Julius Malema Kiongozi Wa Upinzani Anaewatoa Jasho Afrika Kusini, Ruto Wa Kenya Anaujua Moto Wake.

  Рет қаралды 7,479

BONGO FASTA

BONGO FASTA

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 5 ай бұрын
Julius malema deserved to be the president of South Africa
@papynyota3751
@papynyota3751 5 ай бұрын
Story ahijaiiii
@WazainaKigomaboy
@WazainaKigomaboy 5 ай бұрын
Nimeiyomba tangu nipo bongo
@tumainiamani111
@tumainiamani111 5 ай бұрын
Anafa sana kuwa rais wa nchi hiyo, kwanini nasema anafa sana ''nikwasababu kiongozi mzuri niyule anaye jishusha kwa watu anawo waongoza kwani yeye pekeyake hajui kilakitu bali wanawo mzunguka pia wanaweza kumpa ushauri mzuri zaidi pia, kuwa na msimamo kwa kile unacho kiamini, hiko ndio kinacho mtofautisha yeye pamoja na viongozi wengine wa nchi hiyo'' kingine nikwamba Waafrika tunabidi tujiulize kuwa mbona tukipata viongozi wazuri wanawoweka maslayi ya wananchi mbele huwa wanakaa muda mfupi hapo nahisi kunakitendawili chakutegua''
@worksmart1023
@worksmart1023 5 ай бұрын
Africa inafaa kuongozwa na madikteta design ya kina john pombe mambo na kura inapoteza hela nyingi sana
@jaffaryhamiddy8939
@jaffaryhamiddy8939 5 ай бұрын
To be honest i real love and appreciates JULIUS MALEMA to the fullest ,he is a man and ahalf he deserve to be a PRESIDENT OF WHOLE AFRICA 100%, FRM TANZANIA💥💪
@MuhemeliNyogwa
@MuhemeliNyogwa 5 ай бұрын
Anakubali mashoga labda awe rais wa kabila lenu
@backarmponji6537
@backarmponji6537 5 ай бұрын
100% that's kind of President we need in Africa bro
@jacobluckiztv2648
@jacobluckiztv2648 5 ай бұрын
Huyu aliuwa wakoloni waliyobaki South Africa
@khalifanoti6974
@khalifanoti6974 5 ай бұрын
Anaweza kuonngoza tu tena vizuri
@Kakajambazitv..
@Kakajambazitv.. 5 ай бұрын
Malema kWa luga yetu yakibembe ni msukule congo 🙏🙏🔥🔥🔥
@SilverTv55
@SilverTv55 5 ай бұрын
I wish angekuwa mkenya
@MohamedHalake-cy8bh
@MohamedHalake-cy8bh 3 ай бұрын
Mimi ni shabiki wake
@AthumanJuma-iw8fh
@AthumanJuma-iw8fh 5 ай бұрын
Huyo anafaa kupata ulais
@muhamadharun9432
@muhamadharun9432 5 ай бұрын
Julius malem🎉🎉
@judychepkirui5313
@judychepkirui5313 5 ай бұрын
Mimi ni mkenya lakini namku ali sana Malema, mwenda zake, John pombe maguvuli, mwenyezi mungu ailaze roho yake pepon angekua hai hadi sahii, halafu washikane nakwampia, mmoja wao akue rais na mwingine naibu wa rais, Africa mzima tungekua na amani na umoja
@chizcom4229
@chizcom4229 5 ай бұрын
kuna sehemu kuhusu kenya ni kweli wakati tanzania tunawapigania south afrika kenya ilikuwa ndio kibaraka na wahujumu afrika mashariki.
@davidkipkore3024
@davidkipkore3024 5 ай бұрын
Comparing president Ruto with Malema is a waste of breath. Ruto is a great diplomat and a liberal minded schemer who is generous and does not ask supporters to chase away fellow africans looking for greener pastures
@johnkitwima6963
@johnkitwima6963 5 ай бұрын
huwa napenda kufahamu JM afadhali leo nimemfahamu kidogo😂😂❤
@ashuraomari504
@ashuraomari504 5 ай бұрын
Kaka bongo fasta naomba unisaidie hichi kitu naskia kuna angel no hiz angel no zina maana gan n zinasaidia nn au ni nn hasa naomba utuelewesh
@mastajabudekula4828
@mastajabudekula4828 5 ай бұрын
Malema anastahili kabisa kuwa rais hata Afrika nzima
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 5 ай бұрын
Atawanyoosha akiwa raisi na ataua sana
@elvisernest3280
@elvisernest3280 5 ай бұрын
Sasa mbona mnaficha sura ya mtoto?
@chachamwita4687
@chachamwita4687 5 ай бұрын
Anafaa sana
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 5 ай бұрын
Anafaa
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 ай бұрын
👊👍✌️.
@TysonBrown-z2x
@TysonBrown-z2x 5 ай бұрын
Ndio anafaa
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 5 ай бұрын
Leo ndo mara ya kwanz nimegundua kuwa ww ni pimb kabisa, kama unafany video ili kitengenez pes bac fumia akili yaan hujui malema kama anasapot ushoga??
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 5 ай бұрын
Acha kabisa kumuataki Justin Na Malema kama hujui History uliza ungekuwa karibu ningekupiga ngumi ya Pua pimbi baba yako Malema hatetei ushoga alicho SEMA wasiuwawe wengine wamepandikizwa Hilo tatizo wakiwa wadogo Ni innocent Nani kweli kunguru we usirudie Tena,🤮🤮🤮
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
Kweliiiiiii 😢😢😢😢😢😢😢
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 5 ай бұрын
Ungekuwa karibu ningekupiga ngumi ya Pua pimbi baba yako Malema hatetei ushoga alicho SEMA wasiuwawe wengine wamepandikizwa Hilo tatizo wakiwa wadogo Ni innocent people
KWANINI 50 CENT HAMPENDI MTOT0 WAKE WA KUMZAA?
10:08
BONGO FASTA
Рет қаралды 85 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 14 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 4 Серия
36:20
Inter Production
Рет қаралды 491 М.
Mugabe Scary UN Speech Warning the World About NATO
8:38
2nacheki
Рет қаралды 2,7 МЛН
UTACHEKA vituko vya kiongozi  magufuli / Bashe Toa darasa Mbele ya JPM
5:16
Sijawahi Sikia Tukio Kama Hili! Treni Ya Pesa Ilisafishwa Yote
9:30
"Ruto simuelewi tangu awe Rais" - Julius Malema akiwa Kenya ziarani
0:59
TRT Afrika Swahili
Рет қаралды 9 М.
RASPUTIN Mkulima Mtenda MIUJIZA Aliemteka  Mtawala Wa URUSI
12:02
BONGO FASTA
Рет қаралды 11 М.