Kumbe tupo vizurieeee ! Hongera sana majeshi yetu kwa kuhakikisha nchini yetu inakuja salama.
@rizmkondo13444 жыл бұрын
Vita ya kizamani sana
@erickzephania10304 жыл бұрын
technology imekuwa sana sasa ivi, kuanzia kwenye mavazi ya kijeshi mpka siraha. Naamini serikali itakuwaimejipanga kwenye hilo. Mungu awasimamie msije mkatumia siraha zenu vibaya, mkapambana na wananchi kwa faida ya wanasiasa. Asante wanajeshi kwa huduma yenu, Nawapenda sna.
@OscarKasalile-u4k9 ай бұрын
Unaakili kubwa sana wewe mtu, hongera kwa kuwakumbusha wanajeshi hao.
@samsonezekiel92324 жыл бұрын
Hivi kwnn isipitishwe kila mtanzania umri Fulani apitie mafunzo jeshini kwaajili emergency ikitokea coz naipenda inchi yangu
@revocatussebastian56984 жыл бұрын
Wazo zuri sanabosss
@revocatussebastian56984 жыл бұрын
Ila tutakuwa na wize wengi sana haitakiwe kabisa hiyo
@t.h.u.g9344 жыл бұрын
Nenda ww
@maryammohd59944 жыл бұрын
Yaan tunafanana akili...
@mohammedmhina39734 жыл бұрын
Nenda ww
@linkreuben58044 жыл бұрын
Safi sana makomandoo wanavyo fanya kazi zao, plole pole, Tanzania tunalo Jeshi. Mungu kaa upande wetu. Ameni!
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sadamissa56874 жыл бұрын
Akuna ata ndege inayowashambulia kwa juu😂😹🤣🤣🤣🤣🤣tuone itakuaje
Ukiona una amka asubuhi ujue kuna watu wamekesha kwa ajili yako
@mohamedayoub85764 жыл бұрын
Swadakta Mkuu
@jumaabdallahbakari4 жыл бұрын
@@mohamedayoub8576 Ndo wanalipwa wafanye hvyo, sio kwamba wanatoa msaada!
@petermahimbo67034 жыл бұрын
Anakuamasha Mungu pekee.
@MsAggie54 жыл бұрын
Peter Mahimbo jilinde na mimi nikulinde
@hassanovajunior69724 жыл бұрын
@@jumaabdallahbakari fara wew
@karambolageorge86564 жыл бұрын
Kujito sadaka hongereni majeshi wetu Mungu atawalipeni kwawkutupigani
@sandenjumbo25964 жыл бұрын
Jwtz nawa kubali ila muishie kupiga hao magaid msituludie raia sasa maana mme pata moto hadi tunaona hi sasa isije kutulud wenyew mungu awabariki muendelee kutulinda
@magamboshabani24594 жыл бұрын
Ngoja Rambo awakute hapo ndio mtalijuwa jiji😁😁
@damsonwillison4354 жыл бұрын
Hahahaha hahahaha
@jumachilundajr48534 жыл бұрын
Rambo basha wa au sio?
@UMUHANYITV4 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhh
@theprincejr14174 жыл бұрын
Hahhah😀😃😅🤣ase nimecheka
@lightrich7904 жыл бұрын
I wish kuja kuwa mke wa mjeda in shaa Allah
@nelsonmwakibuti36294 жыл бұрын
0713853004 ntafute
@lightrich7904 жыл бұрын
@@nelsonmwakibuti3629 ok hii number IPO WhatsApp
@samorahezron78084 жыл бұрын
0629807017 nicheki so utani
@lightrich7904 жыл бұрын
@@nelsonmwakibuti3629 mbona haisomi
@lightrich7904 жыл бұрын
@@samorahezron7808 haipo WhatsApp
@abelmange54304 жыл бұрын
Jeshi letu bado sana, mnafatana Kama nyuki...Sasa adui akitokea kwa nyuma, si mmeisha wote....!! 😂
@ama77424 жыл бұрын
Naona movies zimekuhalibu
@revocatussebastian56984 жыл бұрын
We kima kweli. Unadhubutu kutukana jeshi tunafuatakama nyuki we unajua nini sasa pimbi tyuu fyuu
@yohanemtewa12274 жыл бұрын
Ww ndo umeona hivoo etiii
@rajabueliud18304 жыл бұрын
Awezi kuonesha mbinu zao iyo nimfano
@hassanbinally71274 жыл бұрын
Inafaa unyamaze kama huna unachokijua kwenye jeshi
@BenMchuni4 ай бұрын
kuna vibongo kazi yao kupinga kila kitu
@josephndimi61354 жыл бұрын
Kweli hi Ni mooveee
@glorysimon7754 жыл бұрын
Ila wanajeshi kazi yao ni ngumu Mungu awalinde
@henryabisalami46464 жыл бұрын
Nawakubali sana hawa wana hawalali kwa ajiri yetu nilitamani niwe mmoja wao ila daah ndoto imepotea😥😥😥
@johncondrad62584 жыл бұрын
Pole Sana haikuwa ridhiki yako! Lakini usihofu Mungu amekuwekea ridhiki yako ingine
@omaryally1984 жыл бұрын
Nice job
@datiusleonce99784 жыл бұрын
Hahahahha nimefurahi nikikumbuka walio kimbia na kuacha kifaru @mtwara
@abdallahyasin68294 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@judaspantaleo97794 жыл бұрын
Kuna waliokimbia mtwara?
