No video

JUMA LOKOLE ATOA SIRI SABABU HAJIMANARA KUTEMBEA NA ZAYLISA/DULLA MAKABILA KUTEMBEA NA RUSHAYNAH

  Рет қаралды 52,613

Carrymastory

Carrymastory

Күн бұрын

JUMALOKOLE ATOA SIRI UMA LOKOLE ATOA SIRI SABABU HAJIMANARA KUTEMBEA NA ZAYLISA/DULLA MAKABILA KUTEMBEA NA RUSHAYNAH #JUMALOKOLE #hajimanara #jumalokole #ZAYLISA #HAJIMANARAZAYLISA

Пікірлер: 121
@ashykilz9853
@ashykilz9853 9 ай бұрын
Juma 😂😂🤣hatari..chawa namba one😂😂🤣yanii 😂😂😂🤣🤣
@sharifaramadhan6515
@sharifaramadhan6515 9 ай бұрын
HATA HUTO ZAYLISA HATODUMU KWENYE HAYO MAHUSIANO.KWELI WASANII KIBOKO KWA KUPOKEZANAAAAAA
@HaikaMangare
@HaikaMangare 9 ай бұрын
Juma hapitwi jmn ata kwa paula na mario alikuwa wakwanza 🤣🤣🤣
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 8 ай бұрын
Nawewe Nimtoto Juma Itakuwaje Mwanaume Unatumwa Kwenda Kumtingozee Mtu..?????
@alfredinafelix836
@alfredinafelix836 7 ай бұрын
Umwanamke kazi… watu wameona mkono wa haji manara kwa zailisa ila hawajaona mkono wa mwanamke kiunoni kwa manara😂hamna anayeongea
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 9 ай бұрын
Tanzania has a lot of social problems, people date like animals always exchanging partners.
@zuchuforlife6182
@zuchuforlife6182 9 ай бұрын
😂 didn't she have a husband like 2 months ago 😂😂
@Zainab_salat
@Zainab_salat 9 ай бұрын
​@@zuchuforlife6182she doesn't care she belongs to Street
@fatmaomary8437
@fatmaomary8437 9 ай бұрын
Yaan we Acha tuu mtihan wallah
@judyngowi391
@judyngowi391 9 ай бұрын
Kwani Manara ana nini?
@abbtsa3060
@abbtsa3060 9 ай бұрын
Kabisa hawajali
@chemstry409
@chemstry409 9 ай бұрын
Kaka Haji......😂😂😂😂 JUMAAAAAAAAAAA....😂
@btylove1870
@btylove1870 9 ай бұрын
Kwa hiyo Juma ulimkuwadia Haji? Wakati Makabila Ex husband wa Zay ni mtu wako wa karibu!! Bongo usimuamini mtu yoyote hakuna cha urafiki au ndugu wote nyoka tu.
@msamihamisi5161
@msamihamisi5161 7 ай бұрын
Uganga kwa waganga ndio asili yao huku south...kila mganga ndio dili zao...
@user-kn8bm3kt1j
@user-kn8bm3kt1j 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂juma juma juma jumaaaaa
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 9 ай бұрын
Eti wadada wa Tanzania ni waomba Mungu tu hawawezi kumfikia Zari kwani ukifanikiwa huwezi kumuomba Mungu aise kweli we choko mpaka akili
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 9 ай бұрын
Yaan kama kweli wanamahusiano Nampa pole zay
@jocelyneliaminarukundo3633
@jocelyneliaminarukundo3633 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 9 ай бұрын
Kweli 😅😅😅
@rerisamba
@rerisamba 9 ай бұрын
Pengine watawezane
@desantos_official
@desantos_official 9 ай бұрын
Jumalokole nimuongeyaji sana naye
@mgoamkiza1117
@mgoamkiza1117 9 ай бұрын
Juma jina lako zuri sanaaa tatizo lako hiyo!mikono unavoichezesha unanipa mashaka,kwel ww ni ,,,,,, kwel au mchele
@judyngowi391
@judyngowi391 9 ай бұрын
Mpunga huo
@toomaaloufi6221
@toomaaloufi6221 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Anuaryomary-su9cd
@Anuaryomary-su9cd 9 ай бұрын
Msenge kweli wew
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 9 ай бұрын
Hio si kazi ya mshenga labda kuadi.
@marthamushi9390
@marthamushi9390 9 ай бұрын
Eti waomba Mungu wote dada zangu😂😂😂
@sakinamohamed5518
@sakinamohamed5518 8 ай бұрын
Mahips sabini😂😂😂 sawa juma
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 9 ай бұрын
Zay anapenda 🥊
@issazalala4907
@issazalala4907 9 ай бұрын
Manara anatabia chafu sasa amempata mwenye tabia kama zake daah Dunia hii
@rerisamba
@rerisamba 9 ай бұрын
Watawezana sasa
@SarahKeza-lp1fv
@SarahKeza-lp1fv 9 ай бұрын
Sasa izo ndoa zenu munafanyaga kila siku ni hatari kweli puuu
@user-fi5hj4iv1i
@user-fi5hj4iv1i 9 ай бұрын
Juma nimuongo jamani khaa 😂
@ashaali7154
@ashaali7154 9 ай бұрын
Mnafiki mkubwa huyu Juma msenge tu.
@subirajohn728
@subirajohn728 9 ай бұрын
Jamani Juma😁😁😁😁😁😁😁😁
@judyngowi391
@judyngowi391 9 ай бұрын
Duh! Jamani, kumbe jana wamezini! Kwani Manara kila Ramadhani anaoa!
@user-sx7zc6pi2i
@user-sx7zc6pi2i 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 9 ай бұрын
Loooo juma wanawake 4 ote
@zuhurayusuph4826
@zuhurayusuph4826 9 ай бұрын
Juma hiyo mikono duh
@aminaasia-jl8fk
@aminaasia-jl8fk 9 ай бұрын
Wanaume wakiwa nahela wanachezea wanawake
@ahmedimakope
@ahmedimakope 9 ай бұрын
Masijara tupo hapa
@user-ln9px2vh6r
@user-ln9px2vh6r 9 ай бұрын
Mnauhakika juma ni mwanaume😢😢😢😢
@user-sx7zc6pi2i
@user-sx7zc6pi2i 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@toomaaloufi6221
@toomaaloufi6221 8 ай бұрын
😂😂😂
@SaphinaMalero-ri6pq
@SaphinaMalero-ri6pq 9 ай бұрын
Manara hongera kwa kipaji cha kuoa huchoki waah...?!
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 9 ай бұрын
Zai atakufa amechoka duuh kwa haji hufanyi hata week wake 6 washindwe we ndo utayaweza
@user-tn3qw9nt4y
@user-tn3qw9nt4y 8 ай бұрын
Kweli uyu ni jibabaa au kibaba kaaa
@hyacinthe313
@hyacinthe313 9 ай бұрын
Mbona humushauri boos wako aeche kuzini😂😂😂
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 9 ай бұрын
Watunza ma file tupo hapa
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 9 ай бұрын
Mmmmm ila ss wanawake njaa tu ngoja apigwe tukio kipigo 😂😂😂
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 9 ай бұрын
Ati Zari alikua ana piga picha na laptop 💻 🤦‍♀️ tena alikua Nganga🤦‍♀️🤦‍♀️
@africanfood_zanzibar4863
@africanfood_zanzibar4863 9 ай бұрын
Jipu limempata mkunaji 😂we juma weeeee
@teedullah5708
@teedullah5708 9 ай бұрын
😂😂😂 Juma nimekata viunoeee
@fatmaabeid9668
@fatmaabeid9668 9 ай бұрын
Jumalokole kuwadi ndomana wolper akamwita punga mwanamme ovyooo huyuu
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 9 ай бұрын
Ngoja kaka haji apigwe matukio😂😂
@azizayassin3623
@azizayassin3623 9 ай бұрын
Manara alisema htaki kuoa manara manara😂😂😂😂
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 9 ай бұрын
Hiv huyu juma siku moja atoe exclusive yake kwann kawa hivyo?
@zuu114
@zuu114 9 ай бұрын
Juma una akili ata kidogo eti atazaa na nani tena😂
@agnessima5032
@agnessima5032 8 ай бұрын
Nimekata mauno weeeee...😂😂😂
@psj1564
@psj1564 9 ай бұрын
ILA.UYU JUMA SIO SALAMA CHOKO KWA UKUADI AUJAMBO NIO MAANA JCK AMEWACHAMBA WAMBEA WAKUBWA NYIE
@salmakashau-ib9fq
@salmakashau-ib9fq 9 ай бұрын
Wanaume wanaviranga sn
@esthakilicho
@esthakilicho 9 ай бұрын
😊😂😂😂juma
@rerisamba
@rerisamba 9 ай бұрын
Hapo sasa atazaa na nani tena hakuna mwanamke hupenda kuchanganya damu
@Naju645
@Naju645 9 ай бұрын
Hapo sasa hamna mapenzi wanakomoana
@mbanga6759
@mbanga6759 8 ай бұрын
Mkono jamani
@ramosfally2318
@ramosfally2318 9 ай бұрын
cheki mikono kwanza
@miryamjohn4995
@miryamjohn4995 9 ай бұрын
1:10 1:17 1:25
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 9 ай бұрын
Tena zay asipokua na hakiri utaskiya kafunga ndoa tena yani ameifanya fashion
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 9 ай бұрын
juma hivi ichu mumeacha zey ni malaya tu anapita tu
@ramlamchonga7669
@ramlamchonga7669 9 ай бұрын
Nyieee ngoja tuone mwisho wake 😂😂😂
@margaretnyamwilahila292
@margaretnyamwilahila292 9 ай бұрын
Kwa nini wanawake wanajidhalilisha kwa ajili ya umaarufu???? Na huyo Haji Manara ana nini hasa ??
@FadhiliKipingu-uf2ws
@FadhiliKipingu-uf2ws 9 ай бұрын
Zay umekua cha wote
@dignakanje4508
@dignakanje4508 9 ай бұрын
Duu hyu Manara jmn apunguze kuoa aridhike namkewe hyo wakwanza.Mbona hakai nao jmn.Hta hao wanawake wanaokubali kuolewa nahaji wanatama tu
@neemaabdu1091
@neemaabdu1091 9 ай бұрын
Mmh
@agnessima5032
@agnessima5032 8 ай бұрын
Mhhh!!@ anaongea kama SHOGA.😢
@madinakitemo8902
@madinakitemo8902 9 ай бұрын
Ila huyu baba mtu mzima hivi hajioni kama ni mtu mzima
@katsuvakamatedaniel7893
@katsuvakamatedaniel7893 9 ай бұрын
Eti zari alikuwa muganga 😅
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 9 ай бұрын
😂😂😂 mpuuuuzi huyuuuu
@rizikisuleiman2139
@rizikisuleiman2139 9 ай бұрын
Huyu Haji anamatatizo kila siku kuoa na kuacha tu
@mariasalomemelchiorkaigaru1974
@mariasalomemelchiorkaigaru1974 9 ай бұрын
alisema tumuite mbwa akioa tena
@homeandaway2811
@homeandaway2811 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@rahmahrr4471
@rahmahrr4471 9 ай бұрын
Juma wee kiboko Yao jamn keee😂😂😂😂
@salama1113
@salama1113 9 ай бұрын
Alisema akioa tena tumwite mmbwa 😂😂😂
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 9 ай бұрын
😂😂😂😂tutamwita puppy
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂kumekucha
@katsuvakamatedaniel7893
@katsuvakamatedaniel7893 9 ай бұрын
Tubuni duniya ina fika mwisho
@clintonarnold6291
@clintonarnold6291 9 ай бұрын
Kwan mke wake waliachana jmn😅
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 9 ай бұрын
Mmmmh🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻yetu macho🏃🏻
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 9 ай бұрын
Eti nicole hana kifuwa😂😂hee kifuwa chote kile😂😂😂
@nancyg8664
@nancyg8664 9 ай бұрын
🤣🤣
@fatmaomary8437
@fatmaomary8437 9 ай бұрын
🤣🤣🤣
@fatmaomary8437
@fatmaomary8437 9 ай бұрын
Jaman
@judyngowi391
@judyngowi391 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😅😢😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 9 ай бұрын
Kwani haji Ana Nini na Hana mke kwani
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 9 ай бұрын
Hawana mahusiano hao ni kiki tu
@ashaali7154
@ashaali7154 9 ай бұрын
We Mwajuma sio mshenga ila ni kuwadi ambae biashara😅 yako ya uarabuni imekwisha umebaki kukuwadia wanaume ambao wanakulipa kwa kazi ya ukuwatafutia wanawake. Laanatullah.
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 9 ай бұрын
Juma ....?😀😀
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 9 ай бұрын
Ajiandae kuliwa kisanvu
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 9 ай бұрын
😂😂😂😂kisoda
@irenematari6218
@irenematari6218 9 ай бұрын
Ila tz raha sana mapenzi yamejaa dah
@user-ty9tc1cy8u
@user-ty9tc1cy8u 9 ай бұрын
juma mnafiki wewe umwanaume achana na wolper
@sharifanassoro3039
@sharifanassoro3039 9 ай бұрын
😅😅😅
@aud548
@aud548 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 9 ай бұрын
Akishaa mpika Nyuma atamuacha
@madinakitemo8902
@madinakitemo8902 9 ай бұрын
Eti wamezini duh msukule moto unamuhusu
@didah6553
@didah6553 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂taile juma
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 9 ай бұрын
Malara ni kama wewe shoga mashoga wamekutana. Na pia Hamna nguvu za kiume. Kila siku kuachwa jamani
@m___ck799
@m___ck799 9 ай бұрын
🤣🤣🤣
@maureenwanjiru094
@maureenwanjiru094 9 ай бұрын
Marriage is a scam😂😂
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 9 ай бұрын
Kkkk zai utaachika sana kkkkkkkk lol wewe juma ndo utakua unamchamba zai kuachika
@mgoamkiza1117
@mgoamkiza1117 9 ай бұрын
Afu mbana we juma Kila mdada mwenye nacho ni dadaako,kulikoni?
@titongassa1620
@titongassa1620 9 ай бұрын
Mmmmh kaka hizo pigo zako ndo maana wanakuhusisha na tuhuma za kijinga
@matimfuko641
@matimfuko641 9 ай бұрын
Enzi ZA Sodoma NA gomola zimerudi.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /30/ #love
37:10
BabaJoan
Рет қаралды 222 М.
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 19 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 7 МЛН
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 27 МЛН
Utacheka utani wa Stan Bakora kwa Dulla Makabila na Dj Wake
10:03
Mwananchi Digital
Рет қаралды 83 М.