Aaaah #mwenye mpekuu kumbe ulkua jahili wakati wa ujana wako,,😆😆kizaazii hicho Cha babake ulicho mpa Alikizanda kweli amfika kwaoo
@jasminmohamednasour27543 жыл бұрын
Nishaumiss huwoo msambwijaa😋😋😋
@hajjism4 жыл бұрын
Yaani Jufe Film muko juu, hongereni. Sasa ni wakati wa kufikia kiwango cha juu zaidi, advance. Najua mutawaza hilo.
@sumaiyaaboud94654 жыл бұрын
Yaani good
@jasminmohamednasour27543 жыл бұрын
Kilaaa nikiangaliaa hii move simalizii hamu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zamzamsuleiman682410 ай бұрын
Hii ni elimu tosha. Hata kama kiswahili ni lugha ya taifa lakini kingereza nacho muhimu kufundishwa vilivyo maskulini...
@idarousomar14 жыл бұрын
Nikisikia lafudhi ya kwetu hujisikia faraja Wallahi
@hajjmohd36024 жыл бұрын
Namie nafurahia kwel
@idarousomar14 жыл бұрын
@Rukaiya Rukaiya Hahahaha si unajua kwetu
@fadhilisheckimweri25124 жыл бұрын
Nshaumis nsewe mieeee,kusikiaaa
@zulfahhussein5054 жыл бұрын
Eti huyu huyu huyuuuuuuuuuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂mwanivujaa mbavu zangu
@fahadally55334 жыл бұрын
Huyu huyu huyuuuuuu nimecheka kwa sauti🤣
@abdulllhamid85034 жыл бұрын
🤣🤣 aaa kizaandaa kiswabi upo juuuu unankosha mzeee
@alibakar37074 жыл бұрын
Hahahahaaaaaa😂😂😂😂 mwinyi asema hawaliwitena awooo kasa .Kama umeisikia nigee like hapo👍👇
@issakhalfan74464 жыл бұрын
hahahahahah naomba jina la kiswabi alirejeee mwenyewe tu sio kwa kiarabu iko
@macheteboy90244 жыл бұрын
nakubali kazi big up dinho hujawahi kuniangusha
@nezryallyan63444 жыл бұрын
Mna mnanitoa stress wallah kwa kucheka hahaaaaa
@memesnamatukiomuhimu84534 жыл бұрын
😛😛😛😛
@omarjuma83014 жыл бұрын
Hemu uyo mvyeleweeee hahahah dogo bana noma!!!!
@dullerally20154 жыл бұрын
Hahahahahaha hii kali kwa kweli
@aishasaid57024 жыл бұрын
Awa watu ni shida kweli
@ummunaa41314 жыл бұрын
Mnafurahisha hatar hongereni sana
@ramilialiy37254 жыл бұрын
Jaman mwenye no ya mshezume nimempenda bure
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 njoo uchukuwe
@shafiikhamis23363 жыл бұрын
Haki ya Mungu #mzeemwinyi unaniacha hoi....eti hakuna #mdono🤣🤣🤣
@awadhtevez29184 жыл бұрын
This is great man awasome nimeamka na stress ila dahh! Thanks to mzee Mwinyi apo mzee Shoka naona km nnaudugu na wewe Mzee Mwinyi
@sherrybuda92483 жыл бұрын
Am twelve miaka six o'clock😆😆😆😆
@ahlamverynice.36054 жыл бұрын
😂😂😂hehehe jamani nimechekaa mpaka bac
@abdulhamidomar86384 жыл бұрын
Muhogo ndizi coconut MSAMBWIJA 😂😂😂😂
@ayshaalsahafi57143 жыл бұрын
Haaaaa kazi ipo 😜
@khaithamrubea51094 жыл бұрын
Mwenye dictionarie aniazime nitafsir kizungu cha dogo naona cjakielewa
@dr.ajeyfemed58954 жыл бұрын
Kirusi
@twahatktekele92274 жыл бұрын
Lugha Gongana Nshezume na Babaye😁😁😁
@Balahau_og Жыл бұрын
"Hebu iyo ya mvyelewe 🗣" 🤣
@hudaaalhussein38414 жыл бұрын
Huyo mke wa kizungu ulkua ukizungumzae nae vp mpk akapata na mimba
@ayshaalsahafi57143 жыл бұрын
Alimwbia I love you nawe,
@mohamedsuleiman72153 жыл бұрын
love is chemistry...when you love someone you body talks everything.....mi naishi na wazungu nina rafiki ana mwanamke wa kizungu...hajui hata kiengereza"jamuhuri ya watu wa cheki".
@ysherahmad6524 жыл бұрын
Hhhhhh jamani nihoi kwa kucheka😝😝😝
@leylaaliy98524 жыл бұрын
Hhhh me hicho kizungu tu kimenikosha... hawa watu ni shidaaaa wallah...hhhh
@akronyall18554 жыл бұрын
Leyla Aliy it easy to speak
@binthysaid27644 жыл бұрын
Wow....kizungu chanivunja mbavu hehehe🤣🤣🤣
@ramillywood9094 жыл бұрын
Ngwali kanda
@biramsakh92124 жыл бұрын
Ikiwa una stress bas apa utacheka moyo utakua na Furaha 😂😂😂😂😂😂😂😂