MKUBWA FELLA Asimulia A - Z Chanzo Cha UGOMVI na JUMA NATURE, Alivyoanza KUMSAIDIA!

  Рет қаралды 27,278

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@octaviantito
@octaviantito Жыл бұрын
Wasanii wa Zamani waliupiga mwingi saaaaana. Juma Nature moja ya msanii mkaliii saaaana.
@SamsungGalaxy-ld3lg
@SamsungGalaxy-ld3lg Жыл бұрын
Fella sijui kama unafahamu nini maana ya kuwa manager, ukubwa wako sasa usikufanye usahau ulikotoka kumpa mtu atumie usafiri wako wakati gharama zote analipa yeye si dhani kama huo ni u manager ki ukweli nature sio mwongeaji ila bado kuna watu tunaujua ukweli kuhusu u manager wako na una lolote baya la kuongea kuhusu nature sababu yeye ndio njia ya wewe kuwepo hapo ulipo
@noelkabaila3284
@noelkabaila3284 Жыл бұрын
Duuhh nikikumbuka kitambo kile nipo F 3 pale jitegemee ilikuwa siku ya alhamis pale kiumeni taifa full mapanga live fella alikimbia huyuu police changombe hatari leo tusahau yaliyopita 😂😂😂😂anataka apige hii yupo chini ya sugu😂😂
@emazjassam2452
@emazjassam2452 Жыл бұрын
Zamani manager alikuwa kama mdhamini fulani hivi.... Concept ya kuwa manager wa msanii ilikuwa bado.. Manager ilikuwa lazima uwe na chchte kitu mfukoni cha kumsupport msanii..
@abdulmasoud1921
@abdulmasoud1921 Жыл бұрын
🔥🔥🔥juma kwanza mabifu hayajengi congratulations mkubwa fela
@LumolaSteven
@LumolaSteven Жыл бұрын
Sio kumsaidia bhana, unamsaidiaje mtu mwenye kipaji. Sema mlikuwa mnafanya kazi pamoja. Sehemu kubwa nyie ni wanyonyaji tu
@vanemmy6043
@vanemmy6043 Жыл бұрын
unaumiya ukiwa wapi? wewe umesha Towa wasani wangapi?
@zerochanneltanzania3797
@zerochanneltanzania3797 Жыл бұрын
Napinga. Hapo kaka. Wangapi wana vipaji wapo tu. Tuangalie kwajicho latatu.
@slovetanzania812
@slovetanzania812 Жыл бұрын
ASANTE SANA MENEJA.KIUKWELI ULIZIFANYA ZAMA ZETU ZIWE TAMU SANA.. WASHA ZIDEO
@joharimapunda7678
@joharimapunda7678 Жыл бұрын
Kiki ya kumtoa juma ni moja tu mtafuteni sinta mtieni minoti wajifanye wame fall again wee jamaa akitoa midude itaenda kinoma noma
@FujoohTV
@FujoohTV Жыл бұрын
Kubwa sana big up to mzee wa kazi Sugu suguni kaka tunakubaliana na wewe...#fujoohtv #fujoohtheheavy
@Juleseilondja
@Juleseilondja 7 ай бұрын
🔥🎶🎶🎶🔥🔥🔥
@amirypyalla3306
@amirypyalla3306 Жыл бұрын
Haina haja ya kulumbana wala kufalakana watu wazima wazima wanasema busara ni kikaa kimya
@bossandingy412
@bossandingy412 Жыл бұрын
Eti jitu 😂😂😂 baba levo na inspector
@michaelmgimwa4268
@michaelmgimwa4268 Жыл бұрын
😂😂😂
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Жыл бұрын
Noma hilo mugambo
@davidlaiser8174
@davidlaiser8174 Жыл бұрын
Mwandishi fanya utafiti wako vizuri. Juma Nature alifanya vizuri kabla ya Fela. Fela alikuja baaadae sana. Jifunzeni kuweka kumbukumbu sana.Mpeni kila mtu heshima anayostahili.
@mirroyjunior8348
@mirroyjunior8348 Жыл бұрын
Naikumbuka T.M.K ileya 2004
@raymondmuga7542
@raymondmuga7542 Жыл бұрын
Nyie watangazaji wa siku hizi mnatoa taarifa bila facts, aliemfanya nature a shine ni P funk majani, nyie journalists wa mtaani should do your studies, mtupe facts
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 Жыл бұрын
Ki vp? Bas na amshainishe rapcha pia
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 9 ай бұрын
@@dastonamichaels1854 ww dogo sana huez elewa alafu linavyotajwa jina la P funk kuwa n heshima dogo msanii wako unaemshabika current asingekuw star bila p funk
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 9 ай бұрын
@@mohammedmhina3973 sjakataa uzito wa pfunk kwa industry but kwa nini amdiscredit nature ?
@asl6295
@asl6295 Жыл бұрын
Meneja mkubwa na msanii mkubwa
@tamimuomulungi2102
@tamimuomulungi2102 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gWXJgZWomquHrc0 Noma
@abedikapangasabiti5551
@abedikapangasabiti5551 Жыл бұрын
```kzbin.info/www/bejne/fHKtpqF4rbqMprs Tafadhali bonyeza maandishi hayo 👆🏻 ya blue uone sehemu ya 1 Ukimaliza kutazama mtumie mwezio ili nae ajue kipi halikua amesahau akumbuke```
The Story Book: RIHANNA Ni Mtamu Tangu Utotoni
22:25
Wasafi Media
Рет қаралды 495 М.
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 35 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 26 МЛН
ASLAY AMJIBU MKUBWA FELLA KUPENDA WANAWAKE NA POMBE, KUROGWA
6:42
EastAfricaTV
Рет қаралды 46 М.
FIESTA 2012 MOROGORO - JUMA NATURE 2
16:13
Fiestaconcert
Рет қаралды 24 М.
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 35 МЛН