Hongera Sana Artist Juma Marco kwa kazi nzuriiii!!!!.
@msomezsaid2 ай бұрын
huyu jamaa ni mzee wa location , video zake zina quality nzurii
@yohanabundala9162 Жыл бұрын
Safi sana Juma Marco napenda sana nyimbo zako, Big up
@samwelzakayo35963 жыл бұрын
Safi sana JM nimeipenda hii usalama kwanza(safety first ) tuwe makini sana tukiwa barabaran wote
@paulsengelemasengelema89503 жыл бұрын
Najivunia kuwa mshabiki wako hakika sjakosea mwenyez mungu aendelee kukupaisha uwe juu zaidi na zaidi 🙏
@mosilazaro43143 жыл бұрын
Safi sana Juma Marco. Hujawahi kuwa na kazi mbovu. Wasukuma tunakuelewa sana. Naamini ungekuwa unaimba kiswahili ujumbe ungewafikia watu wote Tanzania na maeneo mengi duniani.