Huyu mzee ni mzalendo wa kweli na anatendea haki taaluma yake kama Jaji
@harounmaarufu32416 сағат бұрын
Ametqmka wazi matendo haya yanafanywa na serikali na serikali inaundwa na ccm
@harounmaarufu32416 сағат бұрын
Mzee watioba kuwa muwazi usimumunye maneno.lakini myngu anajua yeye ndo hakimu
@richarddavidmk51 минут бұрын
Nunueni miki
@frankkajoba83726 сағат бұрын
CCM ndio chanzo cha hayo yote. Chama kimepoteza mvuto kimebaki kutumia nguvu / mabavu ya vyombo vya dola kulazimisha kukaa madarakani.
@jeanmusamba84487 сағат бұрын
hiyo ndo ccm wanavurunda alafu wantoa mtuwa ku neutralize,he cant go against the gvt.Me naona turudi kwenye chama kimoja tu ccm basi,itakuwa kweli na itapendeza.Siasa zimepoteza maisha ya watu wengi sana
@frankkajoba83726 сағат бұрын
Itakuwa humfuatilii huyu mzee
@jeanmusamba84486 сағат бұрын
@@frankkajoba8372 anaongea mawe mazito namkubali,lakini tujiulize kama watu wanauwawa yeye ndo wange mwacha?afrika vyma vingi bado sana turudi kwenye chama kimoja ccm pambalam,embu imagine pangekuwa na chama kimoja tungepoteza watu wote hao kina mzee kibao soka?sisi wa Tz sio wajinga we know very well what is going on.Dawa ni chama kimoja ccm pambalama
@harounmaarufu32415 сағат бұрын
Uko sahihi .hotuba yake ni tofauti na alivyokuwa anajibu maswali.huyu naye ni walewale
@jeanmusamba84485 сағат бұрын
@@harounmaarufu3241 hahahaha uko smart kaka umegundua