No video

Dulla Makabila aongea kwa uchungu 'Nilikosea kumuoa Zaylissa, hakunipenda, anasema nilimlazimisha'

  Рет қаралды 107,998

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Subscribe kwenye channel yetu ya WhatsApp
whatsapp.com/c...
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 140
@annarulanyaga
@annarulanyaga 9 ай бұрын
Umewezaaaaaaaaaaaaa! Big up dogo nimependa kila kitu
@niyonsabasaada234
@niyonsabasaada234 8 ай бұрын
Dullar Haniby mbona wanawake tupo baba tena wazuli nawenye uvumilivu muno be strong mupenzi sina uwezo wakukutanawewe pengin tungeonana tukapendana naona tunaendana 😊Allah akupe muke mwema
@user-fh1kj2rr8t
@user-fh1kj2rr8t 10 ай бұрын
Only point!! Dulla for real you never dissapoints..
@rayaali7551
@rayaali7551 8 ай бұрын
DAAH WALLAAHI. HUYU NDIE MWANAUMEE. ATAKAE OLEWA NA HUYU DULLA. ATABARIKIWA SANA INSHAALLAAH MWENYEEZI MUNGU ATAKUBARIKIA KATIKA BIASHARA NA KIMUZIKI WAKO NA INSHAALLAAH MWENYEEZI MUNGU AKUJAALIE MKE MWEMA KAMA WEWE MWENYEWE🙏🙏🙏🙏
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 7 ай бұрын
😂ata dulla anamapngufu sema anajisemea upande wake nnacho amini mm mwanamk akipenda napenda nitofaut nass waume tunataman so dulla Kuna vitu alifel pia yy xi wakwanza kuachana Kuna maisha baada ya kuachana lkn wanaruhs Kiki tu😂😂😂😂
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 7 ай бұрын
Cha kushangaza huyu nu lie wa pili kumuacha. Kuna tatizo
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 10 ай бұрын
The level of maturity he has shown here ni kubwa sana.
@silvesamweli7697
@silvesamweli7697 7 ай бұрын
Pole sana kaka angu had nimelia hapo kwenye kusema hakutaka ndoa nahuku alikubali kabsa
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 9 ай бұрын
Pole Dullah wadada wapo wengine mikoani na wazuri TU na heshima juu. We piga kazi mungu atakupa akufaaye😂😂😂
@FridaMmari
@FridaMmari 7 ай бұрын
😂😂😂😂 weee hao wanapenda mastaa hawezi kupata alietulia
@aminaomary5567
@aminaomary5567 7 ай бұрын
Pole sana mwanangu,usiwaze sana Mungu atakulipa mara mbili yake❤❤❤❤
@naimachiza3939
@naimachiza3939 7 ай бұрын
Kaka dulla Allah Amjaliee wepes inshaallah
@user-bv4lj5gv7z
@user-bv4lj5gv7z 7 ай бұрын
Keep going brother you still blessed❤
@balagamijebalagamije4152
@balagamijebalagamije4152 7 ай бұрын
Dulla hata comedy yuk vzur
@misifaskills745
@misifaskills745 8 ай бұрын
Durah mwanangu namekukubali kweli nimeamini umekuwa sana sio miaka tu bali akili uko vizuri
@GalaxyA-ve8tu
@GalaxyA-ve8tu 9 ай бұрын
Pole sana mdogo angu ila watu wanasemaga kosea vote lakini sio kuoa au kuolewa simama utampata anaye kupenda kweli usikate tamaa
@vickydan2869
@vickydan2869 10 ай бұрын
Maskini mkaka kajiskia vibaya kusikia alimlazimisha Dah pole dulla
@dullahatibukaniki8720
@dullahatibukaniki8720 9 ай бұрын
😂😂😂
@dinaalfani
@dinaalfani 9 ай бұрын
Mackin kak dula n mpole.mackn amekua pole mungu atakulipia
@abdallahmustafa480
@abdallahmustafa480 7 ай бұрын
❤❤❤
@user-hu4sd7bg8n
@user-hu4sd7bg8n 7 ай бұрын
Na pia umepata umarufu kupitia zaidi na zaid kupitia hilo lililo kupata. Pole broo
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 7 ай бұрын
Kila changamoto ikikujia mungu anakusufio nawewe.mungu akupe subra na mke mwema.Ushsuri usikurupuke kuoa sasa hivi jipe mda.pili vijana wengi mnafeli hapo kabla hujatoa mchunguze huyo mwenza je mapungufu yake unaweza kuyabeba?mana mazuri ni mzigo mwepesi kuubeba kuliko mabaya.
@user-hu4sd7bg8n
@user-hu4sd7bg8n 7 ай бұрын
Pole broo utapata mke mwengne ila tunakukubali sana ngoma zko tutakusapot kama mashabik na ww upande juu
@NdanoIsmaill-vo9ym
@NdanoIsmaill-vo9ym 7 ай бұрын
Nakupenda sana ww ni mfano kwa wanaume wengine
@mwanaidikhamis5430
@mwanaidikhamis5430 9 ай бұрын
Umejibu vzr sana Dullah
@user-yx1wt1me9u
@user-yx1wt1me9u 7 ай бұрын
Dulla umeongea vzr sana bro,Big up sana,namaanisha,kua hvhv ipo cku
@abdallahahmed2776
@abdallahahmed2776 10 ай бұрын
Mumemueka kati somo yangu kwa maswali muko vizuri sana👍
@chancesholdan342
@chancesholdan342 10 ай бұрын
Bro made smart move....kubwa sana
@salmakiti1517
@salmakiti1517 8 ай бұрын
Pole kaka utapata mke mwengine
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 9 ай бұрын
Mhhhh ya kweli hayo 😢😢😢
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 9 ай бұрын
Dulla umekuwa sass unaongea kikunwa pole Sana allah atakupa. Mke mwema
@IbrahimMotors-vl9ii
@IbrahimMotors-vl9ii 8 ай бұрын
Kweli kwenye ndoa kuna mambo mengi,na kila ndoa hina kipimo chake kama Huna huvumilivu hutakuwa chizi
@saidadam2165
@saidadam2165 10 ай бұрын
The real makabila ✌🏾
@laurenciamagera3289
@laurenciamagera3289 7 ай бұрын
Pole sn kaka♥️
@anisanassoro5246
@anisanassoro5246 7 ай бұрын
Namkubali sna dula mungu akulinde
@aisharamdan8358
@aisharamdan8358 8 ай бұрын
Uwe unasali kwaajili yakumshukuru mungu
@user-mt3xf4pc7p
@user-mt3xf4pc7p 7 ай бұрын
Pole kaka
@user-fh1kj2rr8t
@user-fh1kj2rr8t 10 ай бұрын
Umetisha kaka!! Nakubali kinomaaaaaa....
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 8 ай бұрын
Kijana ana akili safi Maana hii mitandao inatunza vitu
@user-gz7mr3qr2v
@user-gz7mr3qr2v 7 ай бұрын
Never give up
@Juddy1017
@Juddy1017 7 ай бұрын
Dulla I like you, very wise guy, keep it up you will have a good wife
@aminahkimwana109
@aminahkimwana109 9 ай бұрын
Maskini kaongeya kwa uchungu sana 😭
@user-rf5to6cq6f
@user-rf5to6cq6f 7 ай бұрын
Oi big up sanaaa🎉🎉🎉🎉
@hillarimtambo482
@hillarimtambo482 9 ай бұрын
Nakubar bro❤
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 9 ай бұрын
Pole Sana jaribu kuangalia Mwanamke wa kawaidà ambae matumiz madogo ya pesa
@mwanah3643
@mwanah3643 9 ай бұрын
Mashaalllah ❤
@giftwieland6322
@giftwieland6322 10 ай бұрын
bwana harusi wa taifa dulla makabila
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 9 ай бұрын
😂😂😂Inaonekana Bado Anampenda pole Dulla.
@josephlorri431
@josephlorri431 7 ай бұрын
​@@aishaamwalimu2887soon kiporo kitapashwa
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-jn7pi4fl5m
@user-jn7pi4fl5m 7 ай бұрын
Nampenda sana dula makabila na usijali
@user-ik3qf8py4s
@user-ik3qf8py4s 7 ай бұрын
Mhhh jaman pole kijana Ila piga moyo konde master
@fatmahmed5647
@fatmahmed5647 9 ай бұрын
Pole san kakaangu allah atakupatia mke alie sahihi na kudumu nae ishaallah 🤲
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 9 ай бұрын
Nice nimeipenda ino
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 10 ай бұрын
KACHOKO AKO,,,NA HAMNA DEM UTAKAA NAE UKIENDEKEZA UMAMA
@ameenaameena422
@ameenaameena422 9 ай бұрын
Zinaa mbaya ukizini duwa zako hazipokelewi had siku 40
@user-xz8vo2yh1j
@user-xz8vo2yh1j 7 ай бұрын
Pole dulla jmn
@edimunddiocles8843
@edimunddiocles8843 7 ай бұрын
Kaka upo sahihi
@wanzitamaseko6802
@wanzitamaseko6802 9 ай бұрын
Pole ila nimekuelewa cn
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 7 ай бұрын
Ndo mapenzi. Achana nayo fanya mziki.
@user-to4zw5bm2d
@user-to4zw5bm2d 7 ай бұрын
Nipoooo apa
@TanoBudigisila-ns6rw
@TanoBudigisila-ns6rw 7 ай бұрын
Mbona Sauti Ya Dullah Makabila Ina Nibamba Sasnaa 👌👏🤔🤔🤔
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 7 ай бұрын
Maisha ni mipango ,kuna kupanda na kushuka,kushuka na kupanda.
@user-dv3le9nx9d
@user-dv3le9nx9d 7 ай бұрын
Mr dulla njoo unioe mm
@husseindjumida6568
@husseindjumida6568 9 ай бұрын
Jamaaa alimpend sanaaaa😢 dem..love noma!
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 9 ай бұрын
Kweli
@teedullah5708
@teedullah5708 7 ай бұрын
Leo Sasa nimewaona wote watanqazaji ndo nimejuwa kuwatafautisha sauti zenu mimi huona sauti niya mtu mumoja
@user-mt7ul5wk5l
@user-mt7ul5wk5l 7 ай бұрын
Dulla mwanangu wanawake wa ukweli wapo athanasius kabisa na fikra za huyo dada allah atakupa mke mwema
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 9 ай бұрын
Toa hizo Rasta hazikupendezi
@youngbona3804
@youngbona3804 10 ай бұрын
#SKY MNYAMA
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 10 ай бұрын
Sawa
@DianaMacha-jf8gw
@DianaMacha-jf8gw 7 ай бұрын
Nimejifunza kitu pia kumtegemea mungu kuna faida lakin ukimtegemea binadam kuna hasara kubwa
@user-jc9dz1es7h
@user-jc9dz1es7h 7 ай бұрын
Duuuh
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 8 ай бұрын
Makabila, Zailissa hajakupenda lakini mwenyewe anampenda Mzee Haji Manara.
@NasraSaid-qc5hf
@NasraSaid-qc5hf 7 ай бұрын
Anapenda pesa lakini hampendi yulepuwa Kama langu
@nembibenard8440
@nembibenard8440 7 ай бұрын
Zai kafata hela wala hajampenda haji basi tu lakini hata haji anafaham haji mwenyewe ana wenge la wake zake kumwacha unafikiri yote anayomfanyia zai anampenda sana anafanya kama kuwakomoa wanawake zake alioachana nao
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 10 ай бұрын
Ni kweli uliforce ndoa
@piusdeo9380
@piusdeo9380 10 ай бұрын
Aise kumbe kuna wasanii wa sengeli wanajiilerawa heshima mzee
@annarulanyaga
@annarulanyaga 9 ай бұрын
Mnooooo aiseee huyu kaka sijui niseme ndio msanii mwenye busara na hekima kuliko wote!
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 9 ай бұрын
🎉🎉
@yusraramadhan8203
@yusraramadhan8203 8 ай бұрын
😊
@mustaphambwana7944
@mustaphambwana7944 7 ай бұрын
Nilikua nambiwa alikua atoki njee uyu jamaa we sky mbea kumbe nilikua sijuagi😂😂😂
@elizabethmwarjaset2468
@elizabethmwarjaset2468 8 ай бұрын
Najifunza sana na kukusikiliza
@publicityzone9583
@publicityzone9583 10 ай бұрын
This time Dulla is smart.
@suzanafromomani2973
@suzanafromomani2973 7 ай бұрын
Utapata wa kukupenda kwa dhati
@user-xv8bs1tv4u
@user-xv8bs1tv4u 7 ай бұрын
Si angeongea kabda ajaolewa, jamvi ty uyuuuuu😢😢😢
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 10 ай бұрын
Jasiri🎉
@user-lc1op3ho6q
@user-lc1op3ho6q 7 ай бұрын
Mwanangu kizaz jeur 27 tupopamoja
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 9 ай бұрын
Kumbe Dulla ana hekma
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 10 ай бұрын
Ndy nani huyu
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 9 ай бұрын
Dulla muimbaji singeli
@agnessima5032
@agnessima5032 8 ай бұрын
​@@NR-ll4sr😂
@NasraSaid-qc5hf
@NasraSaid-qc5hf 7 ай бұрын
Polee
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 7 ай бұрын
Maisha ni mipango
@othumanomary4032
@othumanomary4032 10 ай бұрын
Sky hapo mmepiga feature ya maana
@masukuziramadhani9341
@masukuziramadhani9341 7 ай бұрын
Na huko aendako pia atasema alikazimishwa
@safiasaleh669
@safiasaleh669 7 ай бұрын
Anaongea kama Diamond.......
@BeatriceKassim-tz8bf
@BeatriceKassim-tz8bf 7 ай бұрын
hayo maumivu unayopitia ndo aliyopitia mingo kwa hiyo kulia kupokezana
@tahfifumsanga1151
@tahfifumsanga1151 7 ай бұрын
Mm co mtu wa miziki lkini km mwanaume umeongea kitu kizur uwo ndo uwanaume
@roqayaro9439
@roqayaro9439 9 ай бұрын
SHIDA ULIVAMIA MWANAMKE BILA KUMCHUNGUZA UKATAKA KUFUNGA NAE NDOA UPESI BILA KUJUA TABIA YAKE POLE KAKA HUKUCHAGUA CHAGUO SAHIHI ILA NAANGALI NA UPANDE WA PILI PIA PENGINE NA WEWE NDO TATIZO
@salamaali4726
@salamaali4726 7 ай бұрын
Hakika dully ni mwanamme kwan huwezi kumsema mtu ulieachana nae madhaifu yake
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 10 ай бұрын
✌️👊👍。
@BhokeWarioba
@BhokeWarioba 8 ай бұрын
Kiukweli nmpend mno dulla. Makabila
@barakakevela245
@barakakevela245 8 ай бұрын
MSHIKAJI NIMEMUElEWA, ANAONGEA POINTI
@happynkya9770
@happynkya9770 8 ай бұрын
pole dulla
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 8 ай бұрын
maneno ya kiume pengine kuna ulioepuswa
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 10 ай бұрын
Ndo mana upost post hela ili azione
@Zainab_salat
@Zainab_salat 10 ай бұрын
Mbona unaongea kama diamond
@kaJEMBEvip
@kaJEMBEvip 10 ай бұрын
Dozen Kuna vtu kachukua kutoka Kwa sky
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 10 ай бұрын
Cheupe dawa,😁😁😁😁😁
@rerisamba
@rerisamba 9 ай бұрын
Ulimuomba msamaha kama alikataa atajua mwenyewe
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 10 ай бұрын
Hizo changamoto umejifunza nn?Anza kujengaaaa Dullah
@NuruAlly-pd3kc
@NuruAlly-pd3kc 7 ай бұрын
Kashasema apo anajenga kigamboni na ana gar ya kutembelea rudia uone
@user-to4zw5bm2d
@user-to4zw5bm2d 7 ай бұрын
C anioe mm tyu
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 42 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 4,7 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 33 М.
TAZAMA DULLA MAKABILA ALIVYO MSHUKURU MGANGA WAKE BAADA YA KUPATA TUZO...
5:50