Ni mtani wangu halafu nampenda sana kiukweli.SIMBA Inabahati ya kupata VIONGOZI Bbbbora alikua Babra,sasa huyu tena Eeh,!! Ni bahati pekee za aina yake.SIMBA NGUVU MOJAAAAA
@oscanyakunga6 сағат бұрын
KWAKWELI WAMAMA KARNE 21 MNAUPIGA MWINGI KWANZA MNAPENDEZA KWAKWELI
@Josephtibu-l9e5 сағат бұрын
UBAYA UBWELA😂😂🎉🎉🎉
@TomasiklistophaMwinuka11 сағат бұрын
C E O kwer upo kazini kazini Kuna kazi ipeleke Simba nchi yaahadi natumeona unauwezo wakutufikisha tunapo taka ,Simba nguvu moja
@mwlpierre6 сағат бұрын
Binafsi navutiwa na mfumo wa Simba Sports Club jinsi inavyoendesha mambo yake
@Esterkomba-ef7eb10 сағат бұрын
Kumbe alikumbunge hongera sana napenda unavyo jieleza
@BRANDGangmusic-y5z11 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 babra 2
@YusufuMwamlengaMwamlenga11 сағат бұрын
Utaratibu mzuri sana huu
@SamsoniKaka10 сағат бұрын
🦁🏆🏆💪💪💪💪🙏🙏🙏
@CalisternongiHaule-vk6ch9 сағат бұрын
Sio sheria ngowi anatengeneza tshirt za vilabu vya kutosha.ubunifu unafanana
@Esterkomba-ef7eb9 сағат бұрын
Madam CEO naomba chonde chonde shughulika na huyu mtu anaye itwa mchome aitukana sana Simba tumechoka.
@AdamRashidi-n9g5 сағат бұрын
Madam fuata nyao za Barbra wathibi walafi wote wa pesa pia muangalie kwa jicho la tatu mangungu huyo si paka ni chui
@wazirijunior79411 сағат бұрын
Adidas, nike, puma karibuni sana
@wazirijunior79411 сағат бұрын
Madam zuu CEO
@SamsoniKaka10 сағат бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏🦁❤️❤️💪💪💪💪🙏🙏
@bashirukhamisi43115 сағат бұрын
VUNJABEI ALIFAULU KUDHIBITI JEZI FEKI, SABABU ALIKUA ANAUZA MWENYEWE TU. SANDALAND, ALIKOSEA KUWEKA UHURU WA KILA MTU KUUZA, HAPO NDIPO JEZI FEKI ZILIPOANZIA.
@HusseinHussein-f7n11 сағат бұрын
dah ila sandalend jamaa anatuletea jezi kwa wakat sana
@zaynd53667 сағат бұрын
Nae anaruhusiwa kuomba kwa mara nyingine kinachotakiwa nikuongeza hela
@ifmknowledgepower733311 сағат бұрын
Hii Ndio utaelewa maisha ya mafanikio hayaitaji mchekea, mchekea wa huruma, maisha ya mafanikio ni maslahi✅ No maslahi heri ya kuonana 🎉🎉 Hili ni somo kubwa mno kwangu, aya waendesha maisha ki ndugu endeleeni kufa maskini 😂😂
@Kazungujr25511 сағат бұрын
Sahihi kabisa
@JumaThomas-zh7ie9 сағат бұрын
Naomba achukue Adidas
@Priver_Jabir9 сағат бұрын
Huyu madam ananiangalia sana mpka naona aibu kuimalizia hii video.
@protaspessa86158 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@MilazoMilazo7 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@OmaryKiduka10 сағат бұрын
Kwann kad za Wana chama haztoki
@AljuhaniAllyy-dg4ld5 сағат бұрын
Kwani kaimu mana yake nini? Kwasababu huyu dada anaitwa kaimu mtendaji mkuu kwa uelewa wangu nimeelewa kwamba kuna mtendaji mkuu lakini huyu dada ni msaidizi wa mtendaji mkuu ninavoelewa mimi
@bashirukhamisi43115 сағат бұрын
Kaimu maana yake ameshika nafasi kwa muda. Mpaka pale atakapoletwa mwingine au yeye mwenyewe pindi akiidhinishwa rasmi kuwa mtendaji mkuu.
@AljuhaniAllyy-dg4ld5 сағат бұрын
@bashirukhamisi4311 sawa ndugu nimekuelewa shukrani
@elibarikjapheti17609 сағат бұрын
Unapofanya mahojiano muwe na microphone mbili. Zingatia
@mujunvicta637911 сағат бұрын
Adidas Na Nike Itakuwa poa Sana
@Mumlion262410 сағат бұрын
Bei nayo itakuwa imechangamka .
@heisprinceeee11 сағат бұрын
Adidas , Nike , Puma .. mnangoja nini? 🙃
@lusekelocharles134211 сағат бұрын
Tuleteeni Adidas bhna
@Classictz0111 сағат бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y5CcgoigpKemhqssi=W0aZyqoRb1iuKhXv 👈 Magoli yote Simba 🔥