WAKE WENZA MNATAKIWA MUISHI HIVI | NA MJICHUNGE NA HAYA NO1 | SHEIKH OTHMAN MICHAEL

  Рет қаралды 20,605

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 78
@hadharaalli5201
@hadharaalli5201 4 жыл бұрын
Alhamdulillah wallah ukewwnza ni mazuuri sana kukupande wangu mm Niko na uke wenza na mm ni mdogo nilipata mtihani nikaachika talaka moja mke mwenzangu ndio alienipigania kuinusuru ndoa yangu nikarejewa naa likitokea tatizo kwake yy na bwana bs kizuri zaidi haendi kupeleka kesi pahali lazima aje kwangu kinielezea na tunaeka shurà ya watu watutu mpka tunapata suluhu ameniambia an na mm nampenda sna mke mwenzangu mungu akatueke pamoja Hadi peponi pamoja na mume wetu Amiiin🤲
@jamilaikonde834
@jamilaikonde834 3 жыл бұрын
MASHALLAH
@AthumanSaidati
@AthumanSaidati Ай бұрын
Maashallah vizuri sana kwakweli
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 жыл бұрын
Wallahi uke wenza ni mtamu sana Mimi nishakua mke mkubwa tukiwa 2 na nilimshukuru ALLAH kwa kuniwezesha kuishi vzr sana na mke mwenza huyo mpaka yeye na huyo mume wauti yakawatwaa .ALLAH awarehemu.Na hata saii nipate mume niwe wa 2 ama wa 3 ama hata niwe mkubwa sina wasiwasi.Kikubwa nikumuomba ALLAH anipe Subira 🤲🤲🤲🤲🇰🇪
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 4 жыл бұрын
Maashaallah tabaraqallah
@ashalaurent4722
@ashalaurent4722 4 жыл бұрын
Ulifanyaje mpaka ikawa rahihisi kwako hivyo
@jasminali5921
@jasminali5921 4 жыл бұрын
Mashaa allah tabarakallah
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
Mim nilitukanwa na mwanamke mwenzangu kisa mumewe alitaka kunioa sina hamuu
@rajabkimia1876
@rajabkimia1876 4 жыл бұрын
Mashallah
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 4 жыл бұрын
Manshaallah Shekhe kikubwa nikumuomba mungu akupe mke mwema uke wenza ni raha wakiwa wachamungu
@latifamkulazi8378
@latifamkulazi8378 4 жыл бұрын
In Sha Allah Allah akujalie mumemwema hata Mimi natamani ukewenza Ila mumewangu hataki kuoa🇹🇿
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 4 жыл бұрын
@@latifamkulazi8378 Labda hajapata wakukuzidi
@halimakalinga7764
@halimakalinga7764 4 жыл бұрын
Jazzak la kheri ndio hv
@halimakalinga7764
@halimakalinga7764 4 жыл бұрын
@@aishaabdallah4560 ni kwel fact
@sakinaabdallah7874
@sakinaabdallah7874 4 жыл бұрын
Shukran sana Shekh kwa mawaidha yako mazuri Allah atupe mioyo yenye kusikiza mawaidha haya na iwapo tunayo mapungufu tuwezo kujirekebisha in sha Allah . Shekh tunasubiri muendelezo Wa mawaidha haya.
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 4 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah. Nikweli kabisa. Mungu akupe umli mlefu shekhe wetu tuzid kukumbushana
@jasminali5921
@jasminali5921 4 жыл бұрын
Mashaaallah tabarakallah shukrani sana shekh
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 4 жыл бұрын
Shukraan shekh, Allah akujaalie pepo 🤲
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 4 жыл бұрын
Amiiin
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 4 жыл бұрын
Masha Allah napenda saaan mawaidh yako sheikh 🙏
@fatumjumaa5563
@fatumjumaa5563 4 жыл бұрын
jazakaallah mungu akupe umri mrefu sheikh
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 4 жыл бұрын
MaashAallah tabaraqallah,sheikh Shukran
@angelparker5897
@angelparker5897 3 жыл бұрын
i guess I am quite randomly asking but do anybody know a good place to stream newly released series online ?
