Juma Marco_Shikolo_Official Video 4k

  Рет қаралды 18,774

Juma Marco

Juma Marco

Күн бұрын

#Directed_Migera#0762277374#Mbasha_Studio

Пікірлер: 55
@MKOLOSAIonlineTV-cn2vr
@MKOLOSAIonlineTV-cn2vr 9 ай бұрын
Namuona mrembo joyce kajitaidi sana kwenye u Queen
@ManjiNzobheNzobhe
@ManjiNzobheNzobhe 8 ай бұрын
Hongera father good job 🎉🎉🎉🎉
@shilindemasalu-zg2fl
@shilindemasalu-zg2fl 8 ай бұрын
jaman juma marco ww unasitahili upewe tuzo yako bora mwaka huu hatutaki ujanja ujanja mashabik wako kaka huu mwaka
@ngasasospeter6899
@ngasasospeter6899 8 ай бұрын
Hiki chuma nimekielewa sana sana, ubunifu ndio mafanikio kwa dunia ya sasa, hongera juma, nakujua tangu uanzee kwenye game "nzala"
@shabanmlekwa9513
@shabanmlekwa9513 9 ай бұрын
Daah kwa kweli hata mimi nimeielewa sana hii ngoma. Ushauri wangu badilisheni mapigo ngoma ikichanganya. Muige mapigo ya Kina Extra Musica, Pepe kale muyawekee ladha ya kisukuma tu kidogo.
@rogetichuo4687
@rogetichuo4687 9 ай бұрын
Kaka Juma naona umeanza kutupa radha za kisasa zaidi nimejifunza kitu kwako
@MaforogoMaforogo
@MaforogoMaforogo 9 ай бұрын
Iko poa saaana j mooo
@ibrahimbaraka5262
@ibrahimbaraka5262 9 ай бұрын
Juma umepiga hiligoma kweli kumbe ukimya unamabo mengi❤❤❤❤🎉
@jumamarco
@jumamarco 9 ай бұрын
dugu yangu acha tupambane na Hali yetu ibla
@machiyajohnmbasa2746
@machiyajohnmbasa2746 8 ай бұрын
Big up sana broo
@deuspetro7284
@deuspetro7284 9 ай бұрын
Ok hii nimeipenda
@shinjengasa3574
@shinjengasa3574 9 ай бұрын
Hii nayo iko pw sana,jamaa umezidi kupanda viwango kuutafuta ufamle wa mziki
@NGANGATV1
@NGANGATV1 9 ай бұрын
Kazi nzuri kaka
@kachelengwa
@kachelengwa 9 ай бұрын
Kazi nzur Kaka❤❤
@Jameskakola
@Jameskakola 9 ай бұрын
Juma malico james kakola nimeopata lafk yangu kazi kubwa sana❤❤❤❤❤❤
@KijangaShigela-tg7bm
@KijangaShigela-tg7bm 9 ай бұрын
Hongera saana Master wa wasanii Juma Marco Tunakutakia Mafanikio Ili mziki wako uende mbele zaidi pia tunakuombea saana tunaona mziki wako umevuka mipaka ya Tz Sasa tupo Congo uendelee kubuni zaidi Ili mziki wa kisukuma ufike nchi mbalimbali Hongera saaana💯💪💪🤝♥️♥️♥️
@jumamarco
@jumamarco 9 ай бұрын
asante babaangu tuko pamoja sana
@GWIJIGWIJISELLA-tt2it
@GWIJIGWIJISELLA-tt2it 9 ай бұрын
Mpe hai manoti 🔥
@AdelinaCharles-id1gr
@AdelinaCharles-id1gr 9 ай бұрын
Kaz nzuri
@YobatYohana-qi9yl
@YobatYohana-qi9yl 9 ай бұрын
Kiukweli kaka juma kazi nzur sanaa
@mrishobulabo8014
@mrishobulabo8014 9 ай бұрын
Video kalii Melody kaliiii Location unyama mwingi Mavazi (code) imezingatiwa💯 Juma umerudi mjini kwa kasi sana kama vile hujawahi kupumzika Keep it up 💪 Sukumaland 🔥🔥🔥
@jumamarco
@jumamarco 9 ай бұрын
asantee kakaangu naamini yajayo yanafurahisha tuko pamoja saana babaangu
@leonialucas1023
@leonialucas1023 9 ай бұрын
🔥🔥🔥uko sawa sana
@jumamarco
@jumamarco 9 ай бұрын
mm naomba maoni kutoka kwenu wadau na mashabiki zangu ili tuendelee kuupeleka mbele mziki wetu na kuusapot mziki wa kitanzania
@malingomediaofficial
@malingomediaofficial 9 ай бұрын
Kazi Tamu Sana Juma Hongera Pia Director #Migera Tuko Pamoja
@MigeraStudio
@MigeraStudio 9 ай бұрын
Asante maringo
@jumamarco
@jumamarco 9 ай бұрын
sawa pamoja sasa kakaangu
@MasanjaLuhunja
@MasanjaLuhunja 9 ай бұрын
Master wa masters
@jumamarco
@jumamarco 9 ай бұрын
yesiiii
@simonphabiano9050
@simonphabiano9050 9 ай бұрын
Tamu sana kwa kweli
@kgwaburumabutiamayika2175
@kgwaburumabutiamayika2175 8 ай бұрын
Safii san ❤❤❤❤❤
@TumainiMasige-y4c
@TumainiMasige-y4c 9 ай бұрын
Kazi kubwa hufanywa na wenye akili kubwa, Hongera sana naanza kuona wakongo si muda mrefu wataomba collabo na wasukuma, na hii ndo game change inatakiwa ifikie kipindi wasukuma kupiga show mpka nchi jiran 🫡🫡☑️☑️☑️☑️✅✅✅
@MigeraStudio
@MigeraStudio 9 ай бұрын
Wameaanza tayari
@zagalazabuinge3893
@zagalazabuinge3893 9 ай бұрын
Kazi nzuri Sana, pongezi kwa team waandaaji wote
@jumamarco
@jumamarco 9 ай бұрын
asante sana ndugu yetu
@thentuzumusic
@thentuzumusic 9 ай бұрын
DR KAZ KUBWA
@MusaSaganda
@MusaSaganda 5 ай бұрын
Juma marko, hongera sana bro Hii nyimbo nimeikubari sana sana kaka, nipo dar es salaam. Watu wanakukubari sana sana kaka wasukuma tumejaa hukuu tembelea uone support yetu
@sukumatraditionalkingdom
@sukumatraditionalkingdom 9 ай бұрын
Best Song & Quality Video
@yusuphmunhusana6566
@yusuphmunhusana6566 2 ай бұрын
Bonge la song!!!!! 🙏🙏🙏 Big up Sana j'mo
@Shilangila
@Shilangila 9 ай бұрын
kaka nimeona
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 9 ай бұрын
Sasa kaka mbona huimbi kama mwanzo sasa ndo nn hiki mbona bongo freva tena😂😂😂😂😂😂
@jumamarco
@jumamarco 9 ай бұрын
asante kaka mkubwa
@jumamarco
@jumamarco 9 ай бұрын
umejifunza nini tena mdogo wangu roget kutoka kwangu?
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 9 ай бұрын
Kaka Juma Marco, siyo tu Rogeti bali wasanii karibia wote huwa wanafuatilia kazi zako na cha kufurahisha zaidi nao watakuja juu ili wakuzidi na huo ndo wivu wa maendeleo, endeleeni kutupatia radha ila jaribuni siku moja muandae kazi moja muifanye wewe, Gudegude, kisima,Bhudagala, Rogeti na Nyanda Lunduma itakuwa powa sana
@yusuphmunhusana6566
@yusuphmunhusana6566 2 ай бұрын
J' mo naomba nyimbo yako ya kwanza kabisa iliyokuwa unasema JAKALIKA EJIBHYALILWA, NULU NDUGUYO AKUKWENHELA MAMIHAYO, UKWITAYA SABHO:🙏🙏🙏
@MigeraStudio
@MigeraStudio 9 ай бұрын
❤❤❤
@Wazimamoto
@Wazimamoto 9 ай бұрын
Umeuwa jembe langu
@jumamarco
@jumamarco 9 ай бұрын
pamoja sana mdogo wangu mwanamalonde usjar
@SambayiJulias
@SambayiJulias 8 ай бұрын
Juma www
@user-xz6fz5nz2s
@user-xz6fz5nz2s 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@ChensoomusterChensooMuster
@ChensoomusterChensooMuster 9 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@yusuphmunhusana6566
@yusuphmunhusana6566 2 ай бұрын
Hii video Niko nayo nyumbani, aisee inamaliza umeme balaa, maana haikifu. Ikiisha inarudiwa yaani kutwa nzima aisee
@NchenyaJumanne
@NchenyaJumanne 5 ай бұрын
Bro imetisha kwa queen ulienda kuchukua Dubai nne?
@ANTONITzofficai
@ANTONITzofficai 5 ай бұрын
Kuisubribe
Juma Marco_Wazazi Official Video Full HD
13:27
Juma Marco
Рет қаралды 693 М.
Juma Marco_Nikupe Nini Mama_Official Video 4K
13:23
Juma Marco
Рет қаралды 60 М.
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 7 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Kado chiza_-_Iguta-_(0767981472) KIBOMEDIA
14:43
KIBOMEDIA TV Online
Рет қаралды 6 М.
GUDE GUDE  song Shiloti 2024 By jamas macomputer from mahaha center 0772100682
13:08
Magodi Ze Don - Mama Liliani (Official Video)
12:57
Makula Studios
Рет қаралды 31 М.
Juma marco_Lwinze Lukulu_Official Video 4k
10:42
Juma Marco
Рет қаралды 23 М.
Mayikusai_Samweli_Official Video 4k
17:18
M.S Studio
Рет қаралды 12 М.
KISIMA MAJABALA BHAZUNIJE PART 2 PROD • TOPHER INC 2024
10:19
Juma marco_Napambana Official Video_Full HD
15:16
Juma Marco
Рет қаралды 50 М.
JUMA  MARCO_WALISEMA  SANA_PRD  BY  MBASHA  STUDIO
11:45
Juma Marco
Рет қаралды 1 М.
Juma Marco_Lubhimbi_Official Video Full HD
12:24
Juma Marco
Рет қаралды 71 М.