No video

ALIYENUSURIKA KIFO AJALI YA LORI WAMI ASIMULIA MISUKOSUKO NJIANI "DEREVA HAKUONGEA HADI TUNAZAMA"

  Рет қаралды 644,075

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

#millardayoUPDATES#mtowami

Пікірлер: 862
@aronnyboy_tz7785
@aronnyboy_tz7785 4 жыл бұрын
Kama unamuombea dogo apone tujuane kwa like👇
@innocentsmartbarnabas7597
@innocentsmartbarnabas7597 4 жыл бұрын
Tunashukuru Sana Kwa Kutupa Taarifa! Ila Mnakosea Sanaa Huyo Kijana Bado Hajapona Sawa Isitoshe Kaumia Mdomoni Nyie Mnamuongelesha Kwa Muda Mrefu Hivyoo, Huo siyo Ubinadamuu
@marymfugwa847
@marymfugwa847 4 жыл бұрын
Ni Mungu amekunusuru maana kuogelea mguu ukiwa umevunjika! Pole sana.
@priscamedadi1108
@priscamedadi1108 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu mungu ni mwema bado anakusudi juu ya maisha yako pole familia ya frank kwa kupoteza kijan wenu
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 4 жыл бұрын
Kikubwa ni duwa pia anakumbu kumbu zake Alhamdulillah
@mdeeboy846
@mdeeboy846 4 жыл бұрын
Naona dada alikuwa na malengo mazuri ya dogo akomae na magari ili badae wakuze kampuni kifamilia,lakini ndo hivo changamoto za maisha hizo. Pole dogo ,ukikaa sawa rudi kwenye game. Allah ndiyo mjuzi .
@monicamonica4597
@monicamonica4597 4 жыл бұрын
Daaa pole Sana dogo mungu akusaidie upone
@allyseif8676
@allyseif8676 4 жыл бұрын
Poleni xn kwa huo mtihani Allah awape subra ktk pindini hiki cha shida na awape shifaaa ya hrk
@sophiasophia9713
@sophiasophia9713 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu, Una maisha marefu, upone haraka insha'Allah
@ashuramohd3053
@ashuramohd3053 4 жыл бұрын
Amen
@honekisebwa226
@honekisebwa226 4 жыл бұрын
Amen
@rosekhamis3511
@rosekhamis3511 4 жыл бұрын
Amen
@britcalma_7261
@britcalma_7261 4 жыл бұрын
Yaan moyoyangu unaniuma sana anijaman mungu atusaidie atuepushe pia
@joycekilula123
@joycekilula123 4 жыл бұрын
Du pore sana kaka
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 жыл бұрын
Jamani kijana mdogo maskeen ALLAH ATAKUPONYA MWANANGU AMEEN UGUA POLE SANA BABA
@sulekhamustapha613
@sulekhamustapha613 4 жыл бұрын
Pole Mwanangu mshukuru mungu
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Ameen
@perpetuasaid7558
@perpetuasaid7558 4 жыл бұрын
Pole mwanangu Mungu baba atakuponya
@jacklineminja2022
@jacklineminja2022 4 жыл бұрын
Pole mwanangu upone haraka Mungu ni mwema . R.I.P Frank
@TheAlesry
@TheAlesry 4 жыл бұрын
Amin
@maryamramadhan9454
@maryamramadhan9454 3 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepes utapona mdogowangu
@tunusurukilwasha5862
@tunusurukilwasha5862 4 жыл бұрын
Pole sana mdg angu mungu atakuponya inshaa allah
@chriskalega4348
@chriskalega4348 4 жыл бұрын
Anavo mhoji ni vizur Zaid kujua Kama kumbu kumbu anazo au la! Ila dogo ni mwanaume kweli nimemkubali pole sana pia hongera zake sana mungu mwema
@rehemafrancis9074
@rehemafrancis9074 4 жыл бұрын
yani nmeona ni vizur maana naona hajaumia kichwan na kumbukumbu zipo
@mosaidi2633
@mosaidi2633 4 жыл бұрын
Utapona vizuri,na inshallah m/mungu atakusaidieni
@gabrieljohn6703
@gabrieljohn6703 3 жыл бұрын
Pole sa na mungu atkutia nguvu na utae delea nashughulizakp za kila ciku amen
@utapatatabusanautanyooka2600
@utapatatabusanautanyooka2600 4 жыл бұрын
Inaumaaaa Sana tuwaombee wagojwa wapone 😭👏natumuombee ndugu yetu alo kutwa namauti mungu 👏 ajaahali uko aliko nasisi tutaend huko
@hellenalbert5317
@hellenalbert5317 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo wetu mwenyezi Mungu akupe uponyaji wake urejee katika Hali yako
@cathyonce91
@cathyonce91 4 жыл бұрын
Inauma sana, sikia kwa mwenzio. Mungu ampe pumziko la milele Marehemu
@cadeyvassir1132
@cadeyvassir1132 4 жыл бұрын
Get well soon dear , you're very handsome and precious. May God help you, and your sister too.
@salmaalbarwani2618
@salmaalbarwani2618 4 жыл бұрын
ALLAH atakupa afya yako mtoto wangu
@josephmtiba7379
@josephmtiba7379 4 жыл бұрын
god help you my young brother very soon will you be okay
@oscarrolland2616
@oscarrolland2616 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo angu mungu akulinde
@oscarrolland2616
@oscarrolland2616 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo angu mungu akulinde
@pierremathias4162
@pierremathias4162 4 жыл бұрын
Hi
@ashurashuraym3497
@ashurashuraym3497 4 жыл бұрын
Duh pole sana mdogo wangu,yaani ajali ilikua kubwa sana kwa jinsi nilivyoona gari ikitumbukia nimejikuta naishiwa nguvu tu,Mungu akuponye mdogo wangu na M/Mungu apumzishe roho ya marehem mahala pema peponi,mwandishi ungejaribu kupunguza maswali maana huyo mtoto bado hajakaa sawa!
@fatumamasumbuko5778
@fatumamasumbuko5778 4 жыл бұрын
Daaah pole sana mdogoangu na marehemu mungu aweke pema roho zao da
@mariamissa4029
@mariamissa4029 2 жыл бұрын
Poke sana mdogo wangu allah atakuafu,,pia allah ailaze roho ya marehem mahali pema
@fridajosephyusif4364
@fridajosephyusif4364 4 жыл бұрын
Pole sana Mungu bado anakupenda
@jacklinemugeta7189
@jacklinemugeta7189 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu, Mwenyezi Mungu atakuponya...utafutaji wa watoto wa kiume ni mgumu sana jamani eeh Mwenyezi Mungu walinde watoto wako.
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu utapata nafuu kwan Allah yuko pamoja nawe
@hamidajuma3909
@hamidajuma3909 4 жыл бұрын
Pole mtoto wa mwanamke mwenzetu Allah atakuafu Inshaallah
@sporamashanga4019
@sporamashanga4019 4 жыл бұрын
Pole mdogo wangu Mungu atakuponya.
@aminielyohana3052
@aminielyohana3052 4 жыл бұрын
Powa sana ndugu yangu mungu akutangulie ee mwenyezi mungu watangulie majeruhi wote amen
@kibibisherrysherry5660
@kibibisherrysherry5660 4 жыл бұрын
Dah pole Sana kaka Allah yu pamoja nww inshallah 🙏 quick recovery 🙏
@mozasaid3869
@mozasaid3869 4 жыл бұрын
Pole sana kaka! Mwenyezi mungu atakuafu
@tabuseleman8389
@tabuseleman8389 4 жыл бұрын
pole Sana mdogo wangu namuomba Allah mwingi wa Rehma akujalie uweze kupona
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 4 жыл бұрын
Inauma sana,mdogo wangu! Yani inauma mno.Ila nina imani kuwa Allah Ana sababu na Anafahamu nini sababu ya kuumia kwako,mdogo wangu.Wala hujapata ajali kwa bahati mbaya,ndugu! Mola wako ndiye Aliyepanga ajali ikupate.Nina imani kuwa Mungu Atakuponya tu.Nami nakuombea upate salama mapema! Amiin.Pole sana!
