No video

MKUU WA MAJESHI AAGIZA LORI LILILOZAMA WAMI LITOLEWE, JWTZ YAANZA KAZI, TAZAMA LORI LILIVYOTOLEWA

  Рет қаралды 296,589

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

#millardayoUPDATES#mtowami

Пікірлер: 825
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 4 жыл бұрын
Hii ndio serikali ninayoijua mimi. Hongera nchi yangu.
@samwelinhgabi8278
@samwelinhgabi8278 4 жыл бұрын
Kama unaamini jeshi ni jeshi tujuane💪
@stellapaskal9136
@stellapaskal9136 4 жыл бұрын
Mungu amsaidie mama apate gar nyingine mpya
@josephnziku4630
@josephnziku4630 4 жыл бұрын
Dah tunao mwombeamma apate gri nyingne kúmí gonga like
@acvlog6459
@acvlog6459 4 жыл бұрын
KAMA UNAAMINI MUNGU YUPO MAMA ATAPATA NYENGINE MBILI MPYA GONGA LIKE
@user-os9ul5iu5y
@user-os9ul5iu5y 4 жыл бұрын
Inshaallah
@zou7470
@zou7470 4 жыл бұрын
Insh'allah
@careencharlescharles9749
@careencharlescharles9749 4 жыл бұрын
Ameen
@rayboy9372
@rayboy9372 4 жыл бұрын
Nambie
@neykweyamba2247
@neykweyamba2247 4 жыл бұрын
Amin...
@lordmasali3410
@lordmasali3410 4 жыл бұрын
Cijawah ona jesh limeshindwa kazi ,,🧐gonga like km na ww unajua hilo
@oliviadaniel3473
@oliviadaniel3473 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@alexwailod5589
@alexwailod5589 4 жыл бұрын
Maza kaibiwa
@amour5535
@amour5535 4 жыл бұрын
Nimejikuta nalia tu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭alhamdullah alhamdullah mungu mkubwa siku zote
@minaahussein5056
@minaahussein5056 4 жыл бұрын
Hata mimi
@hjhj6230
@hjhj6230 4 жыл бұрын
ALLAH KAREEM...Alhamdulilah
@kemmymugisha9669
@kemmymugisha9669 4 жыл бұрын
hata mm machozi yamenitoka wallah.... MUNGU mwema siku zote
@careencharlescharles9749
@careencharlescharles9749 4 жыл бұрын
Ameen
@fatmakigula8634
@fatmakigula8634 4 жыл бұрын
Hata Mm nalia Naona uchungu nikimuangalia bi mwajuma wallah ningekua na hela ningempa
@johnnnko5814
@johnnnko5814 4 жыл бұрын
Hongera sana CDF wetu Mabeyo. Kazi nzuri iliyotukuka kwa jeshi letu... Rais wetu na Serikali yetu umemfuta machozi mama yule Mungu akubariki sana Baba.
@raymondanthony6207
@raymondanthony6207 4 жыл бұрын
Jeshi halishindwi
@fatmaaly3056
@fatmaaly3056 4 жыл бұрын
Nimelia tena sijui furaha au huzuni alhamdulilah allah tupe kheri na kukumbukana kmhuku
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 4 жыл бұрын
Alhamdulilah. Mpakanimelia😭😭
@minaahussein5056
@minaahussein5056 4 жыл бұрын
Hata mie nimelia
@khadijaomar2723
@khadijaomar2723 4 жыл бұрын
Ni furaha kwa kwa serekali kujali wananchi
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 жыл бұрын
Ukweli unakuwa haujui kama inakuwa furaha au huzuni ila chozi lazima litoke
@athumanisalehe3355
@athumanisalehe3355 4 жыл бұрын
Mzee mabeo safi sana kwa kampani yako
@happykimaya2762
@happykimaya2762 4 жыл бұрын
MUNGU akubariki Sana mkuu wa majeshi MABEYO,Amsaidiae muhitaji amemkopesha MUNGU!Asanten Sana Ayo tv
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 4 жыл бұрын
👨‍✈️👏💪🔥🇹🇿🇦🇪 yaani watanzania tunapoendea tutathaminiwa kila mtu sasa hivi tumekuwa kitu kimoja nguvu moja kama wamarekani vile sauti imepaa mpaka JWTZ
