Eemungu kama ulimuacha uyu mutu mwema asife kwajiri ya utetezi wa haki za tanzania basi umuinue tena
@albertlokoya79374 жыл бұрын
Nani anaangalia hii baada ya ujio wa Lissu, Huyu Jamaa ni kichwa anawea kukufanya ujue mengi kuhusu T ya kipindi hiko kama ulikuwepo
@trgphonegeorge38327 жыл бұрын
Ilikuwa ni hasara kubwa sana kwa kipindi hiki kumpoteza jemadali kama lissu!!
@abdulfirst_pilot4 жыл бұрын
Kweli mungu ni wakushukuriwa sana walitaka kumpiteza ila mungu kamnusuru amini kuwa siku yako kama haija fika hakuna fitina yoyote itakayo kuthuru ila hadi mungu apende kila kitu mungu ndiyo anaye panga tuuu
@paschalmalley33718 жыл бұрын
Wa2 wanameza, hadi katiba ya UN duuu!!!!
@gangmore90915 жыл бұрын
Uko sawa ukweli
@divamrembo87885 жыл бұрын
Lissu mmoja ni JPM 1000, kama unabisha wawekwe kwenye mahojiano kama marekani ile clinton na Trump.
@tawfiqissa61234 жыл бұрын
Kabisaaa
@abuufauzaanmohd4474 жыл бұрын
Unaelewa sana nzuri kwa kuloona hilo
@gracrandrew33705 жыл бұрын
marehem anamjua jembeeeeee
@williamkirway46203 жыл бұрын
Watamtafsiri lissu kama vile hapendi muungano wetu,hapana anauelezea historia kamili lamsingi turekebishe kasoro kama kuna makosa badala ya kunyamaza Kwa kuaminishwa Kwa maneno,tudumishe muungano wetu.
@abdulfirst_pilot4 жыл бұрын
Balozi katoa machoo tuu we kaaa tu hapo uwe mjinga watu wame soma hawo
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
@gangmore90915 жыл бұрын
Unajua siriii nyingi ndio mana wamekupiga bundukii
@tawfiqissa61234 жыл бұрын
Kabisaaa
@gangmore90914 жыл бұрын
@@tawfiqissa6123 umeona bro ccm ukitoa siri zao lazima wakuondoe duniani ubaya Allah akisema no no