MashaAllah mada hizi zinafaa kuongelewa mara kwa mara kwani ndio maisha Yalio kithiri kwa kasi kubwa, hongera Sheikh Rashid kutuletea mada hii,na tunakushukuru Sheikh Msabbah kwa Elim yako,wa Jazakumullahu khair.
@hasnuuali4637Күн бұрын
Allah atuongoze ameen
@SamsiaKassaKangeta2 күн бұрын
Masha Allah mmeigusa jamii kwenye mshono wake wa operesheni...!
@rajabsuleiman72313 күн бұрын
Asante shekh
@mwanamosishah41042 күн бұрын
Assalaam Alaykum. Asanteni sana kwa Darsa zuri.
@universitylink2 күн бұрын
Mashaallah sheikh msabah
@FatnaIddy-p6k18 сағат бұрын
Asha Allah
@hafia.0563 күн бұрын
Asalam alaikum wrhmtllah wbrkth. Hakika kabisa dawar tunopata Hakika kabisa tunaelimika
@Nassor23773 күн бұрын
Maashallah
@Nassor23773 күн бұрын
Hii mada muirudie na muendelezo kwa upana zaidi ili elmu hii uwaamshe watu kwani hivyo vitendo saiv vinaonekana kama ni sehemu ya maisha ya sasa watu wanajisau