@raphaelfrank31134 жыл бұрын
😀😀yale sio maonesho bro
@chrisedward87844 жыл бұрын
@@abdallahyasin6829 f
@Puxladen4 жыл бұрын
acha uwongo ww
@dicksonkimambo38553 жыл бұрын
Kwn hizooo wanazopig siyoo risas kwn ukipigw risas ya kichw itakuwajee hapo
@zaynabadam69574 жыл бұрын
Tz tuna pamban na tail za et mazoezi naipenda Tanzania 😂😂😁😁😁🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💝
@jokandagoyetu8314 жыл бұрын
Hata ujui kinachoendelea hapo ni kheli ukakaa kimya
@jjumageu63573 жыл бұрын
Najivunia tz
@D-mox4 жыл бұрын
Ayo tatzo lako umekaa mbali Sana umefanya bomu sijaliona vizuri sikunyngne unaingia kati kati ujichanyage naww
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mwinyimohammed98464 жыл бұрын
Bado sana 😂😂😂.....njooni Kenya tueafunze
@jmwalimtzafrica37914 жыл бұрын
Chokozeni muone. Kama Uganda tulivyo wafanyia
@mr.royalq70624 жыл бұрын
Wanaumahiri gani hawa kazi kuuwa watu na kupoka hakinza Watanzania Mungu anawaona
@mukhtaryanhussein64494 жыл бұрын
Wanajeshi wetu imara sana hajafa hata mmoja😎
@freddiemwanyika38044 жыл бұрын
waende kitaya huko wakaokoe ndugu zetu
@haganagobu25244 жыл бұрын
Jameni Sasa wanapigana na upepo Nini kwanini hatuoni hao maadui TZ😂😂😂
@victorsanga22294 жыл бұрын
Haaaah we kichwa maji kweli
@kaundasutikaunda77694 жыл бұрын
Baadhi ya vijana wanakoment upuuuzi humu hawajui kuwa imani inayo wafanya wapate nafasi hata hiyo ya kukaa ndani na kichupi na kuanza kukoment ujinga ni kwa sababu ya uwepo wa amani dumishwa na askari wetu hawa.
@emanuelmwanga44 жыл бұрын
Mungu ndiy mlinzi wetu hakuna cha jeshi
@mcheshcomedy58094 жыл бұрын
🤭🤭🤣🤣🤣🤭🤭
@makasionlinetv22054 жыл бұрын
Hamna jambo mtwara ilekazi siyo ya police kazi ya wanajeshi tangialini police akapambana na wana jeshi lawa asi la nchi ya kigeni tena wapo 300 wana muachia IGP siwa ndomana wana toloka mana wana kuwa wa mezidiwa wange wachukuaa kama fridi kama jkt wanao jenga ikulu na madalaja
@pznmasai98154 жыл бұрын
@@makasionlinetv2205 ivi unaona walicho kifanya ? Yaani kikos kizima kimeingia pale je ingekua lile jengo ni mtego na kunabomu kubwa inamaaana wangekufa wote huo ni uzembe wa kwanza 2 hawana backup ya sniper kuwalinda wala hawakutawanyika baadhi kwaajili ya kugadi walio pewa nafac yakwenda kule inamaana kama ni makomando wanatakiwa kuingia wa wili au wa tatu pekeenakuokoa
@johnaugustino33894 жыл бұрын
@@emanuelmwanga4 Acha kifanya kazi ili ujikim kimaisha halafu shinda nyumbani tuu halafu mwambie Mungu aje kukulisha chakula usichokihangaikia! Kama vile unajishughulisha na Mungu anavyokunyanyulia watu wakukupatia fedha na ukabarikiwa kwa kazi ya mikono yako lakini ukiwa unamheshimu aliyekifanya mkono uingie kinywani, vivyo hivyo ndivyo Mungu anaweza kuilinda nchi kupitia watu aliowanyanyua kwa ajili yetu wakawa wanajeshi na tukiamini wanatulinda. Muulize Daudi angekaa nyumbani na kuamini tuu Mungu anaweza kumuangusha Goliati bila yeye kuchukua hatua ya kwenda vitani angeweza kuandikwa kwenye biblia? Na umuulize Mungu kwa nini alimtumia Musa kwenda kuwakomboa Wana wa Izrael, na kwa nini alimtumia Daudi kumuangusha Goliati kwa nini asingeshuka yeye mwenyewe?
@D-mox4 жыл бұрын
NYIE ONENI KAMA BONGO MOVE HAO SIO WATUPOA na hatakama ni maonyesho awawezi kuwaonyesha kiunda ni we siku wakwae ndo utawajua akilizao (JWTZ) mi nawaamini %100 watetezi wa nchi yetu
@hamzaforogo4 жыл бұрын
Mbona wanakaa pamoja pamoja kama ndege. Wakipigwa bomu hapo sishughuri imeisha.
@djungleulaya17924 жыл бұрын
Mnamaliza risasi tuu
@VeronicaAdam-lx8yd8 ай бұрын
Nizababaako hiz lisas
@Martin-lv1xw4 жыл бұрын
sikuhiz majeshi yanatumia high tech...adui anapgwa hukohuko aliko bila kelele wala chenga...ifike wakt wabadilike😏
@elisantemrita98943 жыл бұрын
Raha sana jamani kazi naitamani Sana hii 😭😭😭😭😭😭😭
@queenjayztz86154 жыл бұрын
Mungu awabark❤️❤️
@speedonechimbamawe14194 жыл бұрын
Apana jamani tanzania amani baba wetu wa tanzania kamalinza na mueshimiwa wetu wa sasa yuko sawa
@zaynabadam69574 жыл бұрын
Wana pigana na nani😁😁😁😁💝💝🇹🇿
@scolajapheth4874 жыл бұрын
Tz we are winner
@mpokijasson78724 жыл бұрын
Jeshi letu imara Sana ... Mola azidi kutupambania
@silasokode37284 жыл бұрын
Kweli Tz Bado sana Yaani unapambna na upepo Alf unajiita Komandoo , Alf unajifariji na Kawimbo kabisa,, Cj na huyu mgeni rasmi Ataende kusimulia heti nimeona makamandi
@travsscott66034 жыл бұрын
Kama ujui chochote kuhusu jeshi ni heri ukatulia
@fredmushendwa3574 жыл бұрын
Acheni kulibeza jeshi letu,kama hauna cha kuongea nyamaza.kama wanapambana na upepo kakae mbele yao basi wapambane na wewe. Duniani kote hakuna jeshi ambalo halifanyi wanachokifanya katika hoyo video.
@masoudshabani89314 жыл бұрын
Good work 👍
@himnajuma84634 жыл бұрын
Mbona risas zinaenda bure tuingieni Somalia kidogo Apo tukatokomezeni waasi .
@salamawadh61504 жыл бұрын
Nimeipenda hii hongeran Wana jwtz
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ababuumwanazanzibar49084 жыл бұрын
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1
@msawanga4 жыл бұрын
Napongeza kwa juhud za ulinzi zinazofanywa na nchi. Tunajivunia Tanzania na tunaipenda nchi yetu. Lakin hizo movement ambazo tumeonyeshwa hapo ni rahisi kwa adui asiekuwa na siraha na mbinu unless wataisha au wataomba backup ata mala nne ili wafanikiwe. Labda ningepewa nafasi ya kuuliza maswali kadhaa ili nieleweshwe. Pengine ulikua ni uvamiz wa maharamia wa kawaida maana operation hazifanani
@johnsospeter17624 жыл бұрын
Safi Sana najisikia was naamani
@zakaedward76214 жыл бұрын
Daaah!!!! Karibu🇹🇿🇹🇿🇹🇿,,nchi pekee wananchi wake wanauwawa mipakan but army wanapoteza mda kwenye camera,,,very shameful😥😥
@daddieeddie50574 жыл бұрын
Acha ujuaji
@laurentraphael54704 жыл бұрын
Chadema mna akili ndogo kabisa. Pigeni kura 28 oct, rudini nyumbani.
