itatumia muda sana kumuelewa mh raisi wetu jpm.sasa nimeshajua nn muheshimiwa anataka 1.kutofuja kodi za wananchi 2.kulinda na kutetea haki za wananchi 3.ukweli na uwazi 😎 kazi kazi kazi kazi jpm raisi ambaye hatosahaulika .(ukweli usemwe).sina chama
@SuperKibwana5 жыл бұрын
4 kuchapa kazi
@SuperKibwana5 жыл бұрын
6 Kuacha majungu
@SuperKibwana5 жыл бұрын
5 Kila mmoja kujitambua na kuyajua majukumu yake
@imamuhemedi43875 жыл бұрын
Shamik Tv
@kombosaira78945 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa wa tabora angeletwa Dar.
@mohamedkikale72415 жыл бұрын
Allah mjalie Afya, wered, kheqma busara, na uchapa kazi Rais wetu, kwa niaba ya watanzania wote.
@ابنعثمن5 жыл бұрын
Amiiin Rabbil Alamiiin
@shilungumoshi37325 жыл бұрын
Kiukweli huu ndio uadilifu unaofaa zaidi kuigwa kwa viongozi wotee Wa madhehebu ya dini na Wa serikali kwa ujumla hapo ndipo tutapata jamii mpya na Tanzania mpya.Hongera sana mheshimiwa JPM.Barikiwa
@ramadhankambalame46815 жыл бұрын
Alafu kuna baadhi ya watanzania wanasema Raisi hafai kwel? Allah katushushia neema ya huyu mzee Raisi magufuli
@imamuhemedi43875 жыл бұрын
Shilungu Moshi
@godfreynjamasi74035 жыл бұрын
Uyu president wengine wasubili
@upendonyava75745 жыл бұрын
UsikukuhusumagerezakutorewawFungwa
@yohanamhanzi67975 жыл бұрын
Rais nakuelewa sana DPP tukusanyie hizo pesa zitusaidie kuboresha Nchi hapo DPP utakuwa umeacha alama ktk nafasi yako tena ya kihistoria na Mungu atakuona ktk hili.
@Teachercandle5 жыл бұрын
Hongera mheshimiwa raisi kwa kuwaeleza ukweli ili waweze kujifunza unaowateua..
@seifmalijan87755 жыл бұрын
utakumbukwa mheshimiwa Rais kwamema unayoyafanya ktk nchi yetu.
@chumizola18475 жыл бұрын
Ile nia yangu ya kumuandika Mheshimiwa Raisi Barua, sasa inatimia! Mungu Azidi Kukubariki JPM
@petermponzi4115 жыл бұрын
"Tanzania got amazing President"
@hajisalum34945 жыл бұрын
Magufuli atabaki kuwa magufuli tu mjomba magu 2020 kula yangu utaipata panapo majaaliwa
@adenihalisi42185 жыл бұрын
Sawa nimeelewa wewe ndio Rais Magufuli wengine walikuwa ni mfano wa marais!
@obbybenitho58035 жыл бұрын
adeni Halisi nakubaliana ww
@ابنعثمن5 жыл бұрын
Wengine walikuwa "symbols ", Hahahaaa!
@kimanzikato96785 жыл бұрын
adeni Halisi
@mr.machange13775 жыл бұрын
Watumbue bhana Mi naona upo sawa tu JPM
@romeoromeo41255 жыл бұрын
Kaka Makonda jipange vzr, juzi kakuripua Vingunguti leo Coco Beach. Fanya kazi mambo yasiwe mengi!!!
@ismailkhalid61865 жыл бұрын
Makonda taa ya njano imeanza kuwaka
@philemganga84115 жыл бұрын
Huyu ndiye Raisi !
