Hongereni sana wa loolere kwa Utume wa uinjilishaji Mungu awabariki sana
@lengaisngataiti639923 күн бұрын
Hongereni sana kwaya yangu wa loolera
@konemelau906825 күн бұрын
Congratulations Wana kwaya loolera kwa kazi ya MUNGU mnayoifanya
@PrinceAga-tp8kr25 күн бұрын
Hongereni Sana kwaya yangu pendwa
@naweechitv444421 күн бұрын
Natambua ubora wa video si mzuri sana. Kama mmiliki wa hii channel nilipata nafasi ya kuandika beti la kwanza na kuimba pamoja na kwaya yetu. Tunaomba mzidi kufuatilia channel yetu. Tutaendelea kufanya jitiada za kuboresha na kukuleta mafundisho mazuri. Miaka 50 ya Jumuiya ndogondogo za kikristo.