Hongela sana bwana hakimu kwa certificate and also Allah azidi kuwabaliki we na madam leila
@caikuebacar42524 ай бұрын
Eu devo aceitar que gosto dos conselhos dessa senhora. Jazakallah khairah. Que Allah lhe dê de melhor nesse e no futuro mundo.
@CharlesMasanja2 ай бұрын
A wisdom given lady... with a balanced couple attitudes...!!! Be blessed Leila
@feiruzahmed75244 ай бұрын
Mashallah Alhamdullilah. ALLAH yahfadhakum wa jamiil muslimin.
@pulltheskymusicgroup44754 ай бұрын
Final our beloved Madam, 🥰🥰
@KhadijaOmary-rt5gv4 ай бұрын
Mashallah tabarakallah ❤
@Ashoora24 ай бұрын
Mashaa'Allah ahsante Jazzakum'llah kheri
@chesconkwera2005Ай бұрын
Natamani kukuona Madam juu mpaka chini
@ibrahimmalabeja369222 күн бұрын
Dada'ngu Leila, hujambo! Nafatilia sana nasaha zako. Upo sahihi! Ila umeniacha kwenye mataa na sentensi: "kukamatwa na nyara!" Ni nini hiyo?
@MadamLeilaAbubakar22 күн бұрын
nimekusudia kukamatwa tu katika uhalifu au kufumaniwa
@a.8564 ай бұрын
Jazakallah khayran
@jamilaathumani54812 ай бұрын
Kwel kunamtu aliniwajibisha basi wee nilinyooka nanikaelewa nin maana ya kupenda na nampenda mpaka sasaiv lakin hajanisamehe mpaka Leo kwaiyo imenijenga sana
@ummuwawili4 ай бұрын
Bora anayekukosoa kwa kukwambia sasa yule anayekusema vibaya kwa wqtu wengne je? nao ni wazuri?
@hammytototundu92924 ай бұрын
Assalamualaikum
@MadamLeilaAbubakar4 ай бұрын
Waalaykum salaam
@DRai-z7h3 ай бұрын
Mashallah, Congratulations bro be blessed
@mangofish90793 ай бұрын
Mapenzi hayana formula ukipenda umependa vyenginevyo ndio kutakua na ubabaishaji
@LatifaJuma-jx6ix4 ай бұрын
Mashaallah
@jamilaathumani54812 ай бұрын
Mim nilikuwa namtu tulikuwa tunapendana nikamkosea kitu hajanisamehe mpaka Leo. Yan aliniwajibisha haswaa..napia mwanzo alikuwa anaongea namim nilikuwa naongea nae mala akikosea lakin imefikia hatua hanambii chochote akawa ananyamaza kimya mmmhh ilinipa shida iyo mpaka Sasa...lakin ndo tumeachana japo Bado nampenda...namim simwambii chochote nishachoka kwamana ameona kama kero..
@CikeTanzania2 ай бұрын
Kuna wanaume wagumu sana kusamehe cjui anakua amepanga ukikosea tuu imekula kwako.
@jamilaathumani54812 ай бұрын
@@CikeTanzania umeona eenhe
@CikeTanzania2 ай бұрын
Ata cjui anakuwa na mwingine afu unampenda balaa inauma sana.
@rukiyyarukiyya63172 ай бұрын
❤
@DusabeElyamina4 ай бұрын
❤❤❤❤
@jamshidamri20114 ай бұрын
Nyara ni nini...?
@devothasimbi64952 ай бұрын
Ni mali ya serikali zikiwemo pembe za ndovu ulikamatwa nazo kesi yake ni kubwa
@caikuebacar42524 ай бұрын
Eu devo aceitar que gosto dos conselhos dessa senhora. Jazakallah khairah. Que Allah lhe dê de melhor nesse e no futuro mundo.
@Ashoora24 ай бұрын
Mashaa'Allah ahsante Jazzakum'llah kheri
@caikuebacar42524 ай бұрын
Eu devo aceitar que gosto dos conselhos dessa senhora. Jazakallah khairah. Que Allah lhe dê de melhor nesse e no futuro mundo.
@caikuebacar42524 ай бұрын
Eu devo aceitar que gosto dos conselhos dessa senhora. Jazakallah khairah. Que Allah lhe dê de melhor nesse e no futuro mundo.