@hassankassim5394 жыл бұрын
Kawaida sana
@hassankassim5394 жыл бұрын
Sijaona bado
@allyhamadi6783 жыл бұрын
ongera jeshi letu kwa mazoezi mazuri
@hakimhakim96314 жыл бұрын
tuwapeleke congo tukawajaribu ushujaa
@odierohenry5004 жыл бұрын
Mazoezi na vita ni tofauti sana.hawa bado wajui vita ni nini
@isaacmbade69554 жыл бұрын
Kawaida sana ata action movie za mbele zipo vzr kuliko hiyo wameshuka kwenye gar kizembe sana nadhan ss bado sana
@mackenzie80374 жыл бұрын
Hivi ulipita hata jkt form 6 wew kiande?
@isaacmbade69554 жыл бұрын
@@mackenzie8037 Ww kama umepita huko mm sijapita huko lkn ninauwezo wa kukukalisha vzr sana hata kama umepita huko mm nimepita la mtaani
@onestar19284 жыл бұрын
Well ulitaka wapaee hahaa ,kwenye movie inakua ni stunts tu
@mackenzie80374 жыл бұрын
@@isaacmbade6955Chunga kijana,mdomo uliponza kichwa
@issamchocho984 жыл бұрын
Iyo ndio kazi sio kazi kuiba kura za watu
@BON357 Жыл бұрын
Naona wanalukaluka tu alafu kwenye vyombo vya habari kujizaririsha tu
@jumannebundala25944 жыл бұрын
Watu wote mnatakiwa kutambua umuhimu wa jeshi letu sidhani kama wewe unaweza kukaa kwa amani na unafanya shughuli zako bila kuwepo kwa ulinzi imara wa jeshi letu lakini kwa ufinyu wa akili ndio maana unashindwa kujua umuhimu nchi hii hata watu walioko nje ya nchi wanaitamani lakini wanajua jeshi lipo makini
@themagadir4 жыл бұрын
Kumbe ni drill
@hassanmassaga24764 жыл бұрын
Millard unazingua...bora ungeweka clip ya call of duty
@blessanthony99054 жыл бұрын
😂😂😂
@hamzanangameta62434 жыл бұрын
Unajifanya shujaa kwa kuwa uko kwa mama, chai unaletewa mezani, unaenda disco na bodaboda
@edigajoseph51304 жыл бұрын
Hamna kitu hapo,Mazoezi yakikuku kabisa. Jeshi linafundishwa na hafle polepole litakua jeshilakivita?😄😄😃😃😃😃😃😆🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂
@josephgomalo414 жыл бұрын
huko congo unapigana wewe?
@shabanikamsawa1814 жыл бұрын
Siwaende mtwara hao mashuhuli mnatuletea comedy huku nduguzetu mtwara hatujui walipo bongo bwana tuna leta comedy huku tunaumia wakawahokoe ndugu zetu walio tekwa mtwara cyo huo mchezo wa kumbolela wakujifichaficha tulisha cheza utotoni mnazingua
@stevenjoshua94374 жыл бұрын
Kuna kenge wengine wana comment upuuzi hum mnazan hapo wanapika ugali mungu ibariki tanzania na jeshi letu
@tatuhongeranurushaus4854 жыл бұрын
Amen kaka maana kuna majitu yanakomenti utumbo
@ngomaaidrisah44154 жыл бұрын
Noma sanaa
@jimmybernad89304 жыл бұрын
Uo umahiri waupeleke mtwara😅
@shedrackjacob60384 жыл бұрын
Unadhan hawajafika au
@amidumselle56594 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huku wapo mkuu ndo mana mpaka sasa tunashuhudia wanavyokamatwa kama kuku wa kisasa yan Jeshi letu lipo makini sana
@sadamissa56874 жыл бұрын
😂😹😂😂😂😂🤣🤣
@amidumselle56594 жыл бұрын
Kipekee nalikubali sana jeshi la nchi yetu M/Mungu azidi kuwapa nguvu
@ammyallt22923 жыл бұрын
Ndo ushapata dhambi
@canacana92674 жыл бұрын
Mbona kama wapo kwenye zowez
@saidnjechele18384 жыл бұрын
ilo ni zoezi
@canacana92674 жыл бұрын
Ndo naona et
@mwenyembiozakenyingisana41054 жыл бұрын
Wacheni ufala nyinyi.Kuna Wavietinamu wanang'oa watu kucha mojamoja kutumia kiiti kilicho chongwa.Halafu unadungwa chuma cha moto kwenye paja 🤣🤣🤣🤣 Na watoto wanatumia mashine kubwa kuliko zenu za kupigia kuku na mabata 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abdulkabarundi60154 жыл бұрын
Jeshi feki Hilo
@dicksongerald47144 жыл бұрын
komando wanatumia bunduki kwa nguvu hivyoo siwanasemaga wanatumiaga akiliii acheni bana
@polytarimo3244 жыл бұрын
Duuh wako vizuriii
@azuboy21524 жыл бұрын
Oy waambie wezio vita sio maigizo
@charlesmasesa77654 жыл бұрын
Mbona wanakwenda kama nyumbu
@metv63854 жыл бұрын
Mtwala hawaend hawa
@madooog60674 жыл бұрын
Yallabi wabaliki wanajeshi wetu
@YINDIMAKUCHICHANEL-DOM4 жыл бұрын
Tuombe mechi hata na DRC
@abdielyusuf714 жыл бұрын
Mazowezi hayo yakuwauwa wazanzibar
@kpetres28724 жыл бұрын
Wote wamezama kwenye hema, likipigwa bomu🤣
@hamismkunda14524 жыл бұрын
Haaaa
@darrenyjoseph14634 жыл бұрын
hata mim nimejiuliza ivyo
@mauricempinga9354 жыл бұрын
Hapo msumbiji mmechemka subilieni suprise
@TheTemba14 жыл бұрын
Ebwana hapo sijaelewa kabisa hivi mbona Kama hawako serious, ebwana Mimi naona warudie Tena , maana wakienda hivi vitani wataisha haki ya Nani wataisha,
@josephmatonyi18024 жыл бұрын
😀😀😀hakyamungu
@Filopolazalo4 жыл бұрын
risasi kama njugu mnapigana na matairi
@peteradamu40812 жыл бұрын
Ni kumaliza risasi tu ndomaana Kodi zinapanda Kila kukicha
@deborahkiunoswaf59074 жыл бұрын
Aisee ndo maana wanakufa Kongo kama kuku hawako makini katka Distance na kusoma mazingira ya kivita na commandment ya captain haiko sawa katika swala la kuwapanga askar katika swala la kuwakabili maadui utapoteza askar wengi kwa uzembe
@BigZhumbe4 жыл бұрын
Hawa wakamwagwe Somalia kwa masaa mawili tu tuone umahiri wao 😂😂
@tresorkinyeshe69654 жыл бұрын
Ok
@kiblahmchengule1294 жыл бұрын
Mtwara Kijiji cha kitaya mpakani na mozambek wamewateka wanakijiji nendeni mkawakombowe Kama kweli mpo vizur
@benjaminonpiano3044 жыл бұрын
Mjinga kweli wewe
@punchlinetz4 жыл бұрын
Ulitaka wakutaarif kila wanachofanya, au ww unajua sana utendaji kazi wa vikosi vya kiusalama??
@issayahya16404 жыл бұрын
Your very right, drills alone without testcases are plays. Wale waliojaa znz ndio wangesongeshwa mtwara mapema asubuhi
@revocatussebastian56984 жыл бұрын
Daa nalipenda sana jeshi jamani
@taliqmaliq47674 жыл бұрын
the last hope of innocent people all over the world TPDF
@abdillahshabani78104 жыл бұрын
Miladi Ayo unatuzingua sasa mazoezi unatuletea ya nn nenda kalete habari za mtwara
@sophiamfikwa73404 жыл бұрын
Kwakweli akatuletee Jabari za mtwala kwakweli
@greysonmbembelakarateka58424 жыл бұрын
Very, Kalunde Tc
@emanuelmwanga44 жыл бұрын
Haya maigizo haya fanyeni kweli kama amjachakazwa tz jeshi hakuna zaid police ccm
@petermachondo82854 жыл бұрын
Haujuw chochote ndugu bara ukae kimya
@MsAggie54 жыл бұрын
Kwa nn usifanye utafiti? Bando lako litumie kuuliza mambo ya maana, uliza Tz ya ngapi kwa Afrika kuwa na jeshi bora sio kuropoka
@mhandomussa52324 жыл бұрын
Wewe utakuwa mkimbizi nina mashaka na wewe
@rewaatesh48774 жыл бұрын
Sio maigizo ni kweli na Tz ni moja ya nchi zenye majeshi bora kabisa duniani. Ndio maana wakufunzi wa jeshi na vikosi vya marekani huja Tz, China huja Tz, Uganda na Rwanda huja Tz, Nchi za SADC ndio usiseme wakufunzi wanatoka Tz kwenda kutoa mafunzo ya kijeshi, Ndio maana wanajeshi wa tz wamepelekwa sehemu mbalimbali kusimamia operation mf. Congo, Sudan, Liberia, Sierra Leone, Lebanon, Seashells. Jivunie JWTZ ni jeshi lenye:- Nidhamu, Vifaa, Weledi Wataalamu wa aina zote Wakiwa vikosi aina zote Maji, Anga, Ardhi. Tumebakiza kwenda anga za mbali kwenye sayari nyingine na mwezi. Iko siku tutaanza kwa kurusha satellite anga za Juu sana.
@emanuelmwanga44 жыл бұрын
@@rewaatesh4877 hhhhhhhhhh mbn waoga sasa kwanza mafunzo mbona Congo walichakazwa wale 14 amna kitu labda kupigana na chadema
@eliezaseme16744 жыл бұрын
sisi ndio sisia hkuna kama sisi
@hamadshein4984 жыл бұрын
NILIVYO WAONA WATALEBAN CNA HAKIKA KAMA GAME LITAPGWA HVI.
@abdallahathuman81434 жыл бұрын
This is kalunde one😭
@abrahamkibona70384 жыл бұрын
Kiongozi mashuhuli huyo dada. Ahahaha
@mzeeomyguy62034 жыл бұрын
Hahaha lkn mtwara wanakimbia
@ru7benniesospeter7764 жыл бұрын
Acha kuropoka dogo
@davidmziray20484 жыл бұрын
Israel commandos
@ikrammahonda45664 жыл бұрын
Ivi ilikuwaje walivyoenda kule kipindi kile walilud kofia tu na buti tu au mafunzo yalikua ayajakolea
@ikrammahonda45664 жыл бұрын
Ila hongereni sana kwakugomboa mateka
@hemedytengu57184 жыл бұрын
Wanajeshi 💯 wa Tanzania nisawasawa na Al shabaab mmoja, Al shabaab wanamafunzo yajuu kuliko
@makenamichael25434 жыл бұрын
Karindwe nao sasa
@triplea34634 жыл бұрын
Jidanganye😏
@maleogame87454 жыл бұрын
Fara wewee 🤒🤒🤒🤒🚶🚶🚶
@fredmushendwa3574 жыл бұрын
Kama wanamafunzo ya kiwango waje sasa waingie bongo wajaribu waone utamu wake,Alshababu ni mgambo tu wliobeba bunduki ,M23 wa hapo kongo wale ni wanajeshi kabisa,lakini walipewa shughuli mpaka walitupa bunduki zao na kukimbia waliziona nzito zinawachelewesha kukimbia watz wasiwatie nguvuni. Sasa ndio hao mgambo wanaoteka raia wasio hata na silaha yoyote.
@swahibambogo18334 жыл бұрын
@@fredmushendwa357 Unasema wake! Ndo washakuja huko mtwara wameuwa watu na wengine wamewateka huna habari ndugu?
@jullahmtunguja8364 жыл бұрын
Wanapokea mshahara wa BURE hawa diffence mbovu mbovu kabisa kama inatokea vita wanakufa wote wanatembea kwa kugusana pili hawana ishara ya kujulishana nenda upande upi awana kiongozi wote wanaenda mbele kama manyumbu
@kipetasingo27744 жыл бұрын
mpo wap kushoot movie ya kivita tupige pesa 🤔
@shukurkatembo28074 жыл бұрын
Kuna baadhi ya comments humu zinasikitisha. Kwasababu mtu analala na kuamka salama, anapata wasaa wa kuchat kwa utulivu na amani basi ni kudharau kila kitu hamjui tu ila ogopa sana ukazisikia BM zinaunguruma hapakaliki. Hao watu unaweza kuona wanafanya kama maigizo ila ndiyo wanasababisha tuwe na uhakika wa kufanya shughuli zetu kila siku.
@kalebuwilliam10142 жыл бұрын
watu huwa wanachukulia easy tu,kama hawa watu wasingekuwa wa kesha porini hii nchi isingekuwepo