Namna ya Kutibu Majeraha ya Ukewenza - Ukht Khadija Idd

  Рет қаралды 108,667

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Пікірлер: 298
@fatmahaji7661
@fatmahaji7661 9 ай бұрын
Mawaidha mazuri mnoooooo mashallah mashallah mashallah.... Allah atupe subra kwenye ndoa zetu za uke wenza
@AgnessMwamba-l7m
@AgnessMwamba-l7m Жыл бұрын
Asante sana hii video imeniponya maana ndo nilichokuwa napitia kwa sasa..nataman kupata no ya huyu ukty nahitaji sana darasa kutoka kwakee
@khadijahidd3678
@khadijahidd3678 11 ай бұрын
Alhamdulillah
@HIDAYABAKARI-v7g
@HIDAYABAKARI-v7g 9 ай бұрын
Asante sana Dada mawaiza Yako yamenijenga kiakili hendelea kutupa mawaiza tuimalike
@Amourmohammed-p3j
@Amourmohammed-p3j Жыл бұрын
Yaan ukhtyy natamann mke wangu asikilize mawaidha yako ili nistarehh na mm .ila dahh .mungu akupe umri mreff uzidi kuwaelimisha ukewenza
@fatumabungara6307
@fatumabungara6307 Жыл бұрын
Aoe wawili kwa pamoja siku moja kwakua Mw.mungu ameanza na wawili,watatu,wanne ukishindwa mmoja hakuanza na mmoja.Tatizo linakija pale munapopata shida na mume baadae mmefanikiwa eti anaoa mwingine inatakiwa tupate shida wote.
@khadijamohamedkibabi3625
@khadijamohamedkibabi3625 8 ай бұрын
Ha ha ha ha a a a a hicho Ndo kinachowaumaga wanawake wengi , Ila c Wote walioandikiwa Shida Wengine n Raha
@danfordmwengwa5969
@danfordmwengwa5969 3 ай бұрын
Allah hapendi hayo uyasemayo
@PilliOmary
@PilliOmary 2 ай бұрын
Ahaaaa wewe ach mm nna mwaka wa nne Lakin kidonda hakijapona sikieni tuu kila mtu na maumivu yake
@fettysaidy8621
@fettysaidy8621 Жыл бұрын
MASHAALLAAH MANENO YENYE MAZINGATIO NA YENYE LADHA NDANI NIMEJIFUNZA MAMBO MAPYA NA MAZURI ALLAAH AKULIPE KHERI NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAAH ❤
@aisha-rj6uc
@aisha-rj6uc Жыл бұрын
Mashaallah''' ukhti yangu nakupenda kwa ajili ya Allah. Mada ni nzuri na imeeleweka almuhim kuifanyia kazi ili ndoa zetu zidumu.
@nuruddin5074
@nuruddin5074 2 жыл бұрын
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI ISHALLAH AKHUT
@FatmaNgwele
@FatmaNgwele 3 ай бұрын
MaashaAllah darsa nzuri sana... Allah akulipe kher ukhtiy
@zubedatatu7852
@zubedatatu7852 2 жыл бұрын
Masha Allah Shukran Jazaqallah kher Mungu Akujazie Dadaa
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
SHUKRAN HABIBTY WANGU ❤❤❤JAZAKHALAUKHER🙏mume wangu kaoa niko miaka 13 ya ndoa nae.lkn baada ya kusikia hii UMEJUA KUNIJENGA MASHALAAH mengi nmejfunza ukhty khadja. ALLAH AKUHIFADHI🙏
@khadijahidd3678
@khadijahidd3678 11 ай бұрын
Amiin, Atupe lenye sote
@farhiaisabella3166
@farhiaisabella3166 2 жыл бұрын
Mashallah barakala Mwenyezi Mungu akutunze Bi Hadija
@kalamuMedia
@kalamuMedia 2 жыл бұрын
Akutunze nawe pia
@buhitexmohamed4785
@buhitexmohamed4785 2 жыл бұрын
@@kalamuMedia waleikum slm ya ustadha shukran kwa mawaidha . Na wenye kusukumwa na kuoa na mavia ?
@Asy-u2c
@Asy-u2c Жыл бұрын
Shukran ukhty Allah akulipe umeniongezea Tiba niseme umeniponya
@halimaissa4
@halimaissa4 2 жыл бұрын
Masha Allah ukhty hadija hakika nimepona yamenikuta Ila nilisubir piaah Ila umeniongezea Tina Allah akuongoze katka kuwapa wengne tiba kwa ajili ya allah
@RamadhanMzimba
@RamadhanMzimba 6 күн бұрын
Maashaalla alla akulipe darasa zako
@Rkim-em3td
@Rkim-em3td 2 жыл бұрын
Mashaa Allah dadaake Allah akuhifadhi duniani na kesho a akhera
@kalamuMedia
@kalamuMedia 2 жыл бұрын
Aaamin
@khadijahidd3678
@khadijahidd3678 Жыл бұрын
Amiin
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 жыл бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah Allah akuzidishie Kwa kutujuza
@husnaally7964
@husnaally7964 2 жыл бұрын
Nakuombea kwa Allah mtukuf akumiminie khairaat za dunia na akhera.na ma ukhty wenzako ukhty Fatma mdidi nawe unajitahid
@husnaally7964
@husnaally7964 2 жыл бұрын
Ukhty Khadija Maashaa Allah maashaa Allah dada etu umejitahid Sana Sana sisi ndugu zenu mnatufariji Sana zidini kutupa njian za kujikombo ktk mitihan tuna Iman kubwa Sana na yaqin kua haya mbo ni Qadar yake Allah s.w na ni kipimo Cha Iman zetu. uhibbuk fii llah dada Khadija.
@khadijahidd3678
@khadijahidd3678 2 жыл бұрын
Akupende zaidi Mola wetu mlezi, habibty
@kitengenyembo4223
@kitengenyembo4223 Жыл бұрын
Maa shaa Allah waache kuumia hayo Ni maamrisho ya Allah,Mimi mke wangu aliniambia nimuoe Rafiki yake awe mke wa pili,nili fanya hivyo ,na bado Ni marafiki
@majutoyussuf6191
@majutoyussuf6191 Жыл бұрын
@@kitengenyembo4223 Ma shàa Allah Allah awape upendo wa dhati
@zulfashabani4890
@zulfashabani4890 Жыл бұрын
Allah akubariki ww na familia yako
@husnaally7964
@husnaally7964 Жыл бұрын
@@kitengenyembo4223 Maa shaa Allah.Allah awazidishie mapenz nawe uzid kuwaombea Dua wake zako
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
Mashallah tabaraka llah Ukhty wajina Wang Allah akuwekeye wepesi paliopo uzito na akupe mwisho mwema Ukhty ❤️❤️❤️
@amirnkokoo3083
@amirnkokoo3083 Жыл бұрын
🛑🛑maashaalah wakumbushe ukhtiy ili nasi tupate nafasi ya kupeperusha bendera ya kuoa Nathan WA thulaathaa WA rubaagha
@aishabarua6857
@aishabarua6857 5 ай бұрын
❤❤❤, mashallah tabarakah allah, tutajifunza, na sisì 😊
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 2 жыл бұрын
Mungu akupeni ushind ktk kuwaelimisha wanawke wakislam
@abushawalihamisi2649
@abushawalihamisi2649 Жыл бұрын
Allah akuzidishie elimu umefikisha ujumbe mzuri sana ambae hatoelewa atubu kwa mwenyezimungu
@halimambarouk4612
@halimambarouk4612 2 жыл бұрын
Huu kweli ni mtihani ndugu zanguni subhanallah
@azizadjumadazuu2731
@azizadjumadazuu2731 Жыл бұрын
Maa shaa Allah bi Khadija umenijenga kwakwel Allah akulipe kheir
@khadijahidd3678
@khadijahidd3678 11 ай бұрын
Alhamdulillah
@damandokondoko1787
@damandokondoko1787 2 жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah mwenyezi Mungu akubariki uendelee hivyo hivyo kutupa darasa nzuri
@RonicahWilson
@RonicahWilson 7 ай бұрын
Mungu akulinde pamoja nafamilia yako uzidi kutupoza vidonda
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 7 ай бұрын
Allah akujaalie utupe elimu zaidi inshallah
@zuenamsonga5274
@zuenamsonga5274 Жыл бұрын
Mashallah Mwenyezi Mungu akulipe
@khadijakhamis2082
@khadijakhamis2082 2 жыл бұрын
Mashaallah! Shukran kwa darsa
@twahamachozi8018
@twahamachozi8018 2 жыл бұрын
Naomba taratibu za kumpata dada huyu tumpe mwaliko aje singida kwa ajili ya dawa
@aishasaid7067
@aishasaid7067 Жыл бұрын
umenichekeeeesha sana ,worth sharing
@hidayarubibi4224
@hidayarubibi4224 2 жыл бұрын
Ma shaa Allah!!!! Somo limeeleweka. Shukraaan mwl Khadija!!!!
@MasdelysJus
@MasdelysJus Жыл бұрын
Allah akuhifadhi ukhtih uke wenza unauma ila umenifariji
@aminauwimana9976
@aminauwimana9976 2 жыл бұрын
Subhana'allah loe nimesikiya points kilasiku tunataka mawaidha kamahayo masha'allah
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
Mashaallah hyu ndio wakumskiliza maana anamaneno mazur yakutuliza moyo.
@zainabolenga2829
@zainabolenga2829 2 жыл бұрын
A w w ahsante sana dada mwenyrzi mungu akulipe mashaallah
@fatmahemed2189
@fatmahemed2189 2 жыл бұрын
Masha Allha wajina Allha akuzidishie kila lakheli tunazidi kujifunza mengi
@amirnkokoo3083
@amirnkokoo3083 Жыл бұрын
Wafikishie MAANA wanamaradhi Sana ya USUMBUFU
@khadijahidd3678
@khadijahidd3678 11 ай бұрын
Ujumbe ni wa wote. Tujielimishe
@FarhanahannanaHassanah
@FarhanahannanaHassanah 3 ай бұрын
Ww pia umepewa mtihani ktk kuoa zaidi ya mmoja
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 6 ай бұрын
Inauma sana ukewenza maana kuna na ushirikina na maradhi
@amonaamona3816
@amonaamona3816 Жыл бұрын
Alhamdhulillah nikweli tutajitahidi mungu atuwezeshe insha'Allah
@JamilaSeif-i3w
@JamilaSeif-i3w 9 ай бұрын
We ndo mimi mashaallah hata sim sishiki
@jumabakari4277
@jumabakari4277 Жыл бұрын
Mashallah, Allah akullipe kheri inshallah
@amirnkokoo3083
@amirnkokoo3083 Жыл бұрын
ALAH akubaariki Sana ktka DAAWA yako ya uke wenza
@khadijahidd3678
@khadijahidd3678 11 ай бұрын
Amiin, Atubariki sote
@zainabuseiphu-pq4kp
@zainabuseiphu-pq4kp Жыл бұрын
Mashaallah umenijibu maswali niliyo kuwa najiuliza mume akiingia akitoka neno hata ongeza mkee
@muhsinsalum8009
@muhsinsalum8009 Жыл бұрын
Mi dada nikuambie kitu. Hao wanaosema kua hawawezi tena ukewenza, ajabu nikua: Wao wakiachwa huenda kuingia katika kuolewa na mwanaume mwenye mke. Nyinyi shida yenu hua hamtaki kuongezewa, lakini hua mnataka muongezwe. Nyinyi kua wake wa 2-3-4 hua hamuoni shida, shida yenu nikuongezewa tu. Mbaya zaidi, saivi wake zetu wanaona nibora mumewe AKAZINI wanavumilia, lakini hawezi kuvumilia mumewe akioa. TUNAMUOMBA ALLAH ATUONGOZE TU LKN NICHANGAMOTO.
@aishajuma18
@aishajuma18 9 ай бұрын
Tatizo lenu sio waadirifu
@fifo262
@fifo262 6 ай бұрын
Kabla yakuongeza mke jitasmini huyo 1 ulonae unafika walau nusu ya mahitaji yake? Alafu sasa fanya maamuzi
@tatusalimmwazizi1160
@tatusalimmwazizi1160 Жыл бұрын
Ma Shaa allah naomba namba ya ustadhat in Shaa allah
@rehemamustapha364
@rehemamustapha364 2 жыл бұрын
MashaAllah asante kwa darasa nzuri
@amirnkokoo3083
@amirnkokoo3083 Жыл бұрын
Uko vizuri ukhtii
@nadhifahassan168
@nadhifahassan168 2 жыл бұрын
Allah akulipe kheri Maashallah
@MuhammadHamisi
@MuhammadHamisi 8 ай бұрын
dada uko vizuriiiiiiiiiiii sana
@zainabdambu7091
@zainabdambu7091 2 жыл бұрын
Allah akupe pepo ya daraja ya juu ukhty
@khadijahidd3678
@khadijahidd3678 11 ай бұрын
Amiin
@neemafatu471
@neemafatu471 2 жыл бұрын
NAKWELI KABISA, ALLAH NDIO AWE KIPENZI CHAKO ZAIDI, KISHA MTUME, KISHA MENGINE.
@umurengeramwanaidi6915
@umurengeramwanaidi6915 Жыл бұрын
Mansha allah allah awazidishiye
@mejumaamwachirero7324
@mejumaamwachirero7324 Жыл бұрын
Shukran San Anty
@remaz-tf6zh
@remaz-tf6zh Жыл бұрын
Shukrani ukhty
@TumaYussuf
@TumaYussuf 8 ай бұрын
Ni mazingatio makubwa .... Kiukweli Ndoa ni changamoto kiufupi ni kusema alhamdulillah na kuendelea na maisha
@haliyamwijaa6493
@haliyamwijaa6493 Жыл бұрын
Mashaallah, ukthi umeitendea haki mada
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Жыл бұрын
MashaAllah ❤❤❤ shukraan habibty
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 2 жыл бұрын
Shukran jaziilan
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Mungu akutongoze siku zote umenisaidia Sana🙏🙏
@FarhanahannanaHassanah
@FarhanahannanaHassanah 3 ай бұрын
Umeonaaeee Simama na muumba was vyote
@VivianYombayomba
@VivianYombayomba 7 ай бұрын
Mungu anipe moyo kama wako sijui nitaweza mume wangu anawake wanne naisi kufa
@FarhanahannanaHassanah
@FarhanahannanaHassanah 3 ай бұрын
Simama kwa Allwah aliyekuumba Naye nikiumbe km ww
@husnaibrahim2107
@husnaibrahim2107 2 жыл бұрын
Mashaallah shukran kwa darsa nzuri
@kholaabdulrahman1750
@kholaabdulrahman1750 Жыл бұрын
MashaAllah Mungu akujaalie afya na uzima nimepitia mengi zaidi yako lkn niombee uvumilivu zaidi ya hapo. Ni miaka 13 saa hii niko ndoani. Allah atuezeshe. Ameen.
@johasaidy1471
@johasaidy1471 Жыл бұрын
Mashallah Mashallah barakallah ❤❤
@khadijahidd3678
@khadijahidd3678 Жыл бұрын
Alhamdulillah Allah akulipe kheri dear na akuongoze katika wema
@yusufumindu-mc6uh
@yusufumindu-mc6uh Жыл бұрын
Jazakallah khyra!!!!
@majutoyussuf6191
@majutoyussuf6191 2 жыл бұрын
Ma shaa Allah Allah akujaze kher
@majutoyussuf6191
@majutoyussuf6191 2 жыл бұрын
Ameen
@sabiha8869
@sabiha8869 2 жыл бұрын
Manshalla maneno mazuri sana
@a.856
@a.856 2 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@HidayaRamadhani-n7r
@HidayaRamadhani-n7r Жыл бұрын
Maallah allah akulipe umenifundisha kitu nikijapata mkemwenza nitajua nn nifanye maana hawa wanaume sasa hawaowei sunnah wanaoaoa tu na hawana uadilifu
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 Жыл бұрын
Uko sahihi bi Khadija tuteye nasie tuone kama tutapata ndoa hâta ya uke wenza
@AsmaOdongo
@AsmaOdongo 5 ай бұрын
Khutba nzuri maneno matamu mashallah ila haijawai niingia hata kidogo Mungu aniepushie huu mtihani au anipe iman ya ju maana daah anyway laa yukhalifu Allah nafsan illa ùs'àha
@majutoyussuf6191
@majutoyussuf6191 2 жыл бұрын
Asalam alaykum aky hivyo unavyoongea ndio msimamo nliouchukua alhamdulillah nko na aman wala sibabaiki
@husnaummuhysam375
@husnaummuhysam375 Жыл бұрын
Naomba namba yako
@abuumohammed4364
@abuumohammed4364 Жыл бұрын
Mashaallah Namuomba Allah akulipe gheri atusamehe pale tulipoghafilika
@azzaalmaamry5817
@azzaalmaamry5817 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah jazakallah kheir
@MwantumAbdallah
@MwantumAbdallah 3 ай бұрын
Kuongeza sio tatizo uadilifuuu ndo shidaa
@SheeMakopo
@SheeMakopo Жыл бұрын
Allah wQbar
@aminaabebe205
@aminaabebe205 2 жыл бұрын
Shukren..
@sabihasaid9164
@sabihasaid9164 2 жыл бұрын
Mashaaallah
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 6 ай бұрын
Kuoa ni sunna hata mke mmoja sunna na sunna bora ni kua na mke mmoja wanaume hawawezi majukumu yao
@ahmedmwakabulufu315
@ahmedmwakabulufu315 2 жыл бұрын
Umeongea pointi pote ila umearibu kunako swala la vikoba na mikopo na kufanya kazi huko kutamshugulisha zaidi akaisahau familia yake na ibada zake na kumfanya awe jeuri katika ndoa . ( ikikupendeza ifanyie taraja kauli hiyo vikoba na kukopa maana vikoba ni miongoni mwa riba na kumshauri mke wa mtu awe bize na kazi siyo ) baraka llah fiykum
@kalamuMedia
@kalamuMedia 2 жыл бұрын
Vikoba na kukopa ni miongoni mwa riba??ni busara kukaa kimya kama huna maarifa juu ya jambo.Si kila kikoba au mkopo una riba .Ukht ameiweka vyema.Amesema vikoba na mikopo ya halali
@ahmedmwakabulufu315
@ahmedmwakabulufu315 2 жыл бұрын
@@kalamuMedia sawa aina shida akisha kopa eende wapi na hizo pesa? Hayo si mafundisho ya mtume Muhammad swalallah allay wasallam wala haipo katika aya wa hadithi kwamba mwanamke akafanye biashara . Ila imekuja kwamba makazi bora na salama kwa mwanamke nikukaa nyumbani kwake. Ila kama una unauelewa zaidi yangu alihamdulillah si vibaya nika stafidi kwako kwa aya na hadithi sahihi..lakini hizo nifikra za ki ekwani musilimun
@aishamohamed9981
@aishamohamed9981 2 жыл бұрын
Brother ahmed... Asalamu Alaikum warahmatullah wabarakaatuh.... Kufanya kazi ni kujipanga... Wake za Mtume walijishughulisha na kazi za nje pia... Kazi yenyewe ni ibada.. Bora iwe halali.. Bibi khadija alikua mtwiifu.. Wala hajamdharau RASUUL S.A.W. Dharau ni tabia ya mtu binafsi.. Sikipato.. Si vikoba vyote vyenye riba..vyengine twahara
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 2 жыл бұрын
Yes binadam atatubu apo
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 2 жыл бұрын
@@aishamohamed9981 bibi Aisha alifanya biasha ila hakua biz na nyumba yk km uko kwenda soma unafanya iinda na inadi kwa kua mume ametkeleza agizo la Allah?
@JuniJuni-ki9vk
@JuniJuni-ki9vk 7 ай бұрын
Mashallah mashallah
@NiyoyitaEric-b2v
@NiyoyitaEric-b2v 8 ай бұрын
Mimi Niko Rwanda nabasaliim unasema ukweli
@fatushayaan8316
@fatushayaan8316 2 жыл бұрын
masha allah
@zainabubwa9569
@zainabubwa9569 2 жыл бұрын
Mshlah jazzakaAllah khairah
@MwashamSuleiman
@MwashamSuleiman Жыл бұрын
Yote kheri Allah atupe wepes⚖️ 22:19
@ridhiwan8030
@ridhiwan8030 2 жыл бұрын
Mashallah allah bariki
@sulekhaosman8357
@sulekhaosman8357 Жыл бұрын
Ukewenza sio shida shida Ni mwanaume
@MkiwaJeneto-tp2md
@MkiwaJeneto-tp2md Жыл бұрын
Mashallah ukht upo vizuri na.omba namba zako za simu
@mwajoma1373
@mwajoma1373 2 жыл бұрын
Masha Allah
@fatushayaan8316
@fatushayaan8316 2 жыл бұрын
salalahu calayhi wasalam ♥️
@FarhanahannanaHassanah
@FarhanahannanaHassanah 3 ай бұрын
Muhammad s a w
@al-hidayahonlinetv3447
@al-hidayahonlinetv3447 2 жыл бұрын
MASHAALLAH
@SaidiHamadi-v8t
@SaidiHamadi-v8t Жыл бұрын
Hii ni darsa ya wanawake vp wataelezewa wanaume?
@UmmyAbdul-c3c
@UmmyAbdul-c3c 4 ай бұрын
Uke wenzao mara nyinyi kinachoogopewa shirki na vita uadui ndio umezidi
@chamritaabdul1592
@chamritaabdul1592 3 ай бұрын
Nakujiongezea maadui.
@salamamasoudkhamis3258
@salamamasoudkhamis3258 2 ай бұрын
Wanaume naona mumejitahid kwa comment na pongez
@aliathuman8736
@aliathuman8736 2 жыл бұрын
MAASHALLAH.JAZAAKILLAHU KHEIR.NATAMANI MKEWANGU AWE AMEKUSKIA
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 2 жыл бұрын
Mpelek darsa
@zainabomar5144
@zainabomar5144 Жыл бұрын
Hahahahahah
@salmamshakangoto6285
@salmamshakangoto6285 Жыл бұрын
Innallahmaaswabrin
@MutoniwaseLatifa
@MutoniwaseLatifa Жыл бұрын
It's nihatari sana
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa, lakini kuna ubaguzi hapo kwa siku zijazo.
@aisharajimbo6784
@aisharajimbo6784 2 жыл бұрын
Kama kipi
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 жыл бұрын
@@aisharajimbo6784 vizazi vijavyo kuhusu watoto yaَ nini kuoa oa kuletesha fitna?
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 2 жыл бұрын
@@fatmaalnabhani3609maisha yote ya dunian fitina ww kuepo kwako hp dunian bas fitina kwako na kw wat wengne
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 2 жыл бұрын
@@fatmaalnabhani3609 Yani hizi fitina Ni mikakati ya Allah hapa dunian lengo kuchuuja msafi na mchafu
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 2 жыл бұрын
@@fatmaalnabhani3609 dada angu tulete istghfar na tusijihisi tuko peke etu na ndo tunastahiki zaid Yale alotufitinia mwenye enz mungu
@HalimaSalim-h5f
@HalimaSalim-h5f 6 ай бұрын
Asalam alaykum mm muume wng akiowa naenda mpaka harusini wala sina kinyongo chochote kile na tunapenda sana
@ashanamulya9556
@ashanamulya9556 2 ай бұрын
Ongera
@TThany
@TThany 20 күн бұрын
Maneno tu ayo subiri aowe uone kiama😂
@ecopoleesube5788
@ecopoleesube5788 2 жыл бұрын
Allah akuzidishie kila lakheri
@kalamuMedia
@kalamuMedia 2 жыл бұрын
Aaamin
@allymakame472
@allymakame472 2 жыл бұрын
Mashallah, Allah awawezeshe wote mlio fanya darasa hii, Allah awalipe, na iwenuru kwa wengine.
@madrasatummisalamahibtidai7959
@madrasatummisalamahibtidai7959 2 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah mawaidha mazuri lakini tuweke madrasah tusomeshe kina mama wana mambo mengi ya dini hawayajui haitoshi ukewenza tu
@boholesomo3163
@boholesomo3163 2 жыл бұрын
Allah akulipe nimepata somo kumbwa
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 2 жыл бұрын
@@madrasatummisalamahibtidai7959 Safi huu ndio mkakat
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 2 жыл бұрын
waalykum msaalam waramatulsh wabarakatul. Masha Allah tabaraka Allah ❤❤❤
@rashidyussuf3429
@rashidyussuf3429 2 жыл бұрын
Majeraha ya uke mwenza kumtokea ajali,bado hata kichwa cha habar hakijakaa sawa yaani mimi huwa nafikiria kumpima mwanamke imani yake ya utu na ni katika suala la kuoa mke wa pili
@FatmaMasoud-y2o
@FatmaMasoud-y2o Жыл бұрын
Ukht naomba namba zako za simu
KIDANI EP 47:-SIRI YA KUISHI NA MKE MWENZA MWENYE HEKAHEKA
56:31
Kidani Show
Рет қаралды 18 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Huwezi kumbadili mtu wa namna hii
1:13:53
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 10 М.
Bi Fatuma  - Haki ya Mume Na Mke
1:03:25
Ibrahim abdalla
Рет қаралды 131 М.
SIFA HIZI ZINATOSHA KUMTULIZA MUME
20:12
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 79 М.
MATHNA{UKEWENZA} full movie
3:05:29
BIN MAHSEN FILM
Рет қаралды 187 М.
Mwanamke Jifunze kunyamaza - Ukht Fatma Mdidi
1:05:20
Kalamutz
Рет қаралды 10 М.
RAHA YA UKE WENZA NI KUSHINDANA KWA TUNGO
18:53
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 14 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН