Huyo momo, aache kudanganya uma, guede alkuja kwa mkopo kutok timu gani??? Wakat alikuw hana timu??
@robertphilip3855 күн бұрын
Momo saingine ni tapeli la kufa mtu
@haidhabushiri95585 күн бұрын
Guede alitokea uturuki timu YA ligi daraja la kwanza
@rukaka_jr45143 күн бұрын
😅😅😅 wanaish kwa mazoea
@allymdoka86342 күн бұрын
Ila momo iz tarifa anazitoaga wp
@NyasanaTv-ol4ix3 күн бұрын
Kwanza omba chama atoke simba tuone kama simba haita fanya vizuri mimi nimeshudia simba ikifanya vizuli chama akiwa hayumo azam hii hapa ilikua ikitufunga mfululizo akiwemo na chama leo hii azam tumewafunga mara mbili mfululizo chama akiwa hayomo hizo ni imani tu kama ange kua mzuri tusinge kua shilikisho achani onafiki chama kazeeka sipidi hana kama udambi hata sikudu mbona anaweza sana
@AjiaMohamed-rt5pb3 күн бұрын
Mliwafunga au waliwapa hvi ww ni mpuuzi sio chama uyu unayemlilia kila mwaka niambie una mchezaji gani simba mwenye jina kubwa kuliko cloutus .ndani ya CAF kwa hyo ww unaangalia mpila wenu wa madafu chama kakutengezea hshima ww acha ujinga
@salahaljahury29072 күн бұрын
Momo uyanga unakusumbua Yanga Hana uwezo wa kumchukua Chama ikiwa Simba wanamuhitaji wacha kutafuta sifa
@ParokoMobigo5 күн бұрын
Momo kawa fara sana asaiv
@AlexGwambie-xr2hm3 күн бұрын
Momo unafk uongo mwingi sna kila mwak wanamsjir sema anakua msaliti ama wanafr
@user-qo6qv6mc5p2 күн бұрын
Xavi mtupu
@saimonntani68315 күн бұрын
Yaani haiingii akilini eti mchezaji katowa dola lakimoja nawao wametowa dola lakimoja,hamuoni kama mnaendelea kuaminisha watu kama Yanga wote chenga?😅😅😅
@Abuu-gs1yi5 күн бұрын
Ni fikra zako ila huo ndio ukweli
@HamicRashid5 күн бұрын
Edo haamini anaskiza kwa makini kweli
@salymgaimale2355 күн бұрын
Momo wewe maandazi kweli unafikiri Kila mtu ana akili kama zako
@eddechriss26645 күн бұрын
Dollar laki moja katoa yeye alafu Dollar laki moja club yake mpya, Mpira wa bongo bado sana kufika professionalism
@chuchumeta83745 күн бұрын
Kutoka na uchumi wetu mpira umejitahidi san kuliko industry nyingi sana.fananisha na nchi Kama zetu.sio ulaya Kama ulaya basi kila kitu bado sana.labda wanasiasa na Wala rushwa
@UFC_HIGHLIGHT1235 күн бұрын
Hata mikhtarian alitoa pesa wakati anasajiliwa kwenda man utd ..kuna muda sababu ya mapenzi na timu Fulani mchezaji anaamua kujitolea