No video

Rogeti - Masamva |official video 2024

  Рет қаралды 33,265

Makula Studios

Makula Studios

5 ай бұрын

Kazi mpya #asili ya #rogeti Inaitwa #masamva
#makulastudios
#mkemia
#2024
#rogeti
#Rogeti

Пікірлер: 90
@khamzalockymaster6008
@khamzalockymaster6008 5 ай бұрын
Tuko macho rogeti🥺🥺 kama na wewe unamuamini kijana huyu weka like hapa👍👍
@rogetichuo4687
@rogetichuo4687 5 ай бұрын
Naombeni support yenu ndugu❤❤❤
@ZainabuJohn-b5v
@ZainabuJohn-b5v 17 күн бұрын
Napenda Sana Kazi Zako Longeti Nimim lenga Kutoka Busulwangili Kakola
@hamisimtore2158
@hamisimtore2158 3 ай бұрын
Hongera sana big up
@user-rf4ew9kq7y
@user-rf4ew9kq7y 3 ай бұрын
Goma Kari Sana hiii kaka
@HamisilugendoMugila
@HamisilugendoMugila Ай бұрын
Uko vizur kaza mwendo
@user-fh7mh5hn4n
@user-fh7mh5hn4n 3 ай бұрын
Hongera sana unakuja vizuri sana usife moyo tuko pamoja washabiki wako
@IbrahimMussa-s4r
@IbrahimMussa-s4r Ай бұрын
Brother kaz nzr sana mung akuinue
@BbeGgddx-p9x
@BbeGgddx-p9x Ай бұрын
Nyimbo ya ujumbe hongera kwako kaka rogeti nazikubali nyumbo zako nikiwa kenya
@jonaslukumbuja6348
@jonaslukumbuja6348 3 ай бұрын
nmeelewa hii🙏🙏🙏
@malimipambe6260
@malimipambe6260 2 ай бұрын
Honger bro unajua type burudan wa ntuzuu🎉🎉🎉
@devidpaul7943
@devidpaul7943 4 ай бұрын
Huyu jamaa anakuja kua no1
@user-lv7wt6tj4j
@user-lv7wt6tj4j 2 ай бұрын
🎉🎉🎉
@mangusospeter3259
@mangusospeter3259 5 ай бұрын
Hatr sna
@ZaituniAbdallah-pz2iy
@ZaituniAbdallah-pz2iy 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Ngwanasamaka
@Ngwanasamaka 5 ай бұрын
Ipo sawa kazi nimeiona Mr
@ShijangodoloMwandu-fe5kv
@ShijangodoloMwandu-fe5kv 5 ай бұрын
Kwer nzul❤🎉🎉
@LeonardKusekwa-ch3ux
@LeonardKusekwa-ch3ux 5 ай бұрын
Hongera sana bro tuko pamoja
@ShijangodoloMwandu-fe5kv
@ShijangodoloMwandu-fe5kv 5 ай бұрын
❤nakukubar sana kaka
@ManotiMabanza
@ManotiMabanza 5 ай бұрын
Fungua mlango Mimi niende kwa Rogeti. Ni kasambe🙏
@wasafijonh3589
@wasafijonh3589 2 ай бұрын
🤗🤗🤗🤩
@user-fh7mh5hn4n
@user-fh7mh5hn4n 3 ай бұрын
Kama utalidhia rogeti nitafute kwenye njia ua mitandao ya kijamii jina 《abeli lazaro 572》nahitaji tuwaasiliane
@user-tt6xj8vp2f
@user-tt6xj8vp2f 5 ай бұрын
Nidhamu ni Kila kitu umetoka mdogo wangu kwenye wasanii wa nyimbo za asili watakukoma tu big up!!!!!
@musaogira8375
@musaogira8375 5 ай бұрын
Rogeti 🔥🔥🔥🔥
@DirectorJostar69
@DirectorJostar69 5 ай бұрын
Kaz nzur dir_mkemia🎉🎉🎉
@richardlukanya9273
@richardlukanya9273 5 ай бұрын
Nigishijage ho akaya bila kumsahau pasi na makalanga
@yusuphkaji3061
@yusuphkaji3061 5 ай бұрын
Rogeti! hanaho watulaga lyawiza, uluwenha ng`oma idatu jakulenganela geke, nulu jikazidiho, ufuma na magima... nzgu... nzuguko hange!
@msukumamediatanzania6437
@msukumamediatanzania6437 5 ай бұрын
R_O_G_E_T______CHUO🙏
@AlliPo-21
@AlliPo-21 5 ай бұрын
kaz yetu mashabiki ni moja tu kuwapa nguvu wasanii wetu wa asili big up kwa rogeti sababu mwaka huu kajipanga zaidi
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 5 ай бұрын
Umeongea point sana
@allykuwingwatv2092
@allykuwingwatv2092 5 ай бұрын
Kazi safi sana Rogeti hv jamani Bahati bugarama ana shida gani mbona hatoii nyimbo
@rogetichuo4687
@rogetichuo4687 5 ай бұрын
Ndo anaandaa muda sio mrefu ataachia nae ndo muda huu wa kazi mpya
@user-fs2jd9rd3r
@user-fs2jd9rd3r 5 ай бұрын
Du😢kwa mwaka huu mmh hatar Roget begup
@amossbuyamba7326
@amossbuyamba7326 5 ай бұрын
Ila sielewi wasanii wetu wa kisukuma wanazidi kuchimbana mikwara tu.hivi mmeshindwa kuimba nyimbo za kuelimisha jamii.
@MajaliwaKulindwa
@MajaliwaKulindwa 4 ай бұрын
Sasa hapo kamchiba mkwala nanii hapo hivi umesikiliza vizr au😢😅😅😅
@jumannemakenzi-hv6fb
@jumannemakenzi-hv6fb 5 ай бұрын
Rogeto congratulations to you 🎉🎉🎉 your very unique to our cultural heritage
@mageletz
@mageletz 5 ай бұрын
good job Mr
@rogetichuo4687
@rogetichuo4687 5 ай бұрын
Nice mr🎉🎉🎉🎉
@Ngoshabilioneatz
@Ngoshabilioneatz 5 ай бұрын
Tukitafuta mafundi kwenyehii dunia na wewe lazima uweme.anaebisha anyoshe mkono
@ChristinaSami-dj5ej
@ChristinaSami-dj5ej 5 ай бұрын
Endeleagi kutuburushisha membo ga asili yise tulefurahia sana hasa abo tule nje ya 🇹🇿
@AntoniChonjatz
@AntoniChonjatz 5 ай бұрын
Vp
@mohamedkapunda6421
@mohamedkapunda6421 5 ай бұрын
Unakuja kuw mtu mkubwa sana
@faustinjoseph920
@faustinjoseph920 5 ай бұрын
Umemsahau ngelela
@JosephBalele-cd7fg
@JosephBalele-cd7fg 5 ай бұрын
kama wewe sio msukuma na unafatilia huyu jamaa like hapa
@rogetichuo4687
@rogetichuo4687 5 ай бұрын
Naombeni support yenu wadau
@JosephBalele-cd7fg
@JosephBalele-cd7fg 5 ай бұрын
@@rogetichuo4687 Tuko pamoja kaka
@user-yu5yo1bo4u
@user-yu5yo1bo4u 5 ай бұрын
Poa sana
@user-yu5yo1bo4u
@user-yu5yo1bo4u 5 ай бұрын
Safi sana
@NyandaGasongi-ck5rc
@NyandaGasongi-ck5rc 5 ай бұрын
Uko vizuli
@amosmacompyuta1015
@amosmacompyuta1015 5 ай бұрын
Hii ndo mwisho wa yote
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Devilinintungwawc2vk
@Devilinintungwawc2vk 5 ай бұрын
Pamoja sana kaka
@user-dq2tm4iu6l
@user-dq2tm4iu6l 5 ай бұрын
Safi jilan jamhanga matemba situdio
@rogetichuo4687
@rogetichuo4687 5 ай бұрын
Nzenganwa wane ulihooo
@jamesgerald7192
@jamesgerald7192 5 ай бұрын
Upo sawa
@NyandaGasongi-ck5rc
@NyandaGasongi-ck5rc 5 ай бұрын
@user-rx1uu3zl8v
@user-rx1uu3zl8v 5 ай бұрын
Kaka rogeti the biggest writer nakupata kutokea dar es salaam 🤣🤣🤣
@manambavideoproduction8394
@manambavideoproduction8394 5 ай бұрын
Imenifikia DJ JUMA MANAMBA ndani ya morogoro
@user-mv3qq3ss4w
@user-mv3qq3ss4w 5 ай бұрын
Pamoja sana ila huyu najitahidi kwenye video
@user-kp9if9jr5j
@user-kp9if9jr5j 5 ай бұрын
Kaza kamba broo tuko pamoja sna
@zabronnyanza6152
@zabronnyanza6152 5 ай бұрын
Safi
@KachojiTz
@KachojiTz 5 ай бұрын
Pongezi kwako Roget kazi Iko poa
@rogetichuo4687
@rogetichuo4687 5 ай бұрын
Tutulage milemo Kachoji kule sana twingila Nkoyi
@PETROADAM-dj9wb
@PETROADAM-dj9wb 5 ай бұрын
Hiiiiiiii nikali ya mwaka
@user-zd7iq5cc3j
@user-zd7iq5cc3j 5 ай бұрын
Hiii umekopi na kupisiti kwa kisima
@richardlukanya9273
@richardlukanya9273 5 ай бұрын
Ulisawa rogeti nyanda wa kukaya maguta ndani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@makambamussa5209
@makambamussa5209 5 ай бұрын
Majumbe bha Ng’wana Makanza tulesawa mise milemo duhu yaya ekelele
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 5 ай бұрын
Uwezo sana wote mliohusika na hii song
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 5 ай бұрын
Moto moto 2024 chuo hatupoi hatuboi
@user-mt3sc7ht1f
@user-mt3sc7ht1f 5 ай бұрын
Kaka unaweza endereza moto mashabiki tupo
@TadeoAmos-rt1iu
@TadeoAmos-rt1iu 5 ай бұрын
