Tumepiga Story na JUMA LOKOLE ```````````````````````````````````````````````````` Facebook Page @chazymedia instagram @chazymedia Tiktok @chazymedia ``````````````````````````````````````````````````````````````
Пікірлер: 16
@beatricejohn16594 ай бұрын
Umeongea ukweli juma yaani..
@salomewandya72574 ай бұрын
Hahaha hapo kwenye kutambulishwa😂😂😂😂
@CamillahAdam4 ай бұрын
Juma anaakiri sana
@Catherine-dv3qo4 ай бұрын
Kweli kabisa lokole
@beatricejohn16594 ай бұрын
Kuhusu penzi la whozu na wema yale pia maigizo wema bado hajapata mwanaume muuoaji
@nellymtambo84324 ай бұрын
Hawezi kupata atapata wa kumchezea cos kila siku anajikuta mtoto alafu saivi n misuit yake anajifanya kujivuta kwenye siasa wakati kachelewa anataka kua km wakina batuli ataweza wakati status yake haikui kila siku kukojolewa n vitoto yaaani km huyo Whozu mfyuuuu mdogo sana kwake khaaa mfyuuu😏
@victoriajoachim72714 ай бұрын
Aoe wapi wakati yeye mke wa mtu mtangazaji vipi wewe? Huyo ni me wa mtu acha aendelee lupinda mgongo huyo alishsleft group.siku nyingi sana huyo.
@HanifaBruno-lv1qf4 ай бұрын
Nakuelewa juma kwasababu yamenitokea
@NanahSaidy4 ай бұрын
Pole dia kama.mm😂
@maryamtanzania97434 ай бұрын
Ila napenda penzi la idrisa na wema litanoga
@AntoinetteKimbumnu4 ай бұрын
❤❤😢
@AzaAzamhmod4 ай бұрын
Kutambulishwaa sio sababu Kuolewa ndo muhimu
@munirahassan59694 ай бұрын
Try q
@ashaali71544 ай бұрын
Juma eti hutaki kuoa? Umuoe nani wakati wewe mwenyewe unatafuta mume wa kukuoa? Stop this nonsense.