Ni kweli umesema mimi washirikina wanatumana kuja kunitongoza ilikufanikisha malengo I lkn zzz namuomba Allah aniepushe na mabalaa yao
@Samirakassim-d8uАй бұрын
Mmmmh mpk najihurumia jaman nimekumbuka mbali sana kipindi nikiwa mdg nilikuwa nawashawishi wenzangu ujinga na wananifuata nikiwaambia tumpige mtu wananisikiliza nikwaambia mwalimu flani akiingia hakuna mtu kusoma na kweli wote hatusomi😢😢 lakn saiv imekuwa tofaut kabisa cjui ndy nyota imechukuliwa hebu nishaur
@HusseinKagesho7 ай бұрын
Vipi Nitasaidika yangu iliibwa leo ninateseka sana Nilipendwa sana niwageni kutoka nje ieo hata mke sina wala nyumba watoto wangu nafanya kulelewa nikipata kibarua tunakosana nawakubwa sasa kaama kunauwezekano nielezee ni jaribu.❤❤❤❤❤❤❤❤❤🖐🙏
@visionaryyouthorganization7 ай бұрын
Muombe.Mungu
@HusseinAbdulrahman-xh2md6 ай бұрын
Nitafute nikufanyie dua live kwa video call utasaidika kaka
Mimi ni praise team kwa church lakini niwengi sana hawanipendi😢
@ElizabethNongo27 күн бұрын
Usikubal kukatishwa tamaa wala usikubal kunyamazishwa ikiw unatenda kama akuongozavyo Roho Wa Mungu
@YesuniBwana-sv5zd8 ай бұрын
Jambo. Nauliza tufanyeje kwakulinda nyota yangu.
@Jacksonneema-j9w8 ай бұрын
Mungu mbele kaka
@MwanaidMtingwa-t4i2 ай бұрын
Mimi ndio kabisa yangu nahisi imeibwa mana nipo nipo baraka ya madeni kila nikifanya linakufa
@jennahyahaya91178 ай бұрын
Mim nyota yangu nahisi ni kali sanaa kwasababu kanisan ninalosali naonekana mm tu na sielewi kwanin nifanyeje ili nielewe
@FAFANUOMEDIA8 ай бұрын
♥️
@emilymiliany50877 ай бұрын
Asante Kwa hili SoMo ila ni na swali swali langu ni je ipi njia shhi ya kuilinda nyota Yako Yani ipi njia sahhi ya mut kuilinda nyota yake
@jesusfirstchurch41622 ай бұрын
Kwa maombi na kujifunika kwa damu ya Yesu ..zab 51 zab 35 zab 109 zab 23 .na ISAYA 45:1-8
@irenemichael3 күн бұрын
@@jesusfirstchurch4162ubalikiwe
@suzysoraelw20627 ай бұрын
Naomba number zenu za simu
@JacquilineNoah8 ай бұрын
Me ninachojua nyota ya mapenz ndio sina tu😂😂😂😂
@RosemaryLema8 ай бұрын
Tupo wengi😂
@AhmedHImran8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂insha Allah utapata mpenzi atakae kupend kwa dhati wanao kuacha you bahati yako
@ubongosahihi8 ай бұрын
Sawa kabisa tupo wengi 😅😅
@MwanaherySalary8 ай бұрын
Hii Mungu atuongoze kabsa
@KhadijaMwenda8 ай бұрын
Tupo wengi
@suzysoraelw20627 ай бұрын
Mie nalogwa nyumbani,mtaani,officn hadi kidini msaada nisaidieni
@fredyleonardmaths25467 ай бұрын
Yesu ni jibu la Maisha Yako,mpokee Yesu atakusaidia
@davidmguji44092 ай бұрын
Mimi nataka wachawi na maadui wasinione kabisa kwenye vioo vyao nifanyeje
@NyotajadaАй бұрын
😂
@سعيد-س9س2ك3 ай бұрын
Sasa unajuaje nyota sasa
@GhatijosephChacha8 ай бұрын
nikweli kabis
@sinyooo65834 ай бұрын
Mimi wachawi walikua wananichukua sura yangu usku
@سعيد-س9س2ك3 ай бұрын
Ndo mimi
@JonathanMutabazi-wv6yw2 ай бұрын
Tunaomba ututumie nambari ya simu yako ili tukuhoji mawswali
@joanjuma44738 ай бұрын
Je, tufanye nini Ili nyota irudi?
@FAFANUOMEDIA8 ай бұрын
Nimeweka video yenye maelekezo yote ndugu, angalia katika video niliyopost muda si mrefu, karibu tujufunze pamoja ndugu
@Teaching3567 ай бұрын
Tumia chumvi ya mawe utanishukuru
@TheodothaTati7 ай бұрын
Chumvi ya mawe unatumia kwa muda gani kipenzi
@YohaniRisasi7 ай бұрын
Mbona hamuweki suruhisho ukijikuta upo kwenye hari hiyo ufanye nini?
@beatricemwamini20448 ай бұрын
Amen.
@AziziMapunda-vt4nv2 ай бұрын
Sasa tufanyeje iliwashindwe
@janepherodouri33938 ай бұрын
Jenitafaya Nini ilinrudishe nyota yangu😢
@jemimahwafula63468 ай бұрын
kule Mombasa
@alvenmunroe99807 ай бұрын
Kanunue dawa inaitwa mnyota Kisha koga siku saba
@Teaching3567 ай бұрын
Tumia chumvi ya mawe tia kwenye maji na ukishamaliza kuoga anza kujimwagia taratibu huku ukitamka tatizo lako unalotaka likuondokeè au unaweza tamka ivi narudisha nyota yangu ilichukuliwa kwa ushirikina kupitia hii chumvi katika jina la YESU naamini Amen.
@HusseinAbdulrahman-xh2md6 ай бұрын
Nitafute nikufanyie maombi itarudishwa haraka tena sana kwa uwezo wa Mungu
@VeronicaMussa-lu1yw5 ай бұрын
Mimi ndiyo nawindwa had bas
@douglasmatoke3 ай бұрын
nataka namba ya simu yako
@Reema12-v5j8 ай бұрын
Kwahiyo ume tuachaje hujatupa ushauri
@doricemtungi2778 ай бұрын
1:27
@ObadiaGabriel-s1e6 ай бұрын
Nyota ya mbuzi zikikutana kimapenzi inakuaje hapo
@NEBERT-rc6bb7 ай бұрын
2milion us dolls 369 ilwaki
@AishaMussa-j6i7 ай бұрын
Na me nilie pigw juju yan tangu nifkish miak 18 nikipt kazi naacha mwenyewe nmechoka il
@hamboy8078 ай бұрын
Duuh dunia hii ina mengi xana kaka ndan yake,xaxa ili mtu kuzuiya ili nyota yake ixiharibiwe au kutumiwa na waxhirikina kutokana na zawadi zake zikizomo kama izo na ikatokezea ndio kexhawahiwa nao xaxa anatakiwa afanye nn kurudi kuwa na hali yake ya kawayda yake au hali aliokuwa nayo kaka¿