Jux - As Long As You Know [Ilimradi Unajua] (Visualizer)

  Рет қаралды 1,952,173

JUX

JUX

Күн бұрын

Jux releases the visualizer to the stunning buzzing record (As Long As You Know[Ilimradi Unajua]) The track produced" Produced by Foxx Made It.
The official audios are now out and available in different platforms.
Mapepe and Sawa official audios are out now. KingOfHearts
Available Worldwide:
africori.to/jux...
© 2022 African Boy
Follow Jux
Facebook: / juma-jux-553
Instagram: / juma_jux
Twitter: / africanboyjux
More from Jux:
Now You Know ft. Q Chief: • Jux - Now You Know [Fe...
Wambela ft. Ruby: • Jux - Wambela [Ft. Rub...
Jux - As Long As You Know. (Ilimradi Unajua) Lyrics
Intro:
Heiyee eeeh
Verse:
Hauna furaha,
Haifichi sura yako.
Najua una mpenzi,
Unampenda ila moyo wako haupo hapo.
Unapata karaa
Unatunza utu wako (Mmm)
Labda unajiuliza kwanini nahitaji namba yako.
(Ilaaa)
Pre-Chorus:
Sio lazima nikipiga simu upokee (Aa aa aa aaah)
Sio lazima message zangu majibu yarejee (Aaa aaa aaah aah)
Nasema sio lazima mi nawe tukae tuongee (Ilaaa)
Ukipata muda (Majiii) yakizidi unga nipigie,
Chorus
Ilimradi unajua (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajuaaa (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajua (Hayee aa hayee hayeee)
Ilimradi unajuaa (Hayee aa hayee hayee)
As Long As You Know, eiiiiiii eeeeh,
As long as you know, as long as you know (Aaaaaah)
Verse:
Nasema joto,
Likizidi unapoza na maji.
Ila changamoto,
Zinapozidi unakosa amani.
Kuna umpweke hujiwezi,
Unachukia na mapenzi.
Kwanini ufe na kitanzi,
Wakati mimi nipo na iko wazi.
Pre-Chorus:
Sio lazima nikipiga simu upokee (Aa aa aa aaah)
Sio lazima massage zangu majibu yarejee (Aaa aaa aaah aah)
Nasema sio lazima mi nawe tukae tuongee ilaa (no no noo)
Ukipata muda ( majiii ) yakizidi unga nipigie, Ilimradi Unajua
Chorus
Ilimradi unajua (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajuaaa (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajua (Hayee aa hayee hayeee)
Ilimradi unajuaa (Hayee aa hayee hayee)
Mamaa As Long As You Know, Uuuh yeeeeh, Aaa as long as you know, Unajuaaa yeyeee mmmm
Outro:
Hayee aa hayeee hayeee (Usikose amani)
Hayee aa hayeee hayeee (Mamaa usijitese)
Hayee aa hayee hayeee (I'm here, I'm here , I'm hiiiii)
Hayee aa hayee hayeee (Faraja yako ipo)
Hayee aa hayeee hayeee (Babe usikosee amaniiiii)
Hayee aa hayeee hayeee( aaaaaaaaaaaa aaaaa aaaa)
#Jux #AsLongAsYouKnow #KingOfHearts

Пікірлер: 1 700
@neomiw9694
@neomiw9694 3 жыл бұрын
Yaani huyu jamaa alimpenda vannesa yaani hata vannesa akarudi leo jux atamkubalia tu
@ElishaErnest-xd9qt
@ElishaErnest-xd9qt 10 ай бұрын
Doreen this is your dedication
@Iam.dato8
@Iam.dato8 3 жыл бұрын
Jux for life!! Kama unampenda Jux like down
@roseoboga3860
@roseoboga3860 3 жыл бұрын
Aki nampenda tu
@zaitunihamisi8360
@zaitunihamisi8360 3 жыл бұрын
Nampenda miaka mia
@hellenhamani6056
@hellenhamani6056 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@aminadan8910
@aminadan8910 2 жыл бұрын
@@roseoboga3860 asc
@macwasele675
@macwasele675 2 жыл бұрын
@@zaitunihamisi8360
@OladedoyeFolasade
@OladedoyeFolasade 4 ай бұрын
🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬we love juma jux❤
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 3 жыл бұрын
Vanessa na wewe mwenyewe ni dedication yenu ya nyimbo .. 😊😊kuna mtu atanisha kwa kugonga like hapa 😆
@innocentgodlisten7983
@innocentgodlisten7983 3 ай бұрын
Kwa hio vee huko alipo moyo wake haupo!!
@kabaikonlinetv1449
@kabaikonlinetv1449 3 жыл бұрын
Goma Kali kinoma
@kadoacademy551
@kadoacademy551 3 жыл бұрын
The only African boy❤️ This is a very nice song Acha like hapa kama umeikubali hii nyimbo
@lgt-Legatho
@lgt-Legatho 3 жыл бұрын
Nice song wabongo tujuane. Na wakenya uganga burund kwa like
@chuchusain7364
@chuchusain7364 3 жыл бұрын
I think we should appreciate Jux for channeling his heart break and pain to deliver us lifetime songs that we can relate to and dedicate to our loved ones. This is what it means to be an artist. 💔
@shanizlucymwangi
@shanizlucymwangi 3 жыл бұрын
I think he moved on, and he just makes content of what happens
@roseruwa2638
@roseruwa2638 2 жыл бұрын
Exaaaactly
@richardpeter2596
@richardpeter2596 2 жыл бұрын
Nice so sweet
@richardpeter2596
@richardpeter2596 2 жыл бұрын
Nice like it
@alexgraphixtz
@alexgraphixtz Жыл бұрын
Fact
@Minkow_M
@Minkow_M 3 жыл бұрын
Lets get jux to the grammys guys!!!!! Lets goooo🇰🇪🇹🇿
@janetmaina9903
@janetmaina9903 3 жыл бұрын
I second jux to the grammys straight
@nyikasplace9886
@nyikasplace9886 3 жыл бұрын
How?
@sophieatieno5148
@sophieatieno5148 3 жыл бұрын
I was just imagining this the other day, like I wish that Grammy Academy could understand his lyrics and that he had more international promo. I feel like he deserves a Grammy too for always putting so much thought into his lyrics. His love songs are amazing.. Shida ni hatuwezi fanya much
@nyikasplace9886
@nyikasplace9886 3 жыл бұрын
@@sophieatieno5148 Sophie, awards are not awarded based on 'lyrics.'
@sophieatieno5148
@sophieatieno5148 3 жыл бұрын
@@nyikasplace9886 Don't you think I know that. There's a whole criteria, things to do with albums and play time within a certain period e.t.c for Grammys specifically but I wish they could understand his lyrics to know him more,see his consistency, get to follow up on him and so on.. Would be great if people knew him enough to listen to him in large numbers, get him more play time. His songs are great and so are his videos.. The lyrics bit is why I (personally) think he should get a Grammy because they speak to many
@ngugigladys721
@ngugigladys721 3 жыл бұрын
This the typeof songs that our ears wants to hear.. Its like the 1990s vybes type of music is coming back..African boy to the world
@mankarichard5851
@mankarichard5851 3 жыл бұрын
For sure for sure mziki unaoishi i💯🙌
@sheyshey3514
@sheyshey3514 3 жыл бұрын
African boy unaniimba Sana'a yani unaniongelea kwa kila nyimbo unayotoa Nipo kwenye ayo maisha uishi miaka mingi bro
@Neevisionary
@Neevisionary 3 жыл бұрын
I agree ☝️
@telvinnicholas
@telvinnicholas 3 жыл бұрын
True
@aliathuman8606
@aliathuman8606 3 жыл бұрын
Good vibez from the one n only African Bwoy!,,,
@nadalibrahim1261
@nadalibrahim1261 2 жыл бұрын
Hii inanihusu kabisa.....sending this song dedication to halima (mama aysher)....
@leticiajohn3114
@leticiajohn3114 3 жыл бұрын
Sasa kwanni ulimuacha wakati bado unampenda kwa kiasi hicho jmni pole juma.
@Zilizopendwa_60s
@Zilizopendwa_60s 3 жыл бұрын
I wish Kama rapper mmoja mkali angechanika humo ndani ingekuwa fire SANAAAAA... NWAY GOOD MUSIC
@salammohammedy9316
@salammohammedy9316 3 жыл бұрын
Vanesa popot ulipo nyimb inakuusu mashaalah jux umeutendea haki my brother 🙏🙏🙏🙏💕💕💕💕💕💕
@classicscoresmartine9098
@classicscoresmartine9098 3 жыл бұрын
Daah nyieee nyieeee huyu mtu mkoa mmoja ubadlishwe uitwe jux❤️🙌
@juliuskeraryo1058
@juliuskeraryo1058 3 жыл бұрын
huu wimbo ni mzuri jamani wanaoungana mimi gonga like
@sanayahaji9961
@sanayahaji9961 3 жыл бұрын
Jux hatari saana uyu jamaa ila apewi heshima anayostaili ajawah kutoa ngoma mbovu uyuu na asilimia kubwa ngoma zakee zoote ni eatsongs
@Matiherbalist
@Matiherbalist 3 жыл бұрын
❤️ nyimbo zaeleweka na ziko wazo thanks Sana sio kelele kama wengine nakupenda Bure
@PhillipEssir
@PhillipEssir 3 жыл бұрын
Dah..we jamaa unajua kinoma yaan, kama nilikutuma mm uimbe hv bro..
@duncanbisonga1766
@duncanbisonga1766 3 жыл бұрын
Am the only person thinks that jux deep down still loves Vanessa from the expression of his song, anyway loving his talent 🇰🇪🇰🇪
@Metabell
@Metabell 3 жыл бұрын
True
@robertplasidus5179
@robertplasidus5179 3 жыл бұрын
yeah
@kamenecate1921
@kamenecate1921 2 жыл бұрын
True 🥵❤️🥺
@terryscoffer
@terryscoffer 2 жыл бұрын
Indeed 😊
@kevinmwasenga2224
@kevinmwasenga2224 3 жыл бұрын
We jamaa ni fundi sana💥💥💥
@lamgekonge
@lamgekonge 3 жыл бұрын
Classic song ever from Jux. This man is talented. Inspiration kali Sana . Respect you sir.
@ab3ab313
@ab3ab313 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@alyamohammed7047
@alyamohammed7047 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@barakmollel6401
@barakmollel6401 3 жыл бұрын
I love how Juma Jux care about Vannesa sema tuu wadada wanakuwaga na vichwa vigumu
@benithaeliazary1510
@benithaeliazary1510 3 жыл бұрын
Wooow! Huu' ndo wimbo tuliosubiria kutoka kwako bro hisia kalii ♥️ I like it froM the bottom of my heart ♥️🥰👌
@litylowlancemdekwa3684
@litylowlancemdekwa3684 3 жыл бұрын
Inauma kudate na mtu ambae kunamtu yupo Makin kumsubr atokee kwako amchukue.... Rotimi acheze step zake vzur aiseee
@dorinezawadi3521
@dorinezawadi3521 3 жыл бұрын
King Of Hearts 🎙🎙 Umeua Sana......JUMAJUX 📌📌📌📌
@roseodhiambo1290
@roseodhiambo1290 3 жыл бұрын
Vennessa wetu rudia Jux banaaa anakufa na mapenzi daaah noma sanaaaa 😭😭😭😭
@officialgypson
@officialgypson 3 жыл бұрын
My best artist ever. Sio lazima...tell them ...we don't force issues. All the best bro pia hapa Nairobi tunasema tu sio lazima.
@princexulexh9260
@princexulexh9260 3 жыл бұрын
Kaka jux uko juu song zko sio zakipuzi keep it up with the same spirit
@zawadessau9917
@zawadessau9917 3 жыл бұрын
Umetisha sana ma bro juma jux unajua mpak unakeraa🔥🔥
@akredfred1243
@akredfred1243 2 жыл бұрын
Fellicitation JUMA JUX nimesha ku skiliza kwa nyimbo nyingi za mapenzi ila hu wimbo una nigusa kabisa congration my best artist
@arabgandaempire
@arabgandaempire 3 жыл бұрын
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@marykatanakarisa5594
@marykatanakarisa5594 3 жыл бұрын
Cheers 🥂
@marykatanakarisa5594
@marykatanakarisa5594 3 жыл бұрын
Cheers 🥂
@mrsinia3064
@mrsinia3064 3 жыл бұрын
Together bro 💪💪
@saidchitanda2782
@saidchitanda2782 3 жыл бұрын
Binafsi namshukuru Vanessa kumove on kafanya Jux atuimbie nyimbo nzuri xana 🤗🤗
@anthonykamaukuria
@anthonykamaukuria 3 жыл бұрын
Naona hii ni dedication kwa Vanessa ❣️Ngoma Kali though.
@salammohammedy9316
@salammohammedy9316 3 жыл бұрын
Yes my jux anampend sn vanesa
@quartz7930
@quartz7930 3 жыл бұрын
Ukweli mtupu 😅😅😅 ngoma fiti though 🔥
@ngugigladys721
@ngugigladys721 3 жыл бұрын
Finally got somebody with the same thoughts as me... That true his love to vee is young forever we can tell
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 3 жыл бұрын
Nimesikiliza mwanzo pia ahhhhh
@anthonykamaukuria
@anthonykamaukuria 3 жыл бұрын
@@ngugigladys721 Yeap that's for vanessa
@muharamihossein454
@muharamihossein454 3 жыл бұрын
Huku ndy tulikuzoea jux fundii
@beatrizsteph9745
@beatrizsteph9745 9 ай бұрын
No body is talking about the lady playing the violin 😅,she’s just in love with the beats and the message seems to touch her to the soul😊, here again in 2024🖐🏾
@shanawilliam1050
@shanawilliam1050 3 жыл бұрын
Yaaaan just unajua unajua halaf unajua tenaaaa,igweeeeeeeee I salute u
@quarantine325
@quarantine325 3 жыл бұрын
Jux on his own lane, the best 🐐
@stephenkivumbi8681
@stephenkivumbi8681 3 жыл бұрын
Hii jux ni ya venessa mdee sema ukweli,love is always blind.
@aminnawilliam1528
@aminnawilliam1528 3 жыл бұрын
I can't imagine how harder he tries to open the doors For VMoney 😘😘 all about love, by the way this boy is so talented, such a vibes song , watu wa Tz tuonane hapa
@sympathymgaza3156
@sympathymgaza3156 3 жыл бұрын
+255
@adrophnjojoli588
@adrophnjojoli588 3 жыл бұрын
Bro huwa una nitoa machozi, mungu yup pamoja na we uzidi kutukonga nyoyo
@shahawanjiru4171
@shahawanjiru4171 3 жыл бұрын
How this song has so much emotions going on ,I swear the soul is communicating 🥺🥺❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💕 amazing work jux👏👏
@philemonmichael3527
@philemonmichael3527 2 жыл бұрын
Jamaa anajua mpaka anaboa 👊👊👊🌍🌍
@esthernonneh2740
@esthernonneh2740 3 жыл бұрын
there are pple we always meant to be with in life n we run away from them untill we cant run anymore....love wins
@kennedymmbando
@kennedymmbando 3 жыл бұрын
Hawa dada zetu wa TZ unawaimbia nyimbo nzuri unawagharamia ila bado unakuta wanaenda kuolewa nje ya nchi .Excellent song bwana mdogo
@ngugigladys721
@ngugigladys721 3 жыл бұрын
On repeat mode cant get enough of this song..this will forever remain young I just wonna be jux someday
@jeffiiddo2719
@jeffiiddo2719 3 жыл бұрын
Si ya Vanessa but ni ya wale wote wanao penda music mzur 🔥🔥🔥kali sana mwanangu
@achukalobee1107
@achukalobee1107 3 жыл бұрын
Juma Is Just On His Own Level..None Can Be Compared With Him..~ AfricanBoy Once Again.
@farhiyanuun1178
@farhiyanuun1178 3 жыл бұрын
Good music 😘😘😘 nasubir live band ya hii nyimbo can't wait ✍️🤦🏽‍♀️
@Lilmbunda
@Lilmbunda 3 жыл бұрын
Fans of Jux inside & outside Tanzania 🇹🇿 gather here 📌
@ramadhaniomar4774
@ramadhaniomar4774 3 жыл бұрын
Best music bro hii umegusa watu wengi tumepitiaa hii❤️❤️❤️
@khamissalim1778
@khamissalim1778 3 жыл бұрын
Indeed time is the most precious thing. Kwa yoyote huku nje anaepitia ugumu wa mapenzi tafadhali pigana hadi mwisho......usiwachilie shikilia,tatua,fafanua na simamia penzi lako. Kila la kheri
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
Leo ndo kwa mala ya kwanza nakubali ngoma za Jux, hatari sana hii 🔥🔥🔥🔥
@wonderstylish
@wonderstylish 3 жыл бұрын
NGOMA TAMU MORE LOVE FROM KENYA 🇰🇪
@ndalahwadepow8289
@ndalahwadepow8289 3 жыл бұрын
You can always mr
@amosbatto9430
@amosbatto9430 3 жыл бұрын
Never hear b4 Talented man.Kuna muda u~mpweke hujwz,unachukia na mapenzi kwann ufe na kitanz wakt me npo na niko waz.
@ShicoVlogs
@ShicoVlogs 3 жыл бұрын
The most talented man in East Africa 👏👏👏👏👏👏His type of music and vocals OMGGG😭😭😭🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰NAKUPENDA JUX💘💘💘🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@felixomondi2981
@felixomondi2981 3 жыл бұрын
Of late you are my no one TZ artist you have it takes to be the one bro Ngoma safi sana
@Valerie.Achieng
@Valerie.Achieng 3 жыл бұрын
The emotions in this song ❤️❤️❤️....i want to love someone this much lakini kanairo 🤪. Keep up the good work jux
@ErnestkitetoMatilda
@ErnestkitetoMatilda 3 ай бұрын
Jux ametukumbuka Sisi yatima wa mapenzi
@Spikesempire
@Spikesempire 3 жыл бұрын
The real Tanzania star without clout chasing skits ❤️❤️🥰 makofi jameni👏👏👏
@Lastbornecadet
@Lastbornecadet 3 жыл бұрын
Baba kupendeza amefanya yake tena! Vazi moja mia zao
@masuudosman7876
@masuudosman7876 3 жыл бұрын
1:28 that's melody is just genius ❤️❤️
@nzeyimanaabdallah131
@nzeyimanaabdallah131 3 жыл бұрын
Sio lazima kuongeya kazi inasema kbsa bro iko okay💥🔞
@ommywhity1665
@ommywhity1665 3 жыл бұрын
Jux kaka mkubwa maneno yako yananigusaaaa sanaaa yani unaimba na hisia Kaka dooooooooo jux upo juuu Kaka nakubaleeeee Kaka Vanessa alikugusa mkaka doooo kwely mfungwa achagui jelaaa
@kennedymwanangoie6881
@kennedymwanangoie6881 3 жыл бұрын
Jux 🙌🙌 this song is exactly what I’m currently passing through Thanks 🙏 Juma
@realremih
@realremih 3 жыл бұрын
Unateswa na msichana😄
@johndixon9976
@johndixon9976 3 жыл бұрын
Nipigie mwenzangu maji yakizidi unga
@kennedymwanangoie6881
@kennedymwanangoie6881 3 жыл бұрын
@@johndixon9976 😭😭
@paulprotas7198
@paulprotas7198 3 жыл бұрын
finally u came to opposing side bro thanks for this punch Kwa kibongo hii na ambakati ya mwakinyo...respect
@rayzonevic4041
@rayzonevic4041 3 жыл бұрын
Jux can really sing from his soul..I feel it so nicely💓💓💓🇰🇪
@ferouzmasoud4870
@ferouzmasoud4870 3 жыл бұрын
Ngoma Kali Sanaaa 🙏 Namkumbuka Demu wangu tuliyo achana daaaah 😭
@beingkhanjames
@beingkhanjames 3 жыл бұрын
Yaonekana Vanessa BADO YUPO MOYONI❤
@salammohammedy9316
@salammohammedy9316 3 жыл бұрын
Yes my bd jux anampenda vanesa
@chanjusupernews9219
@chanjusupernews9219 3 жыл бұрын
Kaka wivu naweka kando utakuja kuuwa watu yani unajuwa mpka unakera we ni fire💪💪
@kubekb
@kubekb 3 жыл бұрын
A dedication kwa yule Ex wangu kabisa💔
@raphaelibrahim8160
@raphaelibrahim8160 3 жыл бұрын
Jux Hujawahi kukosea mwamba. Your my favorite Singer
@golden3202
@golden3202 3 жыл бұрын
Jux isn't pregnant but he always delivers 🔥💯
@georgealoyce4849
@georgealoyce4849 3 жыл бұрын
I like it “always deliver”
@ritagona6474
@ritagona6474 3 жыл бұрын
😁 Very true 👍
@stephaniasambuta116
@stephaniasambuta116 3 жыл бұрын
Fake youu
@georgeleonard5384
@georgeleonard5384 3 жыл бұрын
And he delivers cute and handsome babies
@Ivanune
@Ivanune Жыл бұрын
This comment took me out!!!!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@chabushizo3972
@chabushizo3972 3 жыл бұрын
This is a deep feeling tumetoka na bado unaumizwa na mapenzi tu oa hata kama mshamba
@dianasamson9311
@dianasamson9311 3 жыл бұрын
Jux Love Vanessa for real.... and Vanessa Loves Jux ... thats feels so right to me.... 😍 soulmates💞
@Nyangema2
@Nyangema2 3 жыл бұрын
Mzee hii ngoma ni current situation yang kwa Sasa ni umeniimbia mimi kabisa heshima kwako 💔
@zipporahwanjiru
@zipporahwanjiru 3 жыл бұрын
Mdee alipo lazima atakuwa amepokea taarifa😍😅
@amosmbangala9079
@amosmbangala9079 2 жыл бұрын
sanaaaa
@monicaisaya6143
@monicaisaya6143 3 жыл бұрын
Duuuh! Jux jamani nyimbo zako mbona hivyo lakin hadi nimehisi kulia kabisa unaimba kwa hisia sana nakupenda jux❤️❤️❤️❤️😭😢😢
@saidypilly1803
@saidypilly1803 3 жыл бұрын
AFRICAN BOY THE BEST ARTIST IN TZ WHERE ARE ON TRENING?💥💥💥
@AbdulKalim-ty6yp
@AbdulKalim-ty6yp 10 ай бұрын
Tuna kupenda hapa Burundi❤
@abinelikagezi9217
@abinelikagezi9217 3 жыл бұрын
When you are in a cartain moment 💔💔 and listening to this song u may even cry😓😓
@jaffarmagawa3245
@jaffarmagawa3245 3 жыл бұрын
Unaupiga mwingi sana African boy 🙌🤝
@miregwaobare6001
@miregwaobare6001 3 жыл бұрын
I think break up made Jux much more lethal in his music. He is the unspoken Goat.
