Kama huhudumii usile kaka angu utalishwa sumu!!!

  Рет қаралды 5,595

Madam Leila Abubakar

Madam Leila Abubakar

Күн бұрын

Kama umejifunza kitu kupitia video hii na unapenda nikusaidie upate maarifa zaidi nashauri upate usaidizi kwa namna zifuatazo:
Facebook | / madamleilaabubakar
Instagram | / madam_leila_abubakar
Tiktok | / madam_leila
Usisahau kubonyeza neno SUBSCRIBE
Pia usisite kutuandikia (comment) maoni yako.

Пікірлер: 22
@SaidaFoum
@SaidaFoum 2 ай бұрын
Madam leilla kwa kweli nakupenda mnoo allah akupe umri mrefu ww na khatib mnaendana kikazi masĵhaallah
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 ай бұрын
Daaaaah eh mungu❤❤❤
@MohammedGalole
@MohammedGalole 4 ай бұрын
Alhamndulillah kila nkiwahi darasa lenu nashkuru lazma nitoke na kitu love from kenya madam laila
@a.856
@a.856 4 ай бұрын
Jazaka Allah khayran
@Shadia544
@Shadia544 4 ай бұрын
Shukuraah kwa darasa ❤tamuu sanaa madam leila ❤❤❤
@janetmbwana553
@janetmbwana553 4 ай бұрын
Shukran sana madam Leila
@francisjerome8555
@francisjerome8555 Ай бұрын
🎉
@SamiraMakame-w9c
@SamiraMakame-w9c 4 ай бұрын
Shukran kwa darasa
@mustafakadima1122
@mustafakadima1122 4 ай бұрын
Shukran sana Mustafa DRC/ Kinshasa
@zainabuali9915
@zainabuali9915 4 ай бұрын
Madam umenichekesha kiwapak vumbi la mdomo watot😂😂😂😂😂😂😂
@rehemaomarsaid
@rehemaomarsaid 4 ай бұрын
Aalaykum mashallah tabarraka Allah
@FarhanahannanaHassanah
@FarhanahannanaHassanah 4 ай бұрын
Kuna wengine twawasaidia mawazo k to k kipato cha rizk akipata si mwenzako
@FarhanahannanaHassanah
@FarhanahannanaHassanah 4 ай бұрын
Siku zote ndoa ni mtihani Ni sawa utie mkono kizani Ukht unatugusa sana hapo tushaumia sana tu kiasi tushakomazwa na hao watu
@mayisarakarire7104
@mayisarakarire7104 4 ай бұрын
Kila niwafwatiliyawo najifunza vitu vipya Allah awape kila la kheir
@FarhanahannanaHassanah
@FarhanahannanaHassanah 4 ай бұрын
Wapo wasiohudumia wake zao hawajitambui Wapo wanaohudumia hawana kheri kwa muumba Wapo wanaowakusanya watatu na wanne hawana uadilifu wa mapenzi na huduma
@PriscaMwamakula
@PriscaMwamakula 4 ай бұрын
Madam nimekupenda bure naomba namba yako
@ZUWENADELLOW
@ZUWENADELLOW 4 ай бұрын
Wapo pia wanaume wengi wanawatafuta wanawake wenye pesa.
@AminaMwinyi-t7p
@AminaMwinyi-t7p 4 ай бұрын
Mm simpi sumu ila simpi chakula ambacho hajaacha kodi ya meza
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 4 ай бұрын
Salamghaikum vip madam lailah mimi kaka yangu hajawahi kunisaidia hata mia yake nilikuwa nikileyeya watoto wake baade nikapata kazi compuny alikasirika mke wake kwa kuwa sipo kwake akanitumiliya sahivi nipo oman amezidi hasira na mke wake anambia kujenga ni muhim kulikoni kuolewa roho mbaya ndiyo nasumbuwa
@adilahali9511
@adilahali9511 4 ай бұрын
Naomba namba ya madam leila pl
@AsteriaMontgomery
@AsteriaMontgomery 4 ай бұрын
Yaan huyu Zakaria mtupuu jmn
@nkurunzizaabdul-aziz7211
@nkurunzizaabdul-aziz7211 4 ай бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh kwakweli Allah azidishie umri mrefi wenye kheir Maana tunaelimika sana kupitia nyie Unajua unayasema nihivohivo tukishika mishahara inaishia mikononi bila kufanya kitu majukumu mengi
Ulishawahi kujiuliza kwanini Mungu alivyomuumba Hawa, Adam alimlaza kwanza.
1:15:53
Upotovu mamboleo
55:25
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 2,5 М.
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
UTACHEKA KINGEREZA CHA MKUDE SIMBA 😂😂😂
6:35
Story Tellers TZ
Рет қаралды 477 М.
Hofu ndicho kikwazo cha Mafanikio yako.
1:02:01
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 5 М.
CORAN POUR DORMIR QUI APAISE LE COEUR (Recitation magnifique) 2021
1:31:41
DOUAA PROTECTION
Рет қаралды 18 МЛН
AFARTANKII (40) QISO OO UGU SAAMEYNTA BADNAA_2022 iyo 2023_ SHEIKH MUSTAFA.
3:26:03
IFTIN BROTHERS STUDIO
Рет қаралды 2,6 МЛН
Bora Mtu akuvuruge kichwa kuliko awe amepoa, maumivu yake ni makali sana
1:01:20
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 12 М.
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН