If you would like to watch this video in English press the link ➡️kzbin.info/www/bejne/g2WQlqJ6opmkZ8U
@angelchisengo45674 жыл бұрын
Kolona
@muharramkibundugo52754 жыл бұрын
Very nice
@muhemezimshumbusi88384 жыл бұрын
Masha Allah
@mwanahawasaidi65414 жыл бұрын
@@angelchisengo4567 , v
@eddondonde78664 жыл бұрын
O
@devothadonaldsimbi34994 жыл бұрын
Shukrani nitafanya vyote naamini Ni tamu tamu Sana ahsante
@marionriziki16504 жыл бұрын
Ur a blessed lady tnx so much for ua teaches aky I'll hve to try it $ stop buying juice 4m kiosk may Allah shower u with more blessings 💓💞💖 u big $ wish to see u for more learning
@salimmealii7948 Жыл бұрын
Asante da kwakutuonyesha utengenezaji wajuic
@mariamothman74044 жыл бұрын
Umetulia mama jiko unalijua we Ruki ni fundi banae sifa zako chukua
@rahmasalum97662 жыл бұрын
Mashallah lakini mimi nikifanya Sitotiya arki
@mariamothman74044 жыл бұрын
yaan mwalimu wangu niko makin sanaa 👌👏👏🙇
@urokipatson5434 жыл бұрын
mambo
@mariamothman74044 жыл бұрын
@@urokipatson543 powa sana
@peninacharles46812 жыл бұрын
Hongeraa sana, unaelekeza vizuri hakika nakuelewa
@ruqfredy21314 жыл бұрын
Najifunza mengi sana ubarikiwe kpenz
@zuuhrashid93802 жыл бұрын
Shukran Sweetheart nimejifunza asante
@lilianjulius9174 жыл бұрын
Maziwa ni mtindi au fresh
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Fresh
@alicelukindo10753 жыл бұрын
Hongera uko vizuri sana
@shaffymaro59043 жыл бұрын
Juice nzuri sana dadangu hongera
@josephinemollel14992 жыл бұрын
Uko vizuri kwa juisi
@Maya-ls6fo Жыл бұрын
Ni maziwa mgando au fresh
@leahsaid67544 жыл бұрын
Waaahhh nimependa zote shukran Habibty
@jembadullahomieri70373 жыл бұрын
Shukran dada kwa elimu nzuri
@sofiamohamedi39743 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo unapatikanaje
@csongole57994 жыл бұрын
Dada maziwa ni mgando au fresh
@naomimmarie33554 жыл бұрын
Nami natamani kujuwa
@happynessmolla17814 жыл бұрын
Hadi mate yamenitoka hongera sana asante sana
@yasnaghump57632 жыл бұрын
Je nzur kwa kuuza
@joycemujungu43152 жыл бұрын
Hongera sana
@hildawasike79264 жыл бұрын
Lovely ,nitazijaribu zote
@JohnsoniByamukama-zg7zb Жыл бұрын
Nauliza blends mashene inapatikanaje ?
@muuwowambua13104 жыл бұрын
Napenda mandalizi yako sana......umenifunza mengi
@eshermtoro66813 жыл бұрын
Mashallah mashallah nimepata somo zuri sana
@lesthermulagha66873 жыл бұрын
Asante sana Rafiki. Je kwa biashara unaouzije glass hilo moja
@salomejonathan39462 жыл бұрын
Elfu mbili glass moja
@saidibaya99754 жыл бұрын
Mashaallah ongera dda anguu kwamfunzo
@tifaaabdul76584 жыл бұрын
Nimependa sana asante kwa mafunzo
@christerkilamlilo70134 жыл бұрын
Sauti yako nzuri pia Dada
@mamuhamis99332 жыл бұрын
Hizo juice za maziwa azifai kuwekwa kwenye friji
@TusaKiblaga-vp9jg6 ай бұрын
Asante mpenzi
@saudajuma80454 жыл бұрын
Masha Allah.. Shukran kwa mafunzo dear
@xabibacabdirashid11104 жыл бұрын
First comment....Asante dadangu.yummy
@Christinekaziyaningumbau10 ай бұрын
Nimependa sana
@gracekomba5018 Жыл бұрын
Axant nimejifunza dada
@MariamuShabani-g7h11 ай бұрын
Uko vizuri
@MariamuShabani-g7h11 ай бұрын
Nataka nije nijifunze dada lukia
@MariamuShabani-g7h11 ай бұрын
Naomba nikubali mei mdogo ako maryam
@FeiruzChoka4 жыл бұрын
Thanks dia, just learnt a new terminology ,Monday am in Marikiti asking for 'kitango pepeta' 😂😂😂 Wakenya Kiswahili yetu ilitoka wapi lakini?🤔
@kulthumsalim70704 жыл бұрын
😂😅😅😅
@gakiikinoti45143 жыл бұрын
🤣🤣🤣ulipata io kitango pepeta
@FeiruzChoka3 жыл бұрын
@@gakiikinoti4514 eee lakini nilisumbua watu soko sana na io jina 😂😂😂
@digitalcloudcyber1031 Жыл бұрын
we ni wa huku kanairo au ju huku hii kiswahili imekua ngumu
@abdalahmusa15742 жыл бұрын
Io blender ndgo inapatikana wap apa Tanzania ?
@neemamayuma-lp2sz Жыл бұрын
hayo maziwa naweza tumia maziwa fresh??
@Zuhuranadadoita11 ай бұрын
Shukrani saaana
@juliathuo97922 жыл бұрын
hi rukia kitchen blender kama hio na Juicer naweza pata wapi na bei ya pesa ngapi?
@cillyajoachimchuwa74322 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA JUICE NZURI NA PIA NIMEJIFUNZA .HONGERA SANA😀🥰🥰
@sharifamisomba4984 жыл бұрын
Asante saana bi Rukia Darasa zuri
@mamainosanga94172 жыл бұрын
Asante Dada kwa juice,ukwaju unachangaya na nini
@zakiamaulid34864 жыл бұрын
Hakika nimejifunza kitu kizur sana toka kwako, maana haya mambo ya juice n magumu sana
@memoryserijo96495 ай бұрын
Mazwa ni fresh au mgando
@RukiaLaltia4 ай бұрын
Kawaida
@lizyguye36142 жыл бұрын
Maziwa yaliyochemshwa au mabichi
@vailethshayo-nj3ge Жыл бұрын
Ni maziwa fresh au mgando?
@stellahmwanjisi70762 жыл бұрын
Cream Ya vanilla zinauzwa Wapi?
@anifajuma21394 жыл бұрын
Maziwa yanakua fresh au mgando
@esthersariah49643 жыл бұрын
Asante dada
@reinsonkibisu20564 жыл бұрын
I love your video Asante sana
@dhulfaabbasi19174 жыл бұрын
Asante Sana mummy Allah bless you my love nimeipenda uko vzur
@vailethnehemia5292 Жыл бұрын
Tamu sana Mom
@Tv-dl4qj3 жыл бұрын
Asante sana nakupenda😘
@giftfrank46564 жыл бұрын
Nzurii jmn nimezipenda
@TinaMollel-c9m2 ай бұрын
Je naweza kutumia maziwa ya ngombe kawaida
@zuhurasaid32673 жыл бұрын
Sana tuh tumependa
@sarafinalaxford75094 жыл бұрын
Sharbet kwa jina lingine
@mariammichael50533 жыл бұрын
asante nimejifunza
@octavianjerry79582 жыл бұрын
Safiii sana ✊🏿✊🏿
@beendhaaf62143 жыл бұрын
Masha Allah
@harunajibril9526 Жыл бұрын
Wow l like
@queensanga8779 Жыл бұрын
Je nikitaka kutumia maziwa yangombe nliotoka kuyakamua inawezekana?
