🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏼 Bro you are the best never disappoint 😂😂🙌🏼
@erickjohn9345 Жыл бұрын
Oyaaaa HamiJey huwa anaua kinoma , shangaz kaja ndo kaja sasa 😂
@meshackaloyce9662 Жыл бұрын
Jot jamani utaacha kwakweli 😂😂😂😂
@misananyamanda4784 Жыл бұрын
Joti balaa. Leo ijumaa watu wanaenda kazini lkn wanaamka nae . Dk 9 tu views 200+ jamaa Yuko kimkakati sana . Anajua tunapenda nini . Tangu video ya kwanza mpk hii zote nimeangalia . Ila ile ya MVUVI NA MSOMI ndo favorite yangu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mkamaboy2016 Жыл бұрын
Hajafika laki mbili Mzee Bado Ana Yuko na viewers 3k na sio 200k
@gracethomas683 Жыл бұрын
@@mkamaboy2016 hujaelewa dk tisa ni watu 200
@limdrew6106 Жыл бұрын
untakaa kunitiliia janabaa ndanii 😆😆🙌🏿🙌🏿 this got me
@dullatawakal1492 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@alimuchiri6151 Жыл бұрын
"We baki na shangazi mi nabaki na ma mdogo"..🤣🤣🤣🤣
@aishatarimotarimo2689 Жыл бұрын
😂😂😂nimecheka vibaya😂😂at la sabun ka kiaz mbatata
@marcelinenkwera31 Жыл бұрын
Shangazi Kaja😂🤣
@jamesmatimba3154 Жыл бұрын
Oya kanyinyi mbona una taka kumpiga mlewa kisa kakuita tuu kanyinyi weeee 😂😂😂😂😂
@mlewazitotv Жыл бұрын
Hahahahaha ningemchukulia demu wake
@dashuu5295 Жыл бұрын
Ukiona malemba ujue joti Kawa mpemba...Teina mpemba sjui wa kaskazini kwao akina mkojani...badikika weyyeee...apo Sasa kipemba pure🤣🤣🤣🤣
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Mbona kupanda mnazi na mkono mmoja🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@LeylatVlogs Жыл бұрын
He’s always up to date and 🔥🔥🔥
@mageuzimwampamba285511 ай бұрын
Weye baki na shangazi mi nabaki na mandogo sawaaaaaa eeh
@alisterlexter1115 Жыл бұрын
😂😂ziko bize na kweli kbsa Kuna WAtu kupumzik kwao mwiko👏
@Mimy_keys Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Ndo dawa kila Mtu na wake , Shangazi na Mamdogo Aloooooo 👌🤭🤣🤣🤣🤣🤣
@malakimoses6115 Жыл бұрын
Hamijei umetisha kaka kweli mbuzi kafia kwa muuza supu aise kaka kazi imependa kaka joti ww haunampinzani ww ndo king wa comedy hapa bongo haipingwi
@sophiesadick5510 Жыл бұрын
Week hii umenifurahisha. Iko cool and happened in our real life. Mpo vizuri. Eti anasomea Upadre huku udenda unamtoka alipoona kitu cha Kanyinyi.
@kaungamasunga8701 Жыл бұрын
Nishaiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@lemeboyofficial Жыл бұрын
we Baki na shangazi sawaa Mimi nabaki na mamdogooooo😂😂😋
@mathayomwashambwa1238 Жыл бұрын
mbuzi kufia kwa muuza supu hiyo ni kibudu tupaaaaaa
@alfredjohn5693 Жыл бұрын
kanyinyi waziri wa china🤣🤣🤣🤣Joti bana🙌
@lastbornsaadah7632 Жыл бұрын
From oman 🇴🇲 we love you joti
@lauriannicas401 Жыл бұрын
Gonga Like kama upo kwenye top 10 ya walio ona hii 😂😂😂
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Naikumbuka zamani tuliangalia
@nyamarungujr7834 Жыл бұрын
Tp 10 wamelike 20😂😂😂
@frankbujiku9496 Жыл бұрын
Nishai kitombangile
@angeltlatlaa6020 Жыл бұрын
@@nyamarungujr7834 1
@shukululechipya6075 Жыл бұрын
Nice sana
@dominicknondo7681 Жыл бұрын
Eti kwanini hautulizi sem zako zasiri😁😁😁😁😁 kizaz chasasa kimekunwa huji wa mgojwa Brother 😁😁😁😁
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
Eti sehemu zako za siri zipo bize 🤣🤣🤣.. Nipo Afrika Kusini
@chrismuganwa8634 Жыл бұрын
Thank you Mr Joti! Love from Burundi 🇧🇮
@jamesmpiga5935 Жыл бұрын
wa kwanza mimi weka like kama unamkubali joti
@SafiaSeif-gw4ut Жыл бұрын
Sehemu za siri hazitulii ziko bize😅😅😅
@elsnyng6815 Жыл бұрын
Unapanda mnazi kwa mkono mmoja 😂😂
@tiffahtiffahbaaby8239 Жыл бұрын
Huyo anae somea upadri ndo mtumia sabuni huyooo
@mlewazitotv Жыл бұрын
Hahhahahah unanisingizia hahahah
@user-hx9ev6rk7o2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@officialmaasai4602 Жыл бұрын
Amiii j acha ukorof🤣
@innojoel Жыл бұрын
😂😂😂eti sabuni zinatumika vibaya
@adammgaya5396 Жыл бұрын
Kanyinyo nlikua nakuheshi mnooo😅😅😅
@fatmaabeid9668 Жыл бұрын
Mbavuuu zanguuu 🤣🤣🤣🤣🤣👍💃❤🔥💪
@sophiesadick5510 Жыл бұрын
😂😂😂 . Kanyinyiii, umetoka wapi kumuamini Fisimaji kama huyo. Kelbu mkubwa huyo unamrushia nyama halafu utegemee aiche, tangu lini.
@mariomsigwa9428 Жыл бұрын
Dah joti noma nakukubali
@praxedaandrewkato7472 Жыл бұрын
Joti abakia na ma mdogo weye bakia na aunt🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mshika mbili kweli moja umponyoka but for this boy you have loose all 2 girls 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nawechi4818 Жыл бұрын
Eti namba 7🤣🤣🤣
@darvie7653 Жыл бұрын
Hahahah et kanynyii wazir wa china 😅😅😅,utatuua Amy jey
@rithakuyala9951 Жыл бұрын
Joti number one comedy 🤣 😂
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
joti msenge sanaaa et sinite shemeji fala sana wewwwwwww🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lovenoor988 Жыл бұрын
Hahaha nakukubali Mr Joti
@dereckdavid9609 Жыл бұрын
Joti akiigiza kama mpemba ndo namkubaligi😂😂
@muhamedsaid4177 Жыл бұрын
Pamoja hata mimi na za nishai
@SaimonKabhoneke-oj8tg Жыл бұрын
Aaaaaah noma xna ila pimbi joti
@taharamohd2515 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣ety sehemu Zako za Siri ziko bize bize🤣🤣🤣🤣🤣
@imaxshine2210 Жыл бұрын
Kanyinyi wazir wa wap ety😂😂😂
@thieryniyonkuru5023 Жыл бұрын
Dah, ajali siku hizi ni nyingi I see.😂
@geraldkibasa1495 Жыл бұрын
Daaa nimecheka kichizi.... Eeet kanyinyi naemjua mimi ni yule waziri mkuu wa China.
@giftkenga461 Жыл бұрын
JoTi Maunyama kwa Sana Watching from Saudi Arabia Riyadh
@rashidkapilima8972 Жыл бұрын
🔥🔥
@missmannydxb Жыл бұрын
Leo kama mbuzi kafia kwa muuza supu 😁😂😂😂
@IMAFLOW Жыл бұрын
Joti always impressed Congolese 🤣🤣
@francismwacha253 Жыл бұрын
Kanyinyu na mlewa wanafanana sana au ni mapacha nn
@mlewazitotv Жыл бұрын
Hahahah kwani tumefanana sana
@adammgaya5396 Жыл бұрын
Mie sijaoaa kiukwellii nachokoa chaza Tu na nchuzi WA pwezaa😅