@kamrynjimmy6876
@kamrynjimmy6876 3 жыл бұрын
@Angel Parker lately I have been using Flixzone. You can find it by googling =)
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 4 жыл бұрын
Masha Allah 👍👏
@shadahans
@shadahans 8 ай бұрын
asante kwa busara zako
@jasminali5921
@jasminali5921 4 жыл бұрын
Naam swadaqta maneno mazuri wallah
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
Mwendelezoo shekhe tunasubiri
@hananabeid5962
@hananabeid5962 4 жыл бұрын
Mashallah kweli shekh wasema Allah akulipe insha'Allah
@AishaSalumu-t1v
@AishaSalumu-t1v 3 ай бұрын
Mm mke mdg lakn mke mkubwa ananichongea vbaya hili niachwe 😢😢naumia sana
@halimaramadhan2975
@halimaramadhan2975 4 жыл бұрын
Jazzakahllahu kheir
@aishamaaruphu7340
@aishamaaruphu7340 4 жыл бұрын
Halima Ramadhan he
@kizamaulidi6004
@kizamaulidi6004 4 жыл бұрын
Mashaallah mungu akutilie wepesi
@nasrahussein1653
@nasrahussein1653 2 жыл бұрын
Jaman pia sisi wanawake tunawapenda wanaume wa nje sasa tufanyaje nasi tunatakiwa kuolewa na mume wa piliiiii
@asiaidi3700
@asiaidi3700 4 жыл бұрын
Masha Allah
@zainabolenga2829
@zainabolenga2829 Жыл бұрын
Mashaallah shekhe tunataka uadilifu kwa nyie waume zetu
@marymusi8235
@marymusi8235 4 жыл бұрын
Inshaallah Allah atuafikishe tupendane
@ShazeenBaby
@ShazeenBaby 4 жыл бұрын
Shukran Sana
@smaihsmaih2815
@smaihsmaih2815 4 жыл бұрын
بارك الله فيك
@zuhurambonde6959
@zuhurambonde6959 4 жыл бұрын
Mashallah
@aishavogelmann5021
@aishavogelmann5021 4 жыл бұрын
Shukran
@hamidaa4372
@hamidaa4372 4 жыл бұрын
ما شاء الله
@mwajumamsangi9309
@mwajumamsangi9309 4 жыл бұрын
Laiti Kama wanaume wote wangekua Kama wewe shekhe wangu wanawake wote tungekubali uke wenza lakni kwa wanaume wetu hawa lo! Unakufa kwa presha kwanza akishaoa anakuona huna thamani tena
@ashalaurent4722
@ashalaurent4722 4 жыл бұрын
Wallh umenitoa machozi kwa mawaadha yako
@marymusi8235
@marymusi8235 4 жыл бұрын
Kweli
@smaihsmaih2815
@smaihsmaih2815 4 жыл бұрын
pole sana
@khadijamgambo6874
@khadijamgambo6874 3 жыл бұрын
Uke weza mtangulize Allah
@farhiaibrahim9076
@farhiaibrahim9076 4 жыл бұрын
Mashaallah
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
MASHAALLAH
@ShazeenBaby
@ShazeenBaby 4 жыл бұрын
Kweli kabisaa kaka
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 жыл бұрын
Sheikh huwa nakuelewa sana sheikh wetu maana unaongea kwa umakini sana na utulivu wa hali ya juu mpaka unanipa raha mno mno sheikh wetu asante sana kwa kutuelimisha kiufupi nazingatia haya mno mno
@asmintambwe9547
@asmintambwe9547 4 жыл бұрын
Hili nikwel shekh mke mkubwa mapungufu yake uchafu nishawai kumuona manep ya mtoto toka jana kaloweka nyumba inanuka wallah
@ifkamedia8334
@ifkamedia8334 4 жыл бұрын
Ni ngumu sana kwa na mke mwenza alafu muelewane kuna wivu
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 4 жыл бұрын
Hata ukiwaona mabeste sana Wana Lao walitaka kwa mume
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 4 жыл бұрын
Hata mume pia huchangia uzuri ama ubaya wa wake wenza
@bintisomo4789
@bintisomo4789 4 жыл бұрын
Siyo wake wakubwa wote walivo hivo sheikh hapo umemsifu mkeo tu
@nasrahussein1653
@nasrahussein1653 2 жыл бұрын
Mmmmh hicho ni KIPENGERE MM HAPO sitaki shobo za kujuana wala kukaa karibu yaani nikikuja a nao ni vitasa tuuuuu👊👊👊👊
@queenmaya8022
@queenmaya8022 4 жыл бұрын
Ivi we sheikh ww una wake wangapi🤔😄😄maana mashallah unahimisisha san ndugu sahv binadam wamebadilika sana kuronga ndio maana tunaogopa sana wengine hata uchaw hatujui sasa ukutane na waleeee 🙉ndoa itakuwa ndoano
@hadijanuhu6148
@hadijanuhu6148 4 жыл бұрын
A,aleikum wanaume wangekuwa wanasema ukweli kwa upendo na mapenzi ya kweli mwanamke hutobisha kwa kumuogopa Allah lakini hatokuambia kwa upendo kashifa kibao ,Allah atuhifadhi
@jaliaswai1906
@jaliaswai1906 3 жыл бұрын
MashaAllah
@khadijaomar9828
@khadijaomar9828 3 жыл бұрын
Hapana mtegemee Allah kila kitu kitakwenda sawa. Mimi nina miaka miwili sasa lakini hatujawahi gombana kwa sababu ya ukewenza. Kila mmoja na maisha yake na wala hakuna anaemtukana mwenzie
@rizeynasor4937
@rizeynasor4937 4 жыл бұрын
Maneno mazuri WALLAH na km wanaume watafuata hii WALLAHI hakuna mke atauchukia uke wenza
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 4 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@rizeynasor4937
@rizeynasor4937 4 жыл бұрын
Jamani mm huwa niko mbali na mume wangu kikazi so nlimruhusu aowe lkni kuowa ndio nikatemwa kabisa ikawa hataki hata kuniona wala simu nkipiga hapokei mpaka akanipa talaka
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 4 жыл бұрын
Ndio mtihani wa wanaume wetu,wakioa huna thamani Tena wewe
@khadijaomar9828
@khadijaomar9828 3 жыл бұрын
Na hawa wanawake mbona wamefanana mimi na mke mwenzangu
@aminamichael1706
@aminamichael1706 4 жыл бұрын
Swadakta
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 4 жыл бұрын
Karne hii mume akioa anamkomoa mke wa wakwanza
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 жыл бұрын
Sasa sheikh unaposema kununuliwa gari au kumjengea nyumba n.k hiyo kwa wanaume wenye uwezo tuu ndio atakuuliza hayo je wale wanaume hawana uwezo wa kufanya hayo maana yake asioe au vp hapa huwa sielewi naombeni jibu maana waume wengi hawayafanyi hayo vp inakuwa
@asmintambwe9547
@asmintambwe9547 4 жыл бұрын
Mashallah
DHULMA ZA WANAWAKE NDANI YA NDOA - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
29:24
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 20 М.
Sheikh. Othman Michael   Dalili Za Majini Kwa Mwanadam
43:48
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 10 М.
🎈🎈🎈😲 #tiktok #shorts
0:28
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 4,5 МЛН
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
DUNIA (Ep 43)
22:32
ASMA FILMS
Рет қаралды 75 М.
KWANINI MUMEO ANAKUONGEZEA MKE WA PILI?  - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
1:11:37
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 82 М.
UKIDUMU NA ADHKARI HIZI UTAISHI KIFALME DUNIANI NA AKHERA || SHEIKH OTHMAN MICHAEL
30:41
MWANAUME BORA NI YULE ANAETAWALIWA NA MKE WAKE - SH. OTHMAN MICHAEL
34:09
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 47 М.
JINSI NABII IDRISSA ALIVYOGOMA KUTOKA PEPONI - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
1:10:18
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 36 М.
DUA HUJIBIWA KWA MAMBO 3 | SHEIKH OTHMANI MICHAEL
44:34
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 96 М.
#Live: Maswali na Majibu { أسئلة   وأجوبة }
Kishki Online TV
Рет қаралды 72
OTHMAN MICHAEL -  FAIDA ZA HIJAMA, CHUKU  ( KUUMIKA )
24:01
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 14 М.