"Kaka Yako Alitumwa Kupiga Ikulu, Angefia Hapa Hapa" - RAIS MAGUFULI | Ikulu DSM

  Рет қаралды 895,230

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 жыл бұрын
DAAH kila nikiangalia video clip za huyu mzee nashikwa na huzuni ghafla, hakika MAGUFULI utabaki mioyoni mwetu, you are true leader. ulitupa mwangaza maishani mwetu
@dickisonfrolian-hu4yg
@dickisonfrolian-hu4yg Жыл бұрын
MUNGU WaMbinguni na aikumbuke kazi yako hakika umefanya sisi tuijue nchi yetu na tujue wapi tunakwama na akinanan wako nyuma ya pazia,ambao wanatukwamisha tusifike mbele, maono yako yanaishi ndan yangu , GOD Bless you my majesty king JPM
@lwitikomwakatumbula5672
@lwitikomwakatumbula5672 5 жыл бұрын
Huu ni uzarendo wa hali ya juu sana asante mh raisi kwa uthubutu wako,hakika umefanya kazi ya mungu atakulipa na vizazi vitakukumbuka,
@amonijuma6243
@amonijuma6243 5 жыл бұрын
Tubebe Mzee wetu tunakupenda!
@shukranfaraji8470
@shukranfaraji8470 5 жыл бұрын
Kiukweli wewe ni kiongozi muhimu katika taifa letu.
@robosia2915
@robosia2915 4 жыл бұрын
Mungu ametuletea tumwombee maisha mema
@jacksonlwitiko4882
@jacksonlwitiko4882 4 жыл бұрын
Mbn unajina Kama langu
@gustavempemba2247
@gustavempemba2247 5 жыл бұрын
Hongera jpm tunakuombea kwa mungu.kazana mungu atakulipa jpm.kama tungepata mawazir kumi tu kwenye nia na dhamira kama yako.tungekuwa mbali
@elicemarco59
@elicemarco59 5 жыл бұрын
God wasn't wrong bringing you to us and I wasn't wrong choosing you as my leader I love you papaa
@mirajiibrahim51
@mirajiibrahim51 5 жыл бұрын
U'r not alone we love him too
@elicemarco59
@elicemarco59 5 жыл бұрын
thanks
@mirajiibrahim51
@mirajiibrahim51 5 жыл бұрын
anytime Elice
@dudeabdallah6702
@dudeabdallah6702 5 жыл бұрын
God bless you our President for your struggling and your Country with your people
@elicemarco59
@elicemarco59 5 жыл бұрын
dude abdallah ameen
@witomsafiri
@witomsafiri 4 жыл бұрын
Mzee kwa msimamo huo mabeberu kamwe hawatakupenda. Mungu akupe maisha marefu na yenye amani.
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 3 жыл бұрын
Ulikuwa: Magufuli;sasa imebaki sauti tu ya uliyekuwa uliyekuwapo..oooh Magufuli,tutakukumbuka sana kwa mema haya na uzalendo huu..Mungu Baba tusaidie.
@eriminahchai8489
@eriminahchai8489 2 жыл бұрын
Ulienda ukabakisha mafisi wanatunyanyasa sana
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk Жыл бұрын
"Mngeweza kuukataa na kutumia force lakina sina uhakika kama mtachimba tena hii dhahabu sina uhakika" 👌👌 mzalendo kaenda zake.
@diamondgeyser7987
@diamondgeyser7987 5 жыл бұрын
Yaani nilikupenda Rais wetu tangu ulipokiwa waziri na nilifurahi sana uliposhinda uraisi wa nchi yetu. Hongera kazi yako ni njema sana....najiandaa tu kupiga kura Raisi tunae.
@salehally1394
@salehally1394 5 жыл бұрын
Napenda sana kila unapoanza mazungumzo huwa unaanza na shukran za kumshukur Mungu na kila wakati husau kumzungumzia Mungu kwakweli Mh, Rais umebarikiwa kila kitu isipokuwa kuawa mwislam tu ndiuo bado. Na ipo siku kwa uwezo wa Mungu utakua mwislam. Ahsante sana Mkuu Mungu akubarik sana Fanya kazi bila kujali udini,ukabila na hata ubaguzi vya vyama kwasababu maendeleo hayataki ubaguzi wa aina yoyote na kwa kuzingatia wew ni Rais wa watu wote Tanzania. Hakika watanzania tunakupenda sana.
@SoFrii
@SoFrii 5 жыл бұрын
Ni ushindi mkubwa... Hongera sana Raisi wetu na Serikali kwa ujasiri mpaka kufikia makubaliano haya. Viva Tanzania. Mungu Ibariki Tanzania!
@peterlaiza3950
@peterlaiza3950 5 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni naomba watanzania wenzetu hawa ambao uliowachagua watuongoze katika Taifa letu akiwepo Rais wetu pamoja na viongozi wenzake.Mungu nakuomba uendelee kuwalinda ili tuendelee kufaidi matunda ya Taifa letu endelea kuwapa afya njema.
@pililakisite4386
@pililakisite4386 5 жыл бұрын
Good
@eriqemarson2362
@eriqemarson2362 5 жыл бұрын
Nawaza hapa...Mungu alikuwa na makusudi yake kutupatia huyu baba mh! Rais..... Brothers and sisters this man he is a God' s provision to us TANZANIAN' s acheni huyu baba afanye kazi yake na tusiache kumuombea kila mtu kwa imani yake... God bless my country Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 and God bless our continent Africa!
@abelubamba7409
@abelubamba7409 5 жыл бұрын
Really Mr.president your transparency will put Tanzania in higher rank economically,,thanks,thanks
@ellywilly8662
@ellywilly8662 5 жыл бұрын
Its real
@mosesmwakasalu1977
@mosesmwakasalu1977 5 жыл бұрын
Baba kazi nzurii...na sisi wananchi tunafurahi sana kwa kaz nzuri kwa tume nzima na ww baba yetu...ukitaka tutaongeza miaka mi5 mingine we will still need yu.
@philbertcelestin2702
@philbertcelestin2702 3 жыл бұрын
Ohhooo,hata ya kikatibs hakuweza kuimaliza
@Tangokelvinj
@Tangokelvinj 5 жыл бұрын
Thats so good...God bless all who participated...God bless you Our Hon.President John Magufuli...Now things are crystal clear (transparent)
@dn.n4983
@dn.n4983 5 жыл бұрын
Mungu tunaye watanzania ibariki tanzania na Rais wetu tunazidi kupanda kila siku hakuna kukatA Tamaa kabisa
@harmonmaelfumsevuasumani2167
@harmonmaelfumsevuasumani2167 5 жыл бұрын
Very impressive! Hongera Dear Mr. President. Together we are moving forward!
@kambamazig02024
@kambamazig02024 5 жыл бұрын
It needs someone not only with a vision but also courage and beliefs that Tanzania could do better than what those corrupt politicians have been doing in the past! Kudos, endelea kuthubutu na utatuachia legacy kama ya Mwalimu, maana naye alikuwa na vision na aliona mbali, hapa katikati wakaja majambazai wakaharibu kila kitu.
@robertntobi1149
@robertntobi1149 5 жыл бұрын
Asumani RH hongera kwalipi naikiwa wazilikupata kibar chakwenda nje anakitoa yy.ulikuwa mchongowao naumebuma
@harmonmaelfumsevuasumani2167
@harmonmaelfumsevuasumani2167 5 жыл бұрын
@@robertntobi1149 unanishangaza kwa kukupewa macho na masikio usivyojua kutumia. Hata kama uko miongoni mwa waliyokuwa wapigaje pesa za taifa letu na kisha kuzijaza kwenye mabenki ya Uswitzi huku taifa likibakia tupu... ungejua kutumia macho na masikio basi ungeweza kushukuru maendeleo yaliyo ya wazi kutokana na uongozi wa awamu ya tano. Tunahinaji kuwa na upendeleo juu ya taifa. Hao waliyopiga pesa ambazo hata kuzitumia hawatoweza, hakika ni waasi dhidi ya kila Mtanzania.
