Рет қаралды 12,892
SUBSCRIBE NOW / uwazi1
Kijana, Salim Musa Omary, mkazi wa Zanzibar ni Mzalendo aliyejikita kwenye kusaidia maswala ya elimu nchini.
Kijana huyo amesema kuwa alishindwa kuyafikia malengo yake kielimu kutokana na changamoto mbalimbali, lakini baada ya kufanikiwa kimaisha akashawishika kuwasaidia wanafunzi wasio na uwezo ili waweze kutimiza ndoto zao kielimu.
Katika harakati zake zake amekuwa akitembea katika shule mbalimbali na kutoa elimu na ushauri kwa wanafunzi, pia amekuwa akipeleka vifaa mbalimbali kama vile Laptop, Vitabu nk.
Pia ameanzisha kampuni ya GreenLight Foundation ambayo imelenga kuwasaidia wanafunzi waweze kuepukana na changamoto mbalimbali, ikiwemo mimba za utotoni.
Amewakusanya na kuwapeleka chuo baadhi ya wanafunzi ambao ni wahitimu wa kidato che nne ambao wameshindwa kuendelea na kidato cha tano kutokana na matokeo kutokuwa mazuri, na mpaka sasa baadhi yao wameshamaliza na wameajiriwa.
Kupata video nyingine kama hizi SUBSCRIBE kwenye channel yetu kwa jubofya link ifuatayo / uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishe...
FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpubli. .