@georgekibakaya28032 жыл бұрын
Thanks!
@magdalenenzili97824 жыл бұрын
Delicious recipe
@verrynjawike56754 жыл бұрын
Nimekupenda love
@michalokonda92433 жыл бұрын
What is mabungo kwa lugha ya kimombo
@milkaprotas23834 жыл бұрын
Maziwa ni fresh au
@meckredakasuku9514 жыл бұрын
Tunatumia vanilla Aina gan
@saidibaya99754 жыл бұрын
Nakiswahili faswaha allah akulipe mazur dunia na akhera
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Ameen yarabi inshallah 🙏 Shukran
@memoriesdapressious78064 жыл бұрын
Dada nisaidie phone no yako plz
@joyceslameck13684 жыл бұрын
Thanks dia
@alipqasse99674 жыл бұрын
Asante da rukia unamafunzo mazuri allah akupe umri♥️♥️😍
@timafujo36414 жыл бұрын
Ya ukwaju
@glorygodfrey81664 жыл бұрын
And thank you for the video
@hasinarashid27684 жыл бұрын
Naenda sanaa upishi wako rukia
@ZainabuMbaga-vv2ws4 ай бұрын
Nmeenda mnooo
@gracek76043 жыл бұрын
Wonderful, how do l get that blender?thank u,
@ummufaatima59124 жыл бұрын
mashaAllah sis Rukia
@carolemily16873 жыл бұрын
Hi,could u plz explain mabungo in English.
@fibiseleman7692 жыл бұрын
Maziwa yawe yamechemshwa ?
@shushu81053 жыл бұрын
Mansha Allah
@carolemily16873 жыл бұрын
Wapi nitapata Blender kama hii?
@candymwambeleko39312 жыл бұрын
aisee umenifanya nifikili kuhusu biasha balikuwa sana ,
@isaackamando84844 жыл бұрын
Somo zuri naomba kuuliza, maziwa mazuri ni yapi? Ya dukani ambayo yamekua processed kiwandani au ata ya ng'ombe ya kawaida??? Na ukiwa unaweka vannila kwenye juice unaweka mifuniko mingap ya vannila kwenye juice mf juice ya parachichi??
@neyjackson16293 жыл бұрын
Kama ya kuuza naweza yumia maji badala ya maziwa da Rikia
@khadijagabriel95534 жыл бұрын
shukran sana kwa somo😍
@tishakoku31782 жыл бұрын
Asante
@ruweidashali12644 жыл бұрын
l like your video sister Allah bless you
@PriscahJane4 жыл бұрын
thanks so much Rukia
@shikuwamike58424 жыл бұрын
Wow i like it this, mtu anaeza kukuona aje ama huwa unafuza mtu nikam aki🙈🙈🙈
@mamakerayanmurisho20974 жыл бұрын
Mashallah shukran habibthy
@latifahjamal29994 жыл бұрын
Masha Allah..
@marychanyika22842 жыл бұрын
Mabungo ni nini? Na naweza kupata wapi?
@AnyangolilianKefa9 ай бұрын
Kwa wale ambao hawatumii maziwa wanatumia nini?
@prettyzash72764 жыл бұрын
You're a blessing sweetheart 😍
@witnessminja24054 жыл бұрын
Sharbet mbn sijui
@stanleygeoffrey82644 жыл бұрын
Samahani dada ivi izo juice unaweza kuzitengenezea ice cream yani baada ya kuwa juice ukazigandisha kama ice cream?
@matronanzogela63464 жыл бұрын
Nzuri sana
@halimaismail95354 жыл бұрын
Ur so talented
@annnjeri71204 жыл бұрын
Thank you for this video
@gracecharles37503 жыл бұрын
Kwann my juice ya tende umechemsha maziwa wakat nyingine haujachemsha