PART 1: DR. MWAKA AIBUKA, HAJAKUBALI NDOA KUVUNJWA, AMVAA SHEIKH WA DSM "HAYA NI MATAPISHI, AIBU".

  Рет қаралды 187,498

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 930
@deejulesdonatha4107
@deejulesdonatha4107 Жыл бұрын
Baby lets go vacation ukiachwa achika mwanamke mpaka adai talaka ujue kavumilia mengi
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 Жыл бұрын
Sio Kavumilia mwanamke akipataga mwanaume wakumdanganya anaanza kudai taraka kwa nguv sio kma anakua ananyanhaswa
@krintonnyembo4759
@krintonnyembo4759 Жыл бұрын
Kaka uliambiwa uombe radhi ukagoma,hata kama huna nywele Kaa,tulia wakunyoe vyema sasa.
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 Жыл бұрын
🤣
@fadhilhelebula664
@fadhilhelebula664 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 Жыл бұрын
😂😂😂😂 hilo neno
@betridajulias7676
@betridajulias7676 Жыл бұрын
Nyie wanaume Mungu tu awasaidie tena nyaza tu.Nyie upenda kunyanyasa wanawake nasi tumeumbwa tunamoyo pia ndokashachoka mwenzio.Ukiachwa achika,ulitaka umuache mke maana ndo imekuwa kawaida ila mwanaume kuachwa niaibu
@betridajulias7676
@betridajulias7676 Жыл бұрын
We siunzonga pesa sasa umeumbuka
@zuwenaadja2261
@zuwenaadja2261 Жыл бұрын
Unachokilalamikia nini Dr hapa😂 ukiachwa achika basi.
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Жыл бұрын
Mali zake xitaend
@sifaisack7470
@sifaisack7470 Жыл бұрын
😅😅😅
@nemecymsanya4952
@nemecymsanya4952 Жыл бұрын
Bro Acha na social network endelea na maisha yako na biashara zako cha msingi lea watoto wako. Ushauri wa bure Dr mwaka piga kazi askari wangu.
@jescadeogratias5292
@jescadeogratias5292 Жыл бұрын
Akitaka janja janja ya kukwepa kulea.Talaka ishatoka,na unapangiwa matumizi ya watoyo
@hamidudongo1879
@hamidudongo1879 Жыл бұрын
Sio suala la social media. Yule Mwanamke amefanya katika social media ili kumuhaibisha Dokta Mwaka. Kuna watu wamekatwa masikio na wengine wamekatwa Uume, lakini hatuja wahinkuwasikia mambo yao ya kuachana. Yule Mwanamke anajua fika kwamba dokta mwaka social media guy and I don't agree with most of things anavyoongea kwenye vipindi vyake. Ila hili hapa hiyo ndio ilikuwa dawa yake yule Mwanamke
@amirishauur5795
@amirishauur5795 Жыл бұрын
apo kuna mali iningia pasu babuu uspoongea unaeza ukapishana
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Mwaka mzima hujamgusa mkeo 🙄 huduma huna lakini kumtumia police pia hapana ndoa hapo muache atapata mwengine 😄 mwanamke mzuri kama yule
@augustkisaka5107
@augustkisaka5107 Жыл бұрын
Kama amuneshi mwelekeo
@buthainaayoub9107
@buthainaayoub9107 Жыл бұрын
Wewe hujui chochote hebu olewa ndo utajuwa anachoongelea mwaka, mnaishi na maboyfriend mnaacha kihuni huni basi unadhani pia ndoa zinaenda hivyo
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
@@buthainaayoub9107 Pole sana usichokijua sawa na usiku wa kiza mimi naijua ndoa ndio maana nikajibu ndoa sio vita ndoa nimakupaliano ya watu 2 mmoja akichoka hakuna ndoa hapo
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
@@buthainaayoub9107 hivi wewe mwanamme alie oa anawezaje ukishi na mwamke bila kumgusa wakati ndio kilicho waunganisha wakaingia kwenye ndoa tendo la ndoa
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Hao mashehe anafunjwa ndoa yako kwasababu,hio ndoa alifunga ndo mashehe hao ,ww nenda kwenye mahakama wao atagawa Mali,kama ww muislamu kweli kama ujakaa nae mkeo Kwa cku 40 basi hio ndoa imefunjwa ww mwenyewe
@mariamsengi2478
@mariamsengi2478 Жыл бұрын
Wewe mwaka acha kujizalilisha kwenye mtandao umeachika acha ujinga
@iam_mobam
@iam_mobam Жыл бұрын
Dr. Maisha Hayana Tafsiri Kaka.🤝🏾
@ummimohammed-pn1oz
@ummimohammed-pn1oz Жыл бұрын
Talaka ni haki mwanamke akikukata ni haki yake muhimu akurejeshee mahari yako aendelee na maisha yake. Nimemuona kwa macho yangu mwanamke mwenzangu akilia anadai talaka yake mpe usimsumbue maisha mafupi usihadaike na pumzi sote tutakufa na vyote tutaviacha mwacha mwanamke aende salama.
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi Жыл бұрын
Kwan huyu Mwaka kwann hataki kutoa talaka? Tuanzie hapo kwanza, maana kupelekwa bakwata ni kuwa kagoma kutoa talaka na bado anaonesha hataki kutoa talaka! Sasa kwann usimpe mwenzio talaka awe huru? Haupo nae zaid ya mwaka mzima, hakutaki nawe humtaki kwann usimpe talaka? Unaonekana kama tahira flan hv, manaume ya hv ni masenge sana, linakung'ang'ania na wkt hampo pamoja. Shame on u Mwaka
@lissamnyingi6457
@lissamnyingi6457 Жыл бұрын
Siri anaijua yy Dr Mwaka Kama alikuwa anatembelea nyota ya qeen akisha muacha Kila kitu kinamfuata muhusika.
@joharikasuwi6973
@joharikasuwi6973 Жыл бұрын
Tena yeye anajiona Yuko sawa wakati alishampeleka mwenzie polisi. Usingeenda polisi kaka wanawake tukichoka tumechoka usiombe yakukute sasa vumilia
@wazirramadhani7196
@wazirramadhani7196 Жыл бұрын
We una laana mbwa wewe,unakataa nini sasa wakat mkeo yeye ndiyo kakuomba talaka na maana yake ni nini km sio hakutaki?na utakuwa tu una tatizo ww maana kwanini mke akukatae???kafirwe mbele hukoooo
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
Usituchoshwe kama umeona ujatendewa haki mufti kasema ukate rufufaa kwendaaa
@muhan_de_coco3567
@muhan_de_coco3567 Жыл бұрын
mihemko!
@ameirothman805
@ameirothman805 Жыл бұрын
Stamina kashasema ndoa za bongo zinafungiwa chumbani na zinavunjikia instaa
@ramadhanfara2302
@ramadhanfara2302 Жыл бұрын
Mwaka mzima hautumi hela ya matumizi ya watoto
@aishamrisho6860
@aishamrisho6860 Жыл бұрын
😆😆😆😆
@irenegeorge3501
@irenegeorge3501 Жыл бұрын
Wewe ni mkorofi tunakujua unatukanaga adi mashehe kwenda uko kuonea tu mwanamke wako ovyo🤨
@mariamjuma4136
@mariamjuma4136 Жыл бұрын
Mlaumu aliyekuwa mke wako yeye ndio alitangaza kwenye social media Usitupigee kilele bwana Mwaka mmoja umeshindwa kuweka Sawa migogoro ya ndoa yake Mpaka limekuja social media wewe uko wapi? Iyo aibu yako ibebe tu kubari kushuka Muungwana akivuliwa nguo uchutama
@ramadhanihassani1617
@ramadhanihassani1617 Жыл бұрын
Wewe ulisha watukana mashekhe wote na kusema wahuni. alaf #doctor #mwaka mkeo hakutaki sasa unacho lazimisha nini? yani unaonekana hujasoma kabisa wewe ndio #muhuni
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Жыл бұрын
Huna tatizo kuvunjika kwa Ndoa kwa sababu unajua Utaenda kuoa Mwanamke mwingine Umchezee tena. Watu kama nyie ndio mkikatwa neti zenu mnalalamika kumbe ni history na tabia chafu za kucheza na maisha ya wanawake
@eliaskahory7116
@eliaskahory7116 Жыл бұрын
Mmmm vp yamekukuta
@lissamnyingi6457
@lissamnyingi6457 Жыл бұрын
Kabisa wanatuona hatuna akili unavumilia weee mwenzio anaendelea kula Raha, Mwanamke akishasema Baasi Mzee utahis unaota ila ndo uhalisia si wanadhan mapenzi ni Pesa waoe Bank sasa kunguru wasio fugika
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
@@eliaskahory7116 😆😆😆😆😆
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
Kwan kutoa taraka kuna kaz kwanza maan ukiona mtu anaitaj taraka ujue amekuchoka
@mariamswalehe3312
@mariamswalehe3312 Жыл бұрын
Huna lolote. Unajitetea tu.kwahiyo wewe ulifurahia kile kitendo cha ofisi za dini kuchafuliwa?
@chumaulete7273
@chumaulete7273 Жыл бұрын
Kwa ninavyo kuona tutasikia suala la watoto umepelekwa tena mahakamani....
@ameirothman805
@ameirothman805 Жыл бұрын
Mukiendelea na mvutano huo watt mtawapa wakt mgumu sana endelea na matibabu kwa wagonjwa pia nafc unayo ya kuoa mke mwengine usimize kichwa mpe haki yke mkeo kitokea nyumba Fata taratibu za dini n nchii pia uc force kusema ndoa haijavunjika ila kk kosa kuwaita viongozi wahuni inauma sana hakuna sehemu utakayo enda ukashinda juu y hii kesi
@neemashuma5595
@neemashuma5595 Жыл бұрын
Ngazi ya familia ya nini muache Queen aendelee na maisha na wewe na baby let’s go vacation endeleeni
@habibahmed7678
@habibahmed7678 Жыл бұрын
Umeoona 😅😅
@40kstore
@40kstore Жыл бұрын
Me wote nawaona mpo sahihi tu,wewe,yeye,mkeo,komaeni.