@modestermwakyoma1003
@modestermwakyoma1003 2 жыл бұрын
Mungu wetu nimwema shetan ndo msababishaji wa Shari magonjwa kifo na mateso yoote
@seraphinesylvester985
@seraphinesylvester985 3 жыл бұрын
Pole sana kijana mungu akuponye
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 4 жыл бұрын
Pole mdogo wangu atakuponya tunakuombea Allah yu pamoja nawee
@mohamedothman248
@mohamedothman248 3 жыл бұрын
Poleni sana ndugu zetu
@aminahabibu6280
@aminahabibu6280 Жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu mungu akuponye
@reheamzee6112
@reheamzee6112 3 жыл бұрын
Pole cana na mitihani mungu atakusaidia
@mwanamisimsangi610
@mwanamisimsangi610 4 жыл бұрын
Pole Sana Mungu atakuponya
@utapatatabusanautanyooka2600
@utapatatabusanautanyooka2600 4 жыл бұрын
😭😭😭👏Safar nihatua nalililo pangwa namungu 😭😭😭Aya maneno ndugu mtangaza nakuomba usimuhoji najikuta nalia Kwan inauma
@kumeilbandali
@kumeilbandali 4 жыл бұрын
Nyie vp. Huyu kijana amesavivu ajali mbaya sana, mngesubiri apone angalau.
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Kabisa
@francisruambothetechnician
@francisruambothetechnician 4 жыл бұрын
Hapo kuna njia inatumika walau wadau waguswe waweze kuwasaidia unazani bila ela inakuaje
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 жыл бұрын
technology haswaaaa
@janeejjs9345
@janeejjs9345 4 жыл бұрын
Ndio nashangaa
@kehamashorts1706
@kehamashorts1706 4 жыл бұрын
munamatazo gani Lakin
@barickprogrammer
@barickprogrammer 4 жыл бұрын
Safari iligoma Muda Sana aseee, sema ndo huwezi kesho yako!! Pumzika Kwa Aman Frank, ulipambana Kwa uwezo wako!!
@safyagghhsh682
@safyagghhsh682 3 жыл бұрын
Mungu ajuponye ishaallah
@tatuomary7973
@tatuomary7973 4 жыл бұрын
pole Sana kaka angu kipenz Allah akufanyie shifaa ya haraka upone ponyo lisilo na kovu umeniliza kaka angu jmn ningekuwa Tz ningekuja kukujulia Hali brother angu dah pole saana
@tatukayanda2224
@tatukayanda2224 4 жыл бұрын
Pole sana dogo allah akutie nguvu millard ayo 👏👏
@wereomusula2258
@wereomusula2258 4 жыл бұрын
Pole Sana kijana mdogo.tunakuombea mema.wewe ni shujaa.mungu akubariki sana
@Da-cr6ow
@Da-cr6ow 4 жыл бұрын
Pole sana Allah atakufanyia wepesi Insha Allah utapona ajali haina kinga yote nimipango ya mungu poleni sana wafiwa inauma sana lakini ishapangwa
@hassannestor9340
@hassannestor9340 4 жыл бұрын
Pole mwanangu mungu atakuafu utapona
@emmanueldaud8569
@emmanueldaud8569 4 жыл бұрын
Pole boy mungu atakuponya
@neemaruttahiwa2664
@neemaruttahiwa2664 2 жыл бұрын
Pole mdogo wangu ndo utaftaji roho imenihuma pole sana
@kanubrown3158
@kanubrown3158 4 жыл бұрын
Akipangacho mungu binadamu awez pangua naiman km angekubal wazo la dereva mwenzake la kupunguza mwendo ili nae akagonge nyuma ingewanusuru polen mlioumia na mungu amlaze mahara pema peponi
@fatumaseleman9870
@fatumaseleman9870 4 жыл бұрын
Pole sana mungu akutie nguvu
@sayanairan5282
@sayanairan5282 4 жыл бұрын
😭😭😭pole saana jamani Allah amfanyie wepes apone haraka alaf we mwandishi umekomalia neno la mwisho ili likusaidie nn mtoto wa watu hata kuongea tu anashidwa hebu muwe na mioyo ya huruma jaman maswali mengine hayana umhim alaf angalau mngesubir apate nafuu
@eliassylvester8150
@eliassylvester8150 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu Mungu bado anahitaji uishi pamoja na ndugu zako usiache ibada
@shafiiyahaya2193
@shafiiyahaya2193 4 жыл бұрын
Dah,pole Cana Allah akufanyie wepesi utapona tuu Ila uxichoke kumuomba mwenye zmungu,na tunamuombea mwenye zmungu Frank amlaze mahali pema peponi ameena inxha Allah🙏
@bonfacemoimbo8377
@bonfacemoimbo8377 4 жыл бұрын
Waaah! Ya Mungu haikosolewi kweli. Kuna sababu Uko hai kijana. Shukuru sana
@anifamsenda4651
@anifamsenda4651 2 жыл бұрын
Mungu yupo nawe utapona kwa uwezo wake
@deborayunucy4791
@deborayunucy4791 3 жыл бұрын
Mungu ndo mfariji natunaomba akuponye pole Sana tznaima utapona
@keyhussein2319
@keyhussein2319 4 жыл бұрын
Masikin pole mdog angu Allah yupo pamoja nawe inshaallah utapona kwa uwezo wake
@jimmykimotuo7429
@jimmykimotuo7429 4 жыл бұрын
Pole sana Dogo, Mungu atakuponya😭😭😭
@aishamohamed3407
@aishamohamed3407 4 жыл бұрын
Pole san mungu atakuponya
@irenenyange4085
@irenenyange4085 4 жыл бұрын
Pole sana kijana Mungu ni mwema hakika ana makusudi na wewe! Wafiwa Mungu awape nguvu na uvumilivu
@sarafinaluoga3672
@sarafinaluoga3672 2 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu mkubwa utapona Na mung tunaomba umpokee frank
@Qeek_Smart
@Qeek_Smart 4 жыл бұрын
Pole sana kakaangu we Ni mzuri sana mwenyez mungu akuponye 🙏 akusimamie kwa kila hali mpendwa
@maryamm7765
@maryamm7765 4 жыл бұрын
Masikin Mola akuponye Yarab 🤲
@kenblockhoonigan355
@kenblockhoonigan355 4 жыл бұрын
Dereva mbaka anasimama na kung'ata meno kwl alipambania sna mungu ampunguzie adhabu ya motoni
@rehemafrancis9074
@rehemafrancis9074 4 жыл бұрын
Pole sana, Mungu akuponye kijana, hakika ulikua na roho wa Mungu
@unambwenaiman5355
@unambwenaiman5355 4 жыл бұрын
Pole sana dogo!Umeanza kutafuta maisha Ukiwa mdogo sana hongera sanaa
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 жыл бұрын
Allah mjuzi ,mwingi wa huruma msaidie mtoto mwema huyu.apone vzr na Frank umpe kauli thabiti ,inshallah nimelia kwa huruma na maelezo yake ya upole.atapona mungu mwema
@josephbizzy1813
@josephbizzy1813 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu Mungu akurejeshee afya yako.!
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Ameen
@serahmuthonimuoho2033
@serahmuthonimuoho2033 4 жыл бұрын
Amen
@haleemasulthan4894
@haleemasulthan4894 4 жыл бұрын
ALLAH ATAKUFANYIA WEPES INSHALLAH UTAPONA
@juniveraisaya1624
@juniveraisaya1624 4 жыл бұрын
Duu nimekosa cha kukoment, Mungu akuponye mdogo wangu
@pendomathaw6829
@pendomathaw6829 4 жыл бұрын
Pole mdogo wangu,mwenyezi Mungu amekuponya
@asiaissa976
@asiaissa976 4 жыл бұрын
Pole sana kijana mtanzania mwenzetu mungu atakujaalia utapoa ndugu
@pelagiashayo2410
@pelagiashayo2410 3 жыл бұрын
Pole Sana Baba .Mungu ataendelea kukupigania
@dauchboy7591
@dauchboy7591 4 жыл бұрын
Pole sana my bro ... Mungu akuzidishie maisha marefu 🙏🙏🙏 Na hakujalie hafueni.....
@juliethmselle2403
@juliethmselle2403 4 жыл бұрын
Mungu amoaze frenk mahali pema ee mungu wangu
@imanimanleonard3389
@imanimanleonard3389 4 жыл бұрын
pole sana mdg wng Mungu akujalie uweze kupona ulud kwenye ali yako kama ya zaman
@mimiapa8436
@mimiapa8436 4 жыл бұрын
Pole sana namuomba Allah akuponye kwa haraka mdogo wangu yote mitihani ya Allah Mungu amlaze mahala Pema peponi Frank
@shawalihashimu1873
@shawalihashimu1873 4 жыл бұрын
pole sana mungu atakuponya
@sabraasalim7802
@sabraasalim7802 4 жыл бұрын
Pole munguu atkuaidiaa uponee inshaalah
@seraphinesylvester985
@seraphinesylvester985 3 жыл бұрын
Ni mungu amukuokoa pole sana
@daxmfanisi2552
@daxmfanisi2552 4 жыл бұрын
Allah atakusisimamia utapona mdg wangu
@rehemamakwendo7743
@rehemamakwendo7743 4 жыл бұрын
Pole sana munqu amlaze mahali pema peponi
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 4 жыл бұрын
Daah aisee dogo umeandika story ktk maisha yako.mungu bado kapenda uishi.mshukuru mungu kw rehema zake juu yako.pia mungu ailaze roho ya marehem mahala pema amiin
@tabyhamisi7797
@tabyhamisi7797 4 жыл бұрын
Pole mdogo wangu😭😭😭 Allah atakuafuuu,, , r.i.p kwa Frank pia
@hellenashely2167
@hellenashely2167 4 жыл бұрын
Mungu akupovye jaman. Na pole kwa kumpotez kaka ako alikupenda had unakumbuka kua alikujali aliona ww ushibe kuliko yy jaman inauma pole sana mungu awape faraja wote mnao husika jaman
@agreysamson2526
@agreysamson2526 4 жыл бұрын
Pole sanaa
@joycemangela831
@joycemangela831 4 жыл бұрын
Pole sana
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 3 жыл бұрын
Polesana mungu amusaidiye
@hamzaseleman5604
@hamzaseleman5604 4 жыл бұрын
Hii si Sawa hata kuongea kwenyewe kazi daaah tusubir awe sawa jaman pia Allah akujalie utapona mdogo angu
@stevenkipara9310
@stevenkipara9310 4 жыл бұрын
😁 watu kazini
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Wanakiherehere hawajali afya ya mtu
@pendodonath1927
@pendodonath1927 4 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi upone haraka
@hamzaseleman5604
@hamzaseleman5604 4 жыл бұрын
leo kamil kabisa adi wanakeraa
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
@@hamzaseleman5604 sana utadhani wanamlipa kumuhoji
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 4 жыл бұрын
Daaah mungu amjalie mtoto wa watu jmn bado mdogo sana frenk mungu akupunguzie adhabu ya kaburi🙏🙏😭😭😭😭
@sulemandaud2967
@sulemandaud2967 4 жыл бұрын
Elim kdg kuhusu chumvi Ukipakia chumvi kwenye gar hakikisha unachukua mawe 8 madogo madogo mawili weka nyuma kbs ya tela mawili katikat mawki mbele ya tela na nawili kaa nayo mbele moja upande wa dereva moja upande wa abiria na hakika utafika bila usumbufu Waliowah kubeba chumvi nazan wamenielewa🙏🙏🙏
@devothajafary8747
@devothajafary8747 4 жыл бұрын
Samahani kwani huwa inasaidia nin tafadhali
@stevenmwaiko801
@stevenmwaiko801 4 жыл бұрын
Pole sana dogo Mungu atakuponya... yani kuna umuhimu wa kufundisha hawa watangzaji jinsi ya kuhoji watu yani anashindwa kabisa kuhoji maswali ya msingi
@salimujuma8346
@salimujuma8346 4 жыл бұрын
Daaah kweli uwezikuijua kesho yako mungu akupe pumzi kk pole sana
@ezekielysamwely386
@ezekielysamwely386 4 жыл бұрын
Pole sana mungu yupo Na wewe pole sana ndugu .
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 жыл бұрын
Aisee Pole sana Kijana hakika Mungu wetu ni mkuu yeye ndiye awezaye kuponya na kuokoa hakika Mungu amekukinga na mauti.Ninakuombea sana kwa Mungu akunyoshee mkono wake wa uponyaji uweze kupona na kurudia ktk hali yako ya zamani.
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 4 жыл бұрын
Watangazaji kuweni na utu masikini ata kuongea vizuri bado mwampa shida masikini Pole sana kaka Allah akupe shifaa ya haraka In Sha Allah
@isackrichard8479
@isackrichard8479 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu, hakika Mungu atasimama na wew had utapona
@yassirrashid4181
@yassirrashid4181 4 жыл бұрын
Dah inasikitisha sana mungu atawajaalia majeruhi wote wawili mtapona amin
@burengwamisri5116
@burengwamisri5116 4 жыл бұрын
Pole sana kijana mwenyezi Mungu akubaliki
@mrsochu-hv7bm
@mrsochu-hv7bm 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu Mungu atakuafu utapona
@yasinishekallahakusaidi8766
@yasinishekallahakusaidi8766 4 жыл бұрын
Wanajeshi mungu awabariki Sana hata Mimi walishawai kunisaidia Sana niliopopata ajari mto mzinga
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 34 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 17 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 34 МЛН