Jifunze kuandaa 'milkshake' ya tende

  Рет қаралды 40,709

Jiko Point

Jiko Point

Күн бұрын

#Tendemilkshake #milkshakeyatende #datesmilkshake
...
Kwa habari zaidi kuhusu :-
Soma: jikopoint.co.tz/
Twitter: / jikopoint
Facebook: / jikopoint
Iwapo unataka kutushirikisha kwenye show yetu wasiliana nasi kupitia +255 677 088 088 au
info@jikopoint.co.tz

Пікірлер: 19
@Amourharoub-rf1tc
@Amourharoub-rf1tc 7 ай бұрын
Dah safi sana brooi
@DottoSalum-hw8zx
@DottoSalum-hw8zx 2 ай бұрын
Je ukiongezea na karanga mbichi inafaa?
@SteveAvelinBuretter
@SteveAvelinBuretter 4 ай бұрын
Asante Kwa soma zuri
@victorialuvanda9222
@victorialuvanda9222 7 ай бұрын
Unaweza kutumia yoghurt kama huna maziwa fresh..?
@JikoPoint
@JikoPoint 6 ай бұрын
Maziwa fresh yatakusaidia kupata matokeo mazuri zaidi ya Yogurt
@EmilyKisamo
@EmilyKisamo Жыл бұрын
Ni maziwa fresh yalio chemshwa au ??
@JikoPoint
@JikoPoint Жыл бұрын
Habari, ndio hakikisha maziwa yamechemshwa na kupoa kabla ya kusaga pamoja na tende.
@IsabellaMpagama
@IsabellaMpagama 10 ай бұрын
@allysaid5800
@allysaid5800 6 ай бұрын
Kwani lazima kuchemsha maziwa
@zenaibrahim2373
@zenaibrahim2373 6 ай бұрын
Nilazima ya chemshwe
@anciladelay6316
@anciladelay6316 9 ай бұрын
Ahsante napenda mno juice yakuchujwa
@JikoPoint
@JikoPoint 9 ай бұрын
Hongera sana, unaweza pia kujaribu kutumia juisi isiyochujwa kwani nyuzi nyuzi zinazopatikana katika juisi hizo huwa na virutubisho vingi.
@fatmahemed2189
@fatmahemed2189 Жыл бұрын
Asante kwasomo
@JikoPoint
@JikoPoint Жыл бұрын
Asante kwa kutazama.
@liliantemba1181
@liliantemba1181 Ай бұрын
kumbe huwek sukar
@JikoPoint
@JikoPoint 29 күн бұрын
Ndiyo ndiyo Lilian. Kuna aina nyingi na inategemea unapenda sukari ama la. Unaweza kutazama video nyingine kuhusu milkshake. Subscribe channel yetu ya KZbin kama bado hujasubscribe ili usipitwe au soma Jiko Point tovuti kupitia www.jikopoint.co.tz. Karibu sana na kila la kheri kwenye upishi wako.
@lidiashayo8293
@lidiashayo8293 4 ай бұрын
Ulichokosea nikimenya tende bila kuvaa kitu mkonon zile gloves lain, lazima uvae kiafya
@Switielie
@Switielie Ай бұрын
Ni gloves za aina gani zinafaa hapo,NAMI nafanya hiyo
@sophykivuyo
@sophykivuyo Ай бұрын
Hiyo hauzi ni yake anakunywaa yeye
10 Easy Milkshake Recipe - How to Make Milkshake at Home
7:31
Hands Touch
Рет қаралды 20 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 58 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 16 МЛН
jinsi ya kutengeneza tende milkshake dates milkshake
3:02
Asha Yummy
Рет қаралды 26 М.
Jinsi ya kutengeneza kinywaji laini cha tende/smoothie
5:56
Sade dimples
Рет қаралды 11 М.
JINSI YA KUTENGENEZA JUICE YA TENDE  NA MAZIWA | JUICE YA TENDE.
1:19
Vitu 10 Vinavyoharibu Blenda Kirahisi
9:23
Cities & Flavors
Рет қаралды 11 М.
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН