JWTZ WAFUNGUKA BAADA YA KUTOA LORI MTO WAMI "INJINI BADO HAIJAPATIKANA, MKUU WA MAJESHI AMETUAGIZA"

  Рет қаралды 572,832

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 599
@kibwanamashaka1459
@kibwanamashaka1459 4 жыл бұрын
Shukrani CDF Mabeyo! Shukrani B Gen Komba! Shukrani kikosi cha nyumbu! Hili ndio jeshi letu! Tunajivunia kuwa nalo! Nafikiri watanzania tutaelewa kwa nn AMIRI jeshi mkuu anawapa Kazi nyingi JWTZ! Huwa hawashindwi na jambo Mungu ibariki Tanzania.
@eliahlesilwa7951
@eliahlesilwa7951 4 жыл бұрын
Jwtz nimoto wa kuotea mbali
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 4 жыл бұрын
Sahihi
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 4 жыл бұрын
Tunashkuru kwa support yenu.
@jackgodgivenzihindula
@jackgodgivenzihindula 4 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Rais mzuri, Askari wazuri, wanaichi wazuri, inchi nzuri... Tuna pongeza kila mtu aliye shiriki kwa kazi izi.... Viva Tanzania. Watching from Capetown 🇿🇦
@fatmamustapha6929
@fatmamustapha6929 4 жыл бұрын
Maneno mazur Kama haya na wifi yetu huwa unamwambia hv?
@gilianmlindo9312
@gilianmlindo9312 4 жыл бұрын
Dah, nimekupenda bule kila kitu kizuri tanzania yetu saaaaafiii.
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
We we pia mzuri kuwa making huko sa.
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Jamani watanzania tusimsahau mke wa Dereva maana kaachwa mjamzito hatujui kama anakazi au msaada wowote na Mungu awabariki, jeshi la wananchi Tanzania Mungu awabariki sana.
@jamilamweta4444
@jamilamweta4444 4 жыл бұрын
Twawezaje kupata mawasiliano ya huyo mama
@fideadavid9147
@fideadavid9147 4 жыл бұрын
Ila kweli kuhusu mke Wa dereva jamani. pia mungu aendelee kuonesha njia kwako mama
@MohsinKhan-fr2vp
@MohsinKhan-fr2vp 4 жыл бұрын
@@jamilamweta4444 q
@naftalsigwejo623
@naftalsigwejo623 4 жыл бұрын
JWTZ mmefanya kazi kama Jeshi la Mungu wa Majeshi, hongereni sana na huo ndio moyo wa kitanzania. Mungu anaagiza upendano. Bravooo!
@salumkhalifasalum2586
@salumkhalifasalum2586 4 жыл бұрын
Mama usikate tamaa inshallah kwa uwezo wa ALLAH utapata gari lingine zuri zaid yahilo sisi tuko pamoja nawewe kukuombea dua kw ALLAH akunyooshee njia nzuri na iliyosahihi zaid. Hongera sn mkuu wamajeshi mzee GENERAL MABEO naww ALLAH akujalie imani namoyo wahuruma kuwahurumia wanaoskihiki kuhurumiwa shukraan sana BARAKALLAH FIIK.
@klthoomklthoom698
@klthoomklthoom698 4 жыл бұрын
Alhamdulilah mungu ni mwema
@bibiemohamed6044
@bibiemohamed6044 4 жыл бұрын
Ameen
@jmtvtanzania2403
@jmtvtanzania2403 4 жыл бұрын
Mbali kiwe kwakazinzili jw
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@salomelugome4742
@salomelugome4742 2 жыл бұрын
Hongereni makamanda wetu.Tunajivunia Jeshi letu imara. Mungu awabariki sana
@queenlynne4157
@queenlynne4157 4 жыл бұрын
Kutoka Kenya nimefuatilia hii story Hadi nimeona Mungu akisaidia mama.pole Sana kwa hio .shukrani kwa jeshi kuu kazi Safi hapo..God bless Tanzania .....
@janetmlulla374
@janetmlulla374 4 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana Aisee. Mungu atampa maarifa mengine mwanamke mwenzetu na ataamka tena. Hakuna kukata tamaa.
