Inawezekana Kufikia Malengo Yako Usikate Tamaa Joel Arthur Nanauka

  Рет қаралды 545,713

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 638
@raginauthor1881
@raginauthor1881 6 жыл бұрын
POWERFULL WORDS. Nguvu ya kusaidia wengine huongeza marambili nguvu ya kujituma kwako kwani itakuingia moyoni na akili kwamba wapo wengi watakao hitaji msaada wako na kukupa nafasi ya kushukuru kwa hapo ulipo. Kitu pekee tunachosahau ni kwamba Kila unayekutana naye analo la kukufunza mbali na vile ambavyo unamtazama. nimejifunza mengi sana, Dima kuna wazungumzaji wengi ambao nimewahi kuwasikia, kama unakumbuka nilishwahi kukueleza mara ya kwanza kabisa kabla hata kitabu cha TIMIZA MALENGO Hakija toka, kulipokuwa kwenye promotion, kwamba wazungumzaji wengi au wajasilia mali wengi, wanafundisha sio yake wanayoishi au kuyafanya ndio maana wengi wakisoma kazi zao hakuna mabadiliko, but tangu nilipoanza kukufuatilia nikakubali kwamba sasa yupo mzungumzaji Tanzania
@charlesjoseph2477
@charlesjoseph2477 5 жыл бұрын
thanks
@mosesrichard459
@mosesrichard459 4 жыл бұрын
Unaweza!
@katsongowasi
@katsongowasi Жыл бұрын
Nafurai
@issashekh9437
@issashekh9437 11 ай бұрын
Thanks
@MustafaShomari-nh7pn
@MustafaShomari-nh7pn 8 ай бұрын
🎉 l0
@eliezermtokoma2057
@eliezermtokoma2057 6 жыл бұрын
Kaka nakuelewa saana ipo siku nitatoa ushuhuda kwaajiri yako MUNGU akutunze
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Kaka this is deep, deep very deep!!!
@revocatusclevery1540
@revocatusclevery1540 6 жыл бұрын
dah!! hii hakika ni passion yako🙌 Mungu akutunze ndugu yangu,, unafanya kwa kiwango cha juu sana..! A man of de impact ( a strong effect)
@abuuharuna4278
@abuuharuna4278 6 жыл бұрын
iyo ni kweli kuna wengi tunajidhalau wenyewe ndo maana wengi tunakufa na malengo yetu bila hata kuyanusa na wengi tunavipaji ila hatuvinoi vipaji vyetu ndo maana havitusaidii kufikia malengo ila naamini wengi tutafanikiwa kupitia wewe na mafundisho yako
@leticiampeka1488
@leticiampeka1488 5 жыл бұрын
Thank you so much, may God bless your work brother!
@mercypedha5519
@mercypedha5519 5 жыл бұрын
The biggest enemy that is killing my dream is Myself ! There is always a potential but we are afraid to fail and learn ! I must step out of my Comfort zone! !! Thank you Hon.Joel 🙏🏿🙏🏿🙏🏿💕
@rizikifumao3685
@rizikifumao3685 6 жыл бұрын
asante kwa ujumbe mzuri
@safiaabubakar1120
@safiaabubakar1120 5 жыл бұрын
Haijawahi kutokea kuskiza vipindi vyoko Joel nikamwagika machozi kama leo Wallah nimelia imenigusa in my heart
@anthonykimaro807
@anthonykimaro807 6 жыл бұрын
Thanks much dear brother nimebadilika zaidi ubarikiwe Sana.
@luciewajesus731
@luciewajesus731 5 жыл бұрын
I can't wait to subscribe I need more of this wisdom ❤❤😍😍
@judithmtaliki2860
@judithmtaliki2860 5 жыл бұрын
safi sana nimejifunza vitu vingi leo kupitia somo lako
@b5342s2
@b5342s2 5 жыл бұрын
unafundisha vizuri Sana Ila kingereza kingi wakati unafundisha wenye Elim nawasio naelim mungu akubariki
@levinamrema8
@levinamrema8 2 жыл бұрын
Nataka niwe motivation speaker nifanyee mambo gani
@HalfaniSaid
@HalfaniSaid 5 ай бұрын
Vizuri Sana Kila kitu kinawezekana endapo wewe mwenyewe ukiamua Jambo la kwanza la kufanya motivation speaker unae mjua ili akupe muongozo Jambo la pili ni kusoma vitabu vinavyo husiana na motivation speaker Na jambo la tatu ni kununua course mtandaoni zinazo husiana motivation speaker
@mercyadam9803
@mercyadam9803 5 жыл бұрын
Nimegundua Mungu hawezi kufunua siri kwa mtu mchoyo utoaji wako pia umekufikisha hapo
@stevenimush3153
@stevenimush3153 5 жыл бұрын
Kaka ututafsirie vingine wengine hatujasoma
@zawadimghero6721
@zawadimghero6721 5 жыл бұрын
Nimefrahi kuusikia haya Namba kushiriki na wadau wangu maana yapo yaliyotugusa kiundani. Niombe next time jaribu kumove na tumia mic ambayo unatembea nayo ukiwa umeivaa napende the way unatoa body language ila umezuiwa na izo mic na vimeza. Ni mawazo yangu lakini
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa ushauri
@carolineifee800
@carolineifee800 5 жыл бұрын
Asante sana ju nilikuwa mnyonge lkn niliposkia mafunzo yako nikapata nguvu mpya
@josephkessy5486
@josephkessy5486 5 жыл бұрын
You are making me Joel. One day I will invite you in my graduation of the classes you are teaching me.
@kilolahmakondo766
@kilolahmakondo766 4 жыл бұрын
Napenda sana topic zako bro na nakufuatilia sn ktk kila video mpya KZbin ila punguza speed unapokuwa unaongea maana hatuelewi uko fsta mno
@shantaaswad9523
@shantaaswad9523 5 жыл бұрын
Am glad l come across this channel, very educative, watching from Oman, jamaani unazungumza Kama marehemu Kanumba
@peterdani6244
@peterdani6244 5 жыл бұрын
2019 nimependa sana mafundisho yako we we ni mwalimu ubarikiwe "god" bless you. "descover your life purpose" Amen,Amen, Amen.
@HalfaniSaid
@HalfaniSaid 7 ай бұрын
Nashukuru sana kwenye video nimejifunza hizo hatua But it's very powerful Na miongoni mwa kitu cha thamani zaidi nilicho jifunza ni kwamba ili ufanikiwe katika kila nyanja Lazima uhitaji mtu wa kuku'coach kwa mfano Life coach mfano Nanauka Online business coach mfano Dr.said said Relationship coach mfano Chris mauki Spiritual coach mfano...... Health coach mfano ......... n.k Ahsante
@charlesngofilo4581
@charlesngofilo4581 6 жыл бұрын
Kaka hakika kipaji ulipewa na una kitendea haki BARIKIWA SANA
@salmambabazi1312
@salmambabazi1312 6 жыл бұрын
Kaka unatisha mungu akujarie
@esterjohn1433
@esterjohn1433 5 жыл бұрын
Barikiwa sana
@mariajmwakisavanga7591
@mariajmwakisavanga7591 4 жыл бұрын
Jaman n kwer
@peterswai391
@peterswai391 2 жыл бұрын
Nice fact kaka God bless more brother Dodoma Tanzania
@komboomar8275
@komboomar8275 6 жыл бұрын
Mm sina haja ya kutafuta elimu ya maisha kwengine hapa ndio kituo changu cha kujifunza
@jacksonkumbi3283
@jacksonkumbi3283 5 жыл бұрын
Kaka Kama una vitabu ulivyo andika kwa kiswaili niambie call 0756170000
@gmaemba22
@gmaemba22 5 жыл бұрын
Joel umesoma kibaha mwaka gani.? Nadhani nitakua nakufahamu maana mimi sio tuu nimesoma kibaha bali natokea kibaha. Nimesikiliza hii speach imenifundiasha mambo mengi sana. Thank you brother. I would like to meet you when I come back home. Cheers
@ndarojuma5128
@ndarojuma5128 6 жыл бұрын
Kaka nimeanza kufanya ujasiriamali kwa bahati mbaya nikapata hasara kweny biashara yangu real be honestly nilvunjika moyo lakini kupitia video yako naamini ninaweza na kuna engi nimejifunza. Stay blessed brother.
@salimkhamisi6490
@salimkhamisi6490 2 жыл бұрын
Thank you so much from now ntayafanyia kazi maneno yko inshaallah ntafanikiwa kutimiza malengo yangu
@simonfredy2324
@simonfredy2324 6 жыл бұрын
Duuuuh #kakaJoel!!... Sio tu kupata mafunzo mazuri....Lakin pia unauzungumzaji ambao hata kama nilikua busy lazima nitulie kusikiliza.... Nafikiri ni uwezo wa kipekee aliokupa Mungu na Kuna Mbegu umeipanda kwangu...Thank you so much!!