@faizaldaud7628
@faizaldaud7628 Жыл бұрын
Huyu jamaa anaboa
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 Жыл бұрын
Kuna mambo ya kukushauri dk. Mwanak 1. Jambo la Kwanza fitna huzimwa kwa uchamungu japo kupigania heshima yako Ni sehemu katika jihadi 2. Ndoa inaweza ikavunjwa na qaadhi au hata sheikh ikiwa hamna qadhi ndio maana katika sheria Kuna anaitwa muhakkam kiujumla Ni mjuzi wa mambo ya kisheria 3. Jambo la tatu shida sio sheikh wa mkoa shida Ni mkeo cs popote mtakapoenda
@christophermsekena616
@christophermsekena616 Жыл бұрын
Mara paaaap shehe wa dar kumuoa mke wa Mwaka
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 Жыл бұрын
Umeambiwa kwenye hilo baraza kadhi nae yumo kaka usipanic tuliza kichwa wanaokushauri kufanya hili wanakupotosha muungwana akivuliwa nguo huchutama
@jeremialyati6092
@jeremialyati6092 Жыл бұрын
Queen anatakiwa Baba 🤣🤣🤣🤣
@nervenb2831
@nervenb2831 Жыл бұрын
Hakuna. Cakurudiana. Muace atapata. Rizkiyake. Weye. Sulimuaca mkaenda ulaya. Kula upepu ataposho hamkumupa uyo. Alikuwa. Mke. Akirudi. Atakuwa. Amezalilisha. Masheikh🙏
@khamiskiandiko2965
@khamiskiandiko2965 Жыл бұрын
Ofisi ya kadhi sio wahuni kwanza inabidi uombe msamaha ndio mufti atakujibu maswali yako bila hivyo sidhani
@shabanimusa873
@shabanimusa873 Жыл бұрын
Una zaidi ya mwaka umetelekeza familia bado unadai kuna ndoa?Alieanza kuita media ni na nan kati ya Mkeo na Sheikh wa mkoa?Huoni kwamba wewe ndio umekosa adabu kuzungumza na mufti kwa njia ya media?
@hoseamgema9107
@hoseamgema9107 Жыл бұрын
Mwalim wa ndoa za wengine ame fail kwenye ndoa yake . .
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Hahahaha,,,,
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 Жыл бұрын
Kwendaaaaaa UMEACHWA Ulijua unavyomtesa kutompatia haki yake ya ndoa na kuacha kuhudumia watoto ATAKUCHEKEA EHEEE pumbavu kisa una pesa
@amraniramadhani4148
@amraniramadhani4148 Жыл бұрын
Soma vizuri katiba ya bakwata, baraza la masheikh la mkoa lipo ktk katiba, hio ishu imeisha Isha uza TU dawa
@piusjuma7384
@piusjuma7384 Жыл бұрын
Kisheria barza la kiislam Lina mamlaka ya kusulh8sha tu kwa kitendo Cha barza kutamka kuwa ndoa imecunjika ni kinyume na sheria
@rehmamoshi4693
@rehmamoshi4693 Жыл бұрын
😄😄😄pole sana labda unaogopa kugawa mali sasa kama mwanamke hakutaki shekhe afanyaje
@hannanommy302
@hannanommy302 Жыл бұрын
Rehma umenena huyu anaugomvi na Shekh Alhad apuuziwe mke hamtaki hamtaki ,yeye anaugomvi na Shekhe, Naona Aibu mimi wallah wake wa mwaka wamevumilia mnooo huyu baba ananogwa anajua kutesa hajui kuacha,
@vincej9275
@vincej9275 Жыл бұрын
@@hannanommy302 kweli kabisa
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Ndio anataka kuchukua kila kitu mwanamke asibaki na kitu
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Kabisa na hasa hyo nyumba aliomuandikia ndio inayomuumiza kichwa uyu mali ndio inayomtolea mate kusema hapa
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 Жыл бұрын
Wewe wacha Umaarufu Utaivuruga Dunia yako. Umemterekeza Mke wako zaidi ya Mwaka na unamgan'ania Kwa Hoja ndefu hazina mashiko. Kuwa Mpole Ndoa Hailazimishwi.
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
Tia talaka unaongea sana kama mwanamke
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 Жыл бұрын
Siri gani, mbona umemletea police mbele za press na umma, get out of here...abuser number one.
@tinamahega9848
@tinamahega9848 Жыл бұрын
Hili libaba ni lishenz tu,afu linaonekana linagubu sana
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
Kamuowe monalisa. Janaume gani lina wanawake 3 ila bado wazini na wazaa hadi watoto.
@verenabusanda4044
@verenabusanda4044 Жыл бұрын
Umewezaje kuruhusu haya yakafika kwa social medias..Hakuna wa kumlaumu...Tatizo ni wewe...
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Жыл бұрын
mwanamke hakutaki toa taraka bhana
@venancegaspatv1961
@venancegaspatv1961 Жыл бұрын
Mimi ni Mkristo ila Dr. Mwaka ameuliza maswali mazuri sana kwa kuwasaidia waislam japo wengine wanashindwa kumuelewa,sijawahi ona sehemu yoyote Duniani Kiongozi wa dini anatangaza kwenye Press kuvunjika kwa ndoa tena na miwani ya kutoa aibu,pia Kisheria ndoa hiyo haijavunjika mpaka pale mahakama tiakapotamka ndoa imevunjika Bakwata ni sehemu ya Ushahidi tu
@universitylink
@universitylink Жыл бұрын
Doctor mwaka uko right kwa haya unayoyaongea tunakuomba uwende usuluhishe issue ya mkeo kifamilia na kwa kadhi vizuri sana Allah awalipe kheir wote nyie
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Wewe baba ni mshenzi hakuna mfano. Mke hujamuhudumia mwaka wala watoto hulipi chochote ila huyo bado mke wako?? Na huyo kadhi uliemng’ang’ania wewe ulikuwa umeshampa rushes?. Imekula kwako Hiyo ndo kaishaachana na wewe 😂😂😂
@gaudencemihungo4348
@gaudencemihungo4348 Жыл бұрын
