh6yn4 ай бұрын
Pole sana Jubilee jubilee jubilee jubilee
@MercyNjeri-t3g4 ай бұрын
Oh my God this is so nice 💯💯💯🇰🇪
@papaajohnny4074 ай бұрын
Wimbo unabariki sana
@sieracharli9586 Жыл бұрын
Jamani Mungu awabariki natamani kuimba na mimi
@gilbertcheruiyot76044 ай бұрын
Touching songs and well plan songs will always remember you Marco rest in peace
@PhebiElias-rw9ns4 ай бұрын
Be blessed zabron singers napenda nyimbo zenuuu❤❤
@shadrackkstockmann7206 Жыл бұрын
You are always my favorite, your songs have messages which are so deep. Nimependa hii choir Hadi huku Kenya naitwa Zabron 😂. But am happy about it ❤
@joycechepkirui8209 Жыл бұрын
My favourite singers ,zabron singers may God continue uplifting you.
@perisnyaga.youtube75224 ай бұрын
@emmanuelzabron9630 tafadhali tunaomba ututengezee video ya hio wimbo . Mob 💕 From kenya
@paulosmbena2834 Жыл бұрын
Ahsante kwa kazi nzuri , mungu awabariki.
@TheRacetoChosen3 ай бұрын
Pumziko heri. Baraka!!!!
@AntonioVera-lh6jj Жыл бұрын
Hermosa canción, Dios los bendiga siempre, saludos desde Paraguay 😊
@puritymunyiva31483 ай бұрын
Great song 🎉🎉🎉🎉❤❤
@Stella-hl6er11 ай бұрын
❤❤❤jaman nawapenda san nyimbo zeni uwang zinanibalik
@jolicare2059 Жыл бұрын
So wonderful piece ❤ Much love from 🇺🇬 uganda
@YunisJoramu Жыл бұрын
Mbarikiwe sanaaaaa❤❤
@naomikemunto5460 Жыл бұрын
Absolutely wonderful ❤ 😊 👏👏👏
@winfredmwaniki219 Жыл бұрын
I really love this song. Be blessed.
@elkanahrobahАй бұрын
Stanzas know man will keep your presence man God, you know your people.
@JaphetNaftary2 ай бұрын
Zabron nawapenda xana mufike mbali
@TinaMwangila Жыл бұрын
Nyimbo nzur 🎉❤
@OliverFedrick4 ай бұрын
Wimbo mzuri sana poleni sana kwa kuondokewa na mpendwa wetu😢