@caspermukalo6323
@caspermukalo6323 3 жыл бұрын
Jamaa anajituma sana napendaga bidii yake one love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mimilamar937
@mimilamar937 3 жыл бұрын
Are you thinking what am thinking! Jux good job, I've been playing this on replay. You took your time and believe still taking time not to move on in purpose. You express deep emotions in this song and hopefully this music is delivered to not only Vanessa but to all who have genuinely love someone
@abdallahhussein5997
@abdallahhussein5997 3 жыл бұрын
Nyimbo na video mpya ya mwaka 2000. Very creative jamaa
@xeavyjay
@xeavyjay 3 жыл бұрын
Not many tht appreciate this man .. but he is up there .. this guy is talented... BIG UP mjomba nakutambua
@clarantatubanganya9634
@clarantatubanganya9634 3 жыл бұрын
True
@simeonkwendo6302
@simeonkwendo6302 3 жыл бұрын
True
@zaitunihamisi8360
@zaitunihamisi8360 3 жыл бұрын
Jux kaka hiii kiboko yangu asante kwa kutuliwaza maana wengi tuna maumivu
@sophieatieno5148
@sophieatieno5148 3 жыл бұрын
Jux just never disappoints 😀 Always looking forward to his love songs.. Love how he's on his own lane, figuratively and literally here 👌
@jeccijork6324
@jeccijork6324 3 жыл бұрын
He's talented man in east Africa
@shiksshiks8494
@shiksshiks8494 3 жыл бұрын
African Bouy my favourite🥰🥰🥰 Ili mradi unajua nakupenda beste thats whts really matter😘😘😘
@wambuimaingi
@wambuimaingi 3 жыл бұрын
Jux never disappoints 💥💥
@QueenShiwoku
@QueenShiwoku 6 күн бұрын
Love from Nigeria 🇳🇬
@jackiem9110
@jackiem9110 3 жыл бұрын
We missed You KING 😭❤️
@lonahmassey7603
@lonahmassey7603 2 жыл бұрын
Jux pia mm niimbie Moja aki😍😁
@holykingmedia2429
@holykingmedia2429 3 жыл бұрын
This is what I've been waiting my brother 🔥🔥🔥🔥🥳🥳🥳🤏👌💪💪 listening it directly from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥 Kenyan ❣❣❣❤❤❤❤
@filbertfaustine7357
@filbertfaustine7357 3 жыл бұрын
Uandishi umekaaa💥 🔥 mashahiri yako level jux RNB
@alphoncio4496
@alphoncio4496 3 жыл бұрын
The producer did an excellent job, great song
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 3 жыл бұрын
Watu wote kutoka Kenya nawashukuru sana kwa saport yenu kwenye muziki wa Tz. Nasema nyie ni upendo sana sana
@sweetbertgervas3425
@sweetbertgervas3425 2 жыл бұрын
Jux can really sing from his soul..I feel it so nicely
@khamisshee5131
@khamisshee5131 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jux Ft Diamond Platnumz - Ololufe Mi (Official Video)
4:20
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
Regina - Otile Brown x Jux  (official Video) Sms Skiza 7301508 to 811
3:19
Otile Brown Official
Рет қаралды 22 МЛН
MBOSSO - YAMAHA COME TOGETHER CONCERT SERIES | 11TH EDITION
54:30
Tommy Flavour ft Alikiba - OMUKWANO (Official Music Video)
3:02
Tommy Flavour
Рет қаралды 7 МЛН
Walter Chilambo feat. Jux - Success (Official Video)
3:42
Walter Chilambo
Рет қаралды 1,5 МЛН
Best of Fave #love
17:32
Kwesi Bliss
Рет қаралды 308 М.
Diamond Platnumz - I miss you (Official Video)
4:59
Diamond Platnumz
Рет қаралды 31 МЛН
Ислам Итляшев - ПАЦАНЫ НА СТИЛЕ ! Премьера клипа!
2:17
Say Mo ft. Akha - Buenas noches (Official Music Video)
2:20
Stray Kids "CASE 143" M/V
3:41
JYP Entertainment
Рет қаралды 29 МЛН
INSTASAMKA - POPSTAR (prod. realmoneyken)
2:18
INSTASAMKA
Рет қаралды 6 МЛН
A Car Trip to My Grandma | D Billions Kids Songs
2:05
D Billions
Рет қаралды 2,3 МЛН
Qanay & ALI Otenov - Lolly (Music Video)
2:59
AAA Production
Рет қаралды 87 М.
Kalifarniya- UAQYT (feat Qarakesek)
2:55
Kalifarniya
Рет қаралды 930 М.