KAMANDA WA CHADEMA AMGOMEA MBOWE | AACHIE MADARAKA KWA HESHIMA | WAKATI WA LISSU

  Рет қаралды 8,258

IDAWA MEDIA

IDAWA MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Watu wabaya sana, yaani imegeuka kutoka Samia must go Hadi imekuwa Mbowe must go
@DanielMgeni-x1z
@DanielMgeni-x1z Ай бұрын
Asante Kaka kwa uzalendo wako Kwa sasa chadema nahita mawazo mapya Twende Na mtu imala Lisu
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Ай бұрын
Mkitaka kujua hicho ni chama cha wachaga mtoeni Mbowe mtaona matokeo yake
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 Ай бұрын
Wewe unaakili sana Love yah
@RegnaldDanda-k3i
@RegnaldDanda-k3i Ай бұрын
Ahsante kamanda wangu
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola Ай бұрын
Sawa kabisa kamanda
@rashidissa5887
@rashidissa5887 Ай бұрын
Nawashauri Chadema wafuate jinsi ACT walivyoamua katika nafasi hii. Pamoja na haki kikatiba lakini sitapenda fahari hawa kushindana halafu mmoja aadhirike. Babu Duni kwetu bado tunae na tunpenda sana
@joseph-fc6ry
@joseph-fc6ry Ай бұрын
mr miemko na wafuasi wake
@ONETWEVE
@ONETWEVE Ай бұрын
Nawashauri chadema mtu sahihi Kwa chadema ni JOHN HECHE
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud Ай бұрын
Sawa kabisa Heche Ana faa kama lisu vilevile
@kiluiWanguvu
@kiluiWanguvu Ай бұрын
huu ndio ukweli watu wengi awataki wausikie aje kiongozi mwingine mbowe amegeuza chama kuwa saccos na awezi kuachia hiyo nafasi ndio inayo mtajilisha nasita shangaa kuona tundu lisu anapigwa zengwe na ukaskazini nimuda tu utaongea.
@NicholasMtoro
@NicholasMtoro 27 күн бұрын
Huo nimtizamo wako Mimi anasitahir kutetea kit alicho nacho
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola Ай бұрын
Uko sawa kamanda Wala hujakosea. Machawa tu ndo hawatakuelewa
@manyalamashala4211
@manyalamashala4211 Ай бұрын
We nawe juma kapilila ni mwehu2 mbowe yeye kibaraka wa ccm katuchosha mpaka ccm inaiba kula anaagalia2
@AyubMgimba
@AyubMgimba Ай бұрын
Lissu kutangaza nia ni sawa lkn sidhani kama alizuiwa kusema madhaifu ya m/kiti na jinsi yakuendesha chama ktk mfumo wa uadilifu. Kama aliona mapungufu na akanyamaza basi na yeye ni sawa na Mbowe, ajipime kwa kile anachosema.
@MagdalenaNyakitale
@MagdalenaNyakitale Ай бұрын
nawaomba kwa maoni yangu waje kwa wanachama kwenye majimbo na wilaya wapate maoni mpokezane vijiti tu muachien lisu amemwaga dam ndani ya chama kwa ajili yetu tunamtaka lisu
@felixboniphace3281
@felixboniphace3281 Ай бұрын
Nikweli Kwa siasa za saivi zinaitaji mwenyekiti kama lisu
@ValeriJummane
@ValeriJummane Ай бұрын
Tuko pamoja mkuu Mimi timu Lisu
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Ай бұрын
Mawazo ya mtu yasipingwe kwa matusi. Asikilzwe ajibiwe kwa hoja. Watanzania tuwe na staha tena tuwe tunasikilizana kujibizana kihoja si ngumi na matusi. 4R kila kona.
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu Ай бұрын
Acha ujinga tundu Lisu kwa akili yk fupi unaweza kumpa urais chama hakuna sera hakuna dira rafa ww
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf Ай бұрын
Wewe ndoo mujinga
@JohnS.mwafubo
@JohnS.mwafubo Ай бұрын
Tundu kugombea uenyekiti ni ukomavu wa chama kwamba chadema kiko imara kisiasa haya vigisu ni mamluki kutoka nje ya chadema ili kutuvuruga.
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Ай бұрын
Kwann mbowe asigombee Wacha agombee akutane na kura zake nne akapumzike
@Peterchipemba
@Peterchipemba Ай бұрын
Kamanda nimekuelewa
@faithmlay5944
@faithmlay5944 Ай бұрын
Chadema kuweni makini. CCM nia yake upinzani ufe watawale milele. Wakikipasua Chadema ndio raha yao. Endeni Kwa hekima. Chagueni kiongozi mnayemuona anawafaa lakini imemwagika damu nyingi sana.Lindeni umoja wenu Kwa gharama yoyote ile. Mko imara. Msikubali hadaa za kuwagawa!
@MagdalenaNyakitale
@MagdalenaNyakitale Ай бұрын
kweli kaka tuwe makini
@mangashajunior242
@mangashajunior242 Ай бұрын
Aachie madaraka kwa heshima aache ubinafsi na ukabila....
TUNDU LISSU AKIONGEA MBELE YA VIONGOZI WA BARAZA KUU LA CHADEMA
21:07
Chadema Media TV
Рет қаралды 207 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
TISS ACHENI NJAMA CHAFU DHIDI YA LISSU NA MBOWE
11:13
SK Media Online TV
Рет қаралды 32 М.
LEMA AMLIPUA TENA MBOWE "APUMZIKE SASA NI LISSU"
30:56
JAMBO TV
Рет қаралды 53 М.
USHAURI MZITO WA DUDU BAYA UCHAGUZI CHADEMA/Mbowe apumzike
12:00
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 69 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН