JULIO: "MUNASHANGILIA TANZANIA TUKIFANYA VIBAYA" /HATUJAANZA LEO KUWASHINDWA ETHIOPIA

  Рет қаралды 11,064

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@filyakusimsigwa5006
@filyakusimsigwa5006 4 ай бұрын
Acheni kutafuta visa babu vya utetezi kila kukicha sababu kibao tangu enzi za vilabu vya bakuli taifa stars haifanyi vizuri mpaka leo
@epimackkalungwizi8339
@epimackkalungwizi8339 4 ай бұрын
shida julio hua ana bwabwaja sana,, ile serengeti boys ya brazil ubingwa ilitoka wapi?
@simeonmazigo5918
@simeonmazigo5918 4 ай бұрын
Tatizo ni kuwa timu ndogo ikiwa na golikipa mzuri sana mzawa itanyang'anywa na timu kubwa halafu wanaenda kumuweka benchi😅😅😅
@Sanjey-vp1fm
@Sanjey-vp1fm 4 ай бұрын
Kwa gem ya juzi tatizo kipa au?
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 4 ай бұрын
Wavunje bench la ufundi kwanini waweke mabeki asilimia 70
@abdallahchiolelo2684
@abdallahchiolelo2684 4 ай бұрын
Julio tunamuheshimu ila kwa kiwango cha taifa stars atuwezi kumwelewa walifeli kwenye kuita timu na walifeli kwenye kupangilia kikosi akubali walikosea wajipange upya kwa kubadilisha kikosi wasione aibu
@revocatusmalimi4525
@revocatusmalimi4525 4 ай бұрын
Tuache siasa kwenye michezo kung'ang'nia suala la uzawa.Mashabiki tunahitaji furaha zaidi.Ziachwe kilabu zishindabe kuleta wachezaji bora toka hata nje ya nchi.Julio aache kuegemea uzawa.Wazawa wafanye juhudi kama shabalala mbona haachwi kucheza.
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 4 ай бұрын
Hivi hao makipa mnaongelea wa Yanga na Simba na Azam mbona team ziko 16 ukitoa 3, zinabakia 13 Zina wachezaji wazawa na wanacheza. Labda ukitoa labda na Coast nao Wana Kipa wa kigeni.. kwahiyo hao wengine wanacheza match zote kwanini msiwape hapo nafasi team ya Taifa na wanacheza ligi kuu. Kwanini mnaangalia makipa wa Yanga, Simba na Azam?
@petermwasulama829
@petermwasulama829 4 ай бұрын
Makocha wajiamini uzoefu katika timu ni muhimu said Simba Mzee lakini timu ya taifa Burundi nahodha
@DivinePromise-sv3qq
@DivinePromise-sv3qq 4 ай бұрын
Julio tunakuheshimu acha siasa mpira ni mchezo wa wazi hamna uwezo wa kuwachezesha wachezaji waliopo
@petermwasulama829
@petermwasulama829 4 ай бұрын
Kucheza golikipa wa ndani wakiwepo wa kigeni inawezekana kutegemea uwezo rejea Ivo mapunda, j.kaseja na Aishi manula
@dahelahmad6331
@dahelahmad6331 4 ай бұрын
Mpira wa Sasa sio mchezo ni biashara.
@petermwasulama829
@petermwasulama829 4 ай бұрын
Ukweli kubadili mara kwa mara ni chanzo Cha matokeo mabaya niwashauri makocha waheshimu kanuni za mpira
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 4 ай бұрын
Julio
@boniphacenyuma3537
@boniphacenyuma3537 4 ай бұрын
Nyie waongo, Timu zenye golikipa wageni ni ngapi?
@PhilipoMwasha
@PhilipoMwasha 2 ай бұрын
Achiane nafasi ya kuongea vinginevyo mnaonekana mnapiga kelele
@bakomungia9809
@bakomungia9809 4 ай бұрын
Ww mchambuzi washabiki wa gana unasema wamewapigia makofi wachezaji baada ya kufungwa goli dkk ya mwisho na wale mashabiki waliovamia uwanja na kurusha makopo nao niwapi
@paulmndeme
@paulmndeme 4 ай бұрын
GOLIPA HAMISI KINYE MNAMJUA?
@msafirisaidierie
@msafirisaidierie 4 ай бұрын
shida tatizi tff wqnashiswa kutengeneza timi vijana miaka 16 paka 20 kuleta ushidani timu taifa wao wanagalua tumbo zao
@Kabeya410
@Kabeya410 4 ай бұрын
Tatizo siyo hao under 16 na under 20 walichukua mpaka kombe brazil nikuulize wako wapi tatizo hatuwalei watoto hao TFF WAPO KWA KULA MASLAHI YAO
@SamweliMango
@SamweliMango 4 ай бұрын
Timu ya taifa weken mfumo endelevu....msiwaite wachezaj wa vilabu
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 4 ай бұрын
Julio tumpe yanga
@SamweliMango
@SamweliMango 4 ай бұрын
Julio tapeli tu
@ndunguruwangazi2334
@ndunguruwangazi2334 4 ай бұрын
Hakun cha kupean moyo.. Cc tunatak kufuZu
@mohsenaljahwary5730
@mohsenaljahwary5730 4 ай бұрын
We Julio MOO hajaweka B7 ni muongo.
@Sanjey-vp1fm
@Sanjey-vp1fm 4 ай бұрын
Kaeka ngapi?
@MussaAlly-t6m
@MussaAlly-t6m 4 ай бұрын
Awa ndio warimu wapuuzi
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 4 ай бұрын
Sio kweli kwani Pickford anacheza katika top of team hapa uingereza?
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 4 ай бұрын
Unaakili wewe sasa utafananisha hao world class players na Hawa watz Pickford yuko Everton ila hadhi ya Everton huwezi ifananisha na hizo timu kubwa za bongo we angalia Pickford yumo katika makipa 5 wanaolipwa pesa nyingi epl Kuna watu wako hizohizo timu kubwa na kawapita kipato na huezi kua na thamani kubwa ka we Galasa ivo mfano wako wakumtolea Jordan Pickford kisa achezei timu kubwa za premier si sahihi
@deusdeditkullwah5586
@deusdeditkullwah5586 4 ай бұрын
Ninyi mnataka kuharibu mpira hakuna mfadhori asiyetaka mafanikio usitegemee kukuona Mo au GSM kutoa pesa kama timu hazishindi watajiondoa
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 4 ай бұрын
Utafikaje robo na nusu na kina msheli na manula.leo yanga diara kazi yake uioni?
@msafirisaidierie
@msafirisaidierie 4 ай бұрын
shida mpira tanzania unaedesha siasa ndio maana atuwezi kufuzu kwanini bungu itunge seria rai oacha kuna wachezaji nje tanzania wacheza wanao cheza ligi ndani taifa lao awechezi kwanini bunge letu tunge seria wezetu kenya seria ipo ndio masna maedeleo makubwa science technology
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 4 ай бұрын
Wachezaji wa Tanzania wanatakiwa wawape challenge wachezaji wa kigeni
@msafirisaidierie
@msafirisaidierie 4 ай бұрын
bunge lipitishe seria rai pacha kama mataifa ualio endekeo vmbika hivyo atuwezi chochote kimataifa maana wezetu rai pacha maedelo taifa inje😊
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 4 ай бұрын
Usituletee mataifa ya watu washenz ukijiskia kubadili uraia badili peke yako
@josephkalwani
@josephkalwani 4 ай бұрын
Kwani kipindi wanacheza hao magori kipa walikua hawafungwi????
@kinyanyaonline3658
@kinyanyaonline3658 4 ай бұрын
Hii timu ya taifa nikama timu ya simba tu taifa ilipo shinda zambia walifurahi sahii imesare kwao lawama kwa wachezaji wa inje wapunguzwe 😂
@Sanjey-vp1fm
@Sanjey-vp1fm 4 ай бұрын
Acha ushabiki wa kijinga, Tz mashabiki wa timu zote wanaipenda timu ikishinda tu lkn ikidroo au kufungwa ni kelele tu.
@ErickMaximillian
@ErickMaximillian 4 ай бұрын
Midomo mingi haya maswahili.fukuza haya
@batihubadiy3106
@batihubadiy3106 4 ай бұрын
Kaka MBONA Kama unatuliashaa Matongo Pori ?Ghana wamerushiwaa Chupa uachanjan n wamevuruaaa na baadh y miundo mbinu
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 4 ай бұрын
Jana GHANA walikuwa wanazomewa unasema kupigiwa makofi
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 4 ай бұрын
Kocha huwez bhn wale walikuwa wanafunguka kbsa
@morningstarartproduction8436
@morningstarartproduction8436 4 ай бұрын
𝐘𝐚𝐚𝐧 𝐦𝐧𝐚𝐭𝐚𝐤𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐯𝐢𝐥𝐚𝐛𝐮 𝐯𝐲𝐨𝐭𝐞 𝐯𝐲𝐚 𝐭𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐯𝐢𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐠𝐨𝐥𝐢𝐤𝐢𝐩𝐚 𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐠𝐞𝐧𝐢?? 𝐀𝐦𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐥𝐞𝐧𝐠𝐚 𝐭𝐮 𝐲𝐚𝐧𝐠𝐚 ,𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐧𝐚 𝐚𝐳𝐚𝐦
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 4 ай бұрын
Nashangaa kwani lzm kipa atokee yanga au simba
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
CHEKA UONGEZE AFYA-VUNJA MBAVU, AFYA COMEDY
16:36
AFYA COMEDY
Рет қаралды 825 М.
NDARO KAMCHOMEA STEVE TENA AYAAA
12:27
Steve Mweusi
Рет қаралды 533 М.
UTABIRI HUU ALIO UTABIRI MWALIMU NYERERE UMETIMIA KWA ASILIMIA 100%..?
9:13
NIMECHEZWA,MACHAWA,KAUSHA DAMU,WATOTO WA 2000
34:16
Crown Media
Рет қаралды 7 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19