@jacklineminja2022
@jacklineminja2022 4 жыл бұрын
Acha niwaendelee kupenda JWTz asante sana Brigedia General Komba na team nzima ya kikosi cha Nyumbu. Mkuu wa majeshi Mungu akutunze akubariki asante baba
@dalilamohamed8126
@dalilamohamed8126 4 жыл бұрын
Safi sana jeshi langu la Tanzania mmeonyesha moyo kwanduguyetu bi Mwajuma asante sana asante jeneral mungu awabari muwe na moyo huo huo wakutusaidia
@agathakomba8133
@agathakomba8133 4 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana CDF.namshukuru Mungu Sana kwa ajili ya kumtetea mtanzania huyu . Mama Mwajuma usikate tamaa Mungu anakupenda na kukuthamini Sana hata ameinua msaada juu yako.endelea kupambana.
@denismketo3717
@denismketo3717 4 жыл бұрын
Hii ndio maana halisi ya jeshi la wananchi. Hongera sana Gen. Mabeyo, Brig. H. Komba na wote mliofanikisha zoezi ili. Ni imani yangu, mama utapata msaada zaidi. Salute
@lydialiyaruu1363
@lydialiyaruu1363 4 жыл бұрын
Usipokata tamaa Mungu anafanya. Ashukuriwe Mungu anayekwenda kufanya hata zaidi kwaajili ya mama yetu mpanaji.Asante jeshi la Tanzania kwa kazi njema Sana . Mungu away awabaruki wote.waliotoa support katika jambo hili. Hakika tumejifunza mengi
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 4 жыл бұрын
Asanteni sana jeshi letu la Jwtz pamoja na Cdf Venance Mabeyo mungu akuzi dishie baraka na umri mzur kwa kuonyesha kwako kujari tatizo la mama yetu Mwajuma mungu ibarik Tanzania nawatu wake
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 4 жыл бұрын
Jamani mwenyewe kujariwa mshikeni uyu mama mkono 😭😭😭😭😭nimevaa kiatu chake akinitoshi
@omarishabani2357
@omarishabani2357 4 жыл бұрын
mmb
@RomwardWM
@RomwardWM 4 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁 hatare sana we dada kaongo umevaa kitu chake hakikutoshi , una hata gari la mkulima ?
@yahayyahay6773
@yahayyahay6773 4 жыл бұрын
@@RomwardWM 😂😂
@ndwatanchullah4013
@ndwatanchullah4013 4 жыл бұрын
Japo duah zako dada
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 4 жыл бұрын
@@RomwardWM gari sina ila nikilitaka na nunua jipya kwa akili yangu ndogo siwezi kununua gari hali ata banda la kuku sina ..... nikija kwenye kiatu uyo mama kachakarika miaka sichini ya 10 au 9 lkn ndio imeishia hapo je mm ninae anza kutafuta..............
@jackycute2047
@jackycute2047 4 жыл бұрын
Mungu awabaliki Sana jeshi letu la tz pmja na mkuu wa majeshi
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 4 жыл бұрын
Alhamdulillah,Palipo na nia pana njia, Shukran kwa mkuu wa jeshi na wenzake Allah awazidishie wote upendo na Amani na huruma Aamiin.
@mwanaidimussa4998
@mwanaidimussa4998 4 жыл бұрын
Mubarikiwa sana wana jeshi namungu awaongoze. Asanteni sana kwakazi murio ifanya hatamimi nime fulahishwa sana kwakuonyesha ushirikiano asanteni sana mungu awa bariki
@deniceshao1578
@deniceshao1578 4 жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu .. Kwa kuwapa uwezo JWTZ. Kikosi nyungu kulitoa ilo gari ni bora kilicho patikana sio sawa na bure. Kuliko mama angeendelea kujipa moyo gari ipo kumbee imesha kwisha.. Mungu amtie nguvu
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 4 жыл бұрын
Sio nyungu.ni nyumbu
@ibrahimjobu9141
@ibrahimjobu9141 4 жыл бұрын
Ni nyumbu co nyungu ndugu yangu
@hadija846
@hadija846 4 жыл бұрын
Amiin🙏🏼
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 4 жыл бұрын
Duuu
@oscarcharles9269
@oscarcharles9269 4 жыл бұрын
Safi Sana JWTZ MUNGU awape Kila la kher katika shughuli zenu hakika mna moyo mzuri Sana Sana.!!!
@gabrielmatthew6667
@gabrielmatthew6667 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana wanajeshi wetu
@angelrichard8211
@angelrichard8211 4 жыл бұрын
Daah miujiza tu kutoka binafs nilishakata tamaa Mungu awabarik sana mliolitoa
@neemambwambo7537
@neemambwambo7537 4 жыл бұрын
Ahsante Mungu
@shemsahemed3577
@shemsahemed3577 4 жыл бұрын
Ameen yaarabi
@fatumamohammed4226
@fatumamohammed4226 4 жыл бұрын
Nice mkuu wa majeshi ya Tanzania mungu awape moyo huo wa guswa na kuwasaidia wananchi na wale wote walioshirikiana ktkt kila jitihada mungu awatunze vyema.
@stanleyfocas8250
@stanleyfocas8250 4 жыл бұрын
Najivunia kuwa mtanzania mungu ibariki Tanzania mungu bariki viongozi wetu wape afya njema upendo huu sio wakawaida
@mdidiomari7351
@mdidiomari7351 4 жыл бұрын
Millard ayo umewashinda tv zote tz wewe upo pamoja sana na wananchi🙏pongezi kwako mkuu pamoja na mkuu wa majeshi tanzania
@cammycamilius6856
@cammycamilius6856 4 жыл бұрын
Mungu awatunze JWTZ Tunawapenda Sana makamanda wetu
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sn kwa moyo wa huruma mlikotoa Mungu awazidishie.
@abdulmalikaudreykaipa4007
@abdulmalikaudreykaipa4007 4 жыл бұрын
Baraka zishukie mkuu wa majesh kwa kanzi mzur Allah akuepushe na mabaya Allah ailinde familia yako.
@mheheoriginal9712
@mheheoriginal9712 4 жыл бұрын
Mungu amjalie helly nanguvu nafraha nauvu milivu Maishani mwake nawalio fikwa namatatizo Kama haya Amen
@fatumahassan8212
@fatumahassan8212 4 жыл бұрын
Hongera mkuu wa majeshi kwa namna ambavyo umeonyesha moyo wa imani na kutowa msaada kwa mama yetu khakika na imani kubwa sana na utumishi wa awamu ya tano (Mungu ibariki tanzania )
@dennischeyo1302
@dennischeyo1302 4 жыл бұрын
Asante watanzania wote mlioifanya hii Kaz tuendelee na upendo wetu na amani yetu
@SarahNambela-m1v
@SarahNambela-m1v Ай бұрын
Mungu wetu hufanya njia atapasipo njia ametenda maajabu🙏🕊️🧡💛💚💜💙💕
@giftmlange3327
@giftmlange3327 4 жыл бұрын
Ayo Tv mmbarikiwe sana kwa kumsaidia hyu mama bila nyie asingeonekana pia jeshi mmbarikiwe sana kwa upendo kwa kumsaidia hyu dada lv u👏👏😍😍
@abdulimalikhamadi1078
@abdulimalikhamadi1078 4 жыл бұрын
Maa shaa allah maashaalh Mwenyezmungu awalipe kher nyote wakuu wetu wa majeshi na wote mlio husika kwa msaada huo
@florameza9529
@florameza9529 4 жыл бұрын
Asante saaana ndg zetu wanajeshi mungu awape nguvu zaidi
@daudimahimbo1222
@daudimahimbo1222 4 жыл бұрын
Hongera sana JWTZ kwa kazi nzuri ya uokoaji.
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 жыл бұрын
Hongereni sana jeshi la polisi kwa kumsaidia huyo mama Mungu wa mbinguni awabariki sana muendelee kuwa moyo huo.
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 4 жыл бұрын
Mungu ambariki sana sana huyo mkuu ana moyo wa huruma sana na anamjua Mungu hakika hii ndo tz inayojali raia wake asante Mungu
@jacksontawete9226
@jacksontawete9226 4 жыл бұрын
munguu awabarikiii sanaaa katika kazii zenuu
@ariffaizal8006
@ariffaizal8006 4 жыл бұрын
Very good, , Allah will pay you, it's heart terching
@michaelsumka7090
@michaelsumka7090 4 жыл бұрын
Ahsanten pia hongereni Sana Hili ndo lile Jeshi Pendwa nchini Tanzania mbarikiwe Sana🙏🙏🙏
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 жыл бұрын
Hii ndiyo nchi yangu tz, naipenda nchi yangu. Asanteni wanajeshi wetu, mmeonyesha mpo kwaajili yetu!!
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 4 жыл бұрын
Jeshi letu zuri sn.Mkuu Mungu akuinue pamoja na familia zenu wote mliohusika kumsaidia mama Mwajuma.Mungu atawainua.
@sabinashabani9742
@sabinashabani9742 4 жыл бұрын
Safi sana makamanda kwa kuguswa na hili tukio chakusema sasa nikuzidi kumuombea huyu mama asikate tamaa mungu yupo atalipa tena na pole sana mama
@abuuqaasim4815
@abuuqaasim4815 4 жыл бұрын
Hongera sana mkuu wetu wa majeshi na serikali yetu kwa ujumla hakika huo ndio ubinadamu mungu awatangulie ktk kazi zenu za kujenga taifa letu.
@ghulamjuma2883
@ghulamjuma2883 4 жыл бұрын
Hongereni sana Ni kweli nyinyi ni jeshi la wananchi
@stallahsamwel5627
@stallahsamwel5627 4 жыл бұрын
Dhu! Mmefany kazi nzur hongereni San kwa kazi nzur mungu atawalipa
@shailakipingu1112
@shailakipingu1112 4 жыл бұрын
Hongera sana mkubwa wa majeshi na wote walioshiriki jeshi retu ra Tanzania daima tutatuenzi kwa aman
@sabujrtv487
@sabujrtv487 4 жыл бұрын
@JWTZ hakuna linaloshndkana kulee MUNGU azd kuwalinda ma Afande wangi💪💪💪
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 жыл бұрын
Safi sana mkuu wa majeshi ya tz kumbe mna huruma mungu tunaibariki kwa njia yoyote ile nimepata amani niliumia Sana japo siyo langu mama kuweza kuwa na gari km hilo anapambana Sana mama mungu nilijua atawainua watu wa kukusaidia usiogope Kaa na mungu vinzuri na pole Sana mamaa
@stellakiondo7283
@stellakiondo7283 4 жыл бұрын
Mungu awabariki jeshi letu .
@krispinkomba4606
@krispinkomba4606 4 жыл бұрын
Viva JWTZ,,, viva Nyumbu,
@imanmwashitete5243
@imanmwashitete5243 4 жыл бұрын
Kwakweli mungu awabaliki kwakazi Asanten kwakumsaidia huyo mama
@rehemashabhay2205
@rehemashabhay2205 4 жыл бұрын
Molla awajaalie jeshi letu .Ndugu V.Mabeho molla akuongezee imani Inshaalah.Umemsaidia huyu mama nawe Mungu atakupa lako fungu.
@Frajuu
@Frajuu 4 жыл бұрын
Wanajeshi ni watu wazuri sana wapo kwa ajili ya nchi na pia amani kwa mioyo ya watanzania, nyote muwe salama katika mapambano ya nchi yetu
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 4 жыл бұрын
Big up afande Komba kwa kutekeleza agizo la afande CDF uko vizuri kwa kazi tangu ukiwa bwingabo.hongera kwa kumsaidia huyo mama wa Tanzania kutoa gari yake. Mungu ibariki pia JWTZ kwa kazi nzuri.
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 4 жыл бұрын
Asante makamanda wetu Tanzania kwa kusikia kilio cha mwanamke mwenzetu asnte magufuli
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 4 жыл бұрын
Mungu awabariki wana jeshi kwa moyo wenu na umakini na ushujaa na kujitoa.
@mackmillan2803
@mackmillan2803 4 жыл бұрын
Mama zidi kumtegemea Mungu,Mimi namwamini Mungu anafanya njia pasipokuwa na njia,,Aliweza kupasua njia katikati ya Bahar!Hakuna linaloshindikana kwa Mungu,,we mwamin tu Inatosha.
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana jeshi letu la TZ angalau atapumua kidogo 🙏🙏🙏🙏
@marthasumaye6017
@marthasumaye6017 4 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni awabariki Sana wanajeshi wetu nawapendaga Sana wanajeshi
@evaakyoo3009
@evaakyoo3009 4 жыл бұрын
Nimefurahi mbarikiwe sana wanajeshi mungu awabariki sana
@israelisponsor8755
@israelisponsor8755 4 жыл бұрын
Ndo maana nawapenda sana wanajeshi wetu Hongera kwa moyo wa upendo
@Khaleed5767
@Khaleed5767 4 жыл бұрын
Watu wabaya , Subhana'ALLAH wameiba engine na cabin.. Kwa uzoefu wangu sio rahisi cabin na engine kupotea hivyo vyote huwa vinashikana na chassis... Kwa ufupi kuna mdau atakuwa amevihitaji zaidi ..Dah Binaadam wengine noma sana..
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 4 жыл бұрын
umesahau hiace ilizama kivukoni walikuta haina engine
@babasuleiman3012
@babasuleiman3012 4 жыл бұрын
Kamanda mabeho mungu akubariki Sana akupe maisha matefu.
@marykibwana9413
@marykibwana9413 4 жыл бұрын
Nashauri, dada Mwajuma, uza vifaa vichache vilivyoopolewa.Heri kununua jipya. Kwa kadri utakavyochangiwa. Mungu akutie moyo.
@nkenemalulu1330
@nkenemalulu1330 4 жыл бұрын
CDF Venance Mabeyo, umedhhirisha Utanzania, Uzalendo na kuiweka dhahiri maana JWTZ kwa Watanzania kuwa ni Jeshi letu. Pole saana kwa Huyo mama asikate tamaa. Pia kwa waliopoteza maisha katika ajali hiyo Mungu awape mapumziko mema peponi Amina.
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 жыл бұрын
Mubarikiwe wote mliomsaidia mwenyez MUNGU atawalipa🙏🙏
@annapeter4994
@annapeter4994 4 жыл бұрын
Tumewapenda bure wa jeshi wetu. Hii inatupa moyo kuwa Tanzania tunaye wa kulilia ambaye hatoi msaada kwa kuangalia huyu ni kabila gani na anatoka wapi. Mungu awabariki sana na sana 💪💪💪💪
@magrethmvungi2516
@magrethmvungi2516 4 жыл бұрын
Nmefurah sana yote haya ni mpango wa mungu asante mungu, endelea kuonyesha njia kwa watanzania wote waguse wamsaidie huyu mama kutengeneza gar lake aweze kusimama tena asante mungu
@jeromendetaulwa3466
@jeromendetaulwa3466 4 жыл бұрын
Mungu awabariki wanajeshi wetu watanzania wanajeshi si maadui ni marafiki wa watanzania
@allyjuma463
@allyjuma463 4 жыл бұрын
Pole Sana Mama Mungu Akifanyie Wepes wa kila jambo
@Elijahkha
@Elijahkha 4 жыл бұрын
CDF, Divers,Nyumbu Project, hongereni kwa kweli hayo ndo mema ya nchi mungu awajalie mema
@santosmungure8279
@santosmungure8279 4 жыл бұрын
Utarudishiwa Mara Saba elfu simama na Mungu tu🙏
@stanleychisaluni1503
@stanleychisaluni1503 4 жыл бұрын
Nyumbu Ni wafundi,tuombe Mungu wanaweza mtengenezea
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Gari ilivyoharibika je itafaa tena?? Naombeni mnijuze plz
@Ibrah287
@Ibrah287 4 жыл бұрын
Huwa zinanyooshwa tu zikifika karakarani, na hutoijua ndio ilikua imebondeka bondeka hivo... Hakuna kinachoshindikana....
@jemamhagama4978
@jemamhagama4978 4 жыл бұрын
Mmenifurahisha sana jwt. Safi sana!
@officialmologa
@officialmologa 4 жыл бұрын
Mbali na malaika Jeshi Ni Mkono wa Mungu ,licha ya madhaifu mbali mbali ya kibinadamu , Respect
@Splkevin8026
@Splkevin8026 4 жыл бұрын
Ongereni sana makamanda wetu mungu Awape nguvu
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 4 жыл бұрын
Jeshi hAwashindwi kitu kudadadadeki wale pamoja na kukomaa na M 5 Walishindwa.Nimewaza hata wangekuja mapema wangelitoa lote.Ahsanteni sana Jeshi letuu.Mbarikiwe pamoja na mkuu wenu.
@usullenolascos7610
@usullenolascos7610 4 жыл бұрын
Shukrani Sana jeshi letu.asante CDF kwa kujali
@bububuzanzibar9497
@bububuzanzibar9497 4 жыл бұрын
Mungu akubariki CD OF. Mabeyo ww nimungwana kweli nanimtu wa mfano Allah akubariki unahuruma sana umeweza kuwasaidia hadi wtt wetu walioko JKT kuwemo ktk kz Allah akutakulie
@rejobu9723
@rejobu9723 4 жыл бұрын
Walio fanya kazi ya kujaribu kuivuta na breakdown ndio walio ihalibu hiyo gari pl sana mama na Asante kwa mkuu wa majeshi kwa msaada wako mungu atakulipa kwa msaada wako!
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 4 жыл бұрын
Dah! Allah Ndiye Mjuzi wa yote haya.Pole sana dada kwa mkasa huu! Poleni wote waathirika.🤦‍♂️😥
@suleimanassaa5383
@suleimanassaa5383 4 жыл бұрын
Pole sana mama kila kitu anapanga Allah kwa Sababu zake Inshallaah Allah akupe Subra kwenye kipindi hichi kigumu unachopitia Amein Amein Yarraby
@eliahdonarth7644
@eliahdonarth7644 4 жыл бұрын
Just the efforts that have contributed with JWTZ are good juxt big up
@abdillahkaguro1694
@abdillahkaguro1694 4 жыл бұрын
Kweli mzee baba umekomaa nae kila hatua umetujuza big up man endelea kuwa na moyo huo huo
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 жыл бұрын
Huyu jamaa anazungumza vzr sana Hongera sana kwa kaz nzr Mungu atawasimamia
@anastaziaconstantine4569
@anastaziaconstantine4569 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwamoyo wakujitolea
@AhmedAhmed-bk2il
@AhmedAhmed-bk2il 4 жыл бұрын
Safi sana jeshi langu....🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jacklinemosha8831
@jacklinemosha8831 4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu awabariki sana muwe na upendo huo huo
@chechejohakim6955
@chechejohakim6955 4 жыл бұрын
Asanten sana kwa msaada wenu
@hynaombanambayakohy207
@hynaombanambayakohy207 4 жыл бұрын
Salut sana jeshi letu ndo maana tanzania yetu inaamani,mmeonyesha mfano mzuri sanaa
@iddothmani3273
@iddothmani3273 4 жыл бұрын
Kweli mungu ndo kila tu. Ahsanten makamanda kwakazi nzur namsaada Mkubw
@ndwangilandwangila9334
@ndwangilandwangila9334 4 жыл бұрын
Selekali yenye watu sahihi naipongeza mkuu wa JWZ Mungu akulinde. Rais wetu hakukosea.
@sporamashanga4019
@sporamashanga4019 4 жыл бұрын
Wote mlio shiriki kumsaidia huyo mama Mungu awabariki sana. Hii ndiyo Tanzania Yetu.
@kikwayutv8975
@kikwayutv8975 4 жыл бұрын
Millardayo unastahili heshima kwa habari zako, achana na wale wahuni wanaotafuta kiki mitandaoni sio level yako
@zaharaallymwndelezotunatak818
@zaharaallymwndelezotunatak818 4 жыл бұрын
Asanteni jeshi letu mbarikiwe
@ZaharadaffaZaharadaff
@ZaharadaffaZaharadaff 4 жыл бұрын
Hongereni sana majeshi yetu kwa kazi ngumu ila Tz jamani yaani engine washaenda kuifungua muda tu dah watu hawana huruma
@devothafredrick3911
@devothafredrick3911 4 жыл бұрын
MBARIKIWE Sana kwa kazi nzuri mlioifanya 🙏🙏🙏
@neymafrancis6219
@neymafrancis6219 4 жыл бұрын
Shukrani kwake mabeyo🤲🙏
@stadiuscornely3859
@stadiuscornely3859 4 жыл бұрын
Daaah mungu akusaidie mkuu wa majeshi kwa iki ulicho kifanya kwa uyo mama
@eliasikagemulo213
@eliasikagemulo213 4 жыл бұрын
Pongezi kwa JWTZ mmefuta machozi Mtanzania mwenzetu mama shupavu ,mpambanaji naamini kilichopatikana siyo haba kuliko Hari zima kupotea.Mungu akutie nguvu Dada Mwajuma.
@richardstephano2311
@richardstephano2311 4 жыл бұрын
Good job jwtz
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,6 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 14 МЛН
High Alert! US B-52 Bomber Makes Emergency Takeoff at full speed
8:12
UPDATE MILITER
Рет қаралды 10 МЛН
Diamond wire stone cutting process | How to saw stone using diamond wire
17:54
Village Real Life by Manu
Рет қаралды 315 М.
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 76 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37