Kama unataka kuongea na muft kwa nini usiende kuonana naye ofisini kwake, hapa uongei na muft, unaongea na umma kwa lengo la kuleta vurugu. Kama mke ulimshawishi wewe mpaka mkafunga ndoa, unashindwaje kumshawishi mkeo arudi kwako? Nadhani umeshindwa kukaa na mkeo. Kwa sasa huna ndoa na Queen, mlianza sirini mnamaliza hadharani, tena mitandaoni. Acha vurugu, tunajua una bifu na Shekhe wa mkoa. Jitahidi kuuza dawa zako achana na Shekhe wa mkoa. Queen ameenda,
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Жыл бұрын
Huyu ndoa imemshinda
@mercynadia3140
@mercynadia3140 Жыл бұрын
Hii msg ikufikie Mwakastress kubali matokeo sio mume mzuri
@zigzag4487
@zigzag4487 Жыл бұрын
Huyu sheikh wa mkoa aliekua anamuita magu ni Mungu au yupi
@husseinally5550
@husseinally5550 Жыл бұрын
Ushabiki
@gd1926
@gd1926 Жыл бұрын
Kweli wewe kiazi kweli kweli kwaiyo hata huoni kuwa huyo sheikh kakosea
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 Жыл бұрын
Taarifa iliyotoka muda huu baraza la ulamaa limetoa tamko kuwa ndoa bado haijavunjika... Na point ya msingi Ni ileile sheikh hawezi kutoa hukmu ya Jambo la ofisi ya qaadhi na ilihali qaadhi yupo
@tmt2642
@tmt2642 Жыл бұрын
Jamaa kachanganyikiwa huyu..hajakubali kuachwa😂😂😂😂
@abdulrahmanmwadini5925
@abdulrahmanmwadini5925 Жыл бұрын
Shida yako Mwaka ,una Befu lako na Masheikh,pia unapenda media Acha MISIFA ndio maana Dr Kigwangala alikubarasa,ushauri Mapenzi hayalazimishwi
@sashambonde7258
@sashambonde7258 Жыл бұрын
naludia Tena mwaka acha kelele Wala so we will be Qeen anaolewa mwezi ujao na mchumba ndio mm akutaki amesema mbele ya Shee wetu wa mkoa tuwachie nafasi na sisi tumuudumie Qeen wewe umeshindwa Tena ukiendelea ntakushitak kwasasa Qeen ni mke mtalajiwa acha fujo kumtunza ulishindwa acha tukuoneshe maisha ya mke anavo tunzwa mwaka ukiachwa achika
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
we unaitwa sasha unataka kuowa kaka ako🤣
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@doricedeluxe9486
@doricedeluxe9486 Жыл бұрын
Alishapata mzungu huko nje South africa,wewe ulimwona wann.siunamkongo kwanin uachike mwaka??? Mkeo mwaka mzima hujalala nae ulishavunja ndoa mwenyewe.usilie huyo kapata mzungu kakuacha
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Жыл бұрын
Wewe mpumbavu kuwatusi mashekhe na kuwadharau...mpe haki mkeo acha kupiga mdomo
@donjb3178
@donjb3178 Жыл бұрын
Acha mihemko swala la ndoa ni swala la watu wawili sasa mashekh wako wanaingilia vp, tena kwa kutoa conclusions wameivunja ndoa how comes ni mahakama ndio inayomamlaka ya kuvunja ndoa tena kwa makubaliano ya pande zote mbili na ikitokea pande moja imegoma talaka haitolewi
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Жыл бұрын
@@donjb3178 kwani ndoa aliji fungisha wepia vipi si hawa viongozi wake wa dini ndio aliwaendea...
@tatotato506
@tatotato506 Жыл бұрын
@@donjb3178 wanaingilia mwanamke ndio kaenda kutoamalalamiko bakwata
@donjb3178
@donjb3178 Жыл бұрын
@@ramadhanyusuf2401 mfungishaji wa ndoa hana mamlaka yyte kwenye ndoa mana yeye alifungisha tu ndoa na kwa lugha nyepesi naweza sema mfungishaji wa ndoa anakua kama shahidi wa upatanisho kati ya pande mbili lkn tofauti na hapo hana mamlaka nyingine yyte kwenye ndoa
@deusisindwa616
@deusisindwa616 Жыл бұрын
@@donjb3178 ukiachwa achika Amekuwa wa kwnza dunian Wengi wameshaachwa hafu maisha yanaendelea,,,swala la ndoa mkishindwa kuelewana wawili ndan mkaipeleka kwenye mabalaza hiyo cyo ndoa Tena,, Hata mkiipeleka kwenye familia hiyo cyo ndoa,,kat ya wawili hao Kuna mmoja ataongea uongo Ile balaza limuone Hana hatia,, Hapo ndo kuvunjika Kwa ndoa, Malizanen wawili mukisindwankuelewana bc kila mmoja aangalie maisha yake cyo kujizalilisha,,kila cku alikuwa anajifanya yeye nimushauli wa ndoa nani kakwambia ndoa inaushauli,,nyambafu
@herisjama1540
@herisjama1540 Жыл бұрын
Acha Maneno Mengi Mzee Wewe Umelibananga Kwa Mkeo Acha Kutuhumu Mamlaka Mkeo Katoka Mwaka Mzima Hayupo Nyumbani Kwako Na Hukuwatafuta Wanafamilia Kuyajenga Leo Uamze Maneno Na Bakwata
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Penz kiberiti washa 🤣🤣ukiachwa achika by barnaba classic
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Жыл бұрын
Huwezi kuomba balaza la ulamaa OMBA KWANZA MSAMAHA KWA KUWAITA MASHEIKH WAHUNI
@safiahassan6121
@safiahassan6121 Жыл бұрын
Hii ndo ile mtu hakutaki na bado hataki kukuona ukiwa kwa mtu mwingine kwasabab anajua yeye ndo mwenye makosa
@hassanmohamedi9966
@hassanmohamedi9966 Жыл бұрын
Yote ni yote Dr Kubali yaishe, Viongozi wetu wa BAKWATA naomba muwe maki I ktk kufanya maamuzi hasa yahusiyo ogogoro baina ya mnaotuongoza hasa ya ndoa,mara nyingi mueni wapatanishi ili kujijengea imani na heshima kwetu sisi mnaotuongoza Kwa kweli mnatusimamia vizuri .Endeleeni kusimamia HAKI
@abdallahabdulaziz3683
@abdallahabdulaziz3683 Жыл бұрын
MAHAKAMA haina UWEZO wakuvunja ndoa ya kiislamu sababu SHERIA ni tofauti na Kama wakuvunja NI lazima watumie Islamic law, we Kama unaweza nenda mahakama ya kawaida ukakate rufaa mgawane nusu kwa nusu Kama hukumu ya kiislamu huitaki.
@soudbako5925
@soudbako5925 Жыл бұрын
Mwaka kapigwa na kitu kizito kumbe bado anampenda
@flora9236
@flora9236 Жыл бұрын
Ivi unachokiongea unakielewa Acha upuuzi wewe kama utaki kumsaidia MTU Bora umwambie sikutaki
@banajuliana758
@banajuliana758 Жыл бұрын
Uliacha kuwahudumia ukifikiri unawakomoa sasa jnalalamika nini? Koma msosi 👌
@mimosapudica1894
@mimosapudica1894 Жыл бұрын
Ukiachilia mbali mapungufu yake ila DR MWAKA anayohoja ya Msingi
@bensonmwananchi7701
@bensonmwananchi7701 Жыл бұрын
Afu nyie c mnabifu lenu..ngoja tuwaache
@adalishaibu4433
@adalishaibu4433 Жыл бұрын
Wewe dokta mwaka mshenzi kwenda zako usiuaribu uislam wetu
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Жыл бұрын
Nazani kama ulioa kwakufuata shelia yadini basi angalia dini inasemaje kuhusu ndoa nasheliazake utajua muongozo ukoje hiki unachofanya unatokakwenye misingiyadini muogopemungu natendahakipale inapopaswa
@SAMISAI.
@SAMISAI. Жыл бұрын
Kumuacha mke sio jambo dogo tusiongee tu kwenye comment kunaumiza mazoea yana tabu.🙌🏼
@aminaseif9577
@aminaseif9577 Жыл бұрын
Mwanaume kupe huyu.... Ndoa imekushinda.. Sasa nini keleleeeeee bhana, hebu usituchoshe😄
@limoghasia321
@limoghasia321 Жыл бұрын
Wanajisahu hawa wakipendwa
@tinamahega9848
@tinamahega9848 Жыл бұрын
Huyu ni mnafiki tu
@saidmaulid2686
@saidmaulid2686 Жыл бұрын
Wavunja ndoa za watu Kisha wanataka kuoa wao, hilo baraza la mashehe wa mkoa mtihani tupu
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
Duh 🙄
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
Mume na mke ndio wanahusika na suluhu na kiukweli sio vizuri kufanya haraka kwenye talaka ila ingetakiwa wawaite wakae pamoja family ikishindikana kabisa yote talaka itoke au ajivue ndani ya ndoa mke kwa kumrudishia mahar yake, maana sisi ni binaadam na ndoa siku hizi watu huhujumiana katika ndoa kuharibiana kama wana vinyongo na mtu akapata nafasi ya kuharibu ndoa ya mwingine. Kisheria mwanaume ana haki zaidi katika sulhu yeye na mke wake n mazungumzo yangesimamiwa ikishindikana ndipo itoke, ila umashuhuri nao na macho ya watu. husda na uchawi n.k huchangia mengi watu wakachukiana bila sababu. tusishabikie maana ndoa sio kitu chepesi maana kuna wapambe wengi na mahasidi kila pande. sio vyemakushabikia ugomvi maana hujui tatizo liko wapi nje au ndani au kutokana na remote za kichawi
@zuwenaadja2261
@zuwenaadja2261 Жыл бұрын
Alivyokua anatamba marekani na mke mwingine hakujua anamgogoro akatengeneze kwanza na mwanamke wake kwa familia mbona mda wakutamba aliupata? Ndoa ina mwaka akiwa kwenye vurugu kwanini mme yeye asingelipushi kifamilia zaidi anadai kupushi sasa hivi by the way mke kakataa kushuruhishwa hata wangeenda popote kama ameshaamua kuachana unadhani kuna mtu angemstopisha pale maana mke ndie alie amua sio ngazi yoyote ilioamua akiachwa akubari kuachika maana popote atakapoenda kudai matoke yatatoea tu kupewa taraka yake maana ndie hataki kuishia nae sasa na mapenzi hayarazimishi…
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 Жыл бұрын
Fact
@amarually5457
@amarually5457 Жыл бұрын
Nduguyangu wewe umeongea walichotakiwa kuongea wahusika lakini wahusika ndio wanachochea talaka baada ya kusuluhisha wao wanashabikia sasa sijui inaleta imanigani kwetu mtu anaetakiwa kupatanisha anafarakanisha hakuna mkamilifu mtu anakosea mpenimaelekezoiliajue alipokosea nini maana ya usuluhisho
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
@@zuwenaadja2261 ila unajua kitu kimoja kama ushawahi kukaa katika ndoa au ukasuluhisha migogoro ya ndoa kuna maneno mengine yanayosemwa na.mmoja wapo au wote ya kusikia kutoka kwa mtu fulani anamuambia mke wako.kafanya kadha wa kadha au mume wako kasema.kadha wa kadha na kumbe mtu akachukulia kw kuwa.wana ugomvi na wakautoa wapo wachonganishi wazuri na wakati wa sulhu wakiitwa wanakimbia, pili kuna maneno ya dhana kabisa mtu anaweza akamdhania mwenzie kupitia vitu fulani au kuona akadhania tu, na tatu kuna maneno ya kutengeneza.mtu akoleze chumvi aonekane yupo sawa na pia katika pande zote hasira huwa juu kila.mmoja anataka mwenzie ajishushe na kuna kahuruma pengine na mapenzi yapo nimeshuhudia ndoa mtu katoa talaka.mpaka tatu na anampemda mkewakena mke bado anampenda mume lakin kuna tishia nyau tu. mnaweza kukuta mambo yanabadilika kwa wengine, mambo ya kuingia sana na kuwasemea wana ndoa yashaumbua baadhi ya wazazi. kuna watu eamepeana talaka tatu kitu ambacho hawaruhusiwi tena kuish pamoja mpaka ipite ndoa mke aolewe na mtu mwingine kisha aachike mtu anafanya hadaa na kumwambia rafiki yake aoe kisha amuache siku mbili waweze kuoana tena na hii haramu. sio kila wanaotaka kutalikiana wanachukiana wakati mwingine wanaopendana hugombana na siku mbili washakuwa pamoja, wangapiwanatiana magumi lakin wanapendana sana. kuna jamaa walishabikia ugomvi wa ndoa ya dada yao na shemej yao wakawa wanamuna shemej yao kama taka na wakakuta siku chache mbele wenzao wanarudiana na kuitana wapenzi na wao wanaonekana washenzi, mapenzi ni kama lenzi, hu zoom moyo wa mwenzi, wakigombana wapenzi, hata wakipigana konzi, usijejitia tanzi kwa kuingilia penzi, wakipatana wapenzi, watakuita mshenzi,
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Жыл бұрын
Ni rahisi kuongea huwezi kujua maisha ya hyu dada
@mkundukunuks
@mkundukunuks Жыл бұрын
Oza mbona mlivyokua mnatombana hamkuja kuita press wap msituchanganye
@Boyhoodking
@Boyhoodking Жыл бұрын
Mwezi March nafunga ndoa na queen. Mtoto mashaallah. Acha sisi tumuhudumie wewe si umeshindwa bwan kaa kwa kutulia. Mwanamke hakutaki Sasa unalizmisha mzee!? Mwaka mzima hujamgusa una haki gani kuwa mume? Fakeni taipu😂
@asmamwadini3127
@asmamwadini3127 Жыл бұрын
Hahahaa
@habibaomary3834
@habibaomary3834 Жыл бұрын
Haaaahaaaa ukiona cha nini wenzio wasema nitakipata lini ,shamba limekushinda kulima waache wenzio waliiime ,Achia ngazi
@habibaomary3834
@habibaomary3834 Жыл бұрын
Watu oyoooo hutakiwa bhana km dollar dollar zako muache mrembo wa watu
@husnaissa1780
@husnaissa1780 Жыл бұрын
1. Usilazimishe usikopendwa utakuja kupata donda lisilo tibika . 2. Kazi kupata akupendae asekupenda achana naye 3. Usivutwe na tabasamu meno chonge ya simba si tabasamu bali ni cheko la muuaji 4. Ukanda huu unashida sana kujua kwingi.....
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 Жыл бұрын
Ushauri wangu kwako Mwaka. Kwakua Mke wako ameshasema kwamba kwambahakutaki na anataka talaka yake ni bora ukampa talaka yake kwa kheri na salama mukatengana kuliko kuja kulazimisha kutomuacha kisha aidha wewe ama mke wako mmoja wapo akaja kufanya jambo kisha akaja kulijutia maisha yake yoooote.
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 Жыл бұрын
Kaka hapo utambue Jambo 1.la msngi dr hakatai kuachana na mkewe ila hapo kuna Jambo nyuma ya pazia analihofia kua yawezekana wabaya Wake wakatumia nafasi hiyo ya ugomvi na mkewe kumuarest anachotaka ni vipengele vya sheria ya mungu kufuatwa
@abdallahabdulaziz3683
@abdallahabdulaziz3683 Жыл бұрын
Leo sababu umepigwa chini ndio unawaita viongozi wa kiislamu wahuni? Kwanini ukikubali kwenda BAKWATA Kama NI wahuni? Ungekataa pale pale ulipopelekwa ungesema Sina Imani na bakwata wangejitoa na ungepelekwa mahakama ya kawaida huko mkagawane nusu kwa nusu kelele za nini Sasa wakati ukikubali mwenyewe BAKWATA isimamie mgogoro wako.
@hannanommy302
@hannanommy302 Жыл бұрын
Usimwite Shekh wetu Muhuni ,ndoa huna bwana, hakuna wahuni muhuni ni wewe, Mimi ningekuwa Shekh wa Mkoa Namuoa Gueen harakaaaaa 🤸‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@abdallahabdulaziz3683
@abdallahabdulaziz3683 Жыл бұрын
Unajifanya unajua saana umeongea saana halafu mwishoni unataka Baraza la maulamaa likujibu mtandaoni !!!! Uko sawa sawa kweli wewe? Haujaandika barua kuomba hivyo vitu Wala haujaenda ofisini halafu unataka mahakama ya kiislamu ije ikujibu mtandaoni ili muendelee kujibishana sio ili uutie aibu uislamu? Lofa wewe tena BWEGE wa mwisho,fuata utaratibu Al had kaja kutujulisha kilichotokea katika bench la makadhi la kupitia malalamiko yenu, hukumu ilitoka huko kwenye kikao sio pale wakati anatangaza kwenye media hujui hata SHERIA mwaka na ujuaji wote huo? Pia elewa kesi hii sio yako Bali NI ya mkeo ndio alieleta shauri so you are just a respondent Sasa kelele za nini utadhani wewe ndio mlalamikaji? Hivyo mlalamikaji anayo haq ya kuleta shauri under certificate of urgency inaweza isiwe ya maandishi Bali hata ya MANENO kuwa na haraka au shida fulani so naomba shauri langu lipitiwe kwa haraka iwezekanavyo.
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Жыл бұрын
Ww wake zako uliwatangaza kwa press sasa ili watu wajue mzee hauko tena pale lazima ifanywe press , tena ingetakiwa ilipiwe iwe promoted , mashekh huyu mtu anawaibisha sana
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Жыл бұрын
Si ndo hapo na wakirejeana chumbani ataita yy Mwaka ataita press km kawaida yake, tena nn???
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Жыл бұрын
Toka hapa bwana umekaa mwaka mzima hutoi matumiz na ukamshitaki mkeo eti amekutapeli nyumba ukamtumia police, tulia dawa ikuingie
@boaskabate1229
@boaskabate1229 Жыл бұрын
Dr. Mwaka mi naona suluhisho la haya yote ufike foreplan clinic ubungo plaza wakutatulie tatizo lililoko kwny ndoa yako.
@tatotato506
@tatotato506 Жыл бұрын
Huko mwaka kunamuusu nini
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Жыл бұрын
@@tatotato506 🤣😂
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Boaxi umenivunja mbavu
@nurukwilabya2790
@nurukwilabya2790 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🥂
@razackkambi7785
@razackkambi7785 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@saidchombo5952
@saidchombo5952 Жыл бұрын
Mshenzi tu, bora usingeongea. Mbona ulishindwa kumaliza ndani kwa siri migogoto yenu. Tatizo mnaishi kimitandao ndo mpate ridhki
@msakuzikondo536
@msakuzikondo536 Жыл бұрын
Yupo sahii kabisaa.Chombo pekee chenye uwezo wa kutoa talaka ni Mahakama tu.Sheria ndio inavyosema.Maamuzi ya Bakwata haina mamlaka ya kuvunja ndoa.
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Жыл бұрын
Kwass waislam hatutambui kitu kinaitwa mahakama labda km mumefunga ndoa ya kiserikali. Huyu mwamba kasitisha huduma mwaka mzima kampeleka mkewe polis ili atoke nyumbani na watt huyu Jamaa ni zaidi ya mnyama
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 Жыл бұрын
Acha uzwazwa,Bakwata ina mamlaka ya kuvunja ndoa kupitia Kadhi,Ndoa zenu za kikristo ndio zinavunjwa na mahakama
@tatotato506
@tatotato506 Жыл бұрын
Usilete udini apakichaa wewe
@ailenyanthony1550
@ailenyanthony1550 Жыл бұрын
Mhmhm, Nani aliyekudanganya? Hata hiyo Sheria unayoijua wewe haiwezi kutoa talaka kwa ndoa zote mpaka wapitie masuluhishi sehemu mlipofungia ndoa
@mnyamamkalitv6575
@mnyamamkalitv6575 Жыл бұрын
Wew iyo serikali nikwanyie makafir
@mussamsanu1544
@mussamsanu1544 Жыл бұрын
Alaaa kumbe!!! Ndiyo maana ametumbuliwaì huyu ni muhuni tu sio kiongozi. Hapo hamna kiongozi ila muhuni tu.
@mohammedmakarani2802
@mohammedmakarani2802 Жыл бұрын
Uko sahihi doctor ila ulijisahau sana shekh wangu vitu vyako ulivianika sana mambo mengine siri ila mambo ya kifamilia yanahitaji siri sana uliyaanika sana hazarani hukujua kua kuna hasadi ila ushauri wangu mwache aendee hapo hakuna tena mapenzi shekh
@SalminMkwachu
@SalminMkwachu Жыл бұрын
Kama hakuna shida katika kuvunjika ndoa kwanini unatoa nafasi ya kupatikana series ya mazungumzo juu ya jambo hili? Kwanini msichukuane kwenda sehemu husika kwenda kukamilisha jambo hili, baili kinacho onekana ni manarushana rushana tu. Na mpka Mume anampelekea polisi mke wakati wa migogoro, hapo Kuna suluhu ya amani kweli? Mke hataki ndoa , na pia anadai kua hajawahi shiriki na wewe katika haki za ndoa Kwa mwaka mzima (kwa hili tu hakuna ndoa hapa) kamilisheni tu taratibu basi haya maswala ya kadhi, ulamaa, Sheikh mkuu nk manataka kuweka tu siasa kwenye Dini. Hawa ni viongozi kijamii (sura katika jamii) ila sio wenye mamlaka juu ya Sheria za Mungu. Sheria ziko wazi.
@vincej9275
@vincej9275 Жыл бұрын
Ndoa sio kwa lazima , kama mkee amechoka na wewe, mwache aendelee na maisha yake. We can try to save our marriage but it's wrong to force one party to stay if they no longer want to.
@btylove1870
@btylove1870 Жыл бұрын
Kunywa soda nitalipa. Nimesema hivyo hivyo kwani maneno yote ya nini?? Mtu kaomba talaka yake mpee!
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Жыл бұрын
Doctor Mwaka tulia sindano ikuingie.Huna hoja .Yaan unayoongea hayana mashiko kabisa.Mpaka mkeo kakushinda kwa kujitetea.Sijui kwa niji mkiachwa mnajitoaga faham baadhi yenu.Tulia mwanaume haongei sana.
@henrymushi8340
@henrymushi8340 Жыл бұрын
Huyu jamaa anajifanya kufundisha Mambo ya ndoa,kumbe anamnyanyasa mke asee ni hatari,usimwamini mtu
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Ndomana watu tunaambia tuache kuangalia watu kwenye TV wakitufundisha ndoa wakati wao awajaolewa
@francisfedrick6218
@francisfedrick6218 Жыл бұрын
Masifa unayoongeaga unawahendo 😂😂😂😂 sasa iweje unafanya mambo yaaibu kwa mkewe jinga iloooo wekubali kuwachwa
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 Жыл бұрын
baraza halijakosea kaka wameshughurikia tatizo ni wazoefu sana kina Mufti na mashekhe katika mambo hayo na wana hikima.wewe mfuate mke wako mweke sawa anaonekana napenda sana kuheshimiwa na hapendwi tukanwa,ila pole naelewa una machungu na kuachana si jambo jemaa kma ulivyosema,Mungu akupe busara zaid katika hili
@manhajsalafafrica
@manhajsalafafrica Жыл бұрын
Katiba ya Bakwata haimpi mamlaka Sheikh yoyote wa Bakwata kuvunja ndoa,
@furahajacob9110
@furahajacob9110 Жыл бұрын
Mshauri wa ndoa nae Kaachwa Vita bado mbichi.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mbarikiwambarikiwa6479
@mbarikiwambarikiwa6479 Жыл бұрын
Lkn inavyoonekana mkeo queen hakutaki tena. So ni sawa tu kupewa mkeo talaka.
@donjb3178
@donjb3178 Жыл бұрын
Talaka hazitolewi kuolela na kwanza hairuhusiwi kwa Mungu
@mbarikiwambarikiwa6479
@mbarikiwambarikiwa6479 Жыл бұрын
@@donjb3178 mapenzi yakifika mwisho huwa hakuna mjadala ndg, ukilazimisha sn huwa kuna matukio makubwa yanakuja. So ni vyema kuachana Tu.
@Amina-gu6zr
@Amina-gu6zr Жыл бұрын
Mwaka mzima unakataa kushughulikia malalamishi ya mkeo leo hii unalalama,usilaumu mufti.jilaumu mwenyewe ungeyatatua mapema.Queen asingeita vyombo vya habari asingepata haki yake!!!
@kaharikinyere9681
@kaharikinyere9681 Жыл бұрын
Ukiachwa kubali TU mzee
@mangaikwelamatengo8556
@mangaikwelamatengo8556 Жыл бұрын
Acha mahubiri .Unalienable nini fala wewe
@kaharikinyere9681
@kaharikinyere9681 Жыл бұрын
@@mangaikwelamatengo8556 kumbe we boya wa mwaka kaolewe wewe sasa
@saidhamad6065
@saidhamad6065 Жыл бұрын
Ktka riwaya nyengine,mtume kasema,wakat mwengine mke kakoseayy,unajarbu kumuambia samahani iliamani amani itulie,ilaww porojo nyiingi,mmepewa wake wazuri mnahadaika navmada,ilapoleyako,
@georgeigogo9259
@georgeigogo9259 Жыл бұрын
unaitaji kutufundisha au unajitetea kama mwanammke kaamuwa miachane basi mwache afanye yake
@husseinaziz8284
@husseinaziz8284 Жыл бұрын
Sawa
@kivurichumamwerumungwi9382
@kivurichumamwerumungwi9382 Жыл бұрын
Bro usiwe unawazarau viongozi wa dini. Mke ndio ameomba hilo . Usiwaze vya Dunia.
@jabahmagai9030
@jabahmagai9030 Жыл бұрын
Hapa mwaka imekula kwake.
@husseinhcube1310
@husseinhcube1310 Жыл бұрын
Dr mwaka ameongea pwent huwezi kutangaza hadharani Jambo Hilo NI kuhamasisha kuvunjika kwa ndoa ambazo zilikuwa zina sluhu Sasa itakuwa fashen kuachana tusubiri tuyaone kwa maono ya ss tusio na elim wamekosea kuivunja hiyo ndoa
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 Жыл бұрын
Akili nyingi point nyingi!mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!Mwaka yupo sahihi
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
😁
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
UMEJUA KUTUCHOSHA WW PARA.KHAA MWANAUME UNAONGEA KA MWANAMKE.POVU LINAKUTOKA EEH.KAA NA PIPI YKO MWENYE NJINO KA REKI.TUACHIE MREMBO WE2 QUEEN AFANYE YKE.KUMBE UNAMPENDA EEH JEURI TU BLACK KENGE WEWE.SIPENDAGI MWANAMME LINALOONGEA SANA.KWENDRAAAAA.TUACHIE SHEKHE WE2.
@rajabmadebo5570
@rajabmadebo5570 Жыл бұрын
Kadhi kaoa kungwi lakini bado ndoa yayumba 🤣🤣🤣
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 Жыл бұрын
Hahahahaha hata me nimejiuliza hii inakuaje hawa watu walipishana inakuaje Tena anahusika hp
@youandme1593
@youandme1593 Жыл бұрын
Kwa kiwango chochote ambacho Dr Mwaka amemkosea mke wake hakifikiii kiwango ambacho sheikh wa mkoa kaukosea uislam na waislam!!!He doesn’t deserve to be on that chair!
ОТОМСТИЛ МАМЕ ЗА ЧИПСЫ🤯#shorts
00:44
INNA SERG
Рет қаралды 4,8 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 25 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 58 МЛН
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 30 МЛН
ОТОМСТИЛ МАМЕ ЗА ЧИПСЫ🤯#shorts
00:44
INNA SERG
Рет қаралды 4,8 МЛН