Mzee baba nakuchana tena du!! Wee ninoma sana
@user-us5ni1vk5x
@user-us5ni1vk5x 5 ай бұрын
🎉 good job 🔥🔥🔥
@NyandaGasongi-ck5rc
@NyandaGasongi-ck5rc 5 ай бұрын
Uko vizuli broo
@thentuzumusic
@thentuzumusic 5 ай бұрын
Sawa roget
@DIRECTOR_MSAFIRIJ
@DIRECTOR_MSAFIRIJ 5 ай бұрын
Unyqma
@michaellpeterpeter8252
@michaellpeterpeter8252 5 ай бұрын
Huyu fara sijui kaimba nn hata haieleweki hizi staili waachie akina gude na kisima watalamu
@rogetichuo4687
@rogetichuo4687 4 ай бұрын
Sawa kaka ntawaachia nisamehe tu kwakukukwaza sikujua
@gee-designer7956
@gee-designer7956 4 ай бұрын
Kama hauujuwi mziki usiongeee ujinga. Kisima n gude wana tone zao. Ukizungumuzia rogeti ana style yake na hao unao waona wanajuwa yeye ndo amewaandikia baazi ya nyimbo hao wasaniii wako.
@AntoniChonjatz
@AntoniChonjatz 5 ай бұрын
Chennel
@DJSNIPERINTRO
@DJSNIPERINTRO 5 ай бұрын
Eti watu wanasema munamuiga kisima kwa nyimbo kama hizi za asili 3ET nikweli jamani
@williamjames5267
@williamjames5267 5 ай бұрын
Ndugu tufanye kama siri ila ukweri nika hivyo jamaa kaja na moto mwingine ndiona aliwahi kusema njoo nikufundishe tungo na melody kali ata kama nilisha kukosea wengi wana nifatia hiyo hatupingi kasikilize nzuki
@DJSNIPERINTRO
@DJSNIPERINTRO 5 ай бұрын
@@williamjames5267 Hapana kisima yeye ndo amefata tu mfumo wa asili
@msukumamediatanzania6437
@msukumamediatanzania6437 5 ай бұрын
R_O_G_E_T______CHUO🙏
@richardlukanya9273
@richardlukanya9273 5 ай бұрын
Nigishijage ho akaya bila kumsahau pasi na makalanga
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@TadeoAmos-rt1iu
@TadeoAmos-rt1iu 5 ай бұрын
Pamoja sana msani wetu nakubali sana
@michaellpeterpeter8252
@michaellpeterpeter8252 5 ай бұрын
Huyu fara sijui kaimba nn hata haieleweki hizi staili waachie akina gude na kisima watalamu
@rogetichuo4687
@rogetichuo4687 4 ай бұрын
Nisamehe hata kama kuna mtu nyuma yako nae kaumia juu ya uimbaji wangu anisamehe tu sikujua jaman sorry
@balagwakatambi6497
@balagwakatambi6497 4 ай бұрын
Huyo sio msukumaa na hajui chochote kinachoendelea, Haina haja yakumjibu mtu asiekuwa na motivation kwenye kazi yako
@richardlukanya9273
@richardlukanya9273 5 ай бұрын
Nigishijage ho akaya bila kumsahau pasi na makalanga
Rogeti - Monica |Official video
13:00
Makula Studios
Рет қаралды 10 М.
Bahati Bugalama - Bhuhabhi |Official video
15:29
Makula Studios
Рет қаралды 177 М.
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 6 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН
Ng'wana Kang'wa _ Mbasa Lodge Video 2024.
15:37
BTM AFRICA ENTERTAINMENT COMPANY
Рет қаралды 8 М.
Ng walu Kisinzaa Masamva Official Video
12:12
Mahaha Studio OG
Рет қаралды 4 М.
Gude Gude Magaji 2 Official Video 4K Dir Migera
17:13
Gude Gude Tz
Рет қаралды 27 М.
Mayikusai_Mbeshi Jane_Official Video 4K
17:23
M.S Studio
Рет қаралды 17 М.
Rogeti ft Gude Gude - Ilange |official video 2023
16:13
Makula Studios
Рет қаралды 203 М.
Mwanzo Mwisho Lissu Afunguka Kilichotokea Mbeya
23:21
The Chanzo
Рет қаралды 33 М.
Rogeti - Nzenganwa  |official video 2024
15:10
Makula Studios
Рет қаралды 42 М.
Juma Marco_Wazazi Official Video Full HD
13:27
Juma Marco
Рет қаралды 688 М.
Rogeti ft Jacki Mjaluo - Punguza Hasira |Official video 2024
12:33
Makula Studios
Рет қаралды 35 М.