VARANGATI BUNGENI: MBUNGE APIGA SARAKASI KWA HASIRA - "NIMEKASIRIKA"
Пікірлер: 273
@linahgitige49112 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akulinde mbunge wangu kwakweli unatupambania mi nafikiri Tanzania nzima ni mbulu tu hakuna lami toka uhuru wa nchi hii sasa naona kuna mahali tutafika
@adamdemarch55652 жыл бұрын
🤐🤐
@jeromendalu42632 жыл бұрын
Safi Sana mbunge fratei nakukumbuka Sana classment wangu enzi zile monduli mzee wa sarakasi kama zote
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Jamani hapo Wah Mawaziri mjifunze somo. Wah Wabunge hawana utani huyo sio wa viti maalumu kautafuta kwa taabu. Mvumiliane tu Wah.
@farajmanuar35892 жыл бұрын
Noma sana mheshimiwa kapresent hoja kwa hisia kali,sana wananchi wake watakua wamewakilishwa vizur saana,big up mbunge flatei...
@saidykhamis23172 жыл бұрын
Ongera muheshimiwa
@joshuajeremiah8682 жыл бұрын
Haydom hoyeeeeeee nilikuwa nataka nichukue Jimbo nimeahirisha kwa ulichokifanya Leo mbungeni nifurahi sana
@calebcaleb31932 жыл бұрын
Na Huyo mwanamke usipotumia busara hilo bunge utaliona moto tangia lini mwanamke akawa mbele ya Wanaume ukasome vitabu vitakatifu Paulo amesema simpi mwanamke ruhusu ya kumuongoza mwanaume sasa. Huukiukwaji wa maandiko matakatifu wanakiuka
@mohamedisimon97192 жыл бұрын
Mimi napenda kuishauri Serikali au kutoa maoni katika upande wa michezo upande wa viwanja vya mpira Serikali ijitahidi tu hata Kila mwaka kujenga uwanja mmoja itasaidia sana kukuza soka letu nchini.
@juliethkatabwa53062 жыл бұрын
Kiongozi mwenye hekima ya kumaliza mambo Mhe. Spika NimeKukubali. Neno la Mungu kimejaa ndani yako.kazi iendelee
@celebritygossiptv69582 жыл бұрын
Siku zote
@innocentboykid2442 жыл бұрын
Kujaa kwa neno Mungu hakumaanisho utendaji wako wa mema kwa Mungu kutaja jina n kutaja tu
@pastorygeorge30622 жыл бұрын
Bongo sihami
@dickmgaya45732 жыл бұрын
Upo vizuri Ahadi ni deni pambana upate haki yako Wabunge mnatakiwa kuonyesha hisia hivyo mnapo himiza selikali kutimiza ahadi kwa wananchi!!
@saitawilson73072 жыл бұрын
Fratei big up Sana mheshimiwa
@epifaniamilinga28482 жыл бұрын
Hongera mbunge.umetendea haki kiti ulichopewa na wananchi
@hassanihamisi62392 жыл бұрын
AwA wabunge awajierewe au awajui wajibu wabunge
@antonnadenade45972 жыл бұрын
Safi Sana wanazigua manyara tunatakiwa mbunge Kama huyo
@ucjvvjcjjvih99342 жыл бұрын
Am tz nimecheka safi sana 😅😅😅🥰mpaka basi bora furaha kuliko kurushiana viti 💃💃💃💃
Hongera mbunge mzarendo mungu akuinue na kukulinda
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Asante baba hakika umevaa viatu vya makufuri
@teenah17592 жыл бұрын
Safi sana, hongera kupigania haki ya waliokuchagua👏👏👏
@michaelmwambona30172 жыл бұрын
Nikweri bwana hatumuherewi kabisa mama kitu anacho Fanya mpaka saizi hapo ikulu au kwasababu ajachaguliwa na wananchi ndomaana anafanya anavyo taka yeye mwenyewe
@teenah17592 жыл бұрын
@@michaelmwambona3017 Royal tour, huku vitu vimepanda bei..🇹🇿
@masalumaduhu40292 жыл бұрын
Nape ajifunze kupitia mbunge huyu anauchungu na wananchi sio kusifu serikali tu.
@antonyluvanga63622 жыл бұрын
Mbunge mweshimiwa wa Iringa uko kimya barabara kutoka ndiwili hadi marurumo baya sana
@hadijakisungis52892 жыл бұрын
Hiii Kali sana 🥰🥰
@CHITUS2 жыл бұрын
Mbunge uko vzuri hii nchi yetu ni nzuri Ila viongoz wetu inaonekana ya kiboya ndo Mana jpm hatoki vichwan vyetu alikuwa akisema vinafanyika kwa wakat Yan來
@thatboywithakeyboard92922 жыл бұрын
Kumekuchwaaaaa.....Haya sasa.
@evancetarimo13102 жыл бұрын
Spika nimekupenda bure unahekima sana Mungu akulinde uendelee kuwa na roho kama hiyo hiyo
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Evance tarimo spika ni mzuri sanaaaa ana hekima wabunge wanapata tabu miradi haitekelezwi wapiga kura wao hawawaelewi wanaona ahadi ni za uongo kumbe serikali siyo watekelezaji ndiyo maana hayati magufuli alikuwa mtu wa watu na mtekelezaji wa ahadi
@ajaykilawah26222 жыл бұрын
Mama eee Huyu mbunge natamani angekuwa wetuu
@frankmwakatundu98562 жыл бұрын
UNABII WA BWEGE ALIYEKUWA MBUNGE WA CUF MTABAKI WENYEWE NA MTAPARURANA WENYEWE KWA WENYEWE SASA UMETIMIA!!! BWEGE HOYEEE.
@aminaomary55672 жыл бұрын
😁😁😁 ndio wewe mbunge ni kweli tu wanaomba fedha nyingi utekelezaji hakuna zinapigwa tu.👍👍👍👍
@abisinamustafa31182 жыл бұрын
Jamani mbunge wetu sisi yuko wapi jimbo limeoza.
@gibsonjosephat63522 жыл бұрын
Huyu Mheshimiwa tunamuomba Kigoma Mjini anatufaa Sana.
@ga2revocatus912 жыл бұрын
Haaaahaaah umesha onaaa kigoma tusha pigwaa na ki2 kizito::::!!!!
@ntezebigazi77852 жыл бұрын
Tena hv mkoa wa kigoma wawakilishi bungen?
@darkplatnum90062 жыл бұрын
Hv kwanz mbunge wa kigoma mjin alisha wah hat kupew nafas ya kuingea kam babu tale na sjui anaitwa na
@farijalakhalid55582 жыл бұрын
Kwani kuna mbunge huko kigoma zito si haki hakuchaguliwa?.... Kigoma hawana muakilishi
Mh. Flatei hongera kwa kutetea watu wako onyesha kwa vitendo naona km hawakuelewi
@jacquelinesangu15212 жыл бұрын
Umeuwaaaaaa mh
@surylinetv46772 жыл бұрын
Hii sio vurugu ila ni msisitizo wa ujumbe kwa waziri kuhusu kilio na ombi la Mbunge na wananchi wake,,,Mimi nampongeza kwa kuonyesha Moyo wa kuwatetea wananchi wake ijapo katumia sarakasi hongera kwa Moyo huo wa kuthamini wananchi wako
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Wewe ndiyo mbunge unaejua kazi ya kutetea haswa wabunge wako mungu akujalie na urudi tena bungeni wengine ni wabunge ndiyo na kusifia sana mama anaupiga mwingi hujui kuwa anamaliza pesa kwa kusafiri kila siku na kubeba umati wa kwenda nao hajua kama anamaliza pesa za kutengeneza barabara wewe mtu sana
@eaglecrown11012 жыл бұрын
Nazani hii haijawahi kutokea tangu kuanzishwa Kwa bunge inatakiwa iingie kwenye Hansard za bunge 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂🙋🇹🇿🙏☺️
@mubamatoto94512 жыл бұрын
😂😂😂😂 aisee magufuri wabaadae kabisa ww😂😂sio kwa sarakasi iyo uwiii
@yohanemwitumba37112 жыл бұрын
Kwenye haki lazima aje juu safi
@emmanuelbayi46402 жыл бұрын
Wananchi wa haydom flatei hoyeeeeeee,mbunge was KARATU umeona hiyo
@gishangaak76082 жыл бұрын
Hii nchi uhuru umezidi😀😀😀
@davidmkayula32432 жыл бұрын
Alipigaga moja alipokuwa akihojiwa na mchaga Og
@RamazaniMulongeca2 жыл бұрын
Mh #KEISHA nakuona 👍
@duniawadunia48242 жыл бұрын
bangi sio Chai
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Mungu baba bariki Africa bariki Tanzania
@sashoright82132 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂wabongooo nmeshindwaa mie hii nchi😂😂😂😂😂
@angelusngwiso7002 жыл бұрын
Wabunge wa mufindi,kilolo,kalenga barabara zetu ni mbovu zaidi hatuwacikii
@yahyajuma88302 жыл бұрын
Hii nchi huru sana
@anicethmeruss85252 жыл бұрын
Naomba like za wananchi wa Mbulu 👍🏿
@DoctorPesandegeMgangaTibAsili2 жыл бұрын
BADO HUDUMA NA TIBA ZOTE UHAKIKA NA ZINAENDELEA KAMA KAWAIDA ❤️🔥✅
@Worldunite2 жыл бұрын
Waziri jibu kwa sarakasi pia😁😁
@kisurangusa5542 жыл бұрын
Aise nimekubali huyu mbunge ni jembe🤸🤸🤸
@aishaalbalushaishabalush82912 жыл бұрын
safi sana mbunge serkal ya maneno utendaji 0
@emmanuelbayi46402 жыл бұрын
Mbunge hoyyyyyyyyeeeeeeeeee
@shinjemackenzie62562 жыл бұрын
Shigongo uko wapi buchosa vumbi tangu uhuru?piga na wew sarakasi bora
Mbunge uko vzuri hii nchi yetu ni nzuri Ila viongoz wetu inaonekana ya kiboya ndo Mana jpm hatoki vichwan vyetu alikuwa akisema vinafanyika kwa wakat Yan🤭
@bukuruphilibert86582 жыл бұрын
Hicho ndicho kitawakuta kenya mkimpa embarambamba ubunge atakuwa anajifichi chini viti na kuruka sarakas mpk kwa sipika
@zarinaathuman48392 жыл бұрын
Ila bange nyingine jaman wabunge punguzeni bange
@kevinmukisira2 жыл бұрын
Hawa ndio twaitaji huku kenya
@patrickmfundiri86692 жыл бұрын
Ujumbe wako umefika vzr
@hamadiabdallah39062 жыл бұрын
Big up Flatei
@neemazee18642 жыл бұрын
Nampenda spika jmn❤️❤️❤️❤️
@blendembesimba2 жыл бұрын
😂😂😂Apo sawa sarakasi kwa wingi wape wape
@chesterbrand67232 жыл бұрын
Inchi ile ya Kiki bunge Lile la comedy show na upuuziiii
@axa292 жыл бұрын
Dah!! Kakasirika huyu 😁🤣
@jofreymsigwa852 жыл бұрын
Kweli
@mikidadijoseph56122 жыл бұрын
Hii nchi imezidi uhuru aiser
@kambonamahmadoo68142 жыл бұрын
Ulitakaje?
@boscosango11442 жыл бұрын
Bungeni sioni kinachoendelea
@sultankivumbi92552 жыл бұрын
Kweli kwenye familia lazima comedian mmoja akosi nakubali kikao kimenda vizuri wanafamilia tumefurahi
@issaedward10642 жыл бұрын
Ndoo serikari iliyobaki mheshimiwa
@lukassamwel51682 жыл бұрын
Mliondoa chadema na kuwaleta wapiga sarakasi bungeni wakati maisha yanapanda
@kambonamahmadoo68142 жыл бұрын
Chadema ni ya kina DJ ndio hovyo kabisa,,, VIDAKA TONGE TU
@mitinjezmaziku54492 жыл бұрын
Pigen sarakas bungen uchumi upande
@revinaedward66162 жыл бұрын
watu wanahasira hadi sarakasi du
@fredrickmatiku77832 жыл бұрын
Wapiii mheshimiwa Babutale Tale tale
@abdulsinga24642 жыл бұрын
Huyo babu tale..kiazi tu..hana vision ya kuwawakilisha wananch wa morogoro vijijini kabisa..anamungelea daimond.sasa sijuwi.kwanini wale wajumbe...walimchagua.
@jacksonnduna44192 жыл бұрын
Hiyo yote inatokana nashibe tu 😎😎
@ahmuhally44302 жыл бұрын
Hahaaahaaa
@bahatihemedi51362 жыл бұрын
Safii
@aliebrahim94232 жыл бұрын
Safi sana
@aweynajameel86092 жыл бұрын
Kweli KABISA
@BarakaThadeo-k7r11 ай бұрын
Tatzo viongozi wetu weziiii
@jescajohn66192 жыл бұрын
e hivi ni mbunge,au 😢
@sittandaki21352 жыл бұрын
anatakiwa akapimwe hakiri huyu kiongozi
@rezembuses57392 жыл бұрын
Ushujaa kwa mbunge ni kujenga hoj na kushika shilingi. Ayo mengine ni comedy tu.
@alfrednyamnini73522 жыл бұрын
Ukishika shilingi ndio iweje mwisho utaiachia tu.
@octavol2 жыл бұрын
Fratei, unajua
@OmaryUttah2 ай бұрын
atali sana
@peterdavid42302 жыл бұрын
kweli tuna bunge la ajabu haijawahi kutokea yaan mmejaa laana tupu coz nyote hamkuchaguliwa apo Mungu tujalie tz
@magdalenabenard42082 жыл бұрын
Kahawa
@tonitonito902 жыл бұрын
Wabunge wengine wanavuta bangi
@shabanimatua49712 жыл бұрын
🤣🤣🤣 hapo kwanza ncheke mana nna cheko la mhaho,hii nchi kila kukicha haiishi vituko😂😂😂
@hadijahassan64672 жыл бұрын
BIG UP TULIA ACKSON 😍😍😍
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Vumbi hilo bungeni
@msengikelvin85652 жыл бұрын
Muhuni ndo aelewi
@ShaidaAfati8 ай бұрын
Halo mnatuektia siyo
@sulekun72452 жыл бұрын
Afadhali hata wabunge Wengine tunawaona wanavyo pigania Maeneo yao. Sisi Tuna Mbunge Anaitwa Babu tale, Barabara za Maeneo Aliyopigiwa Kura Zimekufa Kabisa, Toka Ngerengere - Mkulazi- Kidunda. Nakushauri Mh Spika Huyo Tale Msimpe Posho yoyote Hapo. Huyo ni Ziro.
@itilimadc2 жыл бұрын
Si anawatetea wasanii 😂
@sulekun72452 жыл бұрын
@@itilimadc Ni Mpuuzi Tu. Atetee wasanii ndiyo walompigia kula? Kwan Waziri Anae husika na Usanii Hamna?
@mrh28122 жыл бұрын
Wcb for life
@009biafra82 жыл бұрын
Kinqchokutesa tunakijua wala sio kukosekana kwa barabara
@sulekun72452 жыл бұрын
@@009biafra8 Ni Nn Sasa
@florajames18902 жыл бұрын
Ni kwel kakasirika au miyeyusho ty 😁😁😁😁😁😁🤭🤭
@adamdemarch55652 жыл бұрын
Wale wadada wanao sema Maake apo nicheke wakowapi jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