@DoubleDD355
@DoubleDD355 5 жыл бұрын
Tanzania vs lesotho
@msafiriramadhani3339
@msafiriramadhani3339 5 жыл бұрын
Deus Denis Uko Lesotho Deus?
@adrianaciku1812
@adrianaciku1812 6 жыл бұрын
Ooooooooooh yes this is so good to start my day.first i want to thankyou for motivatin us ..u have no idea how u have helped me to become the person iam today m fearless and doin my purpose..this is best channel ever it has enabled me to change my mind...have been employed for years but through listenin to i have realised i was doin the wrong work i have learnt alot from this tv and m a changed gal...ooh team joel let us meet at the top..may God bless u
@davidbrahi1485
@davidbrahi1485 4 жыл бұрын
Kaka upo vzur sana unanipa nguvu ya kutafta zaidi na zaidi
@sebastianmsuya
@sebastianmsuya 6 жыл бұрын
Joel ndugu yangu ujumbe umeshiba mno, nitausikiliza tena na tena na tena, naomba nijue kitabu cha malengo nakipata wapi kesho asubuhi mapema
@omaryenock8203
@omaryenock8203 6 жыл бұрын
Brother Joel uko Poa sana coz huna manen mengi yasiyokuwa na faida,maneno yako ni machache yenye faida
@shukranikapange608
@shukranikapange608 6 жыл бұрын
daaaaaah
@ramadhanabilah8450
@ramadhanabilah8450 4 жыл бұрын
Uyu jamaa kaka inaonekana ana matatizo ya akili sio bure tena mwenyezi mungu amuepushie mbali kwa masomo yetu ambayo unayotupatia na maisha yako kaka
@favourspapatv
@favourspapatv 5 жыл бұрын
Maneno yako yanapiga Kama mawimbi ufukweni kwa samaki anayekaribia kukata tamaa.Kongole Sana Mkuu.
@lucymgata9721
@lucymgata9721 4 жыл бұрын
Yàani wewe kaka.Mungu akubariki sana
@Saranabwire
@Saranabwire 2 ай бұрын
5yaer but nimejifuza kitu 2024 God bless kaka Nanauka
@jackieroberts4868
@jackieroberts4868 Ай бұрын
Mimi piah😊
@isakamuyagala8717
@isakamuyagala8717 2 жыл бұрын
Mungu akubaliki kwa kazi njema ya kuelimisha jamiiii iliyopotea
@mwlrobinson
@mwlrobinson 2 жыл бұрын
Hiii speech Ina nguvu ya kumbadilisha mtu endapo atatekelza what spoken ♥️🙏🧠
@najmabajun202
@najmabajun202 5 жыл бұрын
daaaah nime anza kukufatilia na hakika nikifatisha vyema masomo unayo tufunza wallah nitafika palenapo taka fika shukulan my brother 🙏🙏🙏 ume nifungua mengi
@fidestamhina4063
@fidestamhina4063 5 жыл бұрын
OMG..asante kaka, nimechelewa kusikiliza hii lakin umenisaidia kwa kiwango ambacho hakielezeki, asante
@cindymacho5282
@cindymacho5282 6 жыл бұрын
good good naacha kuwaangalia wadangaji ngoja nipate maarifa Mungu akubariki
@mekujose8532
@mekujose8532 4 жыл бұрын
Nafurahia masomo yako sana brother,keep it.
@bestkimali216
@bestkimali216 6 жыл бұрын
Bro ningekosa kitu kikubwa Sana, asante nimepokea bro
@racheltanzania3198
@racheltanzania3198 5 жыл бұрын
Joel nakufatilia sana na ujawah kuniangusha asante sana
@mwambauliohai5043
@mwambauliohai5043 5 жыл бұрын
nilikuwa naangalia mavituko KZbin.Leo nimefunguka kujifunza
@khalfanomar7665
@khalfanomar7665 5 жыл бұрын
Kumbe hata mimi ni naweza naahidi Mwenyezimungu amenipa kipaji snipe nguvu nitaonesha uwezo wangu
@shaibumahanda6501
@shaibumahanda6501 6 жыл бұрын
Daaaa umenigusa sana aiseeee najikuta naenda kazii narudii coz natural ya kaziii ndo ilivyonishape
@mohammedyassin8786
@mohammedyassin8786 5 жыл бұрын
Mr joeli uko vizuri sana sema punguza vingereza maana wengine hatujui kwaiyo tunaitaji tuerewe mwanzo wakipindi hadi mwisho wakipind
@mosesanosa9956
@mosesanosa9956 4 жыл бұрын
Mohammed Yassin umejuaje
@erickambrose7669
@erickambrose7669 4 жыл бұрын
Haaaa
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 5 жыл бұрын
JNanauka,huko vzr usikate TAMAA songa mbele,UMETUHAMASISHA SAANA😍
@hamiysharo2902
@hamiysharo2902 5 жыл бұрын
May god bless u that is gud i like it🙏
@charlesfaida1515
@charlesfaida1515 4 жыл бұрын
Daaa!!! Teacher hapa ulitema madini mwanzo mwisho unaongea vitu hadi nahisi upo mbele yangu Kaka, "GOD BLESS YOU MY TEACHER OF MY LIFE"
@kingoman7895
@kingoman7895 6 жыл бұрын
Asante sana kaka joel nimejifunza mengi leo hii ubarikiwe sana kaka joel Amiin
@frankseleman8930
@frankseleman8930 5 жыл бұрын
Gd
@wisdomofbooks6905
@wisdomofbooks6905 5 жыл бұрын
Gundua unaweza kufanya Nini, hakuna mtu aliyezaliwa bila uwezo wowote,Kila mtu ana kusudi lake,haupo duniani kizembe.kila mtu ana uwezo mkubwa Sana,tumia muda wako kuwekeza kwa ajili ya kipaji chako.ongeza na kuuboresha uwezo wako ulinao.heshima kwako Joel Nanauka.Naitwa Hosea.
@evanswere3719
@evanswere3719 5 жыл бұрын
Wonderful message! Watching from Stuttgart Germany
@hannahmichael2008
@hannahmichael2008 4 жыл бұрын
baba unanibariki sana one day I will reveal this to the world ... thank you ...
@rahemaseleiman635
@rahemaseleiman635 4 жыл бұрын
😥😥😥nilikua na huzun Sana ila umenisaidia kusimama tena mungu akutie nguvu
@officialnuh7217
@officialnuh7217 6 жыл бұрын
Cube!!!! Kibaha sec school, umenikumbusha maisha ya Mapisi na kila kitu pale kibaha sec school!!!! God bless you, Wakati nipo pale kibaha sec school nliwahi kuugua na Sina hata sent moja, rafiki angu mmoja alinisadia pocket money yake ikaisha na akawatafuta na wengne
@sebastianmassawe9527
@sebastianmassawe9527 6 жыл бұрын
Asante kaka Joel kwa somo zuri umenigusa sana kwenye mwaliko wako ulionyesha vitu ambavyo watu hawakutarajia,
@benardpaul1271
@benardpaul1271 4 жыл бұрын
Asanteni bro una maneno yahekima mungu akubaliki
@hafsacletty1519
@hafsacletty1519 6 жыл бұрын
Mashaallah M/mungu Akuongezee Ufahamu.Shukrani.
@issackmbotera5261
@issackmbotera5261 6 жыл бұрын
Nimejikuta asilimia 90 ya ulichokizungumza kinanigusa! Hongera sana kwa kipaji ulichonacho
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
Nanauka MUNGU AKUPE HAJA YA MOYO WAKO ,KWA JINSI UNAVYOTUPA VITU VIZURI VYA MAISHA, BE BLESSED JOEL
@abdulkadirmwalim24
@abdulkadirmwalim24 4 жыл бұрын
Safi sana kaka kwa kweli umebarikiwa na huna hiana kutowa kwa hicho ulicho barikiwa na mungu. Mungu atazidi kua na ww na pia akuzidishie kipato cha halali ili uweze kuendesha familia yako.
@carolineifee800
@carolineifee800 4 жыл бұрын
Aky nimekupenda bure kwa maneno mataaaano sana ya kutia mtu moyo wallai thanks so much and god bless u
@bck8163
@bck8163 5 жыл бұрын
My friend nimepata mtu ambaye ameniambia ukweli na ni wewe keep it up man of God
@rhinaregina5806
@rhinaregina5806 5 жыл бұрын
Amen Mungu akubariki Sana kaka Mungu akubariki Sana wow God bless you
@vedastuswilfred4269
@vedastuswilfred4269 3 жыл бұрын
Hakika nafurahi kukufahamu najifunza mambo mengi kupia wewe safi .
@yusufally6853
@yusufally6853 5 жыл бұрын
Mashallah wallah ALLAH gives jannat Firdausi... Be thanks a lot for learns big profit and target.. For ho to start in my life.
@florenciaearnest5241
@florenciaearnest5241 5 жыл бұрын
I say I love your motivation. You inspired me.
@tegemeareuben7618
@tegemeareuben7618 5 жыл бұрын
GOD bless you my dear brother
@magrethfulgence7888
@magrethfulgence7888 2 жыл бұрын
Asante kaka kwa somo, kitabu hicho naweza kukipata wapi cha timiza malengo yako
@mosesmwingira3780
@mosesmwingira3780 3 жыл бұрын
Video hii ndo ili ya kwanza kuiona tena ndo ilikua chanzo cha kumjua #joel nanauka Najivunia kuwa mwanafunzi wa Joel Nanauka
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 3 жыл бұрын
Napata hamasa sana nikiangalia mafundisho yako. Mwenyez Mungu akujalie daima
@neemaerasto1842
@neemaerasto1842 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana maneno yako yananipa nguvu ya kufanya mambo kwa kujiamini sana sitakata tamaa be blessed more
@ZERUZERUINTERNATIONAL
@ZERUZERUINTERNATIONAL 7 ай бұрын
Ni Mzunguko Unao Fanya kazi Ktk Ubongo Wang Iv Now
@sumiodilo1180
@sumiodilo1180 6 жыл бұрын
Ukweli unanipendeza sana. Unashawishi mafanikio kwangu Kwa video hii toka nimeanza kukufatilia, umekuwa bora zaidi. Napenda kukushauri kitu kimoja: kama nikiingereza basi kiwe mwanzo hadi mwisho ama kiswahili kiwe hivyo mwanzo hadi mwisho. Umesema create your own identity sasa ukichanganya lugha, unaenda ipoteza identity yako kaka. Ujue nakupenda. Kuna SMS niliwahi kuandika juu yakukupongea katika vitu kama vitano nilipojaribu kuifatilia sikuiona. Ila kitu kimoja nilichosema ni kwamba "napenda usivyochanganya kiswahili na kiingereza" hiyo niliiona ni uniqness yako kaka. Jaribu kusimamia uniqness yako kaka. Hapo wahindi/waarabu wasikuchanganye. Itangaze nchi yetu kaka. Mungu akubariki sana. "See you at the top"
@mosesallanadam1955
@mosesallanadam1955 5 жыл бұрын
Safi sana, yaani nimechukua muda mfupi na kweli umeshusha madini!
@mrkingcamel4242
@mrkingcamel4242 5 жыл бұрын
Imenifundish kit kikubwa San katik maish
@gloryolomi7
@gloryolomi7 6 жыл бұрын
This talk is remarkable!! It is one of the stairs to my home!! Am just lucky to have a big brother like you😍😍...... Oh and the cover photo kwa this video is beautiful😂😂😂😂
@hildahillary9586
@hildahillary9586 5 жыл бұрын
nimekuona😍
@merclyinga5097
@merclyinga5097 5 жыл бұрын
Nice
@atubeka9317
@atubeka9317 5 жыл бұрын
Nimefurahi sana kusikiliza mafunzo yako
@philbertm.kajuna7549
@philbertm.kajuna7549 6 жыл бұрын
This is the Best speech, A transforming speech, The one to immerse and bathe myself in. Thank you sir!
@YohanaMpambi
@YohanaMpambi 7 ай бұрын
Kwa kwer Nime pata kitu Mungu aenderee kuku kuza zaidi
@abdulitwalibsalum3785
@abdulitwalibsalum3785 6 жыл бұрын
hakika wewe ni mtu mwenye mawazo yaliyobora najifunza
@dennischarles8524
@dennischarles8524 6 жыл бұрын
Nice,ningekushauri uweke captions kwenye kila neno kwa kiingereza mafundisho haya yatapendwa na watu wengi hapa duniani
@DARAJANI_TV
@DARAJANI_TV 5 жыл бұрын
Hiyo ndio kweli nakweli inakuweka huru
@deboramoris6482
@deboramoris6482 5 жыл бұрын
Kwakweli Mungu kakujalia hakuna kisichowezekana hapa duniani if you real know who u are nimejifunza mengi thanks
@kwizboy7449
@kwizboy7449 5 жыл бұрын
Asante xn kwa ujumbe mzuri kaka Joel lakn unaongea sana kizungu kwa mama yangu pale kasulu anashindwa kuelewa kizungu kinachukua nafasi kubwa mbaya zaid unapofika kwenye point unaongea xn kizungu
@raymondjimmy2712
@raymondjimmy2712 6 жыл бұрын
Hivi Mlio UNLIKE mna maana gan? au Mna chuki zenu Binafsi @chen ROHO MBAYA😡
@goodlovetheodus8664
@goodlovetheodus8664 6 жыл бұрын
Revocutus James safi
@joramchubwa3757
@joramchubwa3757 6 жыл бұрын
Ndugu watanzania hawakosagi sababu ilimladi tu wakufelishe
@katotalifestylemedia1789
@katotalifestylemedia1789 5 жыл бұрын
Ni majirani zake waliokua hawapendi aende vyuoni kusoma
@fundieddy3490
@fundieddy3490 5 жыл бұрын
R.J. Walio 'unlike' wana maana hii: HAWAPENDI WATU WENGINE WAFANIKIWE KTK MAISHA ILI WAO WACHACHE WAONEKANE miungu-watu mbele ya wengine.
@salmangonera7767
@salmangonera7767 5 жыл бұрын
Hawajui
@jano254jayc4
@jano254jayc4 5 жыл бұрын
Av learned more from you brother Joel thanku.
@AULERIAMBUNDA
@AULERIAMBUNDA 8 ай бұрын
Absolutely mungu akubariki sanaa
@juhudiacademy2170
@juhudiacademy2170 6 жыл бұрын
Great brother. Continue to focus on telling people your real stories rather than telling people someone's story. People will change their life through your story. Congratulations.
@jojoembwaga2931
@jojoembwaga2931 5 жыл бұрын
May God bless you may my God continue to shower u with blessings,u your lessons r so inspiring 🙏
@aishamathiassi1778
@aishamathiassi1778 5 жыл бұрын
Ukiongea kiingereza wengine hatuelewi kwahiyo tunakosa faida Ila unatuelimisha sana
@dullybrown3635
@dullybrown3635 5 жыл бұрын
You must have some kind of vision even you dont have the plan.
@bestkimali216
@bestkimali216 6 жыл бұрын
Bro ningekosa kitu kikubwa Sana, asante nimepokea bro
@helenamusa432
@helenamusa432 6 жыл бұрын
Ahsante brother nimeona faida ya kuwa na marengo
@wilbertcosmas5100
@wilbertcosmas5100 4 жыл бұрын
Kaka nilikua nataka number yako
@aaaavvvv4261
@aaaavvvv4261 5 жыл бұрын
Wao sikujuwa hii mambo bt sifi moyo mwalimu mzuri mungu akubariki na kuepushe na shari nmejifunza mno mengi
@hajijumanne387
@hajijumanne387 6 жыл бұрын
Nimekuelewa sana kaka safi sana najifunza sana mambo toka kwako kaka asante
@rehemaathumani712
@rehemaathumani712 2 жыл бұрын
Thank you and god bless you for your help with me for work brother j.a.nanaruka
@rehemaathumani712
@rehemaathumani712 2 жыл бұрын
God bless you
Je,Wewe Una Maono Gani Kwenye Maisha Yako?
46:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 185 М.
UHURU WA KWELI WA KIFEDHA - JOEL NANAUKA
1:14:26
Joel Nanauka
Рет қаралды 52 М.
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 16 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 117 МЛН
JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO ILI UINGIZE KIPATO ZAIDI - JOEL NANAUKA
1:11:12
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Godly voice family
Рет қаралды 8 М.
Jinsi ya kutImiza malengo yako kwenye ulimwengu wa Sasa.
55:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
Dr. Chris Mauki : Hakikisheni Mmeyazungumza Haya Kabla Ya Kuoana
11:10
MISINGI 10 YA FEDHA, MAISHA NA MAFANIKIO
8:30
Success Path Network
Рет қаралды 294 М.
Mambo ya Kuzingatia Ukitaka Kufanikiwa Kwenye Maisha - Joel Nanauka
17:05
Jinsi ya kuweka malengo na kufanikiwa
1:05:12
Joel Nanauka
Рет қаралды 448 М.
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 16 МЛН