@lovebusness87775 жыл бұрын
Red inakarbia ustoshe makonda nae mambo meng
@TheCvm2295 жыл бұрын
Ukisikia Hapa ni Kazi... Ndo kama hivi zege halisubiri jumapil ipite
@romeoromeo41255 жыл бұрын
Leo imekaa vzr ili kesho tu waanze kazi
@lovebusness87775 жыл бұрын
😀😁😂😂seven dayz kaz kaz
@amirichaka3555 жыл бұрын
Muheshimiwa wewe ni mwalimu tosha ktk utawala wako tusipo jifunza jombo basi Tz imeangamia na maendeleo ni hadithi ya mbali
@ahmadateguro48865 жыл бұрын
Yani mpaka machoz yananitoka kwa haya maneno wanayoambiwa wateuliwa dahh mungu katuzawadia allah akbarrrrrrr mungu mlinde raisi wetu kwa kila shari za walimwengu
@ahmedsalimsaleh97265 жыл бұрын
Amin
@kingndinyo97645 жыл бұрын
Viva Magufuli 2020 kura ipo gombea mpk miaka 20 mbele hk wote 2naongea lugha moja xaa hizi 😂😂
@ronaldsariah87605 жыл бұрын
Mheshimiwa hebu tupia jicho pale BRELA. Kuna changamoto kadhaa. Wachache watanielewa
@tozzaalexandar49055 жыл бұрын
Magu anaongoza nchi na ana fundisha
@mswanawamswana31295 жыл бұрын
Asante sana kwa mabadiliko huko Morogoro. Mzee umemvumilia sana mh. Kebwe. Naomba umulike na Polisi mzee wetu ikibidi mabadiliko yafanyike. Kubadili leseni pale trafiki ni shida sanaaa. mazingira ya kupata leseni mpya ni magumu sana. Morogoro mulika polisi. Kuna alama tatu ambazo hazipo ktk barabara za Tanzania lkn utaulizwa tu maana wanataka kukwamisha ku renew leseni.
@yonamwakanyamale50235 жыл бұрын
Nakupenda sana tena sana Raisi wangu JPM, Ni ushauri mzuri kwa mahakama maana mahakama imelala. Tunapata faida gani mtuhumiwa ana Pesa zetu alafu amefungwa, alipe Hela zetu atoke gerezani.
@imamuhemedi43875 жыл бұрын
Yona Mwakanyamale
@mumyhendry2919 Жыл бұрын
Baba ♥️♥️♥️bado ninakupenda mnoo na tunakuhutaji 😭😭😭plz kila sku nakuombea na naamini uko uwepon wa Mungu,tuombee wanao🙏🙏🙏♥️♥️♥️🙏🙏🙏
@privamushi25122 жыл бұрын
Leo naangalia hatuba ya kipenzi chetu tuliyependa gonga like kma ipo na Mimi
@geminiflorian62375 жыл бұрын
Hapa Kazi tu , Yani hii Tumbua Tumbua inasaidia kuondoa Mazoea ya kazi , Kiongozi yoyote anatakiwa awe Mwepesi wa Maamuzi yenye Manufaa kwa Taifa , Congratulations Mr President
@lovebusness87775 жыл бұрын
Fund mzr ni yule ajuae kujenga na kubomoa
@jacksommndellah77945 жыл бұрын
Safi Sana rais mangufuli
@antonykahwage21895 жыл бұрын
hakika mheshimiwa ana upendo wa dhati saaaana na watanzania,
@evelynmon94235 жыл бұрын
Mungu akutunze Rais wetu Rais wa watanzania uwafundishe viongozi wa Tanzania 🇹🇿 kuongoza bila kula rushwa inawezekana
@kimanzikato96785 жыл бұрын
Hawa Boko
@niyonkurucanesius7773 Жыл бұрын
REST in eternal peace. we miss from Burundi
@msaphirimagallah57815 жыл бұрын
Huyu ndio rais wa Tanzania... Mungu akulinde Baba... saluti mzee wangu! Wasio weza kasi yako wakupishe jembe letu upige kazi na wanaokuelewa tu
@amanichanga34485 жыл бұрын
Keep going Tanzania
@frankrevelian69195 жыл бұрын
tuna mambo mengi ya kujifunza kwa mh rais, kwanza uvumilivu na hekima ya kuona nchi inapigwa na akaamua kunyenyekea akitafuta nafasi nzuri ya kuikomboa nchi kipindi chote alichokuwa kwenye uongozi, hii inatufundisha sana watanzania, hekima na busara ni muhimu sana
@imamuhemedi43875 жыл бұрын
FRANK REVELIAN
@abuumussa23905 жыл бұрын
nakuerewa sana mzee wangu ila kwa sasa kunawatanzania wafanya niyashala bado wanaenderea kuhujum uchumi ukienda kununia kitu anakwabia kwa risit ni sh 12000/= bila risit sh 9500. /= ushauri wangu kwa watanzania tuwe wakweli kama mweshimiwa raisi anavotaka kuripeleka hili taifa mbere mungu ibariki tanzania mungu mbariki mr Rais wa jamuhuri ya muungano
@lovebusness87775 жыл бұрын
👏👏👏salout make awa jamaa wanasumbuwa kweli juz nimeenda kununua godoro la super banco futi 3/6 nikaambiwa bila rst 95elf akinipa rist 120,000/=. Nikakubali aniuzie bila rst ila aniperekee mpaka nyumban kwangu nae akakubali kuliweka kwenye gr lake tukaelekea nymbn kwaiyo wafanyabihashara bado hawajakubr kutendea nchi yao haki.
@msaphirimagallah57815 жыл бұрын
Makonda fanya kazi kaka.... huyu mzee humtendei haki, achana na mambo yasiyokuwa na maana fanya kazi
@johnnkwabi89335 жыл бұрын
Makonda naomba umsikilize mzee anataka nini juu ya Tanzania mpya bila uchafu kazini inawekana
@deusmauka96265 жыл бұрын
Mi machozi yanatoka tu, muoneeni huruma JPM, pigeni kazi jamani.
@stevenmeshack467 Жыл бұрын
Uyuuu mzeee kweliii ni mfano sanaaa wakuigwaaa" upumzike baba yetuu mpendwaa
@godsonmasawe51635 жыл бұрын
THE BEST PRESIDENT EVER, I REALLY LIKE YOU MR PRESIDENT AM PROUD OF MY PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI GOD BLESS AND PROTECT YOU.
@fanbullalukasa4865 жыл бұрын
kweli JPM ni mti wa mpingo,asante kwa sindano imeingia!!!
@angellarobert38925 жыл бұрын
Mungu akutangulie Rais wetu mpendwa JPM. LIVE LONG
@nilagushaha19905 жыл бұрын
Well noted,,,stay blessed our Honourable President JPM. We promise you as Country men, we shall not be, STIFF NECKED PEOPLE!! To implement what is right in accordance to your Outstanding views"
@rwenenahomechannel16342 жыл бұрын
Na ndio maana damu yako italeta laana kwa wengi na neema ya busara na hekima kisiasa,ki dini kwa wenye kuzitumia akili kwa weledi. Raha ya milele inakuatahili baba Magufuli. Utubee huko pema ulipo.
@janeypheremmanuel98445 жыл бұрын
nakupenda Rais wangu Mungu akubarik sana
@omarykaita435 жыл бұрын
Mheshimiwa Rais pole kwa kazi ngumu, hongera kwa nia njema, sisi wazalendo na tunaojua nia ya moyo wako kwa Tanzania na Africa kwa ujumla Tunaitafsiri nia hiyo kwa kufanya kazi kwa bidii na kujituma ili kuweza kukomboa uchumi wa nchi yetu toka katika makucha ya wakoloni wa kiuchumi. Mwenyezi Mungu aendelee kukupa maono zaidi katika kutuongoza kwenda kanaani ya maendeeo yetu kama Taifa.
@celinaweber70245 жыл бұрын
Mh. John Pombe Joseph Magufuli, Tunashukuru sana kwa kazi yako nzuri sana sana Mungu akubariki akupe maisha marefu yenye baraka na afya tele! Barikiwa sana kiongozi wetu.
Kitu hujakosea ni kumtumbua mkuu wa mkoa wa morogoro maana alishindwa kazi kabisa hafai
@rweumbiza255ommy75 жыл бұрын
safi sana mkuu wa nchi Tunakuelewa sana...Allah akulinde na akupe afya njema
@lucyngoliga38225 жыл бұрын
Upo vzr magu Hongera sana
@omarimkuya5 жыл бұрын
mh raisi hakika nafurahi kwa hili la mahabusu kwan wengi wanatamani hata msamaha wako mkuu, tunashukuru ila tukumbuke kwenye ajira sisi vijana hasa wa IT & Data Science bado soko letu la Technology lipo chini na vijana ni wengi wenye utaalam wa TEHAMA! asante sana mh raisi na mungu akupe afya tele kwa kazi unayoifanya maana wengi hawaelewi ila wataelewa tu!
@safari57742 жыл бұрын
Rest in peace Magufuli we shall remember you mungu ailaze mahali pema peponi.
@kpatrick84685 жыл бұрын
hakuna kumtoa Mh Makonda Dar, mengi kafanya mazuri ,hakuna mwanadamu hasiye kuwa na kasoro, bado anayo sifa ya kuongoza jiji la Dar,bado anayo nafasi ya kujirekebisha
@ismailkhalid61865 жыл бұрын
Mipango ya watendaji wa dar kumwangusha makonda inakarbia
@ismailkhalid61865 жыл бұрын
Makonda watendaji wako karbia wanafanikiwa kukwangusha kua mkali sana wanasubir kushangilia kW udhindi wao
@ابنعثمن5 жыл бұрын
Si mkazi wa Dar, lakini Mh.Makonda amefanya mengi mazuri. Angalizo kwa Mh.Makonda,awe mkali, akicheka na.... atavuna mabua, alafu watamcheka, mazuri aliyofanya tumeyaona,ni binadamu ,hakamiliki
@mamachris68115 жыл бұрын
Mungu akusimamie Raisi wetu,kazi ni ngumu kwa sababu nchi ilishaoza, Siasa nyingi kuliko utaalam Wanaokuelewa ni wachache. Mungu asaidie upate akina Majaliwa na Jaffo japo 10 tu
@kabaranamaganga66465 жыл бұрын
Nakutakia maisha marefu mh Rais hakika Mwenyezi Mungu ni mwaminifu
@furahamwajeka74632 жыл бұрын
Barikiwa Sana baba na mungu amurehemu
@mangegervas96515 жыл бұрын
Pole jpm na hongera kwa maamuz magumu
@beatusmichael46885 жыл бұрын
Good 👍👍👍👍👍
@pangarasfuko23835 жыл бұрын
Yan nchi hii utazan viongozi wanaelekezwa kama ndio wanatoka chuo ,yan hawaelewi
@jerumayamwasomola10655 жыл бұрын
Pole Kebwe. Ndio maisha.Kuna mazuri ulifanya,lkn dunia huwa inaangalia mabaya tu.
@wamalaibrahim18445 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde Mzee mweshimia Laisi Magufuli mimi ni mu Tanzania niliozalia uganda rakini naomba Mwenyezi Mungu aniwezeshe nikuoni ila niongeye nawewe jina rangu Ibrahim
@deusmauka96265 жыл бұрын
Mh. Makonda nakupenda sana, wewe ni mchapa kazi, usimwangushe Rais wetu kipenzi JPM, piga kazi bhana, achana na mambo ya kubembelezana.
@shufaashabn1235 Жыл бұрын
Niliwa nakupenda kwa sababu ulikuwa hutumbui walk kuteua bila kufundisha l unataka nn kifanyike
@georgewarioba97695 жыл бұрын
Napata shida sana kuona jinsi gani baadhi ya viongozi wa Serikali wanavyoshindwa kumuelewa Mh. Rais! Unajiuliza hivi hawa watu kusoma hawajui hata kuangalia picha wameshindwa! Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu.
@violetn.finnvik3732 жыл бұрын
Tutakukumbuka milele Baba yetu 😭🇹🇿🙏❣️
@frenkisaya12805 жыл бұрын
Jpm wewe ni zaidi ya Rais
@rockzenamtui62965 жыл бұрын
Daah rais umenifurahisha sana mungu aendelee kukusimamia una kumbukumbu hatari hausomi mahali popote ila ni martial matupu na pia hongera kwa kumwambia DPP awatoe hao wahujumuuchumi walipe miradi iiendelee hongera sana raisi wangu
@erickmmary42252 жыл бұрын
Kiukweli tuta kumiss ulikuwa mkweli daima so tuta kumbuka zaidi nazaid dady
@juddykazoka30665 жыл бұрын
Mungu akutenze mh raisi
@dorakiyao45092 жыл бұрын
Mungu wangu,pumzika babaaa pumzika ,tunakukumbuka mnooo ,tunapata wapi MTU kama huyu
@jumaigoti86765 жыл бұрын
Magu uko sawa
@nicolauswandao89885 жыл бұрын
Macho ya bashite sasa duuuuu imepenya iyo mjomba, wape vidonge vyao ☠☠☠⚠⚠⚠
@emmawilliamlemomo28372 жыл бұрын
JPM alikuwa mzarendo kwelikweli mungu ampumzishe kwa amani,Nazi kafanya hakuogopa MTU yeyote
@mamadevidevi25652 жыл бұрын
Atakumbukwa milele, mungu ampumzishe, na mazuri mengi ametuachia, sijaona wa kuvaa kiatu chake, tumepoteza, Ila safari ni moja.
@AbdulMajid-kj5bi Жыл бұрын
My father President we were miss u. Good give you amon
@vumilialeonardi1092 жыл бұрын
Hakika mh, John pombe magufuri uriamua kutufia waafirika MUNGU nishaindi
@SuperKibwana5 жыл бұрын
Mr President.
