KAIMU MTENDEJI MKUU WA KLABU ZUBEDA SAKURU/"NIDHAMU YA TIMU IMENIFURAHISHA/TUMEONYESHA UKUBWA"

  Рет қаралды 38,133

Simba SC Tanzania

Simba SC Tanzania

Күн бұрын

SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com...
📱 Play Store - play.google.co...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC KZbin Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

Пікірлер: 73
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 17 күн бұрын
C.E.O + AHMED ALLY SEMAJI...kuna Combination bora sana..mtafika Mbali
@josiacharles2778
@josiacharles2778 14 күн бұрын
Madam Zu, eshima kwako mama, tuongoze mama tufike nchi ya ahadi, ninaimani nawewe dada yetu.👏👏👏
@PauloMkwama-t1g
@PauloMkwama-t1g 17 күн бұрын
Ongelen sana viongoz na wachezaji mungu awejuu yenu 🙏
@masimangosaidi
@masimangosaidi 16 күн бұрын
Mungu akujaliy afya njema mama yetu c.i.o wetu endelea kutoa sapoti zaidi
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 17 күн бұрын
CEO tunaomba ifikishe mbali Simba etu mungu atujalie utufikishe mbali Simba etu hongera
@TabithaLukindo
@TabithaLukindo 17 күн бұрын
Very demure very alegant I just love how you talk CEO ❤😊
@abelmlandali1894
@abelmlandali1894 17 күн бұрын
For sure!
@EdinaJonas-l8g
@EdinaJonas-l8g 16 күн бұрын
Hongera sn simba
@KhanashyAlmassi
@KhanashyAlmassi 17 күн бұрын
Simba is every things,SIMBA NGUVU MOJA.
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 17 күн бұрын
Majibu mazuri sana nguvu Moja 💪💪💪💪💪💪💪
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv 16 күн бұрын
Huyu dada naona ataipeleka mbali Simba akishirikiana na viongoz wenzie, hongera sana madam CEO👏👏👏 #NguvuMoja🦁💪
@JeniferNgata
@JeniferNgata 17 күн бұрын
Aminaa🎉
@Aed126
@Aed126 17 күн бұрын
Madam zubeda ana bahati na simba, mchezo unaofuata awepo dhidi ya bravos😊.
@Salimramsey-x8u
@Salimramsey-x8u 17 күн бұрын
Uyu dada mzr sana anaongea kama yule dada mwingine aliyeondoka
@EGM-TZ
@EGM-TZ 17 күн бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys, Ubaya Ubwelaa❤🎉 Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
@SamsonSamsoni-q9s
@SamsonSamsoni-q9s 16 күн бұрын
Hongereni sana sana viongozi wetu 👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏
@simonmadiba2053
@simonmadiba2053 17 күн бұрын
Very diplomatic CEO
@PastoryJustine
@PastoryJustine 17 күн бұрын
Pamoja sana Simba spot club
@OusmanIsmail-i3t
@OusmanIsmail-i3t 16 күн бұрын
Hongera madam ceo
@STELLAMARCELY
@STELLAMARCELY 17 күн бұрын
Hongera sana madame 🎉🎉🎉🎉
@SabraSabraabeid128
@SabraSabraabeid128 17 күн бұрын
sana sanaaa C O
@charlesmtivike
@charlesmtivike 16 күн бұрын
SIMBA NGUVU MOJA 🎉🎉🎉🎉
@KhonjeTijengibweka-sp7nz
@KhonjeTijengibweka-sp7nz 16 күн бұрын
Thank you madm
@BageBoy-e4w
@BageBoy-e4w 16 күн бұрын
Dada zubeda ✅✅💕
@buramohamedi5174
@buramohamedi5174 16 күн бұрын
Simbanguvumoja 🇹🇿🇹🇿💪💪🤲🤝🙏
@ZumrahIdrissa-j6l
@ZumrahIdrissa-j6l 17 күн бұрын
❤❤❤❤CEO
@MADINAKITEMO
@MADINAKITEMO 16 күн бұрын
Madam zuuu uko vizuriiii❤❤❤❤
@EliaTish
@EliaTish 16 күн бұрын
tuna shukuru mungu Sana kwa ushindihu ila tusirizike tunae mechi ngumu sana zidi ya bravo's himechi ngumu sana timu inatakiwa kufanya maandalizi mazuri na makubwa ikiwezekana tufuzu kule kule Angola
@tumaini37
@tumaini37 17 күн бұрын
Dadaaa, hongera sana Madam CEO…❤❤❤
@denisshayo6638
@denisshayo6638 16 күн бұрын
Madam Hana Baya Alafu Ukichunguza hawa Madada MaC.E.O wa Simba Wanafanikiwagaa Sanaa
@paulinaWema
@paulinaWema 17 күн бұрын
❤❤simba
@WaSimba-n6z
@WaSimba-n6z 16 күн бұрын
Ubaya ubwela simba nguvu moya
@EliaTish
@EliaTish 16 күн бұрын
Simba nguvu moja
@MbaroukKhalifa-j8n
@MbaroukKhalifa-j8n 15 күн бұрын
Nimegundua simba ikiwa na ceo wakike unadanya vizur manaa wanakuw na mapenz yadhat na timu
@abelmlandali1894
@abelmlandali1894 17 күн бұрын
Such an aloquent and articulate madam! much obliged❤
@AmFootball-bm5nm
@AmFootball-bm5nm 17 күн бұрын
Duuuu😢
@abelmlandali1894
@abelmlandali1894 16 күн бұрын
@AmFootball-bm5nm mbona unaguna!!
@kulwaMaganga-m7z
@kulwaMaganga-m7z 17 күн бұрын
Am grateful
@ShukuruMakoko
@ShukuruMakoko 16 күн бұрын
❤🎉🎉🎉🎉
@SofiaMtotosop
@SofiaMtotosop 17 күн бұрын
❤❤❤🌹🤲🤲❤👍🥰🦁
@CristinLyanga
@CristinLyanga 17 күн бұрын
Wewe angalia mashabiki,
@GeoffreyDenis-m5f
@GeoffreyDenis-m5f 17 күн бұрын
Nice Conversation
@jairosrafael4476
@jairosrafael4476 16 күн бұрын
Mungu ibaliki simba hadi fainali
@Esther-v9s8n
@Esther-v9s8n 17 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Lulaboytz
@Lulaboytz 17 күн бұрын
Asante madame
@Bulkcarrier2222
@Bulkcarrier2222 17 күн бұрын
She is saying that it is her first trip with Simba for away games for her it is a good history and that is what she wished it to happen
@Abdul-aziziMhando
@Abdul-aziziMhando 17 күн бұрын
Huyu dada anajielewa interview Yake anamfece jamaa huku anaongea fundi sana
@singanomhina5467
@singanomhina5467 17 күн бұрын
🎉
@Mariah-r1o
@Mariah-r1o 17 күн бұрын
Wapi semaji
@MariamHamisi-l9k
@MariamHamisi-l9k 17 күн бұрын
❤❤❤❤
@yahya_myemen
@yahya_myemen 17 күн бұрын
Madam ❤
@OmaryAbidi
@OmaryAbidi 17 күн бұрын
🎉🎉🎉
@WillbardMaige
@WillbardMaige 17 күн бұрын
Watu wanaongea Kwa mpangilio 🔥🔥🔥
@MaulaHussainMaula
@MaulaHussainMaula 17 күн бұрын
NIMEMPENDA SANA CEO ANAJUA KUJIELEZEA NA KUIELEZEA TIMU NICHUKUE NAFASI KUWAPONGEZA MASHABIKI WOTE WA SIMBA SC WANACHAMA WACHEZAJI KOCHA NA BENCHI LOTE LA UFUNDI KWA KAZI NZURI MUNGU ATUBARIKI WANA SIMBA WOTE SIMBA NGUVU MOJA.
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo 16 күн бұрын
Huyu mtu anaehoji anakimuhemuhe tumbambavu sana hauna maswali ya kimpira hivyo ungea kwa akili na nidhamu Simba ni kubwa
@MudathirAbdulhamid
@MudathirAbdulhamid 15 күн бұрын
Watu waliosoma mara nyingi wakihojiwa lazim wasem eeeeh alafu waongee tena afu waseme eeeeh afu waseme tena eeeeh
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 16 күн бұрын
ongezeni nguvu Kwa mechi ijayo maana ni mechi muhimu mnoo kusare au kushinda kabisa
@kulwaMaganga-m7z
@kulwaMaganga-m7z 17 күн бұрын
Nimefrahishwa na jambo la semaji letu kujulikana Hadi uarabuni
@enockmlyuka6475
@enockmlyuka6475 17 күн бұрын
Kijana atofautishe jinsi ya kufanya 'interview' na CEO au Kiongozi mkubwa na Semaji au mtu mwingine asiye Kiongozi mkuu!
@GatsonGweso
@GatsonGweso 16 күн бұрын
Ubaya ubwela
@MufabacarSalimo
@MufabacarSalimo 16 күн бұрын
Ongera yetu wanasimba wote?
@BigZhumbe
@BigZhumbe 17 күн бұрын
Vyura wanasemaje?
@abiangoroma8146
@abiangoroma8146 17 күн бұрын
Hawana furaha
@BigZhumbe
@BigZhumbe 17 күн бұрын
@abiangoroma8146 Wanaumia 🤣🤣🤣
@chanceshihana9491
@chanceshihana9491 17 күн бұрын
Kwenye swala la nidhamu ni kweli naunga mkono, Kibu Denis baada ya kufanyiwa sub na kocha Faldu Davis alikuwa akisukumwa kuharikishwa kutoka nje ya uwanja ila hakuonesha nidhamu mbaya hata kama ilikuwa wazi kuwa anabugudhiwa..
@AlmasiSebarua-ed9gi
@AlmasiSebarua-ed9gi 17 күн бұрын
Ile ni mbinu ya kupoteza muda mzee
@priskalyimo9654
@priskalyimo9654 17 күн бұрын
Tayari alishawajua waarabu ni watu wa shari tu ukiangalia vizuri siyo kibu tu amesukumwa hata mpanzu alifanyiwa vivyo hivyo wote walitulia kuendelea kulinda heshima ya Tanzania na Simba kwa ujumla kwani tumejaliwa amani tutailinda daima 😅😅waarabu walikuwa wanaitafuta shari chezea kupigwa nje ndani wewe😅😅
@chanceshihana9491
@chanceshihana9491 16 күн бұрын
@priskalyimo9654 na hii ndio maana ya UBAYA UBWELA ✊🏾
@swabilimohamedi4630
@swabilimohamedi4630 16 күн бұрын
Co hana mzuka
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 17 күн бұрын
Ubaya ubwela tu
@SamsonSamsoni-q9s
@SamsonSamsoni-q9s 16 күн бұрын
🏆🦁💪💪💪💪💪🙏🙏🙏
@OmarmakameHaji
@OmarmakameHaji 16 күн бұрын
❤❤❤
MAINA WA OTC SHOCKING MESSAGE DIRECTED TO MAINA NJENGA & HIS TEAM
1:05:21
Baruthi wa Thayu - TV
Рет қаралды 57 М.
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
Counter-Strike 2 - Новый кс. Cтарый я
13:10
Marmok
Рет қаралды 2,8 МЛН
AHMED ALLY AMCHANA ALLY KAMWE BILA UWOGA, IBENGE HAWAACHI SALAMA
10:06
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 84 М.