Namuelewa huyu mwamba kuliko mwanasiasa yoyote hapa TZ nani kama Lisu
@PharessJohn-zo8ox7 ай бұрын
Ccm huwa wanapinga hata ukweri
@kishepokishepo49719 ай бұрын
2024 tujuane
@PharessJohn-zo8ox7 ай бұрын
Hello my dear friend how are you
@FrankAngolwisye-mr1nc Жыл бұрын
TUNDU LISU HAKIKA WEWE NI TUNU MUHIMU SANA KWA TAIFA HILI LA MUNGU, NINA AMINI NDIYO MAANA HATA MUNGU ALIKUTENDEA MUUJIZA WA KUKUOKOA NA KIFO ULIPOPIGWA RISASI NYINGI SANA!!! NINA AMINI ALIFANYA MUUJIZA HUO ILI ULISAIDIE TAIFA HILI KTK KUTENDA HAKI KWANI HAKI HUINUA TAIFA. PONGEZI NYINGI KWAKO TUNDU LISU.
@AyubuKamendu-w4o9 ай бұрын
Ilikuwa hatari sana
@hamilsaleh-zo3hp10 ай бұрын
Serekali kandamizi,haina haki Munawadhulumu wazanzibari