Juma marco_Lwinze Lukulu_Official Video 4k

  Рет қаралды 24,561

Juma Marco

Juma Marco

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@jacobobreki-c4z
@jacobobreki-c4z 6 күн бұрын
kazi juma unafanya vizuri endelea kuwa bora na mungu atasimamia kipaji chako
@MasanjaLuhunja
@MasanjaLuhunja 10 ай бұрын
Niite masanja kutoka mwakitoryo no 5 nimefka Kwa j mo kukagua maswara
@msomezsaid
@msomezsaid 29 күн бұрын
kaka juma nimesomaa komment za mashabiki wako wanaponda, kwanzaa inatakiwaa wajuee umeanzaa muziki lin?? je enzi zako ilikuwajee??? kwanza shukuru mungu mpaka saiv upo kwenye gem. wako wapi akina mchelemchele, shitungulu na mmeanza pamoja
@ManjiNzobheNzobhe
@ManjiNzobheNzobhe 9 ай бұрын
Father Good Job pambana baba yang
@MasanjaLuhunja
@MasanjaLuhunja 10 ай бұрын
Rafik yangu Rogeti njo tujifunze mapbo yq kikubwa kutoka kwa mkubwa wetu jmo
@EvaJohn-ll5vb
@EvaJohn-ll5vb 10 ай бұрын
Vizuri sana j m mungu akuweke juu zaind kaka
@MjBingwa-e5i
@MjBingwa-e5i 10 ай бұрын
Naitwa jilala nshishiwi niko mwanza nakukubali sana kaka
@bigtimetz
@bigtimetz 10 ай бұрын
Big time dj kafika kukagua kazi mpya 🔥🔥
@KasaiBoyTv
@KasaiBoyTv 10 ай бұрын
Kasai Here
@kingboytzphonesolutionking7622
@kingboytzphonesolutionking7622 10 ай бұрын
Mzee wa mix nakubali san
@SambayiJulias
@SambayiJulias 9 ай бұрын
Juma marcooo
@mrishobulabo8014
@mrishobulabo8014 10 ай бұрын
Migera asili unazijua sanaaa adi sio poah Juma umepiga hiiiii Kali sana
@shilindemasalu-zg2fl
@shilindemasalu-zg2fl 9 ай бұрын
j moo washa motooo sana
@MarwaMarwa-w9t
@MarwaMarwa-w9t 9 ай бұрын
Acha majungu imba kila mtu ana njia yake
@bulugunhandi
@bulugunhandi 5 ай бұрын
Pamoja sana Juma nakukubari
@CrescentMussa
@CrescentMussa 9 ай бұрын
Hongera sana faza mungu akusaidie sana.
@rogetichuo4687
@rogetichuo4687 10 ай бұрын
Tamaduni yetu moto mbele kaka J MOO
@MasanjaLuhunja
@MasanjaLuhunja 10 ай бұрын
Umeona rafk angu
@BenjaminiMasanja
@BenjaminiMasanja 9 ай бұрын
Najuwa Kila kitu wanaume jina linazidi kutomba juma marco mushibiki wake magwasi au mgelegele fupe
@SAGANDANDAKILO-h9d
@SAGANDANDAKILO-h9d 9 ай бұрын
Wimbo mzuri, Nakushauri uache bifu Kwa wasanii wenzio Mimi kama Shabiki wako nahitaji muendelee kuelimisha jamii kupitia nyimbo sio kuanza kutambiana mfano Nangadanga ndio nani?. Ni ushauri tu ndg yangu
@DirectorJostar69
@DirectorJostar69 9 ай бұрын
Kazi nzuri J mo and dir.miger🎉
@Ngwanasamaka
@Ngwanasamaka 10 ай бұрын
👍 Nice job🔥
@FaidaMashaka-df8ln
@FaidaMashaka-df8ln 10 ай бұрын
Wapi dj faida bulige moja
@thentuzumusic
@thentuzumusic 10 ай бұрын
Napita kumuagalia migera tu maana mwaka huu uumbaji wa juma Marco mmh Migera unakoelekea sijui
@massanja21
@massanja21 10 ай бұрын
Ushauri wangu huwa hauoni ila acha tusapot mana ni watu wanaotuwakilisha sema video imetulia sana ni high quality
@thentuzumusic
@thentuzumusic 10 ай бұрын
Kweli kabisa
@BarakaJames-s1w
@BarakaJames-s1w 6 ай бұрын
Upo vzl kwelii
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 7 ай бұрын
Kaka usitukane mashabiki bashabiki ndo wanakuweka kwenye gemu sisi kama mashabiki kaka mwaka huu umekoroga mbaya kabsa unaimba nyimba hazina vina na mizani imba nyimbo kama zile za mwanzo mfano kama Ile ya TUMBA, WAZAZI, SUZANA, SATA, MBONA NI NZURI TU KAKQ
@NasryMihambohamissy
@NasryMihambohamissy 10 ай бұрын
Kazi njema sitahili na kisima uwimbaji napenda sho yao
@KijangaShigela-tg7bm
@KijangaShigela-tg7bm 10 ай бұрын
Asili 🤝💯💪💪
@bujiboytz4650
@bujiboytz4650 8 ай бұрын
Hapo ni mhandu segese Fufumo water falls
@YobatYohana-qi9yl
@YobatYohana-qi9yl 10 ай бұрын
Nic job kaka
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 7 ай бұрын
Kaka yani ulivyo kuwa unaimba mwanzo ni vizuri sana sasa hivi umekuja kuboronga kabsa vina na mizani huzingatii bora kaka imba kama mwanzo ulikuwa unaimba vizuri sana tatizo lako unalamizimshia kuimba kiswahili kama utaka kuimba bongo freva ludi kwenye bongo freva ila kama ipo kwenye nyimbo za asili imba kama ulivyo kuwa unaomba mwanzo shabiki yako hapa 🇨🇳 china ngwanzuuuu naijia na dwa ya biashara 😅😅
@kachelengwa
@kachelengwa 10 ай бұрын
Kazi nzur
@PaulBulugu
@PaulBulugu 10 ай бұрын
Kama kawa homa gai wapi dj mna kizungu nindo shy njoo upakue magoma mzee
@PatrickZubery
@PatrickZubery 10 ай бұрын
Kazi nzuri sana brother🎉🎉🎉🎉🎉
@budodianthony8094
@budodianthony8094 9 ай бұрын
😂😂😂❤❤jumaa waoo wapii wasukuma😂😂❤
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 9 ай бұрын
kaimba vizr Sana ila Sasa anayemuimba Ni Nani??????????
@massanja21
@massanja21 9 ай бұрын
Yan hapo ni ukiona imekugusa jua ni yako hiyo 😂😂😂😂😂😂😂
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 9 ай бұрын
@@massanja21 🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒 pmbv mm nmeulza Kama huna lakunijb kaaaa kmy fara nn
@massanja21
@massanja21 9 ай бұрын
Sasa we unahisi anamwimba nani na juma marco me sijawah sikia anaimbana na msanii mwingine ko hapo ipo kwa jamii ukiona kuna watu wanakuzingua haf mamb yanaendana na wimbo unanyoka nao tu ndo mana nikasema ukiona kama imekugusa yaani kuna ile mtu anakuwa anahisi mbon kama kaimbwa yeye bas inamuhusu 👍👍👍👍👍
@ANTONITzofficai
@ANTONITzofficai 10 ай бұрын
Nifatjlie
@RajabujumahassaniRajabujumahas
@RajabujumahassaniRajabujumahas 9 ай бұрын
JJ w noma
@samsonemmanuel1344
@samsonemmanuel1344 10 ай бұрын
Good song kaka
@alphoncelaurent4680
@alphoncelaurent4680 9 ай бұрын
Tatzo mnamuiga kisima
@majaliwasamweli7427
@majaliwasamweli7427 10 ай бұрын
Kisima ndo kalianzisha hilo wewe huwez Kaz kuiga kwawenzio
@SospeterGeorge
@SospeterGeorge 9 ай бұрын
Ni Kweriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kak
@kgwaburumabutiamayika2175
@kgwaburumabutiamayika2175 9 ай бұрын
Kazi nzuli ila inataka kufanya na ya Fulani video baka bt
@mageletz
@mageletz 10 ай бұрын
good music my brother yaani big up sana
@thentuzumusic
@thentuzumusic 10 ай бұрын
Mda mwigine tuwe tunasema ukweli mashabiki uimbaji wa juma mwaka huu hauko vizir lakin video wanga hafeli Yani wanga anagalamika sana lakin kiumbaji kafeli huu mwaka
@thentuzumusic
@thentuzumusic 10 ай бұрын
Pia samahan kwa watakao nielewa vibaya lakin huo do ukweli
@mageletz
@mageletz 10 ай бұрын
Kwa hapo siwezi kujibu make Kila artist ana uimbaji wake so hata Mimi wapo wanao sema nime feli ila kikubwa mzigo ume fika
@thentuzumusic
@thentuzumusic 10 ай бұрын
Sawa kabisa do maana nikasema mnisamehe Kwa wale msio penda ukweli 🙏🏿
@mrishobulabo8014
@mrishobulabo8014 10 ай бұрын
Kwa hii Juma kajitahidi jaman tuseme ukweli video kaliiii na Audio kaliiii piah kama kafeli basi sio hapa
@shilindemasalu-zg2fl
@shilindemasalu-zg2fl 9 ай бұрын
❤🇹🇿🇹🇿
@sikujuajames-y1l
@sikujuajames-y1l 10 ай бұрын
❤❤❤❤
@Maliganyamadirisha-c5n
@Maliganyamadirisha-c5n 10 ай бұрын
Pg. Kaz kak uko vizuli
@jumamarco
@jumamarco 9 ай бұрын
mm sihitaji mashabiki wa mchongo wa mtandaoni ww kama haupend kazi yangu naomba upotezee mm sidaiwi na mtu katka maisha yangu wew kama unaona mm nakukera hamia tu upande wa pili naomba achana na mm hata nikishuka nikishuka kimzik tegemei kuimba msaanda wew
@budodianthony8094
@budodianthony8094 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤vipi kale kawimbo lejii😊😊❤
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 7 ай бұрын
Kaka usipaniki wasikilize mashabiki wanataka nn sasa ukiwatukana mashabiki utakuwa kama Baraka da prince 😂😂😂😂😂
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 7 ай бұрын
Kaka juma unaambiwa ukweli unaanza kutukana mashabiki ili iweje sasa tunakuchana ukweli uimbaji wako wa sasa kaka sio mzuri imba kama mwanzo 😊
@msomezsaid
@msomezsaid 29 күн бұрын
piga kazi kaka , waache majunguu
Juma Marco_Shikolo_Official Video 4k
10:18
Juma Marco
Рет қаралды 20 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 85 МЛН
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 3 МЛН
Juma Marco_Amani_Official Video 4k
13:23
Juma Marco
Рет қаралды 21 М.
Usauver S10E01   MULA
23:34
Piksy TV
Рет қаралды 32 М.
Kukumaji ndubula nhonge
10:08
KUKUMAJI NG'WANA NDULU NDUBALA
Рет қаралды 31 М.
Juma Marco_BHUDOSHI_Official Video Full HD
11:27
Juma Marco
Рет қаралды 90 М.
shitungulu -naliza official video
12:34
Bhudagala Mwanamalonja
Рет қаралды 3,2 М.
Bhudagala __ Ng'wanampela
6:33
Over The Classic Video
Рет қаралды 993 М.
Juma marco_Acha nilie_Official Video Full HD
11:46
Juma Marco
Рет қаралды 129 М.
▶ Kenya Blue Stars  Sina Kisomo, Ayoo
9:28
Anthony Muthara
Рет қаралды 259 М.
Juma Marco_Lubhimbi_Official Video Full HD
12:24
Juma Marco
Рет қаралды 74 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34