@shabanmlekwa95135 жыл бұрын
Hotuba za mheshmiwa huwa hazichoshi kusikiliza. HE IS THE BEST PRESDENT IN TOWN.
@franceslenis45125 жыл бұрын
I have been understanding your language since then
@imamuhemedi43875 жыл бұрын
Frances Lenis .
@franceslenis45125 жыл бұрын
@@imamuhemedi4387 yes Imamu
@imanbrettyjohn3795 жыл бұрын
Kura yangu 2020 kwako mhe.Raisi maan kazi yako ni nzuri sisi wananchi wako tunafurahi sana
@mwinyikadhi2870 Жыл бұрын
😭😭😭
@rsautoservice9845 жыл бұрын
Tambua kuwa msanii harmonize ndio aliye mfanya raisi wa Tanzania John pombe.. Kusamehe wafungwa.. Harmonize top..
@mudikomba74375 жыл бұрын
Mungu akulinde rais wetu mpendwa
@gideonmarco80432 жыл бұрын
Daaa hatatokea ka magufuri RIP JPM kipenzi cha wengi
@SafeHaven_TV5 жыл бұрын
Nakupenda mno rais wangu,hata sijui nikupendeje zaidi...nahisi haijatosheleza.
@edibertevarist10445 жыл бұрын
Kabisakabisa, upo sahihi mzee wetu wa nchi!,chapa kazi tupo nawewe
@chamapatrickp.b5815 жыл бұрын
1.Makonda Ajiandae kuondoka. 2 . Mungu AKUBARIKI
@williamhalinga35845 жыл бұрын
Ongera rais wetu speed hiyo hiyo ndo tunapenda hivo
@sudiyahya92765 жыл бұрын
Upo sawa mze baba.mi nakuelewaga sana,
@isackcsimba14365 жыл бұрын
Sasa Bunge LA Nin wakati Magufuri Ana sifa ya Ubunge pia Ana Sifa ya Uwaziri ikiwa yeye ni RAIS . Dhu kwel kizur akidumu ila Namuombea Adumu zaid na Mungu ampiganie . Hakuka Utakumbukwa Sana Kama tutaleta Utani juu ya Uyu Mtu Jamani . Wamemuua ghadafi lakin naona Roho ya Ghadaffi inatenda kaz . You're the Best
@SuperKibwana5 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kwa kweli.
@deogratiasmbherwa6092 жыл бұрын
Sijui kama atatokea mwamba kama JPM rest in peace
@juddykazoka30665 жыл бұрын
Mheshimiwa raisi ukienda hospitali una miaka 60 Kama wanakuona unajiweza dawa zingine wanakuambia ukanunue
@mr.machange1377 Жыл бұрын
MUNGU unawajua watu wako tubariki tena kwa rais kama Magufuli
@michaelmayunga53015 жыл бұрын
Big up Dr. Magufuli. Nenda na kule kahama wakulima wa pamba mpaka sasa hawajalipwa. Tunaingia msingi mwingine wa kipimo.
@SEMANKA975 жыл бұрын
JPM namuwaza sanaa hadi nafurahi, anahuruma sana afu anawaza beyond box sana. Angesema wakafanye harakati kibao ila safi sana ushauri wenye busara sana....
@goodluckellyupfreshbrother72075 жыл бұрын
Dah aise
@emmanuelnyanda52832 жыл бұрын
Speech hii inanikumbusha mbali. Pumzika salama baba
@mtangombayaya70004 жыл бұрын
Hakika mungu atakusimamia daima raisi wangu kwa nia njema kwa taifa letu.
@meshackkanyetisahani55843 жыл бұрын
Ama kweli mweshimiwa uliweza kutoa mwelekeo mzuri wa nchi yetu na ulistahili kabisa kuwa mwalimu kwa ajili ya kuelimisha watanzania na waafrika wote...R I P Baba.
Mungu akulinde milele baba etu wa taifa wewe kweli ni mungu alikuteua kuitumikia Tanzania
@EAGTmbagala5 жыл бұрын
Huyu ni nabii wa mungu
@imanbrettyjohn3795 жыл бұрын
Watulivu kwakweli
@amriharuna42365 жыл бұрын
IKULU TANZANIA mwambieni amtoe Makonda Dar aende Tabora na Mwanry wa Tabora aje Dar atamfaa Sana maana mheshimiwa anapambana ila viongozi walio chini yake hawajamuelewa