Orchestra Safari Sound 'Masantula ngoma ya mpwita' na wimbo wao 'Mwaka wa watoto'. Muziki na wanamu

  Рет қаралды 9,715

MUZIKI NA WANAMUZIKI

MUZIKI NA WANAMUZIKI

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@stansiyomana1239
@stansiyomana1239 Жыл бұрын
Mimi ni mzaliwa wa Burundi. Niliishwi Tanzania (Dodoma) 1977-1982 na 1984/1985 kama mkimbizi (lakini sikuteseka, nilikua na kazi nzuri sana serikalini). Hizi nyimbo zinanikumbusha maisha kwenye baa huko Dodoma, Nzega au Kahama. ASANTE SANA TANZANIA.
@obillaezra6205
@obillaezra6205 3 жыл бұрын
Adam Zuberi wewe ni zaidi ya Mtangazaji” upo vizuri kuanzia Sauti na Kuhoji kwa Ufasaha” Mwaka wa Watoto inanitoa Machozi” polepole Ndio mwendo pole pole Ndio mwendo eeehhhh” Duh siku hazirudi nyuma” RIP Twahiri Mohamed
@patrickmsimbe2370
@patrickmsimbe2370 4 күн бұрын
Wimbo Bora sana mwaka wa watoto, mtunzi alifanya Kazi kweli kweli , Matuka Mwenda Bizoo, yupo Sammy Makasa , Kabeya Badu, Dingituka Malai, Mobali Kumbe, Twahiri Mohamed, Hiyo solo ya Sammy Makasa si mchezo na Saxophone ya Twahiri Mohamed imenogesha sana huo wimbo 😊
@twilamtumbi5351
@twilamtumbi5351 3 жыл бұрын
Adam kaka hongera sana. Unatupeleka mbali
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 3 жыл бұрын
kUMBUKUMBU HIYO
@aishamwalley1159
@aishamwalley1159 4 жыл бұрын
Adam Zuberi - hii kitu uloanzisha inatupa raha saaaa na kujua mambo mengi saana, Huyu Bizoo mie nilimsahau kabisa wallah! Big up!
@MUZIKINAWANAMUZIKI
@MUZIKINAWANAMUZIKI 4 жыл бұрын
Asante Aisha. Kaa vizuri kwani makubwa zaidi yanakuja.
@twilamtumbi5351
@twilamtumbi5351 3 жыл бұрын
@@MUZIKINAWANAMUZIKI kazi nzuri. Unatupeleka wakati ule
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 3 жыл бұрын
@@twilamtumbi5351 Yes
@davidm8359
@davidm8359 2 жыл бұрын
Hongera Adam Zuberi. Hongera Matuka Mwenda Bizoo!
@Vessojr
@Vessojr Жыл бұрын
Wazanzibari wapo vizuri sana katika ala za upepo
@twilamtumbi5351
@twilamtumbi5351 3 жыл бұрын
Matuka ulifanya kazi nzuri sana na OSS
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 3 жыл бұрын
Ya
@TheShakazulu02
@TheShakazulu02 4 жыл бұрын
Asante sana kwa kutunza kumbukumbu kwa faida ya vizazi vijavyo
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 3 жыл бұрын
aKSANTI
@savvyfmnewsroom5393
@savvyfmnewsroom5393 9 ай бұрын
KAZI NZURI .....
@twilamtumbi5351
@twilamtumbi5351 3 жыл бұрын
Yani happ marehemu Twahiri amefanya kazi kubwa
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 3 жыл бұрын
sANA KABISA
@athmanimkangara9290
@athmanimkangara9290 9 ай бұрын
Unaweza kulia daah 😢😢
@edmboya7779
@edmboya7779 Жыл бұрын
Adam Zuberi anajitolea vema kubeba zilizopendwa kale
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 3 жыл бұрын
Hakika Twahiri Mohammed alikuwa fundi wa kupuliza saxophone tangu akiwa Simba wanyika Original.
@beatusrichard5454
@beatusrichard5454 5 ай бұрын
Mungu awabariki sana ndugu,mimi Huwa silali nikisikia nyimbo hizi Mungu azilaze roho za marehemu hawa pema peponi Amina
@salumkyelula443
@salumkyelula443 Жыл бұрын
Hebu wafundishe hao wanaijiita maraisi wa wachambuzi wa muziki
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 4 жыл бұрын
Aksanti sana
@salumkyelula443
@salumkyelula443 Жыл бұрын
100%
@Vessojr
@Vessojr Жыл бұрын
Manuka alikua mwamba kwenye ridhim gitaa
@Zainabu-h9y
@Zainabu-h9y Жыл бұрын
😅
Orchestra Safari Sound (Masantula)
35:47
Tulipotoka Zamani
Рет қаралды 11 М.
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,7 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 51 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 350 М.
L'Orch. Safari Sound - Kifo Cha Mbaraka Pt. 1+2
11:04
Monkey D. Sound
Рет қаралды 189
03 mwaka wa watoto new)
10:39
ZILIPENDWAMUSIC
Рет қаралды 906
International Orchestra Safari Sound - Shida
6:40
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 14 М.
Juma Ubao "King Makusa" - Kipini cha dhahabu na mpunga wa kisele...
23:28
MUZIKI NA WANAMUZIKI
Рет қаралды 9 М.
Wimbo 'ASHA BORA' wa Sikinde I Mtunzi asema ilikuwa ni Stori ya kweli
19:24
MUZIKI NA WANAMUZIKI
Рет қаралды 6 М.
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН