KAGO MZEE WA BADO HUJASEMA AMKATAA OBAMA MTUMISHI/NILIIGIZA KAMA MGANGA/NAELIMISHA JAMII.

  Рет қаралды 4,851

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Huyu hapa mwamba @obamatz_ amefunguka na mpenja tv kuhusu changamoto anazokutana nazo kuigiza kama mtumishi na kusema yeye anaelimisha jamii na wala hapotoshi jamii na kusema kuwa kuna baadhi ya watu wanampongeza kwa kile anachokifanya cha kuikumbusha jamii kuhusu maswala ya dini.
Lakini pia @obamatz_ ameeleza wazo la kuigiza kama mtumishi alilipata baada ya kualikwa kwenye tamasha la dini na kuamua kuchukua wazo ilo na kuliwasilisha kwa jamii na baadhi ya watu kupendezwa na wazo hilo.

Пікірлер: 13
@lulumpenja459
@lulumpenja459 10 ай бұрын
Nifikishie salamu zangu mwambie yuko vizuri na ninachopenda anapotea afu ananyosha kimaandiko tena
@dozzyfire
@dozzyfire 8 ай бұрын
Jamaaa yuko poa sana namkubali
@francomkandawile8572
@francomkandawile8572 8 ай бұрын
Hata mimi nakukubari sana, unaigiza kama mchungani kwa nidhamu mimi natamani kila siku nione video mpya kutoka Kwako.
@othumanomary4032
@othumanomary4032 11 ай бұрын
William mockray
@jaffarijaffa7402
@jaffarijaffa7402 11 ай бұрын
Safi
@GobreIsaka
@GobreIsaka 11 ай бұрын
Yaan mpaka asemee
@DaudiHamisi-un2uu
@DaudiHamisi-un2uu 9 ай бұрын
Pamoja
@goodluckraphael8822
@goodluckraphael8822 11 ай бұрын
Yupo poa sana obama
@georgemzuli3422
@georgemzuli3422 11 ай бұрын
Home boy obama mtumishi oil
@edsongamuga7375
@edsongamuga7375 8 ай бұрын
Hanga na Obama 😅😅
@georgemzuli3422
@georgemzuli3422 11 ай бұрын
Uwez mridhisha kila mtu
@barakamkoma1527
@barakamkoma1527 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@bashiruhassani1017
@bashiruhassani1017 10 ай бұрын
Mtumish umetsha
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 23 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 14 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 49 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /38/ #love
26:23
BabaJoan
Рет қаралды 69 М.
ila limtumishi Kwa kujiongeza😁😁
4:56
MTUMISHI OBAMA
Рет қаралды 7 М.
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 2,7 М.
MTUMISHI KAPATIKANA LEO
4:55
MTUMISHI OBAMA
Рет қаралды 12 М.
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 23 МЛН