@samweljumamkumbo7555
@samweljumamkumbo7555 4 жыл бұрын
Wa Marekani si wamoja Haki za mtu mweusi ziko wapi
@adamkasasa4290
@adamkasasa4290 4 жыл бұрын
Cyokama wa marekan n kama wa Tanzania
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 4 жыл бұрын
Acha kunitajia wamarekani siwapendi hao mbwa askari waliouwa George floyd wameonekana supermarket wanainjoi maisha
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 жыл бұрын
Aweke account namba yake ya bank tumsapoti apate nyingine
@daishajumanne5990
@daishajumanne5990 4 жыл бұрын
Kabisa
@herryignasy3010
@herryignasy3010 4 жыл бұрын
Safi Mkuu wa majesh mwenyezi”Mungu”akujalie Amani
@justinmkumbwa2330
@justinmkumbwa2330 4 жыл бұрын
Hakika MUNGU anaipenda tz na watuwake ushukuriwe Mungu kwakutupa viongoz wanaotujali tunakuomba uzidi kuwapauliz na maishamarefu Amen
@happykimaya2762
@happykimaya2762 4 жыл бұрын
Amen
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 4 жыл бұрын
Najikuta nalia jaman😭😭😭😭mungu ni mwema Alhamdulillah 🙏🙏sina chakusema zaidi ya shukuran kwa serikali yetu ya tz 🙏🙏najivunia kuzaliwa tanzania❤❤❤💪💪💪
@dianaanyova4026
@dianaanyova4026 4 жыл бұрын
Thank you Lord,all glory be unto you,,,,,,,watching from Kenya...
@petywoiso8909
@petywoiso8909 4 жыл бұрын
Dah Asante Yesu
@mariamkanyungu3150
@mariamkanyungu3150 4 жыл бұрын
Hapana chezea TPDF
@Dm-yd1tl
@Dm-yd1tl 4 жыл бұрын
Da Mungu bless this woman again. More than yesterday. Amen
@jumachilundajr4853
@jumachilundajr4853 4 жыл бұрын
Hongera makamanda wetu ni kudhirisha kwamba jeshi huwa halishiwi mbinu hongera sana mkuu🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@enockbundala1478
@enockbundala1478 4 жыл бұрын
Mabeo nakupenda Sana umetenda jema
@paulmadundo8084
@paulmadundo8084 4 жыл бұрын
God bless you our CGF, ndio kazi nzuri tunazotaka kuona kutoka kwenu. Wengine wakishindwa nyie mnaokoa jahazi...barikiwa sana nchi yangu
@jisamjoseph4558
@jisamjoseph4558 4 жыл бұрын
CDF
@erickrichard4292
@erickrichard4292 4 жыл бұрын
Cdf bhna sio ulichoandika
@esterbegina1022
@esterbegina1022 4 жыл бұрын
Ahsante camanda mabeyo Mungu akubariki huo ni uungwana nijambo jema sana mbele za Mungu nimejikuta natokwa machoz kwa furaha
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 4 жыл бұрын
Asante Mungu 😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏Mungu ambariki magu na wafanya kazi wake🙏🙏🙏Mungu ni mwema
@atuganilemwakipesile4979
@atuganilemwakipesile4979 4 жыл бұрын
Ahsante sana jeshi langu kwa uzalendo mlio tuonye.Mungu amfanyie jambo jipya uyu dada mwenye ilo gari.
@rozimeryrozimery1840
@rozimeryrozimery1840 2 жыл бұрын
Hongereni.sana jeshi kwa msaada wenu mlouonesha Mwenyez Mungu azidi kuwalipa kile mlichokuwa mnakihitaji
@Khaleed5767
@Khaleed5767 4 жыл бұрын
Masha'Allah , Mungu akubariki sana Mr. Venance Mabeyo ... Naamini TZ tuna watu wenye moyo wa ubinaadam..
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Ameen
@ngoyabaraka8143
@ngoyabaraka8143 4 жыл бұрын
Mwanaume huyo ametoa mel iliyo zama na watu weng, gar nkaz ndogo sana kwake ful mautendaj namkubal sana.
@LiManman_20
@LiManman_20 4 жыл бұрын
Kama liliweza kuingia na kutoka lazma litoke ,,,,, JWTZ BABA LAOOOOOO
@busta_malik5971
@busta_malik5971 4 жыл бұрын
Engine wameiba wajanja
@issakawaya8315
@issakawaya8315 4 жыл бұрын
Ongera jeshi letu nimipia Jana hapo
@khalidkassim3986
@khalidkassim3986 4 жыл бұрын
Mungu akubariki mkuu mabeyo
@lisamassala9412
@lisamassala9412 4 жыл бұрын
Daah niliumia sana cku ile dada aliposema amekata tamaa anarudi nymbn.. Now am hap mpk machozi.. Be blessed Gen Mabeyo na JW
@pascalmsechu6874
@pascalmsechu6874 4 жыл бұрын
Hawa makamanda wetu Mungu watunze tu. Wanaume wameshuka kwenye tope na maji yanatembea bado wakaweza kufunga gar cheni..Dah Mh Mabeo hawa vijana wanastahili nishan.. asanten sana makamanda wetu JWTZ
@neemakoka599
@neemakoka599 4 жыл бұрын
Daaaaah mpaka nimelia jameni Asanteni jeshi Asanteni miladi ayo tv
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 4 жыл бұрын
asanteni jamani mungu nimwema naipenda nchi yangu 😍😍😍😘😘😍😚😚😙😗😘😍😍
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 4 жыл бұрын
Hongera Jeshiletu la tz naserikali.kwaujumla mungu nimkubwa nahashindwiinajambò
@mwanaidihassan1834
@mwanaidihassan1834 4 жыл бұрын
Jwtz ni jeshi la wananchi lipo kakamavu mda wote lipo kwa ajili yetu na tunalipongeza mungu akubariki cdf mungu libariki jeshi letu
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 4 жыл бұрын
Hili ndiyo Jeshi letu la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Halijawahi kushindwa katika majanga ya aina yoyote ile,Daraja la mto Kagera lilijengwa kwa muda mfupi sana baada ya kuvunjwa na majeshi ya Nduli IDD Amin, Hongereni sana kwa kazi nzuri.
@kassimkassim2783
@kassimkassim2783 4 жыл бұрын
safi sana mkuu wamajeshi mungu akulipe kheri na pia milad Ayo pia mbarikiwe Sana naomba tu serikali imsaidie matengenezo huyu mama mbarikiwe sana
@peterkailembo4101
@peterkailembo4101 4 жыл бұрын
Hii serikali kila mtu yupo powa, safi sana JWTZ
@edsonmwambokela3707
@edsonmwambokela3707 4 жыл бұрын
Hongereni sana makamanda wetu Mungu awabariki na awape miaka mingi ya kuishi
@denisjoseph3470
@denisjoseph3470 4 жыл бұрын
Millard Ayo na timu yako ubarikiwe mara milion 1000000000000000000000000000000000 kwa kaz nzur mnayoifanya
@Winstonfying
@Winstonfying 4 жыл бұрын
CDF salute kwako mzee
@utaani1
@utaani1 4 жыл бұрын
Wastahiki pongezi jeshi kwa kazi nzuri waloifanya hongereni
@abrahambalamba6679
@abrahambalamba6679 4 жыл бұрын
Hongera Afande kwa Moyo wako wa upendo, leo nimekubari kuwa wewe ni kiongozi.
@bridgetbema2166
@bridgetbema2166 4 жыл бұрын
This is a amazing God ,what God can do no man can do#God fast..watching from kenya
@annapeter4994
@annapeter4994 4 жыл бұрын
Hapo ndo nimefurahi. Nilijiuliza sana, Jeshi letu liko wapi. Asante sana Mkuu wetu Mabeho.
@benmponeja497
@benmponeja497 4 жыл бұрын
Bravo MABEYO!! thats a definition of our JWTZ 💪🏽🙏🏽🙏🏽
@esthershaluah3770
@esthershaluah3770 4 жыл бұрын
Hakika Mungu wa Mbinguni akazidi kuibariki kazi ya Mikono yako CDF Mabeyo and your team! Kwa kumfuta machozi huyo mama na kumpa Amina!!
@cathylunyungu4641
@cathylunyungu4641 4 жыл бұрын
Mungu amtupi mja wakee... Mungu azidi kukufanikisha mama your de super woman
@joelrugano6517
@joelrugano6517 4 жыл бұрын
Tunashukuru sana kuona jeshi limefanikisha zoezi hili, japokuwa limechukua muda kwa nini mkuu wa kikosi cha zima moto hakuomba msaada kwa jeshi mapema. Sasa ndo ninaona conceptbya Rais Kuwateua wanajeshi kwenye baadhi ya taasisi. Hawana longolongo wala kwenye kazi zao hakuna siasa. Big up JWTZ.
@danielmbalwa9307
@danielmbalwa9307 4 жыл бұрын
Hongeraa jwtz kwa kazii nzuriî
@mansourrukaka3061
@mansourrukaka3061 4 жыл бұрын
Big up to Ayo tv for your good news
@rajabumdoe6919
@rajabumdoe6919 4 жыл бұрын
KAMA HUAMINI KUWA ENGINE IMELIWA NA MAMBA GONGA LIKE TUSHANGAE IMEENDA WAPI😧😧😧
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 4 жыл бұрын
Rajabu kumbe watu wabaya sana walisema gari haiwezi kutoka ila injini wameitoa daah na aliyefanya hivyo apate laana mpaka siku yake ya mwisho
@careencharlescharles9749
@careencharlescharles9749 4 жыл бұрын
MUNGU ATAWAHUKUMU
@magangawamakamo335
@magangawamakamo335 4 жыл бұрын
😂😂😂👐
@aminabakary7938
@aminabakary7938 4 жыл бұрын
@@mwanajumaomahundumla6504 66u50
@aminabakary7938
@aminabakary7938 4 жыл бұрын
@@careencharlescharles9749 j
@celestinerashidi3975
@celestinerashidi3975 4 жыл бұрын
Nimeelewa maana ya kwamba jeshi halishindwi. Hongera sana CDF, hongera JWTZ, najivunia kuwa mtanzania.
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 4 жыл бұрын
Mungu mkubwa wangapi wamemuona yule mvivu muokoaji😘anajitolea saanamungu ambariki pia pore saana mama yangu mpendwa bi mwajuma mungu atakujaria utapata nyengine zaidi ya ilo🙏
@hishamally4846
@hishamally4846 4 жыл бұрын
Pole sana dada ila kwa hakika umepata mtihani mungu akupe subira manake hapo hamna tena gari ishaallah utapata nyengine yenye kheri na wewe amina 🙏
@patrickkajala7614
@patrickkajala7614 4 жыл бұрын
Mkuu wa majeshi mungu akutunze ktk jina la yesu amina naamini mungu atarejesha pale ulipo toa mungu ni mwema,
@maxozone3762
@maxozone3762 4 жыл бұрын
Hapo muna weza!! ndugu zetu wa tz hongera sana, huku mombsa gari zikianguka hamna maiti itatolewa nje wala gari katika hili daraja la nyali bridge mombasa ,,, wa TZ muna wa piga mbizi wazuri safi sana,,,,,
@furahacleo6128
@furahacleo6128 4 жыл бұрын
Mission za JWZ hufanya adi sifa yaan daa, nakumbuka ile y meli kuigeuza duu lovely sana JWZ, nawaombeeni mafanikio lukuki ktk mission zenu
@mamafloraofficial4315
@mamafloraofficial4315 4 жыл бұрын
Dah Mungu ni mwema hakika! Japo engine/kichwa hakipo. Hii ndo Tz nyerere aliyoicha sio hii ya sasa ya visa na visasi kila siku kutekana. Sijamsikia hata M****u akizungumzia hili jambo. Ingekuwa Chadema wameenda kutoa msaada polisi wangehamia hapo kuzuia. Pongezi nyingi sana kwa JWTZ hakika ni jeshi la wananchi Mungu awabariki sana!
@eddyjuniortz2234
@eddyjuniortz2234 4 жыл бұрын
Mungu aliye umba mbingu na nchi amfungulie Baraka ,,,naamini atampa zaidi maradufu Amen
@ramamanyama2944
@ramamanyama2944 4 жыл бұрын
Nan Ameona Serikal Ni Serikal tu Hongera JWTZ
@jitujitume2927
@jitujitume2927 4 жыл бұрын
Hongereni sana vingozi wetu mwenyezi mungu awabariki sana
@abubakariynassoro9018
@abubakariynassoro9018 4 жыл бұрын
Acha liitwe JWTZ🇹🇿🙌🙌🙌
@husnasalim5739
@husnasalim5739 4 жыл бұрын
Jeshi letu oyeeee💓💓💓MH OYEE TANZANIA OYEEE
@annapeter4994
@annapeter4994 4 жыл бұрын
Yaani nilisema kama huyu mama hatasaidiwa, basi Tz hatuna msaada. Sasa nimekubali Jeshi imara tunalo. Safi sana. 💪💪💪
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 4 жыл бұрын
Hongera Amiri Jeshi Mkuu,hongera CDF,hongera JWTZ.Jeshi halishindwi
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 4 жыл бұрын
Hongera Sana Mkuu Wa Majeshi yetu M/mungu Akupe kila lililo jema Aamin
@omarbillyomar3042
@omarbillyomar3042 4 жыл бұрын
Nimefatilia hajali hii tangu mwanzo mwenyezi mungu akubariki mkuu wa majeshi na team zima kwa kumsaidia huyo mama.nairobi niko live
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Pole sana mame...Mungu atafungua milango mingine
@gideonmathias9705
@gideonmathias9705 4 жыл бұрын
Kazi nzuri makamanda Kazi nzuri hayo Tv
@nusuramiraj5537
@nusuramiraj5537 4 жыл бұрын
Hacbuna allahu waneemar waakil mung nimkuu
@alfredmwanga8702
@alfredmwanga8702 4 жыл бұрын
Jwtz👏🏻👏🏻
@mfaumejuma350
@mfaumejuma350 4 жыл бұрын
Asanteni wana jeshi wetu mungu jaria jeshi letu hakika natumaini na nchi yetu
@deonjau1111
@deonjau1111 4 жыл бұрын
Asante JWTZ
@samweljumamkumbo7555
@samweljumamkumbo7555 4 жыл бұрын
Taifa imara Jeshi imara (Tuilinde nchi yetu tuijali jamii yetu )
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 4 жыл бұрын
Kweli jeshi kiboko! Asanteni kwa msaada wenu.
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 4 жыл бұрын
Mama Mungu anaenda kukuinua kupitia jambo hili,usimsahau make was marehemu dereva wako.
@cipyen
@cipyen 4 жыл бұрын
MAONI YANGU: Perfect execution JWTZ hongera sana.
@pericykiko6198
@pericykiko6198 4 жыл бұрын
Mbona km halitafaa tena ama ni macho yangu
@dominickallute3169
@dominickallute3169 4 жыл бұрын
Ndio maana ni Jeshi la Wananchi. Si Jeshi la Mabeberu. Linalinda Uhuru wetu na Mali zetu usiku na mchana.
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 4 жыл бұрын
Nimelia kwa furaha kwa uzuni mama mama nilikwa mbia kheir ipo mbele yako leo mungu kajibu maombi yetu dua zetu Alhamdulilah Hongera sana CDF Mabeyo mungu akuzi dishie iman akubariki sana na JWTZ wote
@kelvinmuthami4147
@kelvinmuthami4147 4 жыл бұрын
Mngejichanga wabongo mmnunulie Yule mama Lori jipya. Hivi mtamuepusha Na gharama kubwa ambayo imemkuta. Manake iliyotoka pale ni scrape haitamfaa. Naamini Hili lawezekana. Greetings from +254
@rashmaissac480
@rashmaissac480 4 жыл бұрын
Allah ampe mama kilicho bora zaidi ya hili lililoharibika
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 4 жыл бұрын
Mungu tunayemuomba yupo,watanzania tunaupendo,mbarikiweee woteeeee
@onanarosse9657
@onanarosse9657 4 жыл бұрын
This is TANZANIA congrats JWTZ. MUNGU ilinde nchi yetu umoja wetu udumu daima.
@ericklaura7511
@ericklaura7511 4 жыл бұрын
Eventually things gotta be fine🙏🙏 Mungu ibariki Tanzania na Raisi wa Nchi kwa Uongozi wake Bora.
@allyissa7770
@allyissa7770 4 жыл бұрын
Makamanda big up xna
@francismangu792
@francismangu792 4 жыл бұрын
Itoshe tu kusema kwamba Mwl. Nyerere alipata maono ya kinabii ile Septemba Mosi, alipoasisi JWTZ. Hili ni jeshi letu wananchi; Mungu ambariki CDF, Mungu awabariki JWTZ
@georgempuya9343
@georgempuya9343 4 жыл бұрын
Daaaa injini haipo mmmmm ninoma wa TZ sio wa polepole yaani siamini macho yangu kweli watu hawana hofu ya Mungu.
@frenkingoloka9828
@frenkingoloka9828 4 жыл бұрын
Hongera jeshi letu kwa kazi nzri
@mariammhamedy3342
@mariammhamedy3342 4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu awabarik sana wanajeshi wotee na viongozi wake
@odethabanige9536
@odethabanige9536 4 жыл бұрын
Kweli jeshi ni imara mbarikiwe
@rafikiwildlife4263
@rafikiwildlife4263 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana. Viva JWTZ
@nsikanyigwinshimpinga9132
@nsikanyigwinshimpinga9132 4 жыл бұрын
Hongera sana jwtz. Tatizo ingine hamna. Watu wachunguzwe.
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 жыл бұрын
Mungu ww ni mkuu siku zote 🙏🙏🙏
@yasinjuma1445
@yasinjuma1445 4 жыл бұрын
Hii ndio maana halisi ya jeshi la wananchi hongera zao 💪
@athumanmrisho1762
@athumanmrisho1762 4 жыл бұрын
Kazi nzur Millard ayo
@aishajuma712
@aishajuma712 4 жыл бұрын
Congratulations Hongera sana jeshi letu mungu awabariki katika kazi zenu Amiin,, Upendo, mshikamano Ndio siraha ya nchi yetu mungu ibariki Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@innocentzachariah4224
@innocentzachariah4224 4 жыл бұрын
Jeshi 💪💪💪🔥🔥🔥🔥
@shakiramcheni8684
@shakiramcheni8684 4 жыл бұрын
ALLAH idumishe Ayo tv na watendaji wake wape nguvu na afya, kwakweli naipenda hii chaneli mko vizuri kwakweli tunapata faida nyingi toka kwenu elimu, burudani misaada na mengi yalo mazuri mungu ibariki Ayo tv wabariki watendaji wake 🙏🙏.. tafadhali msije badilika hapo baadaye ALLAH awaongeze na awalinde leo kwaajili yenu mwajuma ametatuliwa tatizo lake,Ayo tv muishi miaka buku 💛💛💛
@dorisurio8001
@dorisurio8001 4 жыл бұрын
Mungu awabariki watu wa Mungu,Poleni Sana..matumbo ya wamama yanabeba Mambo mengi na mazuri
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 4 жыл бұрын
Bless your heart mkubwa wa majeshi asante sana kwa upendo wako huo sasa ndio upendo
@costajoram2246
@costajoram2246 4 жыл бұрын
Jeshi ni jeshi tu halishindwi kituuu pongezi kwao kwa juhudi hizo Mungu awabariki sana.
@ireneathuman5227
@ireneathuman5227 4 жыл бұрын
Asante mungu kwa kuona chozi LA mwajuma atukuzwe baba yetu uliye juu
@benomdaile7271
@benomdaile7271 4 жыл бұрын
Wanasema Mungu akikupa kirema ata kupa na mwendo!! Hii ni sawa na kusema Mungu hamtupi mja wake ongera jeshi lawana nchi Tz.
@seriolenny8333
@seriolenny8333 4 жыл бұрын
Watching from kenya divine restoration to the affected
@omaryemmy9748
@omaryemmy9748 4 жыл бұрын
Mungu ni Mungu na cku zote yupo pale unapokata tamaa ndo yeye anajitokeza hongera mkuu wa majeshi tunakupenda sana na hongera kwa serikali yetu Na waandishi wa habari pia
@linahsemindu9575
@linahsemindu9575 4 жыл бұрын
inauma,sana,mama,wa,watu alishakata tamaajmn ee,mwenyez,mungu msaidie,mama huyu👏
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 16 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 8 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 32 МЛН
IGP SIRRO Alivyompa Makavu MAMBOSASA  - ''HUO NI USHAMBA''
7:17
Global TV Online
Рет қаралды 653 М.
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 16 МЛН