Nyota Yako Ina Thamani | Maombi Ya Kuombea Taifa | Pastor Tony Osborn

  Рет қаралды 126,759

Pastor Tony Kapola

Pastor Tony Kapola

5 ай бұрын

Do you know the impact your star has? Watch this to receive the full revelation on how impactful your Star is.
Link to playlist from this series:
• MAOMBI YA KUOMBEA TAIFA
Connect with Pastor Tony Kapola Ministries:
Facebook:
/ pastortonykapola
Instagram:
/ pastortonyosborn
Contacts (Mawasiliano): +255 713 702 187
Offerings (Sadaka): +255 762 153 539 (ANTHONY KAPOLA)

Пікірлер: 257
@bakariomary5781
@bakariomary5781
Hakuna mchezo m'baya kama huu wa kulala na kile mtu aah una maliza nguvu sana ila wengi hawajui. Unalala na mtu mnabadilishana Energy( STAR) kama ukikutana na nzuri twende ikiwa mbaya ndo hayo mashimo marefu anayosema mtumishi apo
@YvonneKhalui
@YvonneKhalui 28 күн бұрын
Narudisha nyota yangu Kwa jina la yesu,aijaliahi ni nani aliye iba from today,kama unasoma huu mwezi wa saba , like tafathali
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009
Kuna dada alikuwa anatembea na watu wakubwa serekalini .akibadilisha niwafanya biashala nawanasiasa wa kubwa tulikuwa tunamuona Ana bahati akazaa mtete zezeta saizi anauza duka lamaitaji madogo la nyumbani tena kadogo amerudi dar yupo uku kijijini kwetu kweli nimeamini.awa watu wakubwa kulala nao kunakitu wanatuchukuwa
@user-gm4qi3nn9n
@user-gm4qi3nn9n
Sasa hapa nimegindua why mume wangu huniambia ninanyota ya utajiri lakin ameniachia majukum yote na kustareh nyumbani
@mcbennehemiah8088
@mcbennehemiah8088
I wish Hawa wanaocheka wangeelewa na kulia... Somo sensitive sana
@user-uy4bu9bf5n
@user-uy4bu9bf5n 28 күн бұрын
Narudisha nyota yangu kuanzia Leo nyota yangu iliyo ibwa nakubebwa katika jina la yesu alie hai I return it🙏🙏🙏
@abbyimbukwa3835
@abbyimbukwa3835
Ningelikujua zaman nngelikua mbali sanaaa... ❤
@jenjuma6255
@jenjuma6255
😭😭😭😭😭😭😭😭ninatman ningekujua toka zaman mung nisaidie mm
@florencenekesa8243
@florencenekesa8243 7 сағат бұрын
Amen Mtumishi wa MUNGU,yeyote aliyechukua nyota yangu kupitia mafundisho haya nairejesha nyota yangu popote ilipo Kwa jina la YESU 🔥🔥🔥🔥🔥
@Malkia01
@Malkia01
U chang my life pastor nilikuw nimejikatia tamaa san lkn umebadilish maish yang kwanzia sas am going to change🎉
@AngelChalz
@AngelChalz
Narudisha na kupokea nyota yangu in jesus name 🙏🙏❤️❤️
@raysjames1776
@raysjames1776
Mungu azidi kukuinua umenibariki kwa maneno yenye nguvu yaliyobadilisha maisha yangu.
@albertmosima4711
@albertmosima4711
Mungu baba Mumbai mingus na inji naomba unirejeshee nyota yangu mahali popote ilipo mungu na baba yangu niurumie
@KibibiMtuhi-xg8ju
@KibibiMtuhi-xg8ju
Ameen Pastor God bless you ,hizi Siri za Mbinguni unatufunulia Tunakuombea Baba 🙏🏼😭😭
@shamsaalex8798
@shamsaalex8798 28 күн бұрын
Eeh Mungu naomba unirudishie nyota yangu na kuiihifadhi . Nisamehe na kuniokoa mimi mwana kondoo wako 😢🙏
@judithkelvin5221
@judithkelvin5221
Mwenye sikio na asikiye☝️
@sabianafelician715
@sabianafelician715
Amen napokea nyota yangu leo kokote iliko iludi katika jina layesu amen
@dinakyoma5977
@dinakyoma5977
Imagine what you could be if you live a Holy life? ...what a powerful msg? Barikiwa Mtumishi
@user-ho6xz4td3i
@user-ho6xz4td3i
Asante kwa kunifungua na Mungu anisamehe kwa ujinga❤wangu wa kutomkaribisha mapema zaidi
@user-nk6uj8tz8h
@user-nk6uj8tz8h
Mahubiri mazuri sana yenye ujumbe mzito.ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Wabeba riziki wa familia | Pastor Tony Osborn | 17 th February 2024
1:48:56
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 118 М.
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 32 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 40 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Tengeneza Tabia Zitakazokupa Mafanikio - Eric Shigongo
14:14
Hamasika Tv
Рет қаралды 34 М.
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 3 МЛН
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 180 М.
JIFUNZE KUWAHESHIMU WAZAZI WAKO
12:50
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 286 М.
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 856 М.
Mwanamke Shujaa Ni Nani? | Night Of Miracles Mbeya | Pastor Tony Kapola
20:14
KUNA MTU ANATUMIA NYOTA YAKO PART 1
32:16
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 127 М.
Kuwa Makini Nani Unamuoa | Kuuweza Wakati Ujao | Pastor Tony Kapola
17:02
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 90 М.