@abiudjames7986
@abiudjames7986 4 жыл бұрын
Mzee sisi watanzania tupo nyuma yako pambana uitoe hii ichi kwenye shimo kubwa mzee tunakupenda sana mzee magufuli Mungu akuzidishi maisha malefu
@bonimarwa9438
@bonimarwa9438 5 жыл бұрын
Mh jpm umeweka historia kubwa Mungu akutangulie uendelee kuchapa kazi
@abdalahfarida2074
@abdalahfarida2074 5 жыл бұрын
Katika Rais mpumbavu ni huyu Magufuli. Ameigawa nchi katika makundi, ukabila, udini na ukanda, Magufuli ni mbinafsi sana. Amekaa Bungeni miaka mingapi asiwaambie wenzake kua mchanga unasombwa. Wajinga ndio watamshangilia. Nchi imekuwa na makundi sana. Kama alikuwa Mbunge kwa miaka 30 kipi kilimzuia kuwashauri wenzake alafu watu wanamshangilia kama MAZUZU. Kipindi cha Mwinyi, Mkapa, Kikwete alikuwa mbunge alishidwa nini kuwa mshauri?. Ndio maana Magufuli ni muuaji. Hakuna Mungu wa wanafiki kama MAGUFULI.
@aybusaidi6719
@aybusaidi6719 4 жыл бұрын
Acheni matusi
@rojamo7394
@rojamo7394 4 жыл бұрын
@@abdalahfarida2074 Kafiri ni mamako na babako na bibizako huko kwenu hanisi we
@zephaniamanembe6929
@zephaniamanembe6929 4 жыл бұрын
Wewe ni jembe pambana baba tumeshakuelewa kitambo mbona.
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 4 жыл бұрын
@@abdalahfarida2074 msemakweli ni mapenxi wa Mungu. Unaona mbali wengi hawa yao I haya. Experience hawana. Elimu ndogo. Uwezo wa kufikiri duni. Ni Elimu mbadala nchi yetu unahitaji sana si hizi za kubabaisha na kusaidia. Elimu za kupewa bure za wadhifa si Elimu. Na hazina faida
@zenajimmy6603
@zenajimmy6603 4 жыл бұрын
From 254 I love MANGUFULI haki Allah akueke miaka mingi Ameen
@buja6350
@buja6350 3 жыл бұрын
Mzalendo tutaku miss sana bubu yetu Allah akuepushe naadhabu zakaburi .
@dabanhh55
@dabanhh55 5 жыл бұрын
Mungu akulinde sana rais wetu ww ni mzarendo wa kweli Tanzania hoyeeeeeee🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪💪
@lazarosmanamba9194
@lazarosmanamba9194 4 жыл бұрын
Mzee hapohapo tumeliwa mno
@lazarosmanamba9194
@lazarosmanamba9194 4 жыл бұрын
Chaps kazi tupo nyuma tunakuombea
@GSengo
@GSengo 3 жыл бұрын
Tanzania tunadeni kubwa kwa mtu huyu, JPM Pumzika mahala pema peponi amin.
@husseinmwita9642
@husseinmwita9642 5 жыл бұрын
Hongera sana mhe Raisi wetu mungu akujaalie afya njema watanzania hatuna cha kukulipa mungu atakulipia
@harrymalesu964
@harrymalesu964 5 жыл бұрын
Watching this man and his lieutenants like prof kabudi always prompt me to wish if only i was tanzanian. Tanzanians you are lucky.
@ericbendera2880
@ericbendera2880 5 жыл бұрын
U are part of us, as u support the goodness of our pioneer doctor John Pombe Maguful Karibu Tanzania
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 5 жыл бұрын
darling we ARE trust me but there some of us who see him as a dictator.I wish we can learn from LIBYANS how they are going through after what happened to their late president GARDAF.
@harrymalesu964
@harrymalesu964 5 жыл бұрын
@@blandinamnyinga8318 what happened in libya can never happen in tanzania because tanzania is a democracy and there is and there will never be a dictator. You see him as a dictator not out of your conviction but you follow hopeless characters like zitto and lissu who feed you on a wrong diet of po litics and you start seeing things upside down
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 5 жыл бұрын
@@harrymalesu964 read my note again am on your side darling.all i said is some of us meaning some of us Tanzanians.there people who see him as a dictator, demoracy or no democracy if and onliy if the person in power is providing what we need as citizens then no problem. Some of Libyans they wish Gaddafi was alive today.
@abdiomarimohamed6626
@abdiomarimohamed6626 5 жыл бұрын
Kweli Raisi an uchungu na Afrika yetu wengine wajifunzee hapa!! Asante!!! Nipe gumba kama unakubaliana!!!
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Eee Mwenyezi Mungu tusaidie watanzania JPM wetu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭😭😭
@winterkasela9033
@winterkasela9033 5 жыл бұрын
Huenda angefia hapa yani kwa pointi hii nimekupenda sana mungu akubariki sana
@amorsalum271
@amorsalum271 5 жыл бұрын
Good babababab yetu
@alphoncewikedzi2464
@alphoncewikedzi2464 5 жыл бұрын
Great job by a great leader. Hongera sana Rais wa Tanzania.
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 5 жыл бұрын
Hongera sana Mh. Rais wetu Mungu akulinde na tunakuombea Mungu ukubali kuongoza nchi yetu sisi wananchi ndio tunajukumu la kubadilisha katiba
@patrickmashauri7045
@patrickmashauri7045 5 жыл бұрын
This we call win win situation Viva JPM viva, Tanzania kwanza tuachane na siasa tuunge mkoni juhudi za Rais wetu.
@stanleysimon5950
@stanleysimon5950 5 жыл бұрын
Patrick Mashauri muheshimiwa chapa kaz mimi ni likuwa mpinzan lakini nimeamia ccm
@patrickmashauri7045
@patrickmashauri7045 5 жыл бұрын
@@stanleysimon5950 Hakika hata mm nilikuwa upinzani hasa baada ya kukosa mkopo chuo kikuu, lkn kiukweli naiona Tanzania mpya miaka kadhaa ijayo
@hamzaathuman9703
@hamzaathuman9703 5 жыл бұрын
Mimi sihamii ccm ila kwa kasi hii niwazi kura yangu kwake. Mnyonge mnyongeni lakini haki ake mpeni
@anorydalex9817
@anorydalex9817 4 жыл бұрын
unga ww na mamaako
@mariaconsolatawapalila3138
@mariaconsolatawapalila3138 5 жыл бұрын
Hongera sana our President. Mungu akulinde na kukuepushia mabaya yote. Kazi tunaiona baba, keep the ball rolling.
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 3 жыл бұрын
Alafu mtu mmoja eti Raisi hakuwa fair,khaaa. Yaani kweli akili zetu zinatofautiana. Kwa haya nayo kweli tunahitaji mtu gani atuelezee ili tuelewe?! Mungu tufungue akili na macho tuone ili tuelewe
@veronicalaiser8394
@veronicalaiser8394 5 жыл бұрын
Kweli kabisa Rais wangu. It was very painful. Mungu aendelee kutusimamia.
@geofreylucas9469
@geofreylucas9469 4 жыл бұрын
I'm so proud to see that our high school teacher department provide a president of today and onwards.big up MAGU
@deusisindwa616
@deusisindwa616 5 жыл бұрын
Hongela Sana Rais wetu mzalendo pamoja na wasaidizi wako wazalendo mungu awajalie afya njema,mungu ibaliki Tanzania.wabaliki viongozi wenye mapenzi mema na nchii yetu
@djprime2411
@djprime2411 5 жыл бұрын
mungu ibariki tanzania na viongozi wake
@michaelgershon9077
@michaelgershon9077 4 жыл бұрын
Inauma sana sana.....viongozi wamelala tu. Wanachukua percent alafu wanatusaliti kwa kuiuza nchi. Mungu akulinde Mh.Rais JPM
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 5 жыл бұрын
Raisi wangu magufuli mpendwa baba naomba unisamehe kutokukuchagua Ila nilijua ni ile ccm ya wafilisi kumbe ni ya mkombozi nakuahidi 2020 hii kura kwako baba
@suleimanmustapha101
@suleimanmustapha101 5 жыл бұрын
Mungu iibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki Watanzania, Mungu wabariki viongozi wa Watanzania, Mungu mbariki Magufuli.
@danielsanga5198
@danielsanga5198 5 жыл бұрын
Miaka mi5 hii nimetumia MB nyingi sana ksiliza hotuba za Mh Raisi nakukubali sana Magufuli
@harrymalesu964
@harrymalesu964 5 жыл бұрын
Bora ww ni mtz sasa mimi kutoka nchi jirani kila kukicha natafuta video mpya za jpm 😁😁
@hamidaawadhi835
@hamidaawadhi835 5 жыл бұрын
@@harrymalesu964 safi sana
@aurelianimtundu852
@aurelianimtundu852 5 жыл бұрын
Nilitegemea kusikia vilaza wale wenye mihemko yakijinga, ila naona wanamkubali Rais kimoyomoyo, kila nichek comment siwaon wanacha----
@husseinmwita9642
@husseinmwita9642 5 жыл бұрын
Good
@theresiangunda2298
@theresiangunda2298 5 жыл бұрын
@@harrymalesu964 Barikiwa sana
@aishamussa7246
@aishamussa7246 4 жыл бұрын
Mungu akuzidshie Sana rais wetu,,unachonifrahisha unamtanguliza mung kwa Kila Jambo! Namaandiko yanasema atakaenikumbuka nami sitomuacha!!? Mung ypo pa1 naww chapa Kaz mkuu
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 жыл бұрын
Huwa nachanganyikiwa kabisa nikisikikiza hotuba zako rais wangu,unaukonga noyo wangu.sijawai kuona kuona MTU mwema kama wewe, Nakuombea mno kwenye sala zangu.mungu akulinde,akushike mkono.ubarikiwe sana.
@smwemja8499
@smwemja8499 5 жыл бұрын
Congrats my President. Mungu akubariki. Pamoja na mapungufu ya ubinadamu, team hii iliyotumwa kukuwakilisha imefanya kazi nzuri. I'm proud of you Mr. President.
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 5 жыл бұрын
Nakosa cha ku comment jamani. Uwiii love you my President
@elfacechongera6648
@elfacechongera6648 5 жыл бұрын
Mm ninakuaminia sana. Hongera kwako Rais wetu- Mungu Ibariki Tanzania.
@jumamwesa3170
@jumamwesa3170 4 жыл бұрын
I love it,you have addressed nicely and confidently, loving you baba lao
@kaminambeho
@kaminambeho 5 жыл бұрын
Dah mwenyezi mungu akulinde dua zetu za watanzania zipo mbele na nyuma yako kukulinda.. ww true President ktk nchi yetu asante nchi inaonekana ina move my president asante sana....
@YusufAli-ib6xu
@YusufAli-ib6xu 5 жыл бұрын
Great Tanzania 🇹🇿 leader big gift from Allah
@dreazyqalito4440
@dreazyqalito4440 5 жыл бұрын
This Human is so an angel like, Magu Mungu akutunze mzee wetu , tumepigwa tangu 95 mpaka leo, inaumaa sema sisi wa nje ya boks kama hatokei mkubwa kama wewe mzalendo tunaenda tu hata neno letu huwa sio msingi kwa wapigania matumbo yao, Mungu aibariki Twiga ,Mungu ibariki Barrick Amen
@mbwanaseif404
@mbwanaseif404 5 жыл бұрын
Raisi bora kabisa Africa Mungu mpe maisha marefu huyu baba yetu
@germanuskalugwa1526
@germanuskalugwa1526 4 жыл бұрын
Dah... Hakika uliletwa na Mungu mkuu,, and you will always be the best cause you have shown the world.
@bahatidamiani8546
@bahatidamiani8546 5 жыл бұрын
Umeingia kwenye historia ya Tanzania mh JPM, Umelinda rasilimali za watanzania , madini yalisombwa bila utararibu mzur, tembo waliuliwa ovyo, kwa sasa tunanufaika Taifa, Mungu akubariki sana
@petermwantole9433
@petermwantole9433 5 жыл бұрын
Nadhani ni mfano wa kuigwa na viongozi wa Africa kwa ujumla,, sasa rasilimali zetu inapaswa zitusaidie sisi wazawa,, enough is enough
@MsAggie5
@MsAggie5 5 жыл бұрын
Peter Mwantole Well said, Yaani si rahisi
@husseinbongo5261
@husseinbongo5261 5 жыл бұрын
Zile nchi zilizokua zinatangazwa na kusifiwa duniani kwa uzalishaji wa TANZANITE mbona siku hizi sizisikii?
@sofialinus8241
@sofialinus8241 4 жыл бұрын
Baba mh JPM Mungu akubariki na akulinde Ombi langu kwako Tz tukiwa sawa zaidi Tuwasaidie na wenzetu Afrika
@athanasitebuye1134
@athanasitebuye1134 5 жыл бұрын
Uko vzr mzee mungu akuongoze na akupe afya njema today is unforgettable decisions
@damsonwillison435
@damsonwillison435 4 жыл бұрын
Baba Magufuli Ubarikiwe
@agathajoseph1874
@agathajoseph1874 5 жыл бұрын
Hii ni zaidi ya kujitoa mhanga. Mungu akubariki mno mzee Magu
@mgunjedastan4971
@mgunjedastan4971 4 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu raisi wangu magufuli
@benkisinga4756
@benkisinga4756 4 жыл бұрын
My President, My nation, My Tanzania. JPM you will be our president till God takes you from us! 🙌
@philbertcelestin2702
@philbertcelestin2702 3 жыл бұрын
Oops!,he has already taken him!!
@De-Pores
@De-Pores 4 жыл бұрын
mungu mbariki magu mungu ibariki tanzania. tunakupenda sana mzee magu
@deogratiaschristopher3382
@deogratiaschristopher3382 5 жыл бұрын
Nikipita bila kucoment itakua dhambi,,,,,,Mungu awe pamoja na wewe Mkuu
@marcelinamiku8798
@marcelinamiku8798 5 жыл бұрын
Rais wetu John Pombe Magufuli hoyeeeee, Mungu akuongeze miaka mingi uendelee kuipigania inchi yetu
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 5 жыл бұрын
Tunamshukuru Mwenyeezimungu kwa ajili yako na Tunamshukuru Mwenyeezimungu kwa Ulinzi wangu na azidi kukutunza na Familia yako Viva Rais wetu Mh. A John Pombe Magufuli
@allykombo4036
@allykombo4036 5 жыл бұрын
Alhamdulillah
@absalimlufyagile4974
@absalimlufyagile4974 4 жыл бұрын
Jembe tumelipata
@abelntomela299
@abelntomela299 4 жыл бұрын
Asante kwahilo
@tamatithomas3360
@tamatithomas3360 3 жыл бұрын
😪😪😪 yaan Nahisi ni Baba yangu.Nilikuelewa sana Mkuu
@winniemwangonda3250
@winniemwangonda3250 5 жыл бұрын
Mungu akubariki mheshimiwa tuko pamoja sisi tunakuombea
@thobiasshikome1480
@thobiasshikome1480 4 жыл бұрын
Hongera Sana magu ubarikiwe sana
@eddynyaki5539
@eddynyaki5539 5 жыл бұрын
Mungu azidi kukujalia hitaji la moyo wako Raisi wetu. 2020 Magufuli tena kazi ziendelee
@aliysaid8180
@aliysaid8180 5 жыл бұрын
Uuuwuiii BABA MUNGU akulinde RAIS WETU JPM
@imhotepheru436
@imhotepheru436 3 жыл бұрын
R.i.p Dr Magufuli... For me personally Dr Magufuli was the Best Leader in the world.. who else in the world go around country very often, listen 2 people's issues & trying 2 fix 4 them with limited resources???
@jacksonkyando7869
@jacksonkyando7869 5 жыл бұрын
Hivi Mr. President ungekua waziri enzi za Nyerere tungekua matajiri zaidi ya Africa kusini. Pongezi sana Mh. Magu
@jamali0017
@jamali0017 5 жыл бұрын
Mm Jamal Leo natoka chadema na direct naenda kwa magu good verry verry strong president God bless magu and tanzania yetu🙏🙏🙏🙏
@abdallahmagera9160
@abdallahmagera9160 5 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana ndugu yangu
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 5 жыл бұрын
Karibu sana hujachelewa
@mrbayuali6916
@mrbayuali6916 5 жыл бұрын
Hongera sana Raisi wetu kwa kazi nzuri san ya taifa letu la Tanzania
@samsonjoseph670
@samsonjoseph670 5 жыл бұрын
I can't stop loving u jaduong,God bless you.
@festokiwale1763
@festokiwale1763 4 жыл бұрын
Nakukubali sana mheshiimiwa rais mungu akupe afya njema na miaka mingi
@isayayohana1051
@isayayohana1051 4 жыл бұрын
Chapa kazi mzee wetu
@fadumayusuf6564
@fadumayusuf6564 4 жыл бұрын
Mungu akubariki wewe Rais JPM kwa Moyo ulionao wa kuwanufaisha Watanzania Amin
@angelmwoleka7892
@angelmwoleka7892 5 жыл бұрын
2020 hakuna haja ya kupiga kura rais tunayeee!!! Viva Magufuli vivaa! Mwenyezi Mungu akupe afya na hekima nyingiii!
@khatibumwalimu591
@khatibumwalimu591 5 жыл бұрын
Tupo pamoja
@jastin_josephat_mkwawa_sungura
@jastin_josephat_mkwawa_sungura 5 жыл бұрын
Mbona mm Kura yangu kila siku anatembea nayo mfukoni, nilishampigia zamani sana. Huyo ndo BABA LA BABA
@MsAggie5
@MsAggie5 5 жыл бұрын
👍👍👍👍👍
@henryxavery1713
@henryxavery1713 4 жыл бұрын
Wameng'ang'ania,sasa tuwaonyeshwe mfano150% Oct.
@hassanmsipi4094
@hassanmsipi4094 5 жыл бұрын
Nakuelewa sana Raisi wangu,, Sichoki kuangalia hutuba zako nakuombea Afya njema daima
@albertnestorylukoo9716
@albertnestorylukoo9716 5 жыл бұрын
Good our president Magufuli
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 4 жыл бұрын
Ubarikiwe baba MHESHIMIWA RAIS wetu
@abdullkhamis5406
@abdullkhamis5406 5 жыл бұрын
Jamadari wangu: Kwa kweli hapa umenifurahisha sana. Endelea kulinda utajiri wa Tanzania yetu. Well done.
@orandokambarage7387
@orandokambarage7387 4 жыл бұрын
Wewe ndio rais utapata kura bila kupingwa hongera kiongozi
@joelinko6632
@joelinko6632 3 жыл бұрын
Is dead😒
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 5 жыл бұрын
Let us pray so hard cause dispite our president being this straightforward vibaraka hawatakaa waishe wapo na wanapanga mbinu kila Leo za kushirikiana na wanyonyaji always watakuwepo ila kwa jina LA YESU na damu yake takatifu atawaumbua,kuwaaibisha na kuwaangamiza kabisa.emen
@bonnigerbatshwayi3443
@bonnigerbatshwayi3443 5 жыл бұрын
Uko vizuri Rais wetu uko makingini sana ila tu watumishi wako wanakuangusha sana
@sadamkuntukumu3672
@sadamkuntukumu3672 2 жыл бұрын
Kabudi namuelewa sana huyu profesa
@isaacsinienga2041
@isaacsinienga2041 5 жыл бұрын
Thamani yako ni kubwa kuliko nafasi uliyonayo mkuu wa nchi tunakuombea daima. Mungu azidi kukusimamia. Amina.
@محمدعلي-م4ص3ش
@محمدعلي-م4ص3ش 5 жыл бұрын
Amiiin
@nadjibuamza1485
@nadjibuamza1485 4 жыл бұрын
Isaac Sinienga god presindent magufuli
@mariamkipara330
@mariamkipara330 4 жыл бұрын
Ongera anko magu
@remmysbrand
@remmysbrand 4 жыл бұрын
Wewe ni Gadafi... Watu watakuelewa baadae! I will always respect your moment of leadership! We have wanted to have a president of your caliber! Congratulations Mr. President
@hawahabibu661
@hawahabibu661 3 жыл бұрын
Baba ctoacha kukulilia 😭😭japo umetuachia mama lkn bado cjamuelewa nakukumbuka ww tu
@amiltonmichael5377
@amiltonmichael5377 2 жыл бұрын
We had a president🙌 mungu akurehem mzee wetu🙏
@OmarAli-zi2jg
@OmarAli-zi2jg 5 жыл бұрын
Rais mzalendo Mh JPM nasema from the bottom of my heart, congratulations!!!
@abbasgumbo177
@abbasgumbo177 5 жыл бұрын
M.Mungu akulinde sana na kupemaisha marefu yenye amani kwa kazi kubwa unayoifanyia inchi hii
@jastin_josephat_mkwawa_sungura
@jastin_josephat_mkwawa_sungura 5 жыл бұрын
Ingekuwa ile miaka 20 iliyokaa kwenye Uwaziri ndo angeanza nayo Urais leo Tz ingekuwa Juu kileleni kw mafanikio. Ikiwezekana tumpe miaka 15 au hata 20. Maana bado ana nguvu. Love U my President MAGUFULI BABA LA BABA.
@salumramadhani6993
@salumramadhani6993 5 жыл бұрын
Kweli babu
@kilulumasunga8657
@kilulumasunga8657 5 жыл бұрын
Ikiwezekana hata tusiangaike na uchaguzi aendelee tu
@martinhinda5233
@martinhinda5233 5 жыл бұрын
Tungekuwa mbali
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 5 жыл бұрын
Kila jambo na wakati wake
@geneskimario7136
@geneskimario7136 5 жыл бұрын
Nakubaliana
@edent4603
@edent4603 3 жыл бұрын
true leader who tried his best to give comfort to all human kind, thanks papaa.
@st.alvincollege6184
@st.alvincollege6184 5 жыл бұрын
Neno "HAIWEZEKANI" Linapatikana kwenye kamusi ya WAPUMBAVU TU!!!!! you are more than a president, this country is NOT poor!!!
@eventelias3566
@eventelias3566 5 жыл бұрын
Hahahah msemo konk
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 5 жыл бұрын
We are not poor
@anuaryally6177
@anuaryally6177 5 жыл бұрын
Tawile
@fatmakiriud5620
@fatmakiriud5620 5 жыл бұрын
yes we are not poor
@kinjeketilengwale1141
@kinjeketilengwale1141 5 жыл бұрын
Tawile kk👏🏿👏🏿👏🏿
@josephkwayu7738
@josephkwayu7738 3 жыл бұрын
Mwenyenzi Mungu akurehemu umefanya kazi kwa maslahi ya wanyonge
@dariusmbotela8778
@dariusmbotela8778 5 жыл бұрын
Hongera Sana Mkuu Mwenyezimungu Mtukufu Akuhifadhi Daima Dawamu!!,
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 4 жыл бұрын
Magufuli mungu akubariki unaumiza kichwa kwajiri ya sisi watanzania utabarikiwa tu naamini nimpango wa mwenyezi mungu amekutuma kwa makusudi marimu
@iambaizo
@iambaizo 5 жыл бұрын
Baada ya Mh kusema The Game is Over Wazungu wamestuka sana 😂😂😂😂
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Жыл бұрын
Bado tunakukumbuka daima
@sadikidaudi1223
@sadikidaudi1223 5 жыл бұрын
Hongera Mhe Rais Mungu akuongoze vyema naona hata waliokua wanabwabwaja wamekaa kimyaa hawana chakusemateena.
@peternichoraus5983
@peternichoraus5983 5 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie afya njema Mh. Dkr John Pombe Magufuli sisi kama wana nchi tupo nyuma yako
@EdwardSMsiro
@EdwardSMsiro 5 жыл бұрын
Wewe ni baba wa mfano hapa duniani, tunamshukuru Mungu kutupatia ww baba.
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 5 жыл бұрын
Hongera sana MH Rais Allah akulinde kwa wema wako
@NicholausMbwambo
@NicholausMbwambo 5 жыл бұрын
Rais mzalendo. Barikiwa
@valeriaveda7519
@valeriaveda7519 3 жыл бұрын
Yaan natamani ufufuke baba😭😭😭
@MaaneML
@MaaneML 5 жыл бұрын
Grateful His Excellence. Blessed the womb which carried you for 9 months.
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
Unaanza kuongea upuuziii
@MaaneML
@MaaneML 4 жыл бұрын
@@derrickthedon91 pole zako. CCM Mbele kwa Mbele. October itajulikana kama nimeanza kuongea upuuzi au laa. Tusubiri kipenga cha mwisho.
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
Nakuomba unisamehe.. Daa kwelii niliongea ujinga. Nakupenda
@EJODHIS
@EJODHIS 4 жыл бұрын
A true son of Africa! If only other leaders could emulate his patriotism for Tz and Africa, his love for his people! Afrika kweli tungekua tumefika mbali sana. We salute you from across the border. Tz Oyee!!
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS DKT. SAMIA KWA WATANZANIA
28:24
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 28 М.
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 119 М.
TOP 10: KAULI za JPM ZILIZOTIKISA, TAZAMA UNIAMBIE IPI ILIKUKOSHA ZAIDI!
11:53
Global TV Online
Рет қаралды 1,5 МЛН
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 2 МЛН
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA MEATU - 08/09/2018
1:10:38
Azam TV
Рет қаралды 19 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН