„nanyi mmepewa ukamilifu ndani ya Kristo, ambaye ndiye mkuu juu ya kila enzi na kila mamlaka. akiisha kuifuta ile hati yenye mashtaka yaliyokuwa yanatukabili, pamoja na maagizo yake. Aliiondoa isiwepo tena, akiigongomea kwenye msalaba wake. Mungu akiisha kuzivua enzi na mamlaka, alizifanya kuwa kitu cha fedheha hadharani kwa kuziburura kwa ujasiri, akizishinda katika msalaba wa Kristo.“ Wakolosai 2:10, 14-15 NEN
@rachelmsekena603 Жыл бұрын
Huyu wa kwetu kabisa tofauti vijiji tu.
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
Huyo jamaa umefanananee sana Kevin shayo 🤣NAKUKUBALI mdogo wangu na kipindi chako tiki TV👏👏🙏🇹🇿🇬🇷
@kalistamtanzania7220 Жыл бұрын
Tunaongalia huku tunasoma coment tujuane like zenu jaman✌️
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
😂🎉
@sarahwawuda516411 ай бұрын
😂😂😂
@mossesezekiel786211 ай бұрын
Nakubal sana Tik tv kiakili zaid 👍✌️✌️
@amangearge9594 Жыл бұрын
Kuna watu mmeona mengi sana kwenye hij dunia hasa ww brother🙌
@abdallahrashid169 Жыл бұрын
Ww umeona nn hadi ulifika au maembe na machungwa😂😂
@akilimalindevu520 Жыл бұрын
Tiki tv mikasa yenu ya moto sna saluti kwenu
@HASSANBAKARI-q9cАй бұрын
Unaogopa kwasababu hupendi stori 😊,,,amna cha kuogopesha hapo,,,chukua vya kujifunza jifunze
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Hayo ni vitu ulichanjwa kuona mambo ya kiroho ndio maana watu wanashauliwa kusali usiku ulaupigapaka asubuhi na amani rohoni kuna watu wanateseka sana hasa kwa ushilikina.
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Damu ya yesu inaweza na kushinda haya yote
@justloveit5178 Жыл бұрын
Na imani kwake kwa Bwana wetu Yesu Kristo, wote waliompokea hawana kitu ya kuongopa.
@Zuuh4286 Жыл бұрын
Waaaaaah nmekuwa wa 1 kwa hizi story za Tiki Tiv ina mikasa mingi walai 😳🫢🙆🏼♀🙆🏼♀🙆🏼♀🙆🏼♀🤔🤔🤔🤔🤔
@esterjeremiah4700 Жыл бұрын
Yani napenda sana tiki tv👏👏
@dianadaudi3380 Жыл бұрын
✌️✌️✌️
@omangalaxy165711 ай бұрын
❤❤❤❤ hujawahi kukosea kakayangu Kevin firidausi ❤
@leydaihal9332 Жыл бұрын
Yaani siezi jiadarisha maisha yangu juu ya pesa aisee 😢
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Korogwe nyumbani, ila pole sana kwa maswaib yaliokukupata.
@mosesmauda571811 ай бұрын
Kaka wewe una roho kweli,Mimi tukio la kwanza basi hapo sirudi,lakini la msingi ni kumuomba Mungu akufiche kwenye damu ya Yesu,Hilo latosha.
Mke wangu pamoja na kuandika kama muoga usiangalie na bado ataangalia halafu ashindwe kulala usiku😔
@kalistamtanzania7220 Жыл бұрын
Huyo ni kama mm tu😂😂😂
@lilyrose7983 Жыл бұрын
😂😂😂
@TabiaNchimbi Жыл бұрын
Mm 😂kwanz hapo at chumbn kwangu sitopahamin
@DeboraCalton11 ай бұрын
Mi ningewapiga kwa moto wa damu ya Yesu.. Yalishanikuta hayo mbona mwenye nyumba alinifukuza nyoo
@Sally1to11 ай бұрын
Tunajifunika na damu ya Yesu na kwa moto wa Holy Ghost.
@sabinamushi1003 Жыл бұрын
Me muoga lakini sikomagi kufustilia hizi story😅
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@trophywilson721111 ай бұрын
Utaota siku moja
@hamidaalhabsi8568 Жыл бұрын
Subhanaallah mungu wangu tusitili yaarabi
@sabinamushi1003 Жыл бұрын
Kelvin ww unamoyo mgumu hii kazi yako mm siiwezi aisee😳
@catherinensemwa3907 Жыл бұрын
Mm siwezi heri niuze nyanya😅😅
@fatumajuma1811 Жыл бұрын
😂😂😂
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Mtihani kabisa 😮ushirikina ni ki2 mbaya 🤔
@azizaaziza7996 Жыл бұрын
Sannaa ila mtihani tu
@khadijal9851 Жыл бұрын
Lazima msome albaqra kwenye nyumba jamani
@nurusaid4698 Жыл бұрын
Poleni Sana Ulimwengi Ni Adaa Jameni Maana Atupendani Wanadamu
@wardawardaarshad Жыл бұрын
Du mtihani mm wangenika Mavi mikojo jasho vyote vishachanyika pmj da pole kaka maisha aya
@angelinahogqvist7710 Жыл бұрын
mbona hamushilikishi baba enu si nimuganga tena mbona hajawapa kinga tena kama baba eunu ni muganga mbona hajui kwamba munapata changamoto
@Ivyremoha28 күн бұрын
Tukio la kwanza tu mimj huyoo 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ siezi komalia matatizo ya usiku😂😂😂😂😂
@esterjeremiah4700 Жыл бұрын
Tiki tv 🔥🔥🔥🔥
@sabinamushi1003 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@irene3abi123 Жыл бұрын
However you were brave,,👏👏
@mohdnasser894 Жыл бұрын
Mbona mambo ya awaida hayo wacha uoga wakikuona unaogopa watazidi kukutisha 31:37
@marrymazengo1315 Жыл бұрын
Yani kama mm wangenikuta nimeshakufa na hivi nilivyomuoga hata sijipatii picha
@kalssambaboo9932 Жыл бұрын
Me siku hiyo hiyo nilofika asubui ningegeuza kurudi niliko toka
@monicambuya-sq9ms Жыл бұрын
Mbona ulikuwa husomi dua hata siku moja?
@PeterJaphet-iv7tr5 ай бұрын
🎉
@valenakomba9218 Жыл бұрын
JIBU LA HAYO YOOOTE NI YESU WA NAZARETI ALIYE HAI,
@esterjeremiah4700 Жыл бұрын
Naombeni like zangu jamani
@amangearge9594 Жыл бұрын
Ya kwangu nmekupa
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
😊
@azizaaziza7996 Жыл бұрын
Usijali my nimekupa yakwangu ila leo umeniwahi hongera
@ecanawalengwa2511 Жыл бұрын
@@amangearge9594 you 😀 me 😀 me 😀😀😀❤️😀😀😀nnwe3er3ée
@adelaidemuraya8615 Жыл бұрын
Mtumishi Mathews
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
Hayo ni majaribio ya majini ujikaze baba
@akilimalindevu520 Жыл бұрын
😳😳😳😳
@Mutubure11 ай бұрын
Ku office nabaki peke yangu 😂
@mariamnyange199 Жыл бұрын
Duuuuh🙌🙌
@TabiaNchimbi Жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌
@valenakomba9218 Жыл бұрын
WACHAWI WANAPENDA SANA MASHINDANO-TENA WEWE BABA YAKO NI MGANGA , HILO NI KUBWA SANA KWA WACHAWI
@mariamnyange199 Жыл бұрын
Hadi naogopa 😱😱
@tahirnephessalum3678 Жыл бұрын
Mungu aniepushe na mauza uza ase mm tukio kubwa lilowahi kunitokea ni moja tu nililala hotel moja huku tabata nilala room number 9 Asubuh nashtuka niko room number 14 afu niki uchi kabisa maana nilipolala nilivua nguo zote nikaziweka kwenye meza, bas asubuh nashangaa chumba ni tofauti na nilicholala maana nilicholala hakikuwa na friji nikajifunga taulo nikaanza kutafuta chumba nilicholala nafika kwenye hicho chumba nikuta nguo zangu zipo zote na cm yangu ipo kitandani fresh na pesa yangu ipo aiseee mpaka leo sipatagi jibu nin kilitokea mbaya zaid hata tukicheck kwenye cctv camera haionekani nilitokaje kuhamia room nyingine
@sophiamiondoko7098 Жыл бұрын
duuuh😢😢 au iyo hotel inamajin
@jameskahamba4023 Жыл бұрын
pole sana
@samweli7985 Жыл бұрын
Inatisha sana, ila Kaa namungu huku ukiomba sana
@irene3abi123 Жыл бұрын
😮😮😮🙄🙄🙄
@meryfrank5272 Жыл бұрын
Aya mambo kiboko yake ni kumuomba mungu tu bas
@dianadaudi3380 Жыл бұрын
Tiki tv mnataka na leo tena nisilale eeeh😱😱😱😱😱
@catherinensemwa3907 Жыл бұрын
😂😂
@aziza9093 Жыл бұрын
😢😢😢
@fatumajuma1811 Жыл бұрын
😳😳poleni kaka
@awaahassan936 Жыл бұрын
mhhh naogopa
@marrymazengo1315 Жыл бұрын
Muendelezo tafadhali story imenoga sana
@aliemdogo Жыл бұрын
Dah kweli kuna kupitia
@fatumaadam7970 Жыл бұрын
Wanasoma dini gani
@youngtomuller-vh2pu2 ай бұрын
Você ainda não aprendeu agente vimos merda 😂😂😂😂😂😂😂
@SalumuAdam-wm3nn Жыл бұрын
Iyi,dunia inamambo
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
😰😰🤔
@abdallahrashid169 Жыл бұрын
Muendelezo tafadhali
@valenakomba9218 Жыл бұрын
INAKUWAJE WAKATIWEWE BABA YENU NI MTALAAA?
@kalssambaboo9932 Жыл бұрын
Eti jamani afu huyo mwenyenyumba kwann aache hayo mambo yanaendelea kama sio yeye jamani