Niko na ww kaka Dotto,kwa sababu Diamond muongo sana.🇲🇿🇲🇿
@user-qt8eh6ug2l25 күн бұрын
I like dotto son iki
@ShaniBihoiki-lx9jl8 ай бұрын
Dotto mangari saluti ❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
@user-nq1co4qu1d8 ай бұрын
Dotto t'aime fort tu es vraiment un bon tu parle la vérité mon grand
@bonfilsjoseph38678 ай бұрын
Oui c’est vrai vraiment 😂
@HajjAli-xr5ft5 ай бұрын
Oui😁il est très honnête,
@HajjAli-xr5ft5 ай бұрын
Vous parlé français aussi😁?
@idyamita28968 ай бұрын
Hapo kwenye miguu sala uyo ugoko wa daimond babu duh gonga like
@starjay30528 ай бұрын
umeongea pont sana mzee apo mwenye akili ndio atakuelewa mzee wangu dotto ✊
@pavillioncry52418 ай бұрын
Doto magari iyo nguo mpaka uwitowe rohoo
@mustafaosman18388 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂mtoto msenge huyu nimecheka sana😂😂😂
@severiniseverini43518 ай бұрын
Kuacha kumfuatilia influenza doto magari hapa Tz unajitafutia stress dotto ni influenza anajiamini na ameshatengeneza brand yake anakushawishi unanunua gari kama utani hongera kwake salute
@dannywillson58748 ай бұрын
Wabongo ndo maan hatufanikiw kuelewa kas Sana ajasema ndege n 4b kasema katapeliwa 4b katika sehm ya manunuzi mean unalipa kwa awamu izo pesa punguzen kuwa mashoga juen nmba
@typohneprofiel5158 ай бұрын
Diamond muongo. Dotto umesema kweli
@JansanMokiwa-hr6hl8 ай бұрын
20 percent marekani 🤣🤣
@kamikazejoseph87998 ай бұрын
Hivi huyu jamaa mbn kama hamnazo Hivi kichwa chake kipo resi sana....
Ushauri wangu wa bure kwako Doto Magari,potezea habari za kuwazungumzia Watu wengine na maisha yao,ww komaa na kuyatangaza hayo magari yako tu,kwani siku ya siku utakuwa unaonekana ni snitch tu.Mtoto wa town siku zote anaangaliaga mipango ya maisha yake tu.
@salimakida958 ай бұрын
Kwa sababu ameulizwa na mwandishi ndio maana akajibu kosa la mwandishi sio doto
@DoctorWamchongo-nw2so8 ай бұрын
Ushauri gani uo ww wakati doto anafanya yake apo anatangaza biashara zake
@MohamedMjenga-vq8vc8 ай бұрын
Upo sahh ndugu
@hemedjackson22618 ай бұрын
Viatu vyak vile km vyakutembelea kweny matope, ugoko km swala na vinjunga huy fala kweli doto❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@ayubumtweve58998 ай бұрын
😂😂😂😂 DAAAAAAH WE JAMAA UMENYOKA KWELI
@paulokenedy40908 ай бұрын
Watanzania muwe waelewa diamond ajasema ndege bilioni 4 amesema ametapeliwa bilioni 4 Kwa watu alioingia NAO mkataba wa ndege muelewe Hilo wabongi wagumu
@JohnThomas-zj9rd8 ай бұрын
Unavyomtetea utafikir utaipanda 😂😂😂
@mpenzisamaki94888 ай бұрын
Sheria zipo kama katapeliwa afungue mashitaka adai aache kiki katapeliwa
@edwinamos97348 ай бұрын
Hizo billion nne 4 alibeba BABA LEVO
@hassanihamidu85468 ай бұрын
Muulize nyumba anayoishi ni shingapi? Kama anahizohela ainunue ilenyumba mbona anaendelea kulipa Kodi?
@Eliroster8 ай бұрын
Iyo ni kweli kabisaaa
@JohnGyunda8 ай бұрын
Tunza akiba ya maneno kaka, nko pale kitambaacheupe bossmonday nakula sehem ya azina yangu
@josephguerino74168 ай бұрын
Elimu muhimu sana. Amini
@donlinechanell47608 ай бұрын
Hamkuelewa banaa hakusema jet ya bilion 4 . Billion 4 ni moja kat ya pesa alizo tapeliwa akiw anahitaji kununua jet yan alitapeliwa kama 4b katika harakat za kununua sio price ya jet hyo mue mnaelewa bana
@user-gj7dn7vv5s8 ай бұрын
hyo ndege ya kimaghumashi,,sehemu halisi ya kununua ndege huwezi dhulumiwa
@otmarmkali88838 ай бұрын
Kampuni gani aliagiza,, viwanda vya ndege ni vichache duniani kwanza ilikuaje,, mbona tunapigwa na kitu kizito.
Napendaga sana akisema ifulesa akimaanisha influencer 😂😂😂
@user-pt4ft7ow1s8 ай бұрын
😂😂😂😂😂ili ifuluweza
@christopherchacha79448 ай бұрын
😂😂😂😂😂 dotto basii inatoshaa
@naymasaid43898 ай бұрын
Doto zungumzia maisha Yako achaujinga wanzania cc tusiwe kama mashoga unamponda msanii wanchi Yako wewepia ilojina lako la doto magari doto nilako ila magari ya watu mikono yawatu tunajuwa embu tangaza unachokifanya mambo yawatu ukiona Ivo unamuonea wivu utakufa naroho Yako ya USDA mshamba mkubwa
@Miss_Philips8 ай бұрын
Doto kashampa mama samia jina la kizimkazi Kumekucha 😂😂😂😂
@mirajryder42168 ай бұрын
Panki ka mcheza x wa uturuki😀😀😀😀🙌
@user-hl4eb8ct7l8 ай бұрын
Dotto magari nakkubali I'm from 🇰🇪
@idrissaomba88038 ай бұрын
How much is a private jet cost to buy? A private jet can cost anywhere from $2 million to over $100 million. Ongoing expenses may include flight crew salaries and expenses, the costs of routine maintenance and unforeseen repairs, hangar rental, and aircraft insurance.
@petroleumexperts34428 ай бұрын
The cost of buying a private jet can vary significantly based on several factors, including the make and model of the aircraft, its age and condition, and any additional customizations or upgrades. Here are some approximate price ranges for different categories of private jets: Very Light Jets (VLJ): These are the smallest private jets, typically seating 4 to 6 passengers. Prices can range from $1 million to $3 million for new models. Light Jets: Light jets are slightly larger, accommodating around 6 to 8 passengers. New light jets can range from $5 million to $10 million or more. Midsize Jets: Midsize jets offer more cabin space and seating for 8 to 9 passengers. Prices for new midsize jets can vary from $10 million to $20 million and beyond. Super Midsize Jets: These jets provide increased range and space for around 8 to 10 passengers. New super midsize jets typically start at $20 million and can go well beyond that. Large Cabin Jets: Large cabin jets offer luxurious interiors and can seat 10 or more passengers. Prices for new large cabin jets often start at $25 million and can exceed $50 million or more. Ultra-Long-Range Jets: These are designed for intercontinental travel and can range from $40 million to over $100 million, depending on the model and features. It's important to note that the purchase price is just one component of the total cost of owning a private jet. There are additional expenses, including operational costs (fuel, maintenance, crew salaries), insurance, hangar fees, and more. These ongoing expenses can vary widely depending on factors like usage and maintenance requirements.
@AbasiShabani-lw2fd8 ай бұрын
Ugoko kama wa Mbu
@ellgodfather2828 ай бұрын
Tumaini katika umarufu ni diamond tu ale juu ni aliye juu tu
@khadejakhadeja97138 ай бұрын
DOTTO umetishaaa ana ugonko 😂😂😂😂😂😂😂
@user-ms1nr6fr7g8 ай бұрын
😅😅😅😅hivi we dotto unajua unakipaji kikubwa sana ungie bongo moves iwe kitu cha ziada
@ismailchibonda50058 ай бұрын
Doto kwa hili nimekuelewa Sana 😂😂😂😂 jamaa bwege Sana anatuona Sisi mambugila nini 😂😂😂
@papangomaitala76908 ай бұрын
Mbugilaww unaeshuhulika nauongo usio kuhusu
@aminasalim87088 ай бұрын
@@papangomaitala7690😂😂😂daah
@ramsosykes64868 ай бұрын
😂😂😂😂 eti pank kama mcheza X wa uturuki 😂😂😂daaah we doto msenge Sana ujue
@OfficialPizo-hn9gz8 ай бұрын
20 pacent ulaya tena
@VicentMillanzi-tw9qe8 ай бұрын
Ditto magari nakubali sana ila unapitiliza sana siku bro...kua makin maisha yana badilika sana.....mda mwingi zungumzia KAZI yako...ukiulizwa ukisema no comment inatosha...binafsi nakubali sana
@kakaaignas36758 ай бұрын
Kabisa
@melichmahingule28963 ай бұрын
Privat jjet inaanzia 5,100,000,000 na sio billion 4
@sirizawa33608 ай бұрын
Kamuulize kizimkzi ndege beigani
@user-pl4sz2ky2u6 ай бұрын
Cheapest private jet is around $44 million hio pesa inoto Kenya sh ni around 6.28 billion Sasa kwa Tanzania itakuwa pesa ngapi ? Diamond ni tajiri kwel lakini kununua private jet niuonge iko expensive sana
@villa4998 ай бұрын
Aki Tanzania nyote mnapenda kiki m niko kenya na sijui raisi wetu
@patriciacarlo72368 ай бұрын
Ndege anaiweza davido,burner na wizkid
@mtahogarashid84888 ай бұрын
Pamoja sana Dotto, Njoo ununue uwanja Mbez Beach viwanja vipo Mbez nafuu tu .
@EbondoSounds8 ай бұрын
“A private jet can cost anywhere from $2 million to over $100 million.”
@user-iq9fc1jf2t7 ай бұрын
Kizimkaz chizi ujue nae kavurugwa kimaslai zaidi.
@henrymoshi92438 ай бұрын
Sasa Dotto humjui hata 20percent unasema ni msanii wa mamtoni 😂
@user-hl4eb8ct7l8 ай бұрын
Ila watanzania 🇹🇿 acheni mchezo hakuna jet ya billion 4 za kitanzania"
@noahpaulo38457 ай бұрын
Zipo za bilion ngapi za kitanzania
@deeruta98948 ай бұрын
😂😂😂😂😂 eti mguu wa mbu😂😂😂
@sultanmaxmed3668 ай бұрын
😂😂😂😂 Doto Umeuwaa..🙌
@ismailchibonda50058 ай бұрын
Tra hawakuwepo wakati anatoa hizo b4 😂😂😂😂😂😂
@MbongoBoy-yg9tq8 ай бұрын
Doto upepowakoumekuja nambuniii👍
@degemaster27857 ай бұрын
Unaskia ndege hiyo unaskia ndege hiyo kuma make nimekuskia doto
@l.marley_25428 ай бұрын
Billioni nne zilibebwa na baba levo😂😂 na onesmo
@mdqweqwe2518 ай бұрын
😂😂
@barbaraogolla6835 ай бұрын
Dotto kweli!!!!
@ASALABOY8 ай бұрын
Uyu pacha w Kingwendu😊😊
@zachaamaster53788 ай бұрын
#ww kweri kufananisha unajua
@user-gf2mo7qw7k8 ай бұрын
Gwajima anamiliki ndege 2 na helikopta moja Mimi nimeziona
@emanuelmoshama38998 ай бұрын
Kigoma uku kuna tajiri ana ndege 9
@williambenedict60748 ай бұрын
40millions for the BMW sounds alot.. Lemmi simplified for y'all,its 1.7 million Ksh. 😂Hope y'all gon breathe in and out well rn
@mustaphahassan5898 ай бұрын
Halafu huwezi kununua
@urban_select8 ай бұрын
diamond kaumbuka, price ya ndege inategemea kwanza na aina ya ndege mamae, bomberdier tu ndogo kama zetu tz ina cost b24
@paulokenedy40908 ай бұрын
Na ndege hainunuliwi Kwa maneno Yako HAYO dotto
@untouchablepro89438 ай бұрын
Noma sana unajua sana blooda unanyoosha
@l.marley_25428 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 doto yuko sahihi kabisa
@SaimonKazimoto-xt1zo8 ай бұрын
Doto magari sema nn mondi tajiri kaka sema nini sawa doto sikupigi baba.
Naileta yng uniuzie milion 25 nnayo iyo mzee noma xn
@fuadaladawi12558 ай бұрын
Diamond say they pin his money😢
@salhajuma33338 ай бұрын
Umeuwaaa😂😂😂😂😂 Duuuh watu wanajifanya Wanamiliki Mabawa
@BarbaraPatience-qt9cc8 ай бұрын
Nyinyi wa tz ushamba ni mwingi kweli! Ndege mtu yeyote anapesa anaweza.....
@emnanuelimtui18058 ай бұрын
Pesa bei gan unajia
@jimmysantana39878 ай бұрын
20 percent ulayaaaa😂
@naymasaid43898 ай бұрын
Doto Acha ushabiki wapumbavu ndege kwanini usiweze kumilikiwa namtanzania binafsi
@HalfaSaid-vl6ki8 ай бұрын
Kuma la mamaake kama Moo ana Ndege bac Kweli nyadomo awezi kuanayo 😅😅😅
@alluabdallah68937 ай бұрын
upo swa kijana
@ALLYMSELEMU-cf7wn2 ай бұрын
Hi
@amrozwhite10738 ай бұрын
doto ww noma huishiwi na maneno
@edwinamos97348 ай бұрын
Kweli mjomba Doto unacho sema Diamond katupiga na chuma kizito
@salehemohamed9818 ай бұрын
Kuwa na akili wewe chibu kasema malipo ya awamu ya kwanza ndio yalikuwa 4B
@edwinamos97348 ай бұрын
@@salehemohamed981 kua na akili mzee uchoki kudanganywa unafikiri ndege ni matako kila mtu anayo tatizo umenyoa nywele ukasahau akiri ni nywere unaonaje tukisema umezaliwa bila ubongo
@iniestakawambwa71078 ай бұрын
Tusione Ronaldo au messi wanamiliki ndege ukadhani simple. Huyo moo tu hana
@edwinamos97348 ай бұрын
@@iniestakawambwa7107hahahahaha kweli aseh.
@othmanwadubai29618 ай бұрын
Eti kama kadondosha miatano kwenye Kinjunga chake 😂😂😂😂😂😂
@user-dk8dr4kt7r8 ай бұрын
20% wa ulaya😂😂
@bonnybonny83378 ай бұрын
Hapa kenya kuna wana biashara majina tajika...pesa haziishi lakini private jet hawana. Wacheni mchezo watanzania. Nakubaliana na Dotto
@sultanmswahilitv48647 ай бұрын
Kuna jamaa anaitwa hamfrey kariuki anazo jets...Ni jamaa ako na kampuni za wines n spirits.Google huyo hadi ako na airstrip kwake
@bonnybonny83377 ай бұрын
Huyo siwezi ata argue. 🤣@@sultanmswahilitv4864
@salumjumaruhaga25137 ай бұрын
Hakika ndege sio mchezo
@chamypash57318 ай бұрын
Actually according to google diamond platnumz net worth is $10 million but a private jet costs roughly around $2 million- $100 million including all the Ongoing expenses may include flight crew salaries and expenses, the costs of routine maintenance and unforeseen repairs, hangar rental, and aircraft insurance. So it makes sense for him to own a private jet its possible but the fact of him saying that he has been scammed now thats a red flag🤷🏽♂️
@chamypash57318 ай бұрын
Someone with $ 1.5 billion networth hamiliki ndege in Tanzania
@vitalismassay59258 ай бұрын
@@chamypash5731 A private jet can cost anywhere from $2 million to over $100 million. Ongoing expenses may include flight crew salaries and expenses, the costs of routine maintenance and unforeseen repairs, hangar rental, and aircraft insurance
@hamisisalim8 ай бұрын
He said he buy private jet big one no one like that even government jet 😂😂 ka sikize tena interview yake
@bonnybonny83378 ай бұрын
Ati Diamond is worth 10 million dollars. Wewe mtoto wachana na mambo ya online 😂
@muhydinaden5524 ай бұрын
It's only in Africa you hear people own planes but they don't have a national carrier ??? Don't you see the business opportunity to own a small company & lease planes if banks can listen to you to ease air travel in your country & make more money a private jet??? I can understand owning a Cessna for cargo or a helicopter for hire to business people &. Politicians .......🇰🇪
@user-rf8ip1cn5l8 ай бұрын
Mm bado nasubili ndege ambayo mondi alituaidi na kile kiapo cha H BABA Aliapa kuwa kama mondi hatununua ndege atatembea uchii kimyaa ndege yaja lini 😢
@paulboniface24228 ай бұрын
Aaaaaa daah tajiri hakai shelli
@spencermwavita8 ай бұрын
Wee doto mbona mshamba wasema diamond na humfiki 😂😂😂😂 we lbda akuajiri uwe mfuta viatu kwa diamond tu....
@salcle97028 ай бұрын
Jet zipo mpaka za Tsh 150 milion used pumbafu
@abdunnasser95808 ай бұрын
Buying a private jet can cost anywhere from $3 million to $75 million upwards, so it is an expensive toy to play with. Added to that, maintenance fees can cost between $500,000 and $1 million yearly. Then there are airport and hangar fees as well as the wages for pilots and cabin crew.Aug 18, 2023
@fahadfaraj64748 ай бұрын
So what do you suppose to mean with all that then?
@ilukerish18 ай бұрын
it simply means its impossible for diamond to own one. @@fahadfaraj6474
@mubajoti7438 ай бұрын
@@fahadfaraj6474ppppp
@bonnybonny83378 ай бұрын
A musician can not afford it. Even most top footballers have no private jets. And they get paid a lot of money. A lot@@fahadfaraj6474
@user-ip9le1un7v7 ай бұрын
@@fahadfaraj6474show brow
@thobiasbukali90088 ай бұрын
Dotto magari kumponda Diamond sababu upate kiki ya kutanga gari lako. Mpumbavu sana
@kigondipeter33728 ай бұрын
Watanzania hamfiki level ya Kenya. Hilo mnafaa kuelewa.
@hurumajosephat63338 ай бұрын
Hakuna nchi Tajiri Africa mashariki kama Tanzania elewa hivo
@user-vl2ux2wl2l8 ай бұрын
Hapo mwijaku akasomeeee,
@jitabojilala61628 ай бұрын
Mtakuja kuchomwa moto kipenzi cha watu wote mama samia duuu
@mahmoudaziz47178 ай бұрын
Nimecheka kifala sana 😂😂😂.Ila dotoo we nomaa
@tinershayo61916 ай бұрын
Dotto hiyo imeenda😂😂😂😂😂
@JumaJuma-fu7ji8 ай бұрын
Uyo kweli mzaramo duh linamaneno hatari diamond kayatimba😂😂😅😂
@ferdinandfelix-jx7wt8 ай бұрын
Afya si unene na sili ya pesa ajuaye mtafutaji kaka weee unawivu kinoma
@user-uh8rk3dr3g7 ай бұрын
Ila Dotto kama mkweli kbs
@JosepitaJosepita-lq4bg8 ай бұрын
Doto nakukubaly mwanangu unaongueya sana
@mastaplan8 ай бұрын
Kuna matajiri wa mitandaoni na kuna matajiri ambao hawapo mitandaoni. Hawa ambao hawapo mitandaoni ndio wanazomiliki miliki ndege tena nyingine ndio hizi Dar to Kilimanjaro, Dar to Mwanza na kuendelea.