Kwa Hali hii ndo tujue unaolewa lakini mwanaume Bado ni mzinzi ,ndo tujue Nguvu ya dhambi,Kama wote mmeacha ya dunia mwenzio akitazama simu sio shida,kuhusu kwenda jera dhambi Ina hararishwa
@olamegahararo8 сағат бұрын
Safi Sana dadangu❤
@olamegahararo8 сағат бұрын
Kila kitu kwa kiasi kabisa
@olamegahararo8 сағат бұрын
Nakukubari Sana dadangu🎉🎉
@BabySheni21 сағат бұрын
Kama jua kivuli huja na kuhama
@harunsule32Күн бұрын
Mashallah thabarakallah❤💯
@InnaSenseiSwahiliLessonsКүн бұрын
Maashallah madam Leila
@Rehemakhamis-o9lКүн бұрын
Hongera maardm Leila Kwani umenitoa kwenye maumivu
@ruweidamohammad30202 күн бұрын
Alhamdulillah 😢
@emmanuelwafulakhaita30733 күн бұрын
I wish women can get this very well
@emmanuelwafulakhaita30733 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@yusufuheri65245 күн бұрын
Asante kwa maelezo mwanana
@yusufuheri65245 күн бұрын
Asante tena na tena
@yusufuheri65245 күн бұрын
Asante sana my sister from another mother
@rebeccangake20235 күн бұрын
Hivi huyu Laila ni nani mbona anafanana na Mh.Mama
@issacklyandala70236 күн бұрын
Adamu angezengua
@issacklyandala70236 күн бұрын
Adamu angegoma, angefanya vurugu
@OmarSalum-y9c6 күн бұрын
Mia kabisa
@SamiraMakame-w9c6 күн бұрын
Mwlimu oye!
@FathmaFathma-jt1tm6 күн бұрын
Je ukimuelekeza akikatah???
@FathmaFathma-jt1tm6 күн бұрын
Allah akujaliy kira laheri
@MichaelPaulo-i7m7 күн бұрын
🎤🎤🎤jamani😂😂
@majidfaraj93037 күн бұрын
Kweli
@ZubedaMaulid8 күн бұрын
Allah aendelee kukubariki kwa elimu hii unayonipa madam leila
@zaharangonyani8148 күн бұрын
MashaAllah ukhty somo zuri Allah akuhifadhi
@MadamLeilaAbubakar7 күн бұрын
Amiin 🤲🏽
@yusufuheri65248 күн бұрын
Daaaaah eh mungu
@sharifaali30208 күн бұрын
Yaan madam wewe ni kioo cha jamii
@kenngilu49099 күн бұрын
Mtu apika mwishowe anakaa kama mechanic 😂
@RehemaZappy9 күн бұрын
Tunachukuwa hatua,mashaallah.
@ShamilaKajia9 күн бұрын
Nimeipenda hiyo
@majidfaraj93039 күн бұрын
Love u mama
@DanielMchome-v2u10 күн бұрын
Unaakili sana
@ZubedaMaulid10 күн бұрын
Jazaka Allahu Akhire
@asiasuleman875010 күн бұрын
Hujakosea kwakweri dada yangu
@RizikiAliAmeir10 күн бұрын
Atowe juba ili aweje mbwa wewe
@tinnahagustinolyelu42477 күн бұрын
Paaa la nyumba jamani mbona mnapendkuwasema watu vibaya bila kusikiliza
@shamzone38810 күн бұрын
Ndugu yangu wako wakushauriana Mume wangu alipata pesa nyingi za retirement nikamshauri hakunisikia kafuata ushauri wa ndugu yake kanunua ardhi hana uwezo wakufanya chochote Mimi nipo vizur na nyumba yangu na watt na magari yangu na mshaht wangu unaingia Yeye amekula huu na miguu juu😂😂😂
@yusufuheri65248 күн бұрын
Pole sana my friend from another mother
@IsmaelSimiyu-f9p11 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@SalmaNassor-c7k11 күн бұрын
TUNAPITIA maumivu makubwa sana maishani mwetu ila tunamuomba Allah atuzidishie subra na uvumilivu ili tuweze kushinda MBELE ya MOLA wetu
@haqilillahtaalaabudhar469711 күн бұрын
Mm huyo 😂😂😂
@Malbatin-ww9rd11 күн бұрын
Hapo kwenye Ibada aunty ndio pagumu , afadhali iwe ana fanya Ibada tangu awal. Sawa kabisa . Hakuwai kufanya Ibada tangu alipokuwa sawa akiwa mja mzito si ndio sarakasi
@mrmahmoud127811 күн бұрын
mapambano ya chini kwa chini
@MISK-YAKASSIMMOHD11 күн бұрын
Kama ni mabaya akiyafanya ilo la kwake mwenzake wajibu ameupitisha
@selemanitungu55412 күн бұрын
Hakika hakuna anayejua sababu ni hisia tu za wanadamu
@AbduljumaHassani12 күн бұрын
Asalam alykum ww huyo madam ni mwanangu namkunali nampata xn kutoka burundi