KABUDI AKIRI KUMDANGANYA RAIS " NAONA AIBU, Nilikata Tamaa"

  Рет қаралды 24,460

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

KABUDI AKIRI KUMDANGANYA RAIS " NAONA AIBU, Nilikata Tamaa"
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ashiriki hafla ya utiaji saini wa mkataba wa madini kati ya kampuni ya Barrick na serikali ya Tanzania.
Akieleza ugumu aliopitia wakati wa kuishawishi kampuni ya Barrick Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki "Nilikata tamaa na nikaandika barua ya kujiuzulu lakini nilinyang'anywa na ikachanwa" Alingeza Kabudi.
UNA HABARI? WASILIANA NASI GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:www.youtube.co...

Пікірлер: 21
@tahiraabdul1701
@tahiraabdul1701 4 жыл бұрын
Natamani nimsikize huyu profesa mpaka nikeshe! Duh! Saf sana/Mombasa,Kenya
@mwaamwetahussain1110
@mwaamwetahussain1110 4 жыл бұрын
Asante sna waziri ww pamoja na rais wetu nyie ni zawadi ya Tanzania
@florarog548
@florarog548 4 жыл бұрын
Mungu akubariki baba kwa moyo wako wa uzalendo wa kuitumikia Tanzania
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 4 жыл бұрын
haya majukumu si rahisi pengine kama watanzania tunavyofikiri Mungu wabariki viongozi wetu wenye nia ya dhati watie nguvu katika Jina la Yesu
@angelmwoleka7892
@angelmwoleka7892 4 жыл бұрын
Amen
@bjzee1981
@bjzee1981 4 жыл бұрын
Semeni yote. Hata magu alisema alivyotaka kunyweshwa sumu
@tzmny4909
@tzmny4909 4 жыл бұрын
Kabudi ni kichwa cha taifa
@petergolden4529
@petergolden4529 4 жыл бұрын
Siasa iache kama ilivo
@happinessjulius95
@happinessjulius95 4 жыл бұрын
Kabudi in mwamba wa siasa
@petergolden4529
@petergolden4529 4 жыл бұрын
Siasa ni mchezo mchafu ukiushriki utachafuka
@abubakarmzee3374
@abubakarmzee3374 4 жыл бұрын
🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 4 жыл бұрын
masifa
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 4 жыл бұрын
Dhambi ya Uongo ,na njia ya Muongo !!Ni fupi
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 4 жыл бұрын
Ahadi kama hizi ushazitoa mara kibao, Tuliahidiwa Noah kila mtanzania... Kama ulitaka kujiuzulu kwanini mtu mwengine aione hiyo barua.. Uongo mwengine huo.. Tunataka vitendo sio maneno
@hamisimussa2228
@hamisimussa2228 4 жыл бұрын
Nowa aliwahidi lowasa si kwa viongoxi wenye vision
@yunushamis4839
@yunushamis4839 4 жыл бұрын
Ujue hawa wajamaa wanatufanya akili hatuna waache maigizo waende zao jahanam inawasubir
@tzmny4909
@tzmny4909 4 жыл бұрын
mashoga mkowengi kilakitu kupinga
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 4 жыл бұрын
@@tzmny4909 shoga ni yule anaeambiwa vua nguo na yeye anavua kama wewe.. Unakubali kila kitu.
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 4 жыл бұрын
@@minskbelarus3560 Ninajua nini nimeifanyia Tanzania sio Lazima nikujuze na wewe
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 10 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 47 МЛН
Azam TV - Historia ya kusisimua jaji mkuu mpya wa Tanzania
7:41
DAKIKA 20 ZA PROF KABUDI, WABUNGE WAKIKOSOA KAMPENI YA MAKONDA
21:40
Mwananchi Digital
Рет